BALAA la U.S NAVY SEALS: WANAJESHI hatari na wenye mafunzo magumu zaidi duniani

  Рет қаралды 51,627

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 142
@ccnjacob5688
@ccnjacob5688 Жыл бұрын
Nakukubali kaka kesho tupe WAGNER' PRIVATE MILITARY
@ferdinandkaulule127
@ferdinandkaulule127 Жыл бұрын
Dah wale jamaa ni hatari sana mzee ,unaweza kuta ni bora kuliko hata majeshi kamili ya mataifa mengine
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 Жыл бұрын
KAZI NZURI
@eugenejr.8844
@eugenejr.8844 Жыл бұрын
Nafuatilia sanaa 360°
@saidmpoma278
@saidmpoma278 Жыл бұрын
Nimeipenda
@veraisaria
@veraisaria Жыл бұрын
Skywalker ur truly Skywalker big up sana bro sasa uje kwenye vingamuzi
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 Жыл бұрын
Nice story
@johnadam3923
@johnadam3923 Жыл бұрын
Nakubali xnaa hicho kikoxii
@fadhilplatnumz8474
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Duh- nizaid ya COMANDO 👍✔️
@richshayo4924
@richshayo4924 Жыл бұрын
Mshahara uliotaja ni wa police&wanajeshi wa kawaida kwa hapa siyo sahihi niliowahi kuwa interested ni hela ya mbuzi bora nikadeliver hata pizza I will make more!
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 Жыл бұрын
Tumia akili ww special forces Kama us delta force , navy ,75th refer regiment, sio wanajeshi wakawaida na sio easy kuongea so mshaara wao lazima uwe mkubwa
@richshayo4924
@richshayo4924 Жыл бұрын
@Shodris tv TV mimi au author tatizo mnapenda kuandika makala za nchi za watu msizozijua bila ya kuwa na research ya kutosha kwa lengo la kupata viewers na si uhalisia I been here for the last 18yrs in US
@myself4128
@myself4128 7 ай бұрын
ukishapass selection ya special force kwanza unapigwa $100,000 na marupurupu kama Yote wanahela wakosafi asikuongopee mtu ila lazima ujiunge na Jeshinkwanza ndio unakuwa selected huko
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Osama hawakumuua kama walimuua watoe yshahidi kama walivyotoa ushahidi kwa Sadam Hussein
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Osama alikufa mwenyewe huenda wangemuua wale wangeonyeshaaa
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Waligundua kadhafariki ndo wakapanga ile propaganda
@myself4128
@myself4128 7 ай бұрын
UNAPOONGELEA special Force au best in The world ni SAS ya Uingereza Sababu wao ndio wamewafundisha Navy seals,Navy Seals wana special Unit Team 6 ndio wazuri zaidi lakini waingereza wa kwanza wamefanya missions nyingi na walifanikiwa sana,wameanzisha vikosi maalum kipindi cha vita ya pili ya dunia wanauzoefu sana!
@boskoe33
@boskoe33 Жыл бұрын
Thanks!
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 7 ай бұрын
Thank you
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Kwa mrusi
@user-fk8ul9dd5p
@user-fk8ul9dd5p 10 ай бұрын
😊u
@MaikerChipepe
@MaikerChipepe 8 ай бұрын
Good
@maigegeorge9705
@maigegeorge9705 Жыл бұрын
Sky wewe nifundi Sana 🔥🔥
@mylasadick5189
@mylasadick5189 Жыл бұрын
Lakini kwann wanawaacha wafe wale wanao shindwa wangekua wanawasend home
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 ай бұрын
Hongera zao
@adamzakaria5860
@adamzakaria5860 Жыл бұрын
hiyoo.ndio special forces commandos nakubari sana hata tz si wapo lkn au
@fabianayubu6738
@fabianayubu6738 Жыл бұрын
Wakutosha
@FeruziIsa-nc5vo
@FeruziIsa-nc5vo 9 күн бұрын
HAWANA JESHI LOLOTE WAMAREKANI. KAMA WALISHINDWA AFGHANISTAN,SOMALIA NA VIETNAM
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 Жыл бұрын
Napenda film zinazoelezea operation za Neavy sana
@gauchogaucho7583
@gauchogaucho7583 Жыл бұрын
Waende🇺🇦🇺🇦
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 Жыл бұрын
bakuye home congo pls uvira for life
@kisjohn3435
@kisjohn3435 Жыл бұрын
Kikosi hatari zaidi najua ni JTF2 duniani
@yohanamasanja9323
@yohanamasanja9323 Жыл бұрын
Niukweli
@user-tb4ol6yp6c
@user-tb4ol6yp6c Ай бұрын
Canada iyo
@lirastanley390
@lirastanley390 Жыл бұрын
Yani ni hatari sana,pagumu sn sn
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Duh! Inatisha
@joviangeofrey6918
@joviangeofrey6918 Жыл бұрын
Habari muluwaaaaaaaa
@mohdyussah825
@mohdyussah825 Жыл бұрын
Very true bro Sky 💪🏽💪🏽
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 5 ай бұрын
Najifunza mengi sana toka kwako Bundala
@myself4128
@myself4128 7 ай бұрын
Usiongelee Speacial Force ukataja kenya Majambazi walishikilia Shopping malls siku 3 na mpaka leo hakuna aloshikwa Jeshi la Kenya ni Failure wanaogopa kufa balaa😂😂😂
@user-sh7yx6fj4q
@user-sh7yx6fj4q 7 ай бұрын
Atari
@fadhilikimaya4418
@fadhilikimaya4418 Жыл бұрын
Ni hatariii
@didiermweze
@didiermweze Жыл бұрын
Mhhh mafunzo kweli jamais ? ??
@salimucvales7495
@salimucvales7495 Жыл бұрын
Unastahili pongezi
@t.machembatha9241
@t.machembatha9241 Жыл бұрын
Hamna navy seals mwanamke
@rafathealfa2237
@rafathealfa2237 Жыл бұрын
Haya ndo mambo magharibi wanapenda kuyaskia
@emnanuelimtui1805
@emnanuelimtui1805 Жыл бұрын
Amna kitu sahv urussi is everything kwetyu ssi sio au mashoga na wauwaji Africa tuamke tuache shobo nao
@brownie_dee8655
@brownie_dee8655 Жыл бұрын
Waache wavunjike hio mifupa si wanaifata wenyew hio course..
@EdwinJambo
@EdwinJambo 12 күн бұрын
Kikosi maalumu cha makomando jwtz kifahamika kwa jina gani ?
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 Жыл бұрын
Kuwa navy (jeshi la maji) so rahisi man mwenyewe nili quit hapa USA 🇺🇸
@calvinplumbingarusha
@calvinplumbingarusha Жыл бұрын
Nimekuaa wakwanza nipate like zangu jmn
@martinhit400
@martinhit400 Жыл бұрын
Uta zilaa😂😂
@anordgerison8639
@anordgerison8639 Жыл бұрын
Za nn Sasa ....?
@alphadreammedia
@alphadreammedia Жыл бұрын
Kwahiyo😂😂😂
@calvinplumbingarusha
@calvinplumbingarusha Жыл бұрын
Daah nyiee wabongo aisee😁😁😁
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Hivi kwani uliamuwa kuwa mjinga
@yamusahmasoud9107
@yamusahmasoud9107 Жыл бұрын
Sky ww mmbuniph saana kaka unachokifanya niunapekee tupe mambo ucwe kama Millard katupoteza mwenyewe
@michealbrowntv8095
@michealbrowntv8095 Жыл бұрын
40k to 90 no a lot money just join army
@jeivinmtundu6032
@jeivinmtundu6032 Жыл бұрын
😂😂😂 kuna kokosi kinaitwa Wagner group hakisemwi Ila ndo shidaa
@furahamwaisemba6532
@furahamwaisemba6532 Жыл бұрын
Navy saul hamna kitu na PMC Wagner ndy habari ya Ukrain kwakweli...
@legap8786
@legap8786 Жыл бұрын
@@furahamwaisemba6532 navy seal ni kikosi lakini PMC Wagner millitary contractors(wakandarasi wa kijeshi) na siyo kikosi ,PMC Wagner unaweza kuwa linganisha na BLACK WATER ya america au G4S ya uingereza
@mwitachacha6954
@mwitachacha6954 Жыл бұрын
Naiobea dunia mungu aiangalie kwa jicho ya huruma,wakati huu mgumu, na wa majanga,hakika huu Ni mwisho wa dunia hakika bado tutaona Zaid ya hayo kwa Sasa dunia inapitia wakati mgumu Sana, ndugu zangu mtafuteni mungu kwa bidii Sana yanayo kuja Ni Zaid ya hayo tunayo yaona mungu atubark
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe
@shadrickmwanjabalaMwanja-vi8fe Жыл бұрын
🙏🙏🙏
@Burner_Acc
@Burner_Acc Жыл бұрын
US imepigwa Somalia 1992 US imepigwa Saigon, Vietman US imeendeshwa na Iraq na wanamgambo wanaovaa makubazi tu. US imeendeshwa Afghanistan hadi wameondoa majeshi yao. Hao special forces wamesaidia wapi? Mnaangalia sana movies za kuyapamba majeshi ya marekani movies zenyewe zinakua funded na CIA.
@rosengandile129
@rosengandile129 Жыл бұрын
Tanzania tuna kikosi gani maalumu
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 6 ай бұрын
Kipo
@SwaabirMuhammad12
@SwaabirMuhammad12 Жыл бұрын
Umeingia ninapopapenda...movies zao Tu unajuw hawana utani hawa jamaa....km unapinga angalia movie inaitwa Lone survivor,na Act of valor.utajuw hawa c mchezo
@briankimario5391
@briankimario5391 Жыл бұрын
Wako vizuri kwenye movie lakini battle ulizia Wagner wafu wanaotembea
@biddii1972
@biddii1972 Жыл бұрын
We nzetu wametuacha mbal san
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Hao ni hatari kwa watu dhaifu, kama hatari waende kwa putin wakione
@oswardniko9846
@oswardniko9846 Жыл бұрын
Uko sahihi waende Urusi tuone
@joycefelix9047
@joycefelix9047 Жыл бұрын
Unafikiri kila kitu ni kwenda kwenda tuu
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Жыл бұрын
Nikikosa makala 360 naumwaaaaa
@erickrakitic9113
@erickrakitic9113 Жыл бұрын
Wagner PMC ndiyo kiboko ya hawa jamaa 🇷🇺
@greysonchogga4379
@greysonchogga4379 Жыл бұрын
Wagner habari nyingine 💥💥
@jimmymeshack8725
@jimmymeshack8725 Жыл бұрын
Week ya kuzimu
@daudkuyunga378
@daudkuyunga378 Жыл бұрын
Saf
@stellah3844
@stellah3844 Жыл бұрын
Hata mimi ningeacha siwez looh
@herbertygeofrey2724
@herbertygeofrey2724 Жыл бұрын
Number ya malipo ni number IPi pale
@greysonchogga4379
@greysonchogga4379 Жыл бұрын
Unawajua Wegner
@jeremiahdonasian9493
@jeremiahdonasian9493 Жыл бұрын
Mbn kama mshahara wa $3000 kwa mwezi n ndogo sana 😂😂😂😂 na haina mashiko kwa us citizen kujuinga na jeshi
@yassersahin6639
@yassersahin6639 Жыл бұрын
Nomaa sana kwa makala kali
@charleskudeli1526
@charleskudeli1526 Жыл бұрын
Jeshi sio Lele mama mapuuza hayatakiw
@kelvinpatrick8301
@kelvinpatrick8301 Жыл бұрын
Ukweli hamuna mtu hanayejua ukweli wa malipo ya Navy seal makala ya 360 hapo niuongo mtupu mshahara was NAVY SEAL ni karibu Dola Mia 600 huyo ukweli
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Waende Ukraine😃😃😃😃wakutane na wanaume kamili
@rocyncathbert4527
@rocyncathbert4527 Жыл бұрын
Siyo swala la kuongelea mapenzi kaka hawa jamaa hawafai
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
@rajuxcharity
@rajuxcharity Жыл бұрын
American hawaja muua Osama bin laden kafa mda mrefu na ugonjwa wake mngine sio hao washenzi😴 Nani aliona maiti ya Osman American ilisema kwa kujikosha tu
@evaristbamfu7149
@evaristbamfu7149 Жыл бұрын
Yaani dola afutatu?
@adamyassini8306
@adamyassini8306 Жыл бұрын
Amna kitu apo mnawapamba tuh
@jackhans7708
@jackhans7708 Жыл бұрын
Sasa kama ni hatari mbona wakula kichapo cha mrusi huko ucrain?
@furahamwaisemba6532
@furahamwaisemba6532 Жыл бұрын
Hao Seal Teams, Delta forces Hakuna kitu more than 20 years in Afghanistan wameishia kuwithdrow.. Middle East wameishia kuoverthrow then Run🤣 ... Sasahivi kipimo cha elite souldiers ni UKRAINE So hii story bro itakuwa poa zaidi next time coz USA amedeploy hao Seal Teams in BAKHMUT Ukraine hivyo ngoja tuone...
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 6 ай бұрын
Hizo Huwa ni stori zawatu wasio wapenda hasa wengi duniani wanaichukia marekani hasa kwa sababu ya dini na utaifa marekani amezipiga nchi nyingi za kiarabu na za watu wa Asia wanaichukia amerca ila haifuti ukweli ndio bora kuliko taifa lolote bila kuwa bora huwenda Leo isinge kuwepo duniani mana wengi wanaichukia marekani hivyo Kuna propaganda za kuwaonesha kuwa si lolote uhalisia sio kweli
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Tanzania kuna Sungusungu au? mbna aujataja sas
@gabapentin8070
@gabapentin8070 Жыл бұрын
🤣🤣🤣western propaganda sky kuna warusi kuna wachina ... wametulia wanavikosi hatari kuliko
@valentinernestkavishe7297
@valentinernestkavishe7297 Жыл бұрын
Waje watano mimi natafuta Wagner mmoja tu anawatosha
@hafidhmohd8696
@hafidhmohd8696 Жыл бұрын
eebwana wee Osama hawakumuua mtu akiyewatesa miaka kwa miaka at wamemuua na kumtupa wasimuoneshe wapi wamarekani wanavopenda sifa wasimuomeshe wapi wangekuja na hata mkono wake ilimradi kupata sifa
@ezekiakiwovele7794
@ezekiakiwovele7794 Жыл бұрын
Vitani hamna kitu ao. Ila wazur kwa magaidi sio vita bana
@makkamadina8182
@makkamadina8182 Жыл бұрын
Tanzania wao wana nini
@jeremiahluki7896
@jeremiahluki7896 Жыл бұрын
Wasiojulikana
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
Tanzania hakuna special ops army???
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 Жыл бұрын
Inaitwa black mamba
@BigZhumbe
@BigZhumbe Жыл бұрын
@@shodristvtv6121 Thanks
@careenevance1535
@careenevance1535 Жыл бұрын
Leo umezingua sns
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
wallmt kwa saa 1 usd 14 mbona mshara wao wa kawaida sana
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Marekani kesha wapeleka hao Ukraine wanefeli tena wanakufa sana us navy seal Bakhmut wanekutana na Wargna
@africatanzaniatours5980
@africatanzaniatours5980 Жыл бұрын
Yaani wewe umejibu kishabiki na hata haujasikiliza maelezo yaliyosema hapa, umeambiwa hao ni kikosi maalumu kwa misheni maalumu Tena za kisiri, Sasa wewe unaongea vitu ata haufikili jomba
@tusaradrusia9670
@tusaradrusia9670 Жыл бұрын
Marekani ahijatuma kundi la jeshi hata moja kwasa babu iyo itakuwa wazi kinjiingiza kwenye vita. Pia Raisi wa Marekani ahana mamlaka yaku ngiza nchi kwenye vita bali Congress na kila mmarekani atajuwa kama nchi ime ingiza kwenye vita.
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
@@africatanzaniatours5980 mimi nakwambia kikosi hicho wesha pelekwa kisiri Ukraine mimi nimerewa vizuri tu unacho sema ni hatari Duniani na kikosi hicho hatari kwa nchi zisizo jiweza
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
@@tusaradrusia9670 wewe hata TV hakuna vikosi vinavyo itwa mamruki ni nini kunaviko hatari wameingia Ukraine kama msada mtari mwekundu kumbe ni wanajeshi wa Marekani hatari tena ni NEVIY wewe hadi BBC hawapi habari za ukweli mimi nipo Uhasibu huku tunafahamu kinacho endelea
@careenevance1535
@careenevance1535 Жыл бұрын
Ni kweli usa wamepeleka ivyo vikundi vimepgwa
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Bora wale wa kwetu wanavunja nondo kwa ugoko
@willykarandu246
@willykarandu246 Жыл бұрын
Jamen mbona push up 75 kwa dakka 2 tu mie nawwza na wengi sana wanaweza au pengine umekosea record huenda n push up 700 kwa dakka 2
@zaburi2386
@zaburi2386 Жыл бұрын
Kaka hupig hizo push up hata 50 Kwa dk 2
@azammaganga9101
@azammaganga9101 Жыл бұрын
Push up 75 kwa dk 2 huwezi acha kudanganya
@willykarandu246
@willykarandu246 Жыл бұрын
@@azammaganga9101 bro unajua dakka 2 n sekunde 120 sasaa kwahari tu ya kawaida dakka 2 mtu wa mazoez ushindwe kwer???
@willykarandu246
@willykarandu246 Жыл бұрын
@@zaburi2386 yaaani kma unapiga zoez trust me 75 push up unapiga broo tena ndan ya mda
@sayshabani6350
@sayshabani6350 Жыл бұрын
Weee kikosi hatali ni Wagner PmC . Marekani ni ukubwa wa magazetini2 Wagner PmC ni kiboko ya mashoga Hao wenu wamepigika sana uko Ukraine
@allysendege9592
@allysendege9592 Жыл бұрын
Wagner PmC ? ni zaidi ya miezi kumi na tatu wameshindwa kubisha hodi Kiev bado hupati mashaka juu ya ubora wao
@noahlameck1564
@noahlameck1564 Жыл бұрын
Mbona mmeacha kutuletea habari za wababe wa kivita yaani urusi Mnazikwepa Sana au na nyie ni wamaghalibi? Yule Dj alikuwa anakupa mfupa na maji unashushia ameenda wapi?
@wvink_1885
@wvink_1885 Жыл бұрын
Broo hiii story hamna ,kikosi kimeanzishwa 1962 ,siri yake imekuja kutoka kipindi cha vita ya dunia ya pili ,na vita ya dunia ya pili imeisha 1945 , i dont see any logic and alignment in the story 😂😂
@allybobsaith
@allybobsaith Жыл бұрын
SPETSNAZ jeahi toka urusi ni kiboko kuliko
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
🤣🤣 spetsnaz wanachinjwa kama kuku huko Ukraine kila siku🤣🤣
@allybobsaith
@allybobsaith Жыл бұрын
@@Zenny89 hakuna jeshi lisilochinjwa kama kuku likiwa kwenye vita😀😀😀
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Жыл бұрын
uongo tyu ,sasa wewe kwanini wasiende kuinzibiti Wagner
@abuusirleh8196
@abuusirleh8196 Жыл бұрын
Fake news kwanza hujui osama nani Kamuua, acha kutudanganya
@Fardadihd
@Fardadihd Жыл бұрын
Wende russia basi wakapigane na urui wasitishe watu na kuvamia nchi zaifu
GUANTANAMO BAY: Ukweli kuhusu GEREZA hili la WAMAREKANI huko CUBA unatisha
15:48
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 5 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 4,1 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 48 МЛН
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 4,1 МЛН