No video

MAAJABU ya BAHARI YA SHETANI au PEMBE YA JOKA - Eneo lenye mauzauza ya kutisha zaidi yale ya BERMUDA

  Рет қаралды 47,219

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Kwenye makala hii utapata kusikia historia na hadithi ya kusisimua ya moja ya maeneo hatari zaidi katika bahari ya Pacific, Devil's Sea. Ni eneo lenye mauzauza ya kutisha yakihusiana na uchawi, na mambo ya kishetani ambayo yanaaminika kupelekea kupotea kwa vyombo vya usafiri ikiwemo Meli kubwa za mizigo na abiria, boti na ndege za anga

Пікірлер: 75
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad Жыл бұрын
هَٰذَا خَلْقُ اللَّهِ فَأَرُونِي مَاذَا خَلَقَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ ۚ بَلِ الظَّالِمُونَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ Huu ni uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Basi nionyesheni wameumba nini hao wasio kuwa Yeye! Lakini madhaalimu wamo katika upotovu uliyo dhaahiri.
@rosecute4904
@rosecute4904 Жыл бұрын
My favorite channel sns ❤️❤️
@augustinolessa9405
@augustinolessa9405 Жыл бұрын
SNS napata kila nachohitaj love it
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 ай бұрын
nilipitiwa Na hii Ni noma
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Dunia hii ina mambo mengi ya ajabu sana. Kazi nzuri Sky 🔥🔥🔥🔥
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 Жыл бұрын
Jamal april ajiangalie, sky anakuj kupindua meza kibabe kwenye hizi simulizi✌
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 Жыл бұрын
kabsa mzee aongeze tu na backround iwepo kama ivo
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Жыл бұрын
Anakuja mar ngapi
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Sio kweliii jamal anatoa ufafanuzi na anachimba sana ila sky anapita juu juu tu hawez na hamuewezi jamal jamal ni next level mzee
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Sikiliza hiii halafu nenda kasikilize ya jamal uone utofauti na sikiliza area 51 ya sky na ya jamal ndo ujue jamal ni mnyama
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
@@jumaabas6837 utajua ww na Jamal wako, sisi tunamuelewa Sky
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Huwa naenjoy Sana kusikiliza makala 360 nawapenda Sana SNS
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Subhannallah, mtihani kwakweli
@user-nx1lz4sb9l
@user-nx1lz4sb9l 8 ай бұрын
Nakubali zana makala zako
@wilondjamwenebatu5485
@wilondjamwenebatu5485 9 ай бұрын
Hongereni sana
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 Жыл бұрын
Hii kwangu mpya, shukran Sky
@maigathomas2353
@maigathomas2353 Жыл бұрын
Jamaa anajua kusimulia sana
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Duh paka naogopa
@mswamatrick7868
@mswamatrick7868 Жыл бұрын
Hope makala 360 ipo kila siku mana there is a lot to cover out here, so please keep it up the good work
@subirafelix7413
@subirafelix7413 Жыл бұрын
Big up Sns
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 Жыл бұрын
Kama mtasoma hihi comment nataka mfanye makala reincarnation conspiracy, makala ya Atlantis saviors
@stephanomkumbwa162
@stephanomkumbwa162 Жыл бұрын
Perfect
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Tumekupata Tresor
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti asanteni sana
@uzungupoint
@uzungupoint Жыл бұрын
Akili kubwa mwanangu 💪
@ashuuu282
@ashuuu282 Жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti tuomba nakala kuhusiana dr sebi pls hamjibu msg zngu
@rjb31
@rjb31 Жыл бұрын
Bro Sky You never disappoint In narrations #SnS never die up 🙏🙏🙏🙏🙏🧠
@dantemaina6008
@dantemaina6008 Жыл бұрын
Me n mkenya Ila napenda ii channel Sana sana sijawaii kosa kuwatch any video mumepost kazi nzurii Sana sns
@nishimweguy9135
@nishimweguy9135 Жыл бұрын
Nampenda sana Frédérick bundara hapa sns
@shadrackmwampote4615
@shadrackmwampote4615 Жыл бұрын
I like the way you narrate
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Habari, naomba utuletee makala ya "AGARTHA THE ADVANCE CITY/COUNTRY INSIDE HOLLOW EARTH "
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Hapana, hayo maeneo ya Bermuda triangle maji yake yametulia sana hakuna dhoruba (KUNA WAKATI YALE MAJI HUWA YANAVUTA KWENDA CHINI TENA KWA NAMNA YA AJABU). Meli huwa zinapita kipindi ambacho maji yametulia kwasababu kuna technology ya kutazama Hali ya hewa ya maeneo hayo kabla ya meli kupita
@erickhaule5591
@erickhaule5591 2 ай бұрын
Kama ukwel hiv
@fatumadjumbe2714
@fatumadjumbe2714 Жыл бұрын
My favorite channel ❤️ 💕 💓
@EdwardboayEdward-sx5hn
@EdwardboayEdward-sx5hn Жыл бұрын
Broo kubali sana ❤sns❤ chama langu🚀🚀🚀🚀
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Жыл бұрын
Mashaallah sns pamoja🤞
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Жыл бұрын
Makala 360 ni🔥🔥🔥🔥
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 Жыл бұрын
Habari. Sky tulete stor ya ginimbi kwa uchambuzi zaidi
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Our lovely channel
@danielsanga8730
@danielsanga8730 Жыл бұрын
Huyu mwambaa duuuuu! 🙌🙌🙌
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. Жыл бұрын
Makala imekuwa fupi sana kaka. Next time tuwekee hata lisaa zima mbona kwetu MB sio changamoto
@baloziubalozini5074
@baloziubalozini5074 Жыл бұрын
Mtupe pia story ya ndege zilizopotea pasina kupatikana(Especially ile ya Malaysia)
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. Жыл бұрын
Sema we jamaa talented sana sio siri. Nikianza kusikiza makala nikasikia sauti yako ndio inarun the show huwa natulia kama nipo kwenye U.E
@joshuamakota6714
@joshuamakota6714 Жыл бұрын
Tunataka yule jean men ndo asimulie sky atulie
@BikomboAbdala
@BikomboAbdala Жыл бұрын
​@@joshuamakota6714haitanoga magic voice hapa sio mahala pake
@KiswahiliTV27
@KiswahiliTV27 Жыл бұрын
Tunaomba utuandalie makala ya miji ya kichawi isiyo onekana kama vile GAMBUSHI.
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Haeleweki mimi sijaelewa lolote au swahili yangu mbovu😀
@azizasaid9979
@azizasaid9979 Жыл бұрын
tulia kichwa acha wenge
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Hatari
@johnny.j.nyondo
@johnny.j.nyondo Жыл бұрын
Na maprophet hawaizungumzii hii. Kwamba hawaoni au.
@user-vb6cx7xw1x
@user-vb6cx7xw1x 4 ай бұрын
😢
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 Жыл бұрын
Love SNS
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Жыл бұрын
Mwamba Fedric bundala
@adamsengo1869
@adamsengo1869 Жыл бұрын
Kaka hapa sijakupata kidogo sidhani kama Bermuda triangle ipo kalibu na Japan!!!!!!
@azizasaid9979
@azizasaid9979 Жыл бұрын
sikiliza kwa makn
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 Жыл бұрын
Sky tulete stor ya daraja marufu la kufuli za mapenzi pont des arts
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 Жыл бұрын
💪💪💪🔥🔥
@feychipa3054
@feychipa3054 Жыл бұрын
Unasimulia vizuri but unarudiarudia Sanaa baadhi ya maneno. Unaboa
@nathangeor
@nathangeor Жыл бұрын
This is sns
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 Жыл бұрын
Vp kuhusu kutuma vyombo ambavo havina watu ndani kuchunguza
@shabanially1008
@shabanially1008 Жыл бұрын
Tuletee makakla ya msitu Amazoni
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Ipo itafute utaona
@mohamedhussein-i8s
@mohamedhussein-i8s Ай бұрын
0:16 0:18
@MwadenaChombo-je5kr
@MwadenaChombo-je5kr Жыл бұрын
Asalaam alaikum ,ningependa makala 360 ichimbe fumbo la maji ya bahari yakitoka hasa Huwa yameendapi , na yakirudi Huwa yametoka wapi? , ama nikweli Kuna kiumbe mkubwa sana anayeyameza Kisha baadae kuyatapika , nitafurahi kuona video hii , ahsante.
@fredypeter9317
@fredypeter9317 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alantonio855
@alantonio855 Жыл бұрын
Watu 31 moja walipotea wako wanasafiri kwenye kisiwa cha Mayotte...mpaka leo hawajawahi kuonekena...
@cotadee1348
@cotadee1348 Жыл бұрын
Unaongea sana jitahidi kuwa unaenda kwenye point mapema
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 Жыл бұрын
Dah!! , unanikumbusha RFA kipindi Cha je wajua!
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 Жыл бұрын
Brother sky weka number tuwe tunasupport hata tips hata buku inatosha ayo madini kuyapata inabidi ule msosi mzito Sasa anaejisikia kutoa tips fresh unachangia brother sky akimaliza kutoa elimu apige hata chips zege na juisi baridi akili ndogo awezi kuelewa elimu ni gharama
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Жыл бұрын
Asante sana Herberty
@jabthebestmusic4304
@jabthebestmusic4304 Жыл бұрын
Tuna homba number yako bro
@stephanomkumbwa162
@stephanomkumbwa162 Жыл бұрын
😂😂💯👍
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊👍
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,7 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 7 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 155 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 11 МЛН
The Story of Gog and Magog (Ya'juj And Ma'juj)
31:19
One Islam Productions
Рет қаралды 2,2 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН