Jamhuri ya Uchawa. Muongozo wa Kujenga Taifa Lisilojiamini

  Рет қаралды 5,645

The Chanzo

The Chanzo

10 күн бұрын

Katika mtazamo huu wa pili tunaangalia hali iliyopo katika jamii ya Tanzania, uchawa; hali ambayo ni kiungo muhimu cha kutengeneza taifa lisilojiamini. Tunatokaje kwenye hali hii?
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 36
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 8 күн бұрын
Shukrani kwa TV Mwanzo, Alfred na Aidan kwa maelezo mazuri. Nafurahi kumwona Aidan mwanauchumi kwani hatukuwasikia wanauchumi muda mrefu kuhusu mwelekeo ya mtu mmoja mmoja uchumi wa Taifa. Naona wataalam mnaanza kujitambua na kuchumbua mfumo au Taifa lenye kujiamini. Hongeren
@donaldfrancissassa8360
@donaldfrancissassa8360 7 күн бұрын
Asante Aidan
@user-io6yj9fs2h
@user-io6yj9fs2h 8 күн бұрын
Yaani unaona mbali sana angalia hadi wasanii wa move kama wakina stev nyelele wamegeuka kuwa machawa yaani jamii imegeuka kuwa machawa taifa lawatu machawa tu watu hawajiamini kabisa hawawezi kukosoa hata mabaya wao nikusifia tu
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 8 күн бұрын
Uchawa unaharibu sana Taifa letu
@albamwanja4304
@albamwanja4304 8 күн бұрын
Kabisaa yaani, changamoto kwenye Jamie zipo lkn wanafumba macho wanatetea upuuzi
@knight6757
@knight6757 8 күн бұрын
Kwa ajili ya tumbo !!
@user-dk3ou5yk2f
@user-dk3ou5yk2f 8 күн бұрын
Mtu anayewamiliki Chawa anafaidika na anawadhibiti wasijitambue bali wamwabudu Ndipo mlipo watanzania Mmekwisha aibu kwenu
@GavyoleJonas
@GavyoleJonas 7 күн бұрын
Nakerwa sana hasa na wabunge,wakuu wa wilaya,mikoa,mawaziri,viongozi wa chama hasa ccm,wanamziki,vyombo vya habari ni uchawa tu.
@user13375
@user13375 5 күн бұрын
Uchawa ungebaki kwa wanamziki tu,usingekuwa na adhari ,lakini kwa siasa ni mbaya na hatari sana😮😮😮😮
@francisjohanes3027
@francisjohanes3027 8 күн бұрын
Hivi watu wanasikia haya?????
@Sr.BasilisaPanga
@Sr.BasilisaPanga 8 күн бұрын
Chanzo siyo mwanzo. Samahani
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 8 күн бұрын
Hata kumpa mtu mmoja mamlaka makubwa kana kwamba mlolongo woote wa wasaidizi wake tunaowagharamia mishahara minono ili kumsaidia katika kuongoza nchi lakini hawana maamuzi yoyote bila yeye ni UDEMAGOG wa aina yake ambao wamekubaliana kwamba sisi tutakua tunapata mgao kwako,na kazi yetu ni kukupamba,kuusifia uongozi wako,kulinda mfumo kwa kubana uhuru wa habari,na kuwatisha wanaojaribu kutupinga kwa hoja.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 күн бұрын
Kuamuka kupo kabla ya hata Yesu kurudi elimu hii ifundishwe kuanzia shule za chekechea
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd 8 күн бұрын
tz vijana amkeni, awa viongozi awtokuja badrika abadani, mpaka walazimishwe, wamelewa madalaka.
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 8 күн бұрын
Ni kunguni.
@aeshitoyota2499
@aeshitoyota2499 7 күн бұрын
Hili ni darasa kubwa sana inatakiwa vijana waipate elimu hii.
@birianination7097
@birianination7097 7 күн бұрын
Je umejaribu kutafakari madhara ya uchawa wajami, Tabia ya kusema au kufanya yale yatakayo pendwa na kushabikiwa na jamii. Kwa mfano kiongozi kulaumu serikali kwa kupanda kwa bei ya mafuta ingawa anajua sababu halisi, ila analalamikia serikali akijua kua watu watamsifu.
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 8 күн бұрын
Ukubwa wa Serikali ya Tz ni gharama kwa walipa kodi isiyo na manufaa yoyote kwani mwenye mamlaka ya maamuzi ni mmoja tu.(Rais). Ndio maana ya uwepo wa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, kiutendaji kwa maufaa ya Watanzania, HAUNA FAIDA yoyote zaidi ya manufaa kwa Rais pekee.
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 8 күн бұрын
samia ametengeneza mfumo wa uchawa na kuweka watu wanaoangalia upande wake hii italeta crisis in the future
@jesaminzo
@jesaminzo 8 күн бұрын
Jamhuri ya Uchawa! Ni kweli kabisa, tunakoenda ni giza totoro!
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 күн бұрын
No tunatoka gizani kwenda kwenye nuru
@johnkmjema9727
@johnkmjema9727 8 күн бұрын
Vijana sasa awmepoteza kujiamni, hata kusimamia taaluma zao ndo maana mambo mengi yameharibika!!!
@bilid4128
@bilid4128 8 күн бұрын
Na Mimi ni Afred K ,karibu 😂😂😂
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 күн бұрын
Labda iwekwe kwenye mitaala ya elimu, maana hata kwenye jamii zetu hiyo hali ya uchawa IPO, akionekana mtu kwenye ukoo au familia ana kapesa au ka cheo mhh hata kama akikosea hakemewi wala hakosolewi, ni kumsifia tu. Ole wako mwenzangu nA mie huna hela halafu ukamsema utatengwa na ukoo au familia. Kwa hiyo kama tunataka hii hali iondoke tuanzie kwenye familia
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 7 күн бұрын
Taifa la hovyo sana tanzania vijana ndio taifa la kesho lakini tumekuwa machawa hatari sana uko mbele
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 8 күн бұрын
👊✌🙏
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 8 күн бұрын
Uchawa ndio tunaumia raia w Tanganyika uchawa,leo maduka yamefungwa mtajiju,TRA wafungue Duka lao c kudhulumu raia ili faini y million 12 wazilipe
@pandungozi1072
@pandungozi1072 7 күн бұрын
Dawa ya machawa ni closon poison😮
@jacksonmwakasege6210
@jacksonmwakasege6210 8 күн бұрын
Ni uchawa na kujikombakomba na unafiki.
@mailisagaswe1544
@mailisagaswe1544 8 күн бұрын
Habari hii iwafikie wabunge, wakuu wa mikoa, mawaziri na wengine wote
@mgungulem3187
@mgungulem3187 7 күн бұрын
Mafisiem yote ni machawa
@donaldfrancissassa8360
@donaldfrancissassa8360 7 күн бұрын
Inatia aibu msomi mzima kumsifia mtu, ni unafiki na utumwa wa fikra
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 8 күн бұрын
Chanzo cha uchawa hutokana na kiongozi anayeongoza Taifa kwa muda husika, na linaweza kuzuiliwa na kiongozi husika kwa muda husika, je!, ni kwanini viongozi wetu wanapenda kusifiwa sifiwa?.
@venanceassey7909
@venanceassey7909 8 күн бұрын
Wakumbushe watawaka kuwa bila kilimo.hatuwezi kusonga mbele
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 8 МЛН
Afande Ashindwa Kujizuia Lissu Akipiga Nyundo Kuhusu Kikokotoo
3:46
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 19 М.
ZANZIBAR HAKUJAWA SHWARI: BARAKA SHAMTE KATEKWA, KATESWA
17:26
SK Media Online TV
Рет қаралды 85 М.