No video

MAAJABU YA MTOTO MDOGO YUNIS YANAENDELEA; AMPONYA OFISA WA UN ALIYEUGUA KWA MIAKA 14...!

  Рет қаралды 112,741

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAAJABU YA MTOTO MDOGO YUNIS YANAENDELEA; AMPONYA OFISA WA UN ALIYEUGUA KWA MIAKA 14...!
Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu, Eunice Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu kwa kuendelea kuwaponya watu kwa maombi na maji, tofauti kabisa na umri wake.
Global TV imefika kijijini hapo na kuzungumza na wagonjwa walioponywa na mtoto huyo..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 119
@salomechelagat351
@salomechelagat351 2 жыл бұрын
Amen asante sana Steven kwa ushuhuda wako mungu ni muweza vyote utapona kabisa kwa jina la yesu
@roseatieno6691
@roseatieno6691 2 жыл бұрын
Yunis ni mtumishi was Mungu sie yeye anaponya Bali nine Mungu anaponya kupitia mkononi mwake , alafu Mungu ndiye anamtuma kuita mgonjwa aje achukwe maji hayo ya uponyaji . Haleluya amin .
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
imani ni muhimu sana zidi kuomba na kujipa imani mungu ni mwaminifu utapona kabisaa na uzidi kuenda kwa Eunice anakuwekea mkono mungu awe pamoja nanyi 🙏🇰🇪🇪🇺
@susanchebet3298
@susanchebet3298 2 жыл бұрын
Mm nitakua kufata maji kwa ajili ya mume wangu kuacha pombe, najua Mungu atatenda 🙏
@graceglorious1979
@graceglorious1979 2 жыл бұрын
Glory and honour belongs to JEHOVAH ELOHIM,may the LORD continue strengthen this little princess Eunice 🗣️🔥🔥🔥🔥🔥💪
@omaryjuma8002
@omaryjuma8002 2 жыл бұрын
Jaman tuache kufanyia watu vibaya tuwe na hofu ya mungu.. mungu ni fundi kwakweri
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk
@aishanelly2026
@aishanelly2026 2 жыл бұрын
Ameeni alleluia Huyu baba nilimuona kwa ytube alikuwa hoi siku huyu mtoto Yunusr anamuombea siku ya kwanzaaa👀👀👀👀macho yangu shaidiii🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@nameno8608
@nameno8608 2 жыл бұрын
Mungu abarikiwe Hata mimi sikuami laki kwa sasa nimeamini wenye kuamini tu ndio watapona
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa
@evajohn5122
@evajohn5122 2 жыл бұрын
Mungu Nimwema azindi kumtumia mtoto huyu anaonekana anaimani Sana
@joycekwilasa2838
@joycekwilasa2838 2 жыл бұрын
Pole sana Magati ni muda mrefu umeugua hakika duh! Mungu ni mwema
@srregina5809
@srregina5809 Жыл бұрын
Mungu akubariki sister Eunice kwa kazi nzuri utukumbuke kwa maombi
@winfridahaule4364
@winfridahaule4364 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
Yunic Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥motooo
@restituta5206
@restituta5206 2 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu.tunakushukuru Bwana. Kwa mtoto uyu. Twaomba umlinde baba.namfunika na damu ya Yesu Christo Amen
@mikeodek4536
@mikeodek4536 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@sellesaadhiambo6855
@sellesaadhiambo6855 2 жыл бұрын
Glory and Honour belongs to Almighty. God is using His child Eunice and we thank Him.
@MWASHOTA
@MWASHOTA 2 жыл бұрын
Heri wamtumainio Mungu na kumtegemea yeye peke yake
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 жыл бұрын
Mungu anaweza🇴🇲
@estherfaidamalkia4021
@estherfaidamalkia4021 2 жыл бұрын
Amen.yesu anaweza yooote
@carolynewamakobe759
@carolynewamakobe759 2 жыл бұрын
Utukufu umurudie Mungu aliye juu sana
@felicianhole7936
@felicianhole7936 2 жыл бұрын
Hakika Mungu nimweza wa yote ukimtumainia
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema,ameyaona mateso ya watu wake,ameamua kutuponya kwa kumtumia mtoto wake Yunis,kupona kwetu ni imani na sala
@chikubundara5761
@chikubundara5761 2 жыл бұрын
Bikira Maria amekuja kupitia kwa mtoto Yunis ,ama kwer Mungu ananguvu za pekee ,hii ni neema kubwa sana
@ednanyaboke9849
@ednanyaboke9849 2 жыл бұрын
Saudi Arabia waiting ...... Kenya
@salmadhiab2693
@salmadhiab2693 2 жыл бұрын
Wakafanye nini huko suudia
@salmadhiab2693
@salmadhiab2693 2 жыл бұрын
Msiende bora kaeni kwenu fanyeni kazi kwenu msiende nchi zawatu kutafuta balaa
@elizamsigwa7251
@elizamsigwa7251 2 жыл бұрын
Mungu endelea kuwafundisha wasiokuamini
@tesharose5041
@tesharose5041 2 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki mtoto
@jeremiahbaraka1929
@jeremiahbaraka1929 2 жыл бұрын
Amina
@amazingcharles5834
@amazingcharles5834 2 жыл бұрын
Faith and prayers...the rest mwachie mungu muuba...blood shed at calvary healed and heals even today...
@stevenmhina7915
@stevenmhina7915 2 жыл бұрын
Maelezo yake Ndugu huyu yamejaa ukweli. Haweki chmvi anaongea uhalisia ushuha wake unafaa kuwatia Watu imani. Mungu ni Mkuu
@ferdinandmct1462
@ferdinandmct1462 2 жыл бұрын
Amen .mungu ni mungu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲🇴🇲🙏🙏🙏🙏
@sakamoni0321
@sakamoni0321 2 жыл бұрын
Mi natoka Kenya nimesikia huyo mtoto yunis mungu amumbariki naulisa Kama nawesa ongea na simu Kwa huyo mtoto
@barakakiresia5089
@barakakiresia5089 2 жыл бұрын
Don't wait talk with a phone just come Tanzania you will get fine my dear if believe in God utapona is a luo girl
@MWASHOTA
@MWASHOTA 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni Mungu asiyeshindwa. Hutumia vinyonge kujiinua
@tecklamgomberi4253
@tecklamgomberi4253 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuponya kaka
@fridasiame4639
@fridasiame4639 2 жыл бұрын
Jamani mnaopima hospital akuna ugonjwa nendeni
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko ni kupoteza uslaam NA ikiwa umefanya kosa hilo rudi kwa mashekhe maarufu watakujulisha NA watakufahimisha
@aishacastrol6369
@aishacastrol6369 2 жыл бұрын
Pole kaka mungu atakuponya kwa imani
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
Mungu Ni mwema kwetu
@joycemourice1582
@joycemourice1582 2 жыл бұрын
Mungu mwema uyu Mzee alikuja kwetu shinyanga tulikaa nae wiki mbili
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 2 жыл бұрын
Huyo mzee anaonesha kama ana cancer ya throat mbona anaongea hivo mungu muwezsshe mzeee huyu anaumiaaaa kiumbe wako
@owinochris9886
@owinochris9886 2 жыл бұрын
😭😭😭Alleluya, say Amen to holy Mary,
@meriyeseb
@meriyeseb Жыл бұрын
😭😭😭😭Alleluya,sayAmen to holyMary,✝️✝️✝️🛐🛐🛐🙏🙏🙏🙏🙏
@christinegakunyi6239
@christinegakunyi6239 2 жыл бұрын
Wonderful
@christinegakunyi6239
@christinegakunyi6239 2 жыл бұрын
Wapi huku tuje
@janekichonge4957
@janekichonge4957 2 жыл бұрын
Huyu mtoto ni badala ya tb joshua
@tabithanganga9240
@tabithanganga9240 2 жыл бұрын
Imani yako na ikufugue Kwa Amina TWA kobolewa but watu huwa waoni mungu why say everything ni setani jamani
@marymutua6184
@marymutua6184 2 жыл бұрын
Nauliza kwa heshima mtoto huyu unaenza muombea mama yangu amengojeka miaka mingi
@marymutua6184
@marymutua6184 2 жыл бұрын
Sababu Niko Bali na yeye siku nitafika nyumbani nitapinga simu.naenza pata namba yenye nitapinga plz
@reginachitangi5474
@reginachitangi5474 2 жыл бұрын
Love of God. Overwhelming
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Mungu ana mambo yake ya ajabu.
@fridasiame4639
@fridasiame4639 2 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu
@sellesaadhiambo6855
@sellesaadhiambo6855 2 жыл бұрын
Amen and Amen.
@janemuthoni723
@janemuthoni723 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni kama ule wa Biblia wa ukoma,Mungu awabariki nyote waliopona na huyu mtoto
@rosemarybalyaruguru7172
@rosemarybalyaruguru7172 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema hashing na lolote.Amwaminiye atapona kupitia Imani yake. Asante Mungu kwa mtoto Yuni . Zidi kumlinda na kumpa nguvu zaidi aweze kuponya watu wako.
@janemuthoni723
@janemuthoni723 2 жыл бұрын
Na kuna wale hawaamini Mungu wanaamini mashetani ndio wanasema mtoto ni Freemason,Freemason haiponyi anayeponya ni Mungu tu sio mganga wala illuminate wala Freemason
@alfaluoga8403
@alfaluoga8403 2 жыл бұрын
Ee Mungu nsaidie na mm npate uponya kutoka kwa Yunic,, maji ya baraka yafike kwetu
@amazingcharles5834
@amazingcharles5834 2 жыл бұрын
Heri wamtumainio bwana...watapata baraka
@ronahcherononyaribo7417
@ronahcherononyaribo7417 2 жыл бұрын
Nipe mwelekeo nijue japo in Niko Kenya place kişii county please,naitaji uponyaji was mtoi wangu
@noonelike6382
@noonelike6382 2 жыл бұрын
Nyathino onyath luo wadwa.. nyasai ber yawa.
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 2 жыл бұрын
Pole Sana
@roselyneaswani9834
@roselyneaswani9834 2 жыл бұрын
Ulienda huko.jamani tusaidiane
@dorcassum4816
@dorcassum4816 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kulinda amen
@edinachami4318
@edinachami4318 2 жыл бұрын
Aiseeee
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏 Mungu mkubwa 🙏🙏
@beatriceoruwa7448
@beatriceoruwa7448 2 жыл бұрын
Nipoa aki mtoto mdongo aki ponya hiyo ni maajabu sana
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi 3 ай бұрын
Amen
@mms9158
@mms9158 2 жыл бұрын
Alla ampe mtoto huyu umuri wake mrefu azidi kuwasaidia watu
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 2 жыл бұрын
Mungu tunakushukuru kwa zawadi ya mtoto Eunice. (Yuni) Mungu naomba uniponye kwa Imani niliyo nayo.
@freddykulwa8190
@freddykulwa8190 Жыл бұрын
Ata watoto wafatima wakuaminiwa kiurahisi ata wanachi wao kwai imani yako tu
@tuulikinambuli5657
@tuulikinambuli5657 2 жыл бұрын
In which country? The sister is? I am really need a help
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi 3 ай бұрын
Junis..niombee
@Karolinendinda
@Karolinendinda 2 жыл бұрын
Amen Glory to God
@eunicemasitsa1504
@eunicemasitsa1504 2 жыл бұрын
Nitumie namba ya Eunice please
@Karolinendinda
@Karolinendinda 2 жыл бұрын
@@eunicemasitsa1504 Eunice mgani
@nahimanamana9532
@nahimanamana9532 2 жыл бұрын
Ameen🙏🙏
@ibrahimbarasa1017
@ibrahimbarasa1017 Жыл бұрын
Niko nairobi
@josephkuriamungai6877
@josephkuriamungai6877 6 ай бұрын
How can we get maji ya baraka in manchester uk
@claudekubwimana9608
@claudekubwimana9608 2 жыл бұрын
mudusaidiye namba yababa wauo mutoto
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Jaman kikombe cha babu
@LomayaniLukumayi
@LomayaniLukumayi 3 ай бұрын
Yunis..nipate..baraka..niunuwe..shamba..akari..40?..uraisi
@rmaryp6269
@rmaryp6269 2 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4:6a
@juliethgabriel4537
@juliethgabriel4537 2 жыл бұрын
Rmary P. WAMBIE, Mi nawahurumia sana hawajui walitendalo
@angelanikalenga4757
@angelanikalenga4757 2 жыл бұрын
Sasa tuhamini nani kwasasa wakweli uwezi kumtambuwa kwamacho ya kimwili mbali kwamachoyarooni msiukumu wala kuwapozawatu imani doitakaokuponya
@ibrahimbarasa1017
@ibrahimbarasa1017 Жыл бұрын
Niobe niweze kufika
@mariaejereri2218
@mariaejereri2218 2 жыл бұрын
Please can you speak English so that we can understand.
@BonefaceMusemba-mb4zl
@BonefaceMusemba-mb4zl Жыл бұрын
Waahu MUNGU wa unn atukunzwe
@johnmjuni3305
@johnmjuni3305 2 жыл бұрын
Tunaomba namba ya Baba wa mtoto yunusi
@josejosepg6601
@josejosepg6601 2 жыл бұрын
Mmmh dunia hii mambo mengi sn mda mchache sn
@omaryjuma4836
@omaryjuma4836 2 жыл бұрын
Mgonjwa lazima aje au mtu mwingine anaweza kuja na maji yakaombewa halafu harudi ampe mgonjwa
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa NA ikiwa umefanya kosa hilo rudi kwa mashekhe maarufu watakujulisha NA watakufahimisha
@Recishorts
@Recishorts 2 жыл бұрын
Tunaomba watu wa mkoani mtuelekeze
@mmtexo3989
@mmtexo3989 2 жыл бұрын
Na hiyo mtoto anaeza ombea mtu kw simu mpaka apone
@ivonvena9409
@ivonvena9409 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@marriaonesmo3717
@marriaonesmo3717 2 жыл бұрын
A
@teresiabell6742
@teresiabell6742 2 жыл бұрын
Give us telephone please those who are in the other countries can be together with our. Angel. Glory to. God in the highest. Amen
@joyceongalo9552
@joyceongalo9552 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema na anaweza yote. Asifiwe mwokozi.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@joyceongalo9552 mpe namba ya Simu kaomba
@lwaap6414
@lwaap6414 2 жыл бұрын
Simu tafadhali
@mimifineliving2022
@mimifineliving2022 2 жыл бұрын
Kikombe cha Babu
@fridasiame4639
@fridasiame4639 2 жыл бұрын
Ninashuhuda
@fridasiame4639
@fridasiame4639 2 жыл бұрын
Nilienda Tarime
@muemakingoo1465
@muemakingoo1465 2 жыл бұрын
@@fridasiame4639 naweza pata number ya baba unice Niko Kenya
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 2 жыл бұрын
Satan at work
@husnasaid6734
@husnasaid6734 2 жыл бұрын
Ypo wp na mm nataka ni fata hy mtt
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele
@salmaabduli700
@salmaabduli700 2 жыл бұрын
Vidond unaviisab vip
@martinmaryogo3676
@martinmaryogo3676 2 жыл бұрын
hahahahahaaaa ww nae ni kitasa kweli yan huwez kuhesabu vidonda jmn hahahahaaaaa
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 2 жыл бұрын
Hahahaaaààaaaaaaaaaaa halooooooo jemeni 😆 😆😆 pancha
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@martinmaryogo3676 huwezi kuhesabu matundu ya vidonda??
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Uongo mtupu haifai kuamini mambo kama hayo kabisa kamwe ni shirk usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk thambi isio samehewa milele usijaribu kwenda huko kumoba kutibiwa ni shirk
@lakhyalakha1992
@lakhyalakha1992 2 жыл бұрын
HAMJAJOMA NA MZEE WA LOLIONDO
@edwinmbwilo6128
@edwinmbwilo6128 2 жыл бұрын
Watanzania wengi hatusomi NENO la Mungu ndio maana zikiibuka imani potofu tunazikimbilia kama babu wa loliondo na mtoto huyu Yunisi na watakuja wengi sana
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 2 жыл бұрын
Hadi wafe ndo wakome hahaaaaa
BMG TV:  Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
37:07
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 5 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
26:09
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 5 МЛН