MAAJABU: HISTORIA YA AJABU ZANZIBAR |KUMBE FORODHANI NI SOKO MFU | HUU MLANGO MCHAWI HAINGII NDANI.

  Рет қаралды 264

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Leo Alhamis sawa na tarehe 18/04/2024, Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZASO) kupitia wizara yake ya utalii imefanya ziara fupi katika maeneo mbali mbali ya kihistoria ikiwemo Kibweni palace, ngome kongwe, beit-el-ajabu nakadhalika kwa lengo la kuenzi tamaduni pamoja na kuadhimisha siku ya urithi duniani (The world heritage day).
Aidha, Waziri wa Utalii wa Suzaso, Mhe. Adinan Khatib Haji ameeleza umuhimu wa kudumisha na utamaduni wa urithi Zanzibar huku akiendelea kuwataka wanafunzi na wananchi kwa ujumla kuweza kufanya ziara mbali mbali kwa lengo la kujifunza mengi zaidi katika kutunza hazina ya urithi Zanzibar.
Vilevile, Uongozi wa Serikali ya wanafunzi Suzaso imechukua fursa hiyo kuipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambayo inaongozwa na Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa jitihada kubwa za kukuza utalii wa nchi wa visiwani Zanzibar.
#fordhani #live #railive
#stonetown #zanzibar #tanzania
#suzaso #smz
🎥Rashid Mohd
.
.
.
.
.
.
Wasiliana nasi kupititia:
Instagram: raionlinetv
Whatsapp: +255 620 370 215
Tupigie📞 : +255 613 324 410
RAI TV ONLINE🕹️

Пікірлер: 5
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
The Story Book : Mizimu Ndani Ya Pango La Ngonga Zanzibar
30:04
Wasafi Media
Рет қаралды 239 М.
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
LOST TECHNOLOGIES: Mysteries of Vanished Civilizations
2:03:29
Lifeder Educación
Рет қаралды 6 МЛН
MFAHAMU MUUZA SUPU ALIYEIBUKA KUWA BILIONEA
38:24
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 34 М.
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 87 М.
ROBOT AZUA TAHARUKI MJI MKONGWE ZANZIBAR
7:47
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
Unveiling Zionism: Philosophical and Historical insights with Dr. Ali Ataie
3:40:38
MHE. RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU NDOGO, TUNGUU-ZANZIBAR
1:19:53
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 16 МЛН