Kwa kweli, maneno ni mengi yasiyo ya umuhimu na mengine yanarudiwa sana...you are strategic person bro, story na uchqlambuzi wako ni nzur, niko na wewei
@ChubiPara2 ай бұрын
Nakufatilia mwanz had mwisho tukutan wik ijayo
@zuberibakari7272 ай бұрын
Kabisa yani,wengine tunakufuatilia tujuwe ukweli wa chaneli ipi nikweli mana historiya hii nilishaaifuatiliya chaneli fulani,mpaka mwisho,ila sasa wewe maneno mengi huwendi kwenye mada maelezo meeengi mpaka unaboa
@Kelvinchristopher0722 ай бұрын
Bhana em maliza wiki ya 14 Leo 😢
@AdamLaban-l2m2 ай бұрын
😊
@ZamoyoniMalivaZamoyonimaliva002 ай бұрын
inatosha sasa khaaaa😂😂😂😂😂😂
@destroyerban73642 ай бұрын
Private investigator
@madenge7312 ай бұрын
Punguza maneno mengi yasiyokuwa ya muhimu. Ebu jikite kwenye mada na uchambuzi
@WitnessMartin-ou5pz2 ай бұрын
Oyaaa Tukupe kipindi siku Moja Utuchechemulie vizuri zaidi ya Huyuuu
@Kelvinchristopher0722 ай бұрын
@@WitnessMartin-ou5pzmawazo ya mtu yaeshimiwe jamani 😅
@WitnessMartin-ou5pz2 ай бұрын
@@Kelvinchristopher072 sijakataa Mkuu but make sure unapokuwa unaota wazo Juu ya kitu Cha Mwenzako Binafsi uwe na mbadala iwe ongezeko ya hiyo kitu au kupunguza Mf: maneno Mengi ,mpe mwongozo mfupi utamsaidia Aondokane na hiyoo situation ya Maneno Mengi itakuwa umemsaidia sana huyoo mtu
@jotafungo4622Ай бұрын
Inogile
@ZanzibHensam2 ай бұрын
Mm ningependa uweke namba yak dup ili tukuchek watsapp kuliko kuweka namb zetu
@BonfaceWawire-k6p2 ай бұрын
❤🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍
@IddrisaIbarahm2 ай бұрын
Uko namimi m2 m,badi usijal
@arnoldmtaita31822 ай бұрын
Mkuu kama unafanya marudio week iliyo pita uliongelea icho tena saiv unakiongelea maneno mengi ya matangazo afu story fup