Maandamano Kenya: Rais William Ruto Njia panda, Azingatie Ushauri wa IMF au Wananchi

  Рет қаралды 1,404

The Chanzo

The Chanzo

12 күн бұрын

Kenya imekuwa katika maandamano yaliyosambaa kwenye miji mbalimbali tangu Juni 18, 2024 yaliyoongozwa na vijana kwa lengo la kupinga muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2024/25.
Muswada wa Sheria ya Fedha unaopingwa unaelezwa kuwa na ongezeko kubwa la kodi hususani zile zinazogusa walaji, wajasiriamali na wananchi moja kwa moja.
Tofauti na maandamano mengine ambayo yamekuwa yakitokea nchini Kenya hivi karibuni, hamasa katika maandamano haya ya sasa haikutokana na wanasiasa, bali vijana wenyewe na wanaharakati wa haki za kijamii-uchumi waliohamasishana kupitia mitandao ya kijamii.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер
Jamhuri ya Uchawa. Muongozo wa Kujenga Taifa Lisilojiamini
22:24
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 36 МЛН
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 11 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 36 МЛН