Dada frola mungu yu nawe ktk kazi zako usikate tamaa
@fatemaligalawa19183 жыл бұрын
Shamsa Anaupendo saana na bibiake Yani asitenganishwe saana kwasasa 🤲🤲🤲 Frola ww ni mwanamke wanguvu Ubarikiwesana kwaupendo ulionao 💕💕💕
@auntdorah91413 жыл бұрын
Doroth Gwajima, Mungu azidi kukutangulia,songa mbele mheshimiwa..😍😍👏👏
@wemakalamu35383 жыл бұрын
Huyo waziri anafaa kuwa raisi wa nchi trust me She's strong ever
@rahabchep53183 жыл бұрын
Wewe ngulusumu mjomba ulikua wapy mtoto alichukuliwa n filo kitambo ndio unamkumbuka mwache flora wetu tunampenda sana tu sana💖💖💖filo songa mbele mummy
@hellenmgungus29353 жыл бұрын
Jamani daaaa adi huruma mungu naomba unipe maisha marefu Nilee watt wangu
@janethpallangyo26333 жыл бұрын
Kweli kabisa hata mimi huwa namuomba Mungu hivyohivyo
@azizahamisi73493 жыл бұрын
Ameen
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Amiin amiin,na kwetu sote unakuta wanateswa na mtu ambae umejitoa kwake mpaka tone lako la akiba lakin mwanao anamuona takataka
@halimamwajuma92083 жыл бұрын
Allahuma amiin
@salomewandya72573 жыл бұрын
Kabisaa dear watoto ni mzazi mwnyw Mungu atupe maisha marefu watoto wetu wakue wajitambue🙏🙏🙏🙏
@eunicekatiwa39812 жыл бұрын
Hi madam flora hongera sana Kwa kazi nzuri unayiendelea kufanya mungu akuongexee baraka
@ferotial46593 жыл бұрын
Nimefurahi sana Dada frola Mungu akubarikia na kupitia hili watanzania wenzangu tuna cha kujifunza mwanangu Shamsha Mungu akutangulie katk masomo yako na akukinge na kila shali za walinwengu na wew bibi ugua pole Mungu yupo pamoja nawe utapona
@sabinaonline65753 жыл бұрын
Mama gwajima hapa sasa safi kabisa Mungu akubariki sana Achana na mchungaji ❤❤❤
@jescajulius80233 жыл бұрын
Mchangaj g ni ndg yakee??
@pericykiko61983 жыл бұрын
Kigeugeu hii ni nyingine tukika upande wa corona ni nyingine
@neemamdami74663 жыл бұрын
@@jescajulius8023 ni shemeji yake
@ellymakongo6563 жыл бұрын
@@pericykiko6198 hapa sawa ila kwenye Corona hapo hatumuelewi kabisa
@jescajulius80233 жыл бұрын
@@neemamdami7466 okay asante honey
@judithaugustino74293 жыл бұрын
Hongera muheshimiwa wazir kwa kaz nzuri ....Dada frola mungu akutie nguvu usikate tamaa
@hadijaharerimana16873 жыл бұрын
Awww flora ❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰ur doing a good job .....stay blessed
@fariarizaq75283 жыл бұрын
Huyu jamaa sahi ndiyo wamejitokesa wakati mtoto anasaidika wacha uwogo wallah ananikasirisha sana dada flora kaa na mtoto waziri umefanya kazi ya manaa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@merinankullua58743 жыл бұрын
Yaani anakera ,walimwacha mtoto hata kumpeleka shule tu,kukwepa majukumu hata kumpeleka mama yao hospital ilikuwa shida ,
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Anajua atapata pesa nayy
@wachugawezere79053 жыл бұрын
Alafu mbona Kama shoga shoga ivi uyu jamaa yan muweke ndan Kama wiki ivi ili asitokee kenge mwingine Kama uyu
@priscaallen42653 жыл бұрын
Nimejikuta nalia mara yakwanza kabsa alomhoji uyu mtt jamn yaan dah mungu akuwekeee mahali pema peponi
@lucywilliam63322 жыл бұрын
Nakupendaaa natamani niwe kama wewe naaamini nitakuwa mungu akutunze sana mumy much love ❤ 😍
@dicksonwanyama16893 жыл бұрын
Hongera sana Mh waziri D Gwajima🇹🇿😆 lkn chanjo Kwangu hapana
@erastonicholas55893 жыл бұрын
Ana potezea anajidai Yuko bize chanjo alete chanjo ya ukimwi. Wangetoa barakoa na glovsi bure kama walivyo toa kondom sio chanjo
@nuruelmada91233 жыл бұрын
😂😂😂
@enterenter19213 жыл бұрын
Mam gwajima nimeona huko nyuma ulivyofungasha nibalaa🤣🤣👌👌👌Kumbe ndo gwaj Boi anaon wivu
@jackmeshack3 жыл бұрын
wema ni akiba dada angu frola mungu awe nawe katka shughuli zako kwani huduma unayotoa kwa jamii anayekutuhumu kama ni anatakiwa apelekwe milembe hospitali ya vichaa be blessed FROLA na watu wako🙏🙏🙏🙏🙏
@josephfrances87423 жыл бұрын
Nasema huyo mjomba ni mpumbafu sana anamiliki smatphone anashindwa kununua sare za shule za mtoto ili aende shule, ... Dada frola Mungu akuzidishie pale palipo pungua Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@saudambinga38323 жыл бұрын
Km sio Flora NITETEE 💕basi bibi na Shamsa mpaka Leo atujui wangekua na wapi kiafya, akili, elimu mungu wetu zidi kumtia nguvu, subra ,ujasiri na afya njema Dr. Flora NITETEE 💕💪🇴🇲
@martherngowo68273 жыл бұрын
Sana sana mungu ambariki kwanza dr flora
@TheSalma19993 жыл бұрын
Asante waziri nimekupenda sana na Asante dada flola hana baba huyo wala mama kweli kabisa katupwa huyo mtoto wow mmenifurahisha mno leo roho yangu kwatu mtoto katendewa haki asante
@rithakuyala99513 жыл бұрын
Mama gwajima Mungu akubariki sana na wote mnaojitolea kuwasaidia wenye maitaji nafungungua milango ya mbinguni kwa jina la YESU
@aishanelly20263 жыл бұрын
Asante Waziri Wa Afya ongeraaaaaa saaaan well done job sister nakupendaaa na bureeeeee🙏🏿🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥🔥
@paulolugwisha20823 жыл бұрын
Hapo kwanza kabisa Dada Frola ,Mungu akubariki kwa wema wako wema ni Akiba, Na waziri wa Afya ubarikiwe kwa kazi hiyo nzuri ,Lakini wapo watu hadi wanafikwa na mauti kwasababu hawana gharama za kugharamia matibabu, ni heri mungeleta utalatibu mgonjwa Akifika hospitali Atibiwe kwanza mambo ya malipo badae Uhai Kwanza, Afya kwa kila Mtanzania
@aminahahlubayt73992 жыл бұрын
Maashaallah nimefurahi sana mungu azidi kuwabariki
@susanraphael58943 жыл бұрын
Jamani huyu frola anamoyo ambao yani haufananishwi Mungu akubariki Dada 😢😢😢
@happynesskibona66583 жыл бұрын
Hapo Mama umeongea vinzuri sana Watanzania wengi tunawivu Sanaa tuache wivu halafu ww Mjomba acha kujibu ovyo ovyo ungetuliaa acha shobo
@fatimasalim5973 жыл бұрын
Pole sana Dada frora usije ukachoka kutoa msada mungu akutie nguvu inshaallah
@helinahenry92593 жыл бұрын
Safi sana Doctor . Mtoto alivokuwa n.a. shida hawakumuona Leo hii kapata msaada ndo wanajitokeza
@aairraahseif56483 жыл бұрын
hongera zako waziri wetu pendwa,umesimama kwenye point👌siku zote wanakwepa majukumu yao,walikuwa wapi,mtoto na bibi katelekezwa mbona hawakujitokeza?shule ni bure mtoto umri miaka 9 hajawahi kwenda shule unapoteza haki ya mtoto kupata elimu na elimu ndio ufunguo wa maisha,flora kaza but wasikukatishe tamaa fanya huruma zako kwa viumbe masikini wote,mungu amekuchagua wewe kuifanya kazi hii,wengine hatuwezi watu wachache wasio na msaada na familia zao wasikatishe tamaa,tunajua unaweza unaweza sana mungu akusimamie
@ameniameni6173 жыл бұрын
Watu Awana haibu mama alivyokutwa na Ali mbaya Leo baada yakudaidiwa mnajitokeza mnapaswa kuwekwa ndani kwanza
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
Wanajuwa watapata pesa
@jocelyneowili12473 жыл бұрын
Leo nitapata usingizi....Mungu ni Mkubwa kweli.I was the saddest human in planet earth since I watched the clip about this child from the beginning and wouldn't wish that life the child was living even to my worst enemy. Thankyou Madam health Minister and everyone that was involved in exposing this inhuman happenings!🙏🙏🙏🙏
@nellynafula37542 жыл бұрын
Kweli kabisa mtoto huyo hana baba mungu awabariki akina mama
@omklthomomklthom80903 жыл бұрын
Mitano tena kwa waziri yaaan nimempenda hatar unambiwa mtoto akipotea naww upoteeee 💃🏽💃🏽💃🏽💕💕💕🌹🌹
@agnethapaul75013 жыл бұрын
Yaan hapo nimepapenda
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
Mtoto muzuri anaakiri sana anaadabu mungu akurinde mtoto muzuri piya akubariki kwakumuguza bibi
@khadijasayeed33813 жыл бұрын
Kweli ucmdhsrau usiemjua mashaAllah shamsa mdogo angu Mungu akufanyie wepec kwa kila jambo
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
I like it God bless my aunt Flora eeh Mungu oona mpaka nimekuomba kwa kingereza na vile nikigumu.ooh Mungu tena ongoza waziri kwenye haki ili hata ascofu Gwajima kesho tuwaone wakicangia mukate na cayi au capati na maji asante dear lord amen
@MariamSelemani-y6w6 күн бұрын
Mungu azidi kukupa moyo wa huruma na mapenzi dada frola mungu akulipe hapa duniani na kesho akhera
@zenacemosha87142 жыл бұрын
Hongera mama kwa kazi mzuri
@eaglecrown11013 жыл бұрын
Amina 🙏 mama gwajima hapo umenena. Nimependa ulivyoamua juu ya Hilo. Frola hongera sana
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Flora mungu akupe nguvu sana ya kitengo chako cha nitetee na MHE waziri wa afya mungu awasaidie na mama ummy mwalimu mungu awabariki sanaaaa
@marykakolaki11693 жыл бұрын
Dah yaani wewe flora ,mungu ndiyo atakupa na Asante waziri kwa kazi nzr ,mpendwa flora naomba usikate Tamaa hata kidogo wewe songa mbele tuu
@dianamdaku98023 жыл бұрын
Mungu awabariki wote mliofanikisha hili😍😍 Dr Gwajima 🙏🙏
@aberdsalum12403 жыл бұрын
Azamfc my
@sadockchengula55423 жыл бұрын
Good
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Mtihani kwakweli flora Mungu akusimamie na huyo mtt Mungu ambariki
@charleskuyeko16603 жыл бұрын
Hongera Mheshimiwa Waziri kwa kazi nzuri.
@mpelienock3 жыл бұрын
Good nimeipenda hii, social media mtuletee haya na muibue mengi yanayoitesa jamii.
@wemakalamu35383 жыл бұрын
Hongera waziri ubarikiwe kwa kweli
@ruthnjokikaranja86463 жыл бұрын
Flora Mimi ni mkenya lakini nakupenda Kwa matendo yako mazuri , Mungu akulinde pamoja na waziri
@nunuuali53163 жыл бұрын
Very good Waziri kazi nzuri chukua mtoto achana na undugu usiokuwa wa maana. Eeeh Mungu tupe kulea watoto wetu hadi wazeheke
@ayshaayush85393 жыл бұрын
Jamani watoto wana baraka zao ukimuacha ww Mungu hamuachi kabisa akateseka
@SalmanMughal-lq5ltАй бұрын
KabisaAlhamdulilah
@hamisihemedi10992 жыл бұрын
Asante sana mama.dorisi.mungu.akupe.nguvu.ujasiri.wakuzuguka.nch.nzima Namama Mgonjwa.mungu.ampe.ahueni.ya.haraka.nahuyo.mtoto.mungu.amuongeze.inshalla
@prettyh75093 жыл бұрын
😂😂😂 watakuja na mashangazi jamani bila pesa huna thamani
@jenifajuma53953 жыл бұрын
Kweli kabisa wakati huyu Bibi alikuwa mpka anatoka mafunza kwenye Mpira wa mkojo Mpira wa mkojo amekaa nao mwaka mzima wameshindwa kumlipia hata Kodi mpka anapewa chumba pia aliempa chumba akawa anamnyanyasa bila frola kwenda kuwaokota huyo mjomba Angekuwa kimya yaani mtihani kweli
@mwajumakitano8423 жыл бұрын
HONGERA SANA WAZIRI WETU MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU,NGUVU NA AFYA USAIDIE WATOTO WETU🥰🥰🥰🤗
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Serikali mchukueni shamsa kwa sasa awe chini ya ustawi wajamii mpk shamsa atakapo pata ufaham wa akili yake na kujua zur na baya finish story
@YasntaSebastianКүн бұрын
Mungu wangu jaman uyo muongo sana akwende bibi ndo kamlea na bibi hakuanauwezo wakumsomesha da frola mungu akuweke na kuzidishie mungu akuzidishie vingi sana maisha marefu kwako
@thuvakonde25843 жыл бұрын
Kweli kabisa waziri watanzania kwa mabaya uwa kimya lkn kwa mazuri ndio utawaona wakianza uzushi
@salomewandya72573 жыл бұрын
Kabisaaa jmn
@rozemarymapango69313 жыл бұрын
Nimekupenda sana waziri Gwajima,.Mungu akutunze mamito,umempa za uso uncle.
@loner_wolf3 жыл бұрын
Geah Habib, Flora, Zahir wa Maximum na wote wanaosaidia watu mungu atawakumbuka inshallah
@margarethsaramaki39663 жыл бұрын
So painfully hadi mchozi umenitoka Mungu apewe sifa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@dorahy15793 жыл бұрын
Loo!!!!!, mimi nilituma pesa kwa hii NITETEE kwa sababu ya huyu mtoto. Nilikuwa hata sijui hii NITETEE FOUNDATION. Well done Dr nasikia unaitwa Flora. Mungu akubariki.
@innopaul35533 жыл бұрын
Nitetee iko wapi dada plz au namba zao nitume mchango na mm
Anaakili mbovu sana mbona hakujitokeza mwanzoni 😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@bulugubujashi63783 жыл бұрын
Ana akili nyingi sana ispokuwa mpaka uwe na akili nyingi sana kumuelewa
@philipnjavike11193 жыл бұрын
Hiyo jamaa sukuma ndani Hana akili
@yuslaarsen89603 жыл бұрын
anafikili kuna hela atapewa hapo kwa akili yake
@m.mmarckus62983 жыл бұрын
Yale ya Marehemu Rajabu ndohaya
@mwanatz59802 жыл бұрын
Mashaallah mtoto anaakili sana mwanajeshi kweli😄😹.
@zaizainabu29483 жыл бұрын
Asante mheshimiwa kwa kujari watoto, maana Kuna wazazi wanaterekeza watoto ovyo matokeo yake tunaoata watoto wa mtaani ,chokolaa inaumiza Sana nimepata uchungu Sana juu ya mtoto shamsa tunaomba watendaji,wenye viti na balozi wa nyumba Kumi wawe wanatembelea nyumba au mtaa wanaouongoza si kukaa ofisini kuletewa kero,suala la huyo mtoto balozi angekuwa na taarifa angechukua hatua
@fettyharoun13333 жыл бұрын
Mpuuzi sana huyo kijana da flora barikiwa mamy🥰🥰
@mwajumakweli67743 жыл бұрын
Wazili mama safiii sanaaaaaaa
@annethmtengamtenga97173 жыл бұрын
Dada frola nakuombea Mungu wa Mbinguni azidi kukutunza na kukulinda uzidi kuwa mwakilishi wa Mungu ktk jamii, nimelia sanaa duh!!
@rayasaid37343 жыл бұрын
Dr Flora unafanya kazi vizuri, mungu akubariki,huyo mjomba alikuwa wapi siku zoote mnafiki mtoto amepata msaada,waziri wa afya hoyeee mungu akubariki
@samwelemuniezi75243 жыл бұрын
Dada frora ukweli mungu Atakupa maisha marefu ukweli kwa moyo unao uonyesha Ila Uskate tamaaa unafungu kubwa Sana mbele za mungu unamoyo wa pekee sijawahi kuona
@josephinemwaipopo89383 жыл бұрын
Hongera sana Mweheshimiwa hii ndo nguvu ya mama hakika umefanyakazi kubwa sasa Mungu akubariki sana
@azizamvungi62033 жыл бұрын
nakuombea sana flora duwa nyingi mungu akulinde flora kwa wema na Allah akulipe
@rebeccafredy75573 жыл бұрын
Upo vizuriiii mama mungu akubariki sanaaa kwa kazi yako nzuriii,
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Watajitokeza kina baba wadogo wengi tu kina shangazi wajomba tayari wameshaona hapo kuna neema inakuja mbeleni halafu kitu kingine huyo mama hata akisema hana watoto wala ndugu ni sawa kwa sababu wamemtelekeza kwa muda mrefu sana
@husnamanase39433 жыл бұрын
Dada fula nawazili naayote mnao simama watoto nawagonjwaote mungu awasime awape mlefu awaepushe naviembe wabaya amina
@fatumanditi5123 жыл бұрын
Huyu mtt aliniliza hongera da frola mungu yu pamoja na ww
@rhodakisena64283 жыл бұрын
Waziri umenikumbusha marehemu Rais Magufuli chapa kazi wema haufi, neno linasema heri amkumbukaye mnyonge ataokolewa siku ya taabu yake.
@ashurahaji91153 жыл бұрын
Huyo kijana ameshaona Kuna mpunga hapo
@christinechokunegella50233 жыл бұрын
Haswaaaaa
@fatmamsiliwa84853 жыл бұрын
Haswaaa na hapat mia
@venelandakundi633 жыл бұрын
Waziri Mungu akubariki pia baba wa mtoto akamatwe aibu gani hii wanaume mnaona mambo yenu
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Tena mwanajeshi mzima hana hata aibu
@pendopendo74273 жыл бұрын
Baba anacheo kizur afu kumsomesha mtot looh baba mbaya sna Mungu anamwaona😏😏😏😏
@carinamatt10313 жыл бұрын
Wamezoea kulelewa wakiwa wakubwa wanawashobokea kujifanya wanawapenda sana
@carinamatt10313 жыл бұрын
@@mariamgodfrey53 naona anaweza kuacha kazi kwa aibu maana atawekewa vikao na marafiki ,mabosi majirani risasi vidole atajuta
@tumainikomba90083 жыл бұрын
@@carinamatt1031 afu akiwa diamond eti mtotoangu....stupid
@aayeshakhan99623 жыл бұрын
Mungu amurinde uyu mtoto anahakiri sana kirakitu anajuwa masikini mungu akuponye mtoto muzuri damu ya yesu ikufunike
@esthermagige86403 жыл бұрын
Hongera sn mama Gwajima kazi nzr
@sylviermuhonjah84113 жыл бұрын
Pole flora,,ndio changa moto za kazi na maisha,,hongera waziri wa Afya huo ndio ukweli
@hamisihaji70493 жыл бұрын
Waziri Safi sana
@hamisihaji70493 жыл бұрын
Flora mungu atakusaidia
@shabartsuleiman22543 жыл бұрын
Kabisa
@mamymdogomamy36703 жыл бұрын
Vivunja riziki vya jitokeza
@bahatihassan54133 жыл бұрын
Umeona eeen yan hadi kichefuchefu
@tumainikomba90083 жыл бұрын
Yan watu wabaya sana
@tumainikomba90083 жыл бұрын
Miaka yote walikuwa wap eti Leo mjomba🙄🙄🙄so sad
@hassanjadu32383 жыл бұрын
Hongera sana dada flora Allah atakulpe kher pamoja na wazir wa afy😍😍
@esterntandu19993 жыл бұрын
Dada frola Mungu azidi kukubaliki Kwa kazi
@pettywilliam44923 жыл бұрын
Dada flora mungu azidi kukubariki kwa kazi unayoifanya
@neemakameta74733 жыл бұрын
Mungu akubariki sana frola Kwa huduma nzur Kwa jamii
@victoriasitephano25483 жыл бұрын
Eee mungu Naamini utamponya uyy mama🙏🙏🙏🙏🙏
@queenpiscator61173 жыл бұрын
Frola ndie mwenye mtoto amba
@queenpiscator61173 жыл бұрын
Ambaye amekua anasaidia huyu mtoto
@norahnancymwijage32983 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Flora Mwenyezi Mungu abariki kazi zako.
@nyamkamawanjara293 жыл бұрын
asee kumbe wazazi tukifa watoto wanapitia changamoto,,nimejikuta nalia Mungu tupe umri mrefu mapka watoto wajitambue ila ndugu jamani Mungu awalaani mnachowafanyia watu nduguzenu wakifa sio poa
@malkiagaspa45343 жыл бұрын
Mungu akubaliki Flora pia gwajima kanikumbusha magufuli rais
@njuka35152 жыл бұрын
Asante Sana Gwajima Leo nimekapenda bure
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Honger sana flora na Hongera sana mama etu mama mngwajima mnatupa matumaini makubwa ss watu wa hali ya chini mungu awabariki sana na awatangulie na awaepushe na husda Amiin.
@agapejosceline76833 жыл бұрын
Huyu ndo mama ambae tuna taka,shujaa,nimependa sana kazi yake
@suleimansultan33333 жыл бұрын
Hongera Sana dada Flora na wote mlio fanikisha dada wazir hongera Sana chapa kazi
@gladnessmwalyanzi61803 жыл бұрын
Barikiwa sana waziri wa afya mama simamia kazi yakooo, na Dada flora YESU akuteteee sana nausikate taamaa kutenda wema Lisa maneno ya watu barikiwa sana
@ricksonlyimo55943 жыл бұрын
Da frola Mungu yupo na wewe usikate tamaa kila jambo linawezekana kwa Mungu wanadamu wasikuvunje moyo
@OmanOman-ik9sp3 жыл бұрын
da flora mungu akubariki usife moyo hizo zote changamoto
@enterenter19213 жыл бұрын
Mashaa Allah bib shamsa Leo hadi amatabasam Allah amfanyie wepesi
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Wameona mtoto mungu ameshaleta heri wanaanza kujitokeza siku zote mulikuwa shezy kabisa mungu akulinde da frola nitetee ahsante waziri gwajima
@yunismahanga28713 жыл бұрын
Umesema kweli huyu Baba hewa hawajibiki na majukumu ya baba wanakaa kijiweni nakusema ninamtoto nimechokaga kuwasikia wababa hewa da frola nakupenda Sana Kwa kazi nzuri unayofanya mungu akubaliki utokapo nauingiapo
@sarahtaste28763 жыл бұрын
Yani uyo mjomba akae kwa kutulia kwanza mpka mtoto anapitia yote hiyo ww mjomba uko wap nyie ndo washenzi wa tabia mtoto kapata neema ya Mungu ndo mnamdai
@zulfahalily60953 жыл бұрын
Wantaka izo pesa naona....Kama walivyokua wanakula za baba
@lucynelsonmungure17193 жыл бұрын
Uyu kaka azipo sawa jmn ela ya uniform mlikosa
@nyamburanyaega19903 жыл бұрын
Ndo hapo hata wanggenda omba shule angevaa nguo za nyumbani Sasa hapo amejitokeza afanye Nini?
@tumainikomba90083 жыл бұрын
Kwel aziko sawa🙄🙄kaenda kuudhalilisha ukoo tu....so sad
@scolabwana36103 жыл бұрын
kwanza huyo mjomba anaonekana akili hana kabisa mjinga mkubwa hongera sana mama kwa msimamo
@angelasheeri8175 Жыл бұрын
Jamani Mungu akubariki waziri wa afya. Ila karibu huku kwetu kia kuna watoto wa jinsi hii pia
@nellynafula37542 жыл бұрын
Nadhani mama umepona barikiwa
@kulthumhaji69283 жыл бұрын
Da Flora hakika unajitoa sana Mungu azidi kukuonyesha njia.
@ramadhanifrancis34673 жыл бұрын
Namshukuru san kwa kugundua hilo tatizo la mtoto wanaojitokeza wachukuliwe sheria Kwan cku zote walikuw wap hapo bado wapo baba wamewatelekeza Watoto wao, Naomba waziri wa afya,jinsia na watoto uendelea na moyo huo huo.
@ramadhanifrancis34673 жыл бұрын
Ukipeleka tatizo ustawi wa jamii wanachukua muda kutoa uamuzi Naomba tuu namba za cmu ziweke wazi ili hao wa baba wasio jua majukumu ya watoto hao wachukuliwe sheria ili wawe mfano kwa waliotelekeza watoto ahsanten.