MAANDALIZI YA MWISHO STESHENI YA SGR DODOMA KABLA YA KUANZA SAFARI

  Рет қаралды 11,989

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 75
@user-pk5yi3gh3f
@user-pk5yi3gh3f Ай бұрын
Magufuli hongera kwa kazi hii uliyoanzisha
@SATZ-news
@SATZ-news Ай бұрын
Viva Jpm kwa maono ya kimataifa ungekuwepo Tanzania 🇹🇿 ingekuwa mbali sana aisee❤
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Ай бұрын
Maneno yako ya ndoto😂
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 Ай бұрын
hizoo sio pesa za magufuli pesa yetu walipa kodi kuku wewe hongeraa mama samia kulinda ksimamia na kuendelezaa
@isackrichard6356
@isackrichard6356 Ай бұрын
Aha kumbe Samia yeye zake anazitoa mfukoni mwake sio?​@@hemedrashid2921
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
​@@hemedrashid2921issue sio pesa zetu ni jinsi alivyo wekeza kwa ubora na ushindani wa kimataifa sio uwekezaji wa kama watu wa pwani unaweza kitu kinakufa kesho
@SATZ-news
@SATZ-news Ай бұрын
@@hemedrashid2921 Soma uelewe sijasema Pesa ya Magufuli 😏
@cidewashington670
@cidewashington670 Ай бұрын
The legacy of John Pombe Magufuli 🤝🇹🇿
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Hongera mh Rais kwa kuendeleza miradi yote jambo jema mwenyezi mungu akulinde miradi inaenda vizuri kama ilivyopangwa🎉🎉🎉🎉
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Ай бұрын
Hongera baba magufuli kwa hili na hongera mama kwa kukamilisha❤
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Magufuri alikua na akili ya kipekee hakuna kiongezi yeyote kwa sasa mwene kufikia uwezo wake
@yesesalambwe9420
@yesesalambwe9420 Ай бұрын
Hongereni sana! Matunzo ni muhimu sana! Hilo lizingatiwe na lipewe uzito unaoeleweka ili vitu vizuri kama hivi viweze kudumu!
@RobertMushi-ic1gc
@RobertMushi-ic1gc Ай бұрын
Appreciate all progress of the project🎉🎉 I love 🇹🇿🇹🇿
@iathumani
@iathumani Ай бұрын
Asante TRC usafiri ni mzuri sana lakini kwa asili yetu watanzania na waafrika kwa ujumla huwezi watenganisha na mizigo wakiwa wanasafiri. Ushauri wangu kwa nini msiweke behewa moja la mizigo ya abiria wakiwa wanasafiri. Behewa lifungwe kwa treni huaika mtu akue akilipia mzigo wake unapakiwa kule kisha una kua labeled kwa kituo anachoshuka ili akifika afike na mzigo wake. Wengine wafanya biashara sasa haina maana unawahi fika Dar kufuata mzigo kisha huwezi kusafiri nao kwa haraka sababu tu ni mkubwa. Unalazimika kutafuta usafiri mwingine ambao unakuchelewesha sana. Naomba kuwasilisha.
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 Ай бұрын
WAZO ZURI SANA NINAIMANI VIONGOZI WATALIFANYIA KAZI
@prezyb1699
@prezyb1699 Ай бұрын
Hongera magufuli
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
R.i.p Jpm tunaomba Mungu atupe rais mzuri kama Magufuli
@modenasayi
@modenasayi 2 күн бұрын
@@lulanjamd3886 msenge wewe nikuone tena
@ahamadarashid8797
@ahamadarashid8797 Ай бұрын
NASUBIRI KWA HAMU SAFARI ZA DAR TO DOM..can't wait
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 Ай бұрын
Nakampeni imewekwa humohumo kwenye nyimbo😮😅 dah nchi hii siomchezo,Nchingumu hii!!!
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 Ай бұрын
Pongezi kwake maguboy Allah ampe kauli thabiti uko kaburini
@TuntufyeBrayson
@TuntufyeBrayson Ай бұрын
Magufuri upumzike kwa amani peponi baba ulikuwa mwema namalizia kwa " ULALE SALA😢😢"
@mtotowamkulima275
@mtotowamkulima275 Ай бұрын
Binaadamu, we acha tu. Kama Mama Samia angeiacha hii miradi akaanzisha yake, kuna watu wangemlaumu kwanini hakuiendeleza. Leo hii ameamua kuiendeleza kuna watu pia wanasema. Piga kazi Mheshimiwa Rais tupo nyuma yako. ❤
@BoniphaceAhmed
@BoniphaceAhmed Ай бұрын
Binadamu hata uwanyie nini hawata kushukuru
@patricknyiti5303
@patricknyiti5303 Ай бұрын
Sasa kuna maana gani ya kupiga wimbo wa kampeni ya mama Samia wakati kampeni hazijaanza ?? Msiifanye SGR kuwa siasa tafadhali
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 Ай бұрын
Vyama vyoote vimeanza kampeni kasoro chako wewe tuu Mheshimiwa
@mopawgaming7069
@mopawgaming7069 Ай бұрын
Huu upuuz utaukuta Tanzania tu
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Hongera jpm na mama Samia. Mjitahidi SGR ifike Tabora kabla ya uchaguzi 2025
@EllyjTengeneza
@EllyjTengeneza Ай бұрын
Jpm alishafariki ni vizuri pia ungesema hongera hayati jpm na Mama samia
@KhajjFundi-ij2dq
@KhajjFundi-ij2dq Ай бұрын
Haiwezi bado sana
@mkude
@mkude Ай бұрын
Hongera mama Samia hongera TRC
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Ай бұрын
Mkuu ungetuonyesha muonekano wa stesheni yote kwa details. Video ya dk 2 au tatu haitoshi. Chukua video ya dk kama 15 au 20 ukitupitisha kila sehemu bila ku-enterview watu bali ukiwa unatuonyesha na kutusimulia kila jambo. Huu mradi ni mkubwa sana na unahitaji kila mwananchi auone vizuri ili ajua kodi yake imetumika ipasavyo
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
shukuruni mlichopewa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Kachukuwe na wewe kama ni raisi😂
@salummkubwa
@salummkubwa Ай бұрын
One love kwa nchi yetu TZ
@JamesmalesaMavere
@JamesmalesaMavere Ай бұрын
Nyumbani kumenoga 🔥🔥🔥
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 Ай бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Ай бұрын
🤲🤲🤲🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
@RehemaLyana
@RehemaLyana Ай бұрын
Dodoma to dar ndo bureee eeeh
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Mmeshindwa kuweka hata bustani safi maua kidogo tu jamani 🎉🎉🎉🎉🎉😂
@alexissangali8650
@alexissangali8650 Ай бұрын
Mashalaah....!!!!!
@abdallahsalim8475
@abdallahsalim8475 Ай бұрын
hongera mama samia
@AliBakar-sx7lu
@AliBakar-sx7lu Ай бұрын
Hongereni Tanzania 🇹🇿 kazi nzuri iendeleeeeeeeeeeeeeeee
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Hongera sana serikali yetu
@amosafrica2350
@amosafrica2350 Ай бұрын
JPm😢
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 Ай бұрын
👏👏👏👏
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
KIMYA KIMYAAA na MAMA TUNASONGAAAA!!!!
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Ай бұрын
Huu wimbo wenu unasababisha tuache kuangalia video zenu. Sio kampeni
@mopawgaming7069
@mopawgaming7069 Ай бұрын
Hii nchi ya ajabu sana
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 Ай бұрын
Inapendeza sana,mujipange sasa kupereka train mpka kwenye kiwanja kipya na mji WA Serikari ❤
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Ай бұрын
Kupereka ndio nini? Nenda shule
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
BAADA YA DODOMA, MBOKA MANYEMA TUNAISUBIRIA
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss Ай бұрын
Sasa hilo neno.kuu, linabeba nini? Kwanini isiwe stesheni ya Dodoma tu. Ongereni sana kwa kufika Dodoma
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 Ай бұрын
Nadhani labda wameandika hivyo kwa vile kutakuwa na stesheni nyingine Makutopora - anyway TRC wanajua zaidi.
@chumamasunga8855
@chumamasunga8855 Ай бұрын
Wameandika hivyo kwa sababu hapo ndo TRC HQ
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Kituo kikuu cha mabasi ya mkoa ni vituo vidogo vidogo vya wilaya
@denismoyo5551
@denismoyo5551 Ай бұрын
dodoma vituo viko vingi hicho ni kikuu kwa dodoma
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Ай бұрын
Kwani Makao Makuu ni Wapi ? Pale ndo katikati
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Ай бұрын
Shughuli iko ukingoni
@cinnamonstar808
@cinnamonstar808 Ай бұрын
beautiful 🚅
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 Ай бұрын
Mkuu, naomba usaidizi wako: kwenye bango lililoandikwa “Jukwaa la reili ya kiwango cha kawaida” kisha kwa kingereza wakaandika “SGR Platform” mbona kama wamechanganya? Reli ya kawaida sio MGR kweli? Naomba ufafanuzi wako Mkuu
@charlietz7125
@charlietz7125 Ай бұрын
kumbe na wewe umeona? ni kweli hapo wamechanganya.
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇹🇿🫡🇹🇿
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Ай бұрын
Wakusifia ni Mweshimiwa JPM aliekua akiwaimiza wakandalasi kufanya halaka samaahani msinilazishe kumsifia mamaenu nyoko nyie 😮😮
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 Ай бұрын
Kongore my President Samia
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 4 МЛН
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 24 М.