Wame wa uwa wenyewe wana singizia Hamas. Hasbuna Allah Wani'mal Wakiil ala Israel na majeshi yao na wote wanao wa saidia wa Israel laana ya Allah iwe juu yao mpaka siku ya qiyama. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
@mohamedithabiti44762 ай бұрын
amin rabilaAllaahmin 🙏
@jenahando27472 ай бұрын
Funguka kiakili basi. Hamasi ni wagaidi tu! Period
@zainabumashine5852 ай бұрын
Amiin 🤲🤲
@HassanJaphari-rx7jy2 ай бұрын
Ameen
@Officialjidaa-sn9cs2 ай бұрын
Kaziiii za siasa😂😂😂😂😂😂😂ni shida sana
@khadi-z4o2 ай бұрын
HUYU BABU WA POLAND HUYU MSHENZI SANA HUYU.
@rajabmartojr33022 ай бұрын
Yup hyo
@Mwanatanga2 ай бұрын
Vita haiwezi kusimama mpk Palestine apate aradhi yke inshallah 😢😢
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Hiyo sio ardhi yake Na shida yenu mnaangali hili jambo kisisasa, your very wrong, hamuelewi kabisa
@Mumewangu2 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 wewe hujui kitu waisrail walikuwa wamechawanyika, Poland, ujerumani na sehemu tofauti sasa muengereza na ufaransa wakaamuwa kuwachukuwa na kuwaleta hapo Palestrina na kuwapa silaha na kuwanza kuwapiga na kuwafukuza na kuchukuwa maeneo yao mpaka sasa. Soma historia ndugu ujuwe
@salmaalimusa68092 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479siyo kisiasa ila ukweli ardhi ni ya mpalestina hao waizrael walitokea marekani kwaajili ya ukorofi wao wakatimuliwa,ndio maana marekani anajitahidi kumsaidia maana hata wao hawawataki
@yusufismail31162 ай бұрын
Ubongo wako una minyooo.@@christinewomanoffaith5479
@OmmyJames-xn7ji2 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479WEWE MGALATIA KWELI NI SHOGA ILE NI YA WAPOLISH KWANI AU WACHUNGAJI WAKO WAMEKUPOTOSHA HIVO 🥳🥳🥳🥳🥳
@balkissMuhammad-sk1ic2 ай бұрын
Allah akbar☝️
@NdovuDentalClinic_2 ай бұрын
Likirushwa moja marekani siku moja na vita vitaisha Duniani. Haya maandamano yatakuwa cha mtoto maana wamezoea vita vya kwenye media kwenye nchi za wenzao
@hasinaalrahbi66812 ай бұрын
Mungu awahidi na awape imano
@mashakabundala99552 ай бұрын
Allahu Akbar
@mzeezidane40602 ай бұрын
Mmhhh niatari
@Zuhuranadadoita2 ай бұрын
Wakati wa mungu ni wakati sahihi at list Sasa wanasikia maumivu wamekuwa wakishangilia vifo vya wapalestine 😢😢😢😢
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Nani alishangilia? Unalinganisha mateka 6 walikuwa na hamas?
@Mumewangu2 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 waisrail mwanzo walishangiria sasa wanasema hapana lengo sio mateka Bali ni kuwatesa na kuwauwa na kubomowa makaazi ya wanyonge
@magrethdaniel84412 ай бұрын
Kuna mtu anaeshangilia kifo mpaka watoto wadogo
@salumabdallah29902 ай бұрын
Tatizo wakristo lini mutakuwa watumwa kwanza umemuelewa?@@christinewomanoffaith5479
@saidsalim8512 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 𝕨𝕖𝕨𝕖 𝕙𝕒𝕡𝕠𝕠
@mscantraah82102 ай бұрын
Subhannallah 🤝🏻🤝🏻🤝🏻
@KassimKhalaid2 ай бұрын
Sawasawa pumbavu uyo bibi ashindwe vita ziishe inshalla inatosha
@allysimu68562 ай бұрын
Israel waondoke kwenye aridhi ya wapalestina waondio wachokozi pia wawache kuwateka wenzao
@BenjaNetanyahu2 ай бұрын
Kwao ni wapi?
@leonardjohnson20582 ай бұрын
Umejuaje ninardh ya wapalestina ilihal ulipo hujui hta mpaka wa ahamba la babu yako
@nikrahayubu-sz3pw2 ай бұрын
Eeh Ile ni aridhi ya waislam hao wa Israel hawana makaz palatine Tena watasubria sana kama huna akili aridhi ya Palestine mpk kweny Qur'an ipo we endelea kuwatetea hawa mayahud
@leonardjohnson20582 ай бұрын
@@nikrahayubu-sz3pw nenda bas huko kawaambie wewe ni muislam kama hujarud na mimba yaan hata mipaka ya shamba lenu kondoa hujui mdomo juu vitu visivyokuhusu
@BenjaNetanyahu2 ай бұрын
@@nikrahayubu-sz3pw sasa mbona Quran ni kitabu kimeanzishwa mwaka 560, A.C na bibilia ilianzishwa mwaka 63 A.C,, miji kama Jerusalem, galilaya, miski, tela, sayuni, yote hii ilikua inamilikiwa na wayahudi zaidi ya miaka 1000, kabla YESU kuzariwa. Hao parestina walivamia inchi ya Israel, mwaka wa 370 ,A.C baada ya warumi kuwasambaratisha wayahudi nakulivunja hekaru lao la 2. Hata muhamadi alipozariwa mwaka wa 510 A.C, alikuta wayahudi wachache sana ndani ya arizi yao, tena wasio na nguvu za kijeshi, wala nguvu ya ushawishi wa dini yao ya judas. Na hekaru lao likiwa limevunjwa vibaya. Hata muhamadi alipokwenda ku eneza uislamu wake, alipingwa na hao wachache, na walimchukulia kama nabii na mtume feki, ndio chanzo ya chuki kati ya waislamu na mayahudi,, na hata kifo cha muhamadi kilitokana na kulogwa na myahudi ilieishi saudia.
@AbdallahBakar-oc3ue2 ай бұрын
Jamani Hamas sio jeshi la kuzalau Israel wanakufa sana
@@gayanimwansasu Sasa kama wanauwa vita si ingekuwa imeshaisha na Israel na washirika wake wangetoa vikosi vyao huko Gaza
@NdiyembukeJr2 ай бұрын
@@gayanimwansasu Au unamaanisha Hamasi wanaouliwa kinyama ni wale watoto,Wanawake na vikongwe?
@muhammadmbaraka45152 ай бұрын
Israel imewauwa mateka wao wenyewe..
@AFRICA_D6692 ай бұрын
Dah bye bye 👋 👋 👋 NETAPAKA, uchaguzi ulifika mpka ukapita, unawaza damu ya waparestine tu, israel na Palestine, ni ndugu, ila viongozi wa Israel na marekani ni ndugu, NIELEWE
@ZuhuraMarande-fl2zw2 ай бұрын
Majeshi ya NATO yanapigana na kikundi mwaka mzima sasa vita haishi😢😢
@musarashid78732 ай бұрын
Netanyahu is Finisheeed
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Miili 6 ya waisrael mateka.... Umeelewa maana ya maandamano?
@Mumewangu2 ай бұрын
@@christinewomanoffaith5479 unakasirika nin pia wanataka vita visitishwe wanauliwa wasiokuwa na Hatia tena kwa ardhi yao wenyewe
@BabaKasema2 ай бұрын
imposble@@FranceYohana-eg5zd
@aasatt782 ай бұрын
Hawawezi sasa mwaka mzima bado tu hawajawamaliza hamas wenyewe ni kikundi tu
@jamillahaidha81842 ай бұрын
Alhamdulillah bora yametokea kwao Allah tujibu huzuni zetu, hatuna namna yakuwasaidia Ndugu zetu wa Palestine zaidi ya Dua
@ahmadmahmoud61392 ай бұрын
Nice
@Bahati472 ай бұрын
Watu sita tu mnandamana hivi wenzenu wameuliwa kwaribu elfu40 na huku mkiona kwa macho na hamkusema kitu
Siku zoote Raia walio weeng hua wanapenda Amani, lkn Viongoz sasa
@hamadikassim30912 ай бұрын
Yani shkrny kaka sky hapa roho yng baridy nikisubiria GPS, namuona wakili, pamoja na Dj sma. Bila shaka Ally yuko.
@AFRICA_D6692 ай бұрын
Nimependa uzalendo wako 😊
@jerryndondole19652 ай бұрын
Kimeumana kwa mayahudi
@issazalala49072 ай бұрын
Yani Mimi hata sioni faida ya vita 😢
@mrpullover39912 ай бұрын
Hivi takwim ya waandamanaji inapatikana vipi??
@MAHAN-SMART2 ай бұрын
Tunaisbr GPS kwa hamu sana
@jerryndondole19652 ай бұрын
Naisubiri kwa hamu GPS
@AliKhamiss-r5k2 ай бұрын
Kumbe hawasem km na wao Israel wanavoplekewa motoooo
@MikelSitoe2 ай бұрын
wako wapi wa zayuni wa ki Bongo wale walie kua Wana feva ma Satanyau?
@subrynerysegerow13232 ай бұрын
Hawajielewi
@Moseskoome-l1t2 ай бұрын
wakwanza Leo wazee🇰🇪🇰🇪
@allbeatzs2 ай бұрын
Kijana unatak bei gn
@rajah93282 ай бұрын
Vita ikitokea sehemu yyte wanao humia ni wananchi wadogo wakubwa wako n ulinzi mkali
@gayanimwansasu2 ай бұрын
Kwakujua hilo Israeli watauwa watoto na wanawake wasio nahatia 😢
@BigZhumbe2 ай бұрын
Yesu akirudi akute kwao zinapigwa kila siku sijui itakuaje, au aje tu Tanzania ale bata na Mwamposa.
@khambhai3602 ай бұрын
😂😂😂😂
@AbdalallaBrahimam2 ай бұрын
Na Bado laana ya dam wanayo mwaga huko itawatafuna Hadi wafe na wao wakalipwe huko akhela
@DM_152 ай бұрын
Ningekua ni mimi gaza ningeongeza kibano hapo hapo kwama andamano nashusha kazi nyingine mbaka waseme
@festohaule97162 ай бұрын
Netanyau anapaswa kuondoka Madarakani Sasa!!!!
@alphoncejohn63082 ай бұрын
Mtoeni nyetanyau hana utu
@mapundarajabu54162 ай бұрын
Bado awajasema mpaka waseme wakpigwa wanakimbilia kuandamana
@NdovuDentalClinic_2 ай бұрын
Bado kwa mjinga SELEBOBO WA UKRAINE 😂😂
@HusseinSaguti-sj9nh2 ай бұрын
Aitwa zele bwabwa Mwana crizik
@Myplusbee2 ай бұрын
Hivi hawa Wayahudi OG ambao baadhi yao vizazi vyao waliwahi kumshuhudia Yesu kwa macho yao wanafahamu wanachofanya hivi sasa ni kinatukera sisi Wayahudi wa Kuchovya wa Mburahati, kwa Mtogole, Kibera, Mukuru kwa Njenga, n.k😀😀😀😀 ?!
@HusseinSaguti-sj9nh2 ай бұрын
Hawa asili yao toka zaman walipnga mitume na kuwafanyia vtimbi
@worldhappiness11812 ай бұрын
Wanajua kuna game inaendelea ambayo sio sahihi, na ni mauaj zaid yatakuja
@aliijumanne82932 ай бұрын
Netanyahu isn't his priority to bring the hostages home, they should not expert that tk happen under his regime.... Netanyahu has his on agenda on Palestinian
@VictorFungo-b6n2 ай бұрын
Netanyau is right! You can't make a negotiation with a someone who wants to eliminate you
@19ddr2 ай бұрын
That's true
@judithkirenga99772 ай бұрын
Serikali sio raia kwahivyo wanaoteseka ni raia
@KilimbikeHaji-iy2fm2 ай бұрын
Wamuuwe tuu huyo netanyau ndio suluhu utapatikana
@DonMooFILMES_Express2 ай бұрын
😂 Taifa la Mungu 😂 mataifa mengine ya Shetani twende kazi....
@aminatanzanya74752 ай бұрын
Mpk Netanyahu afe ndio tumalize kisasi wapelestian
@daudimaniseli7592 ай бұрын
BENJAMIN.. ACHIA NGAZI TU... HAMAS WANAPIGANA NA MATAIFA ZAID YA 10 DUUU...BADO WAPO TU,,ONGEENI VITA IKWISHE WASHA SHINDIKANA HAO.MKIENDELEZA VITA KUNASIKU WATAPATA NJIA YA KUWAFIKIA AMBAYO ITAKUWA MBAYA ...ONGEENI MMALIZE MAGOMVI NYIE MAJILANI.
@HusseinSaguti-sj9nh2 ай бұрын
Unauelewa mzr big up.tofaut na wakrist o Wng niwashabiki tu
@omarybakunda25542 ай бұрын
Wanasiasa wa Israel sio watu wazuri niwauwaji.
@Sarah-e1o9k2 ай бұрын
Wmewauwa wao wenyewe mateka na mabomo tumeona vidio hku mko nyuma sna
@godfreymwaipungu49322 ай бұрын
Waende ikulu wakamtoe NETANYOHO /NETAPAKA
@MikelSitoe2 ай бұрын
kuna wa zayuni wa ki Bongo hawa elewi kuhusu mpango wa nzee Gaidi Benzion Mellikowisk, ambae anatambulika kwa jinaleke maalumu Pakanyahu wa poland nkoloni
@zakariaabdalla-uo3nk2 ай бұрын
Raia hawataki vita ila viongozi walioko juu ndio. Wanaotaka vita wanawatoa vikosi vikapamabne wao wamejikalia tu
@abdulnasuma97292 ай бұрын
Jeshi la islael ni mashoga 80%lazima
@hamadsheni89972 ай бұрын
Hapo libanon ndo wanatakiwa kufanya jambo lao.
@barrynzeyimana62702 ай бұрын
Hawa watu hawawezi kuvunja Serikali kihistoria.
@Awatee2 ай бұрын
Mwenyezi Mungu hufanya mambo yake kwa hekima
@TeddyDickson-w5p2 ай бұрын
Hawa ni wale wayahudi waliolaaniwa tangu kipindi cha Yesu,ndio walikuwa wakisema asulubiwe,ndio maana Hitter alikuwa na hasira nao sana,wayahudi original ni wale wengine hawataki hata kujiandikisha jeshini,wale walikuwa upande wa Yesu
Israel hawajui vita toka hapo ila wanachojua ni kuua raia sio wa gaza tu bali na wao.. Hio ndio plan yao wapore ardhi from the river to the sea
@IsakaMgeje2 ай бұрын
Hapo hakuna Amani yeyote ile . Hamasi watu wao wameshakufa wengi sio Rahisi kufanya Mazungumzo ya kuwarudisha hao mateka . Kinachofata utaskia tu wanaendelea kuripuana
@aasatt782 ай бұрын
Sio kweli wakikubaliana vita inaisha iyo wapelestina kuuliwa ni kawaida kwao hawajaanza leo wala jana alie kufa ndio ahadi yake imefika waliobaki hai waendelee kuishi kwa amani
@ronniemalima63252 ай бұрын
Hapo haitokuja kutokea amani mpaka pale mfalme wa amani yaani KRISTO atakaporudi kwa mara ya pili @@aasatt78
@amraniamuri30802 ай бұрын
Apo sasa njo Hezbollah ingeangusha makombora apo 😂
@thelonewolf44292 ай бұрын
Hezbollah sio wauaji unavyodhani mengine unadangaywa tu na propaganda za wa magribi wauaji ni marekani na chihuahua zake (west)
@tekashisixtynin9threewithd7272 ай бұрын
Unadhani jeshi la israel jinga mitambo iko activated kuliko akili ya wajinga hao hamasi na akili yako ya kijinga kama hao hamas ama hazbolla
@SwedyMohamed-vt5zm2 ай бұрын
Pamoja na mitambo kuwa active,Hizbullah, HAMAS na vikundi vya kiislam original Hawaui watu wasio na hatia kiholela.Waislam Wana miiko hata ktk vita.Hawapigani vita kiholela.Hata 07oct 2024.Raia wengi wa Israel waliuawa na askari wa Israel.
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
@@SwedyMohamed-vt5zm Juzi juzi kule Afghanistan mjini kati barabarani waisilamu waliwafanyia nini ndugu zao ,
@ronniemalima63252 ай бұрын
@@SwedyMohamed-vt5zmmmmmmh
@ShegaShegalo2 ай бұрын
Hakuna amani inayopatikana kwamtutu wabunduki. Viongozi wa israel lazima wakaee wakubaliane nahamas ili waweze kuwapata raiya waoo wakiwa hai lakini siamini kama wengi wahaoo mateka wapo hai sababu idf imeshambulia kila kona ila silaha ziwekwe chini hoja zisikilizwe.
@ajaykilawah26222 ай бұрын
Hvi beelsheba bado ipoo 😅😅
@ronniemalima63252 ай бұрын
Beer sheba ipo ,sehemu nyingi tu bado zipo Hebron,Carpenaum,Jerusalem,Bethlehem....
@delgalshan63182 ай бұрын
😂😂😂😂
@johannesssamsonambogo41252 ай бұрын
ATA MIMI NINGEKUWA WAZIRI WA ISRAEL SIWEZI KUSITISHA MAPIGANO GAZA. SABABU HUWEZI KUSITISHA MAPIGANO NA WATU AMBAO KESHO WATARUDI KUCHUKUA WATU WENGINE BORA UMALIZANE NAO KABISA
@aasatt782 ай бұрын
Suala la kuwamaliza haliwezekani wataua wasio na hatia tu suluhisho ni mazungumzo ya amani wakikubaliana na mzizo huo unaisha
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
@@aasatt78 Acha makombora yarindime Gaza majengo yote ya Gaza yashuke chini , alafu tuone mwisho wa Hamas
@johannesssamsonambogo41252 ай бұрын
@@aasatt78 Nani hana atia?
@yohana12422 ай бұрын
@@johannesssamsonambogo4125shoga ww
@kinega10292 ай бұрын
Sasa wao si watoto wa Mungu wampigie tu alete msaada hali mbaya Bibi anataka kuwaondosheya amani kwenye ardhi yao takatifu thubutu wote hao Wazungu wa East Europe Vishoka 😂
@SwedyMohamed-vt5zm2 ай бұрын
Huyu Manyahu hahitaji mateka warudi nyumbani.Shida yake ni kuua watu.Israel ni taifa la kiiluminant(kishetani) wanataka damu imwagike wanywe.Sasa kuna vilaza bado wanaamini ni taifa la Mungu,labda Yule Mungu wa sanamu waliotengeneza Mussa alipoenda kuongea na M.Mungu pale sinai.
@josephevaristi89232 ай бұрын
Lile ni taifa la Mungu mkuu acha kelele,😆😆
@astroworld20212 ай бұрын
BADAWI POWA
@MasterOil-qm6vw2 ай бұрын
Mbona hawa mashoga tunaskia wao ndio wanaowapiga sana hamas halafu hao hao ndio wanaandamana kutaka vita visitishwe toka vita imeanza hatuja wahi kuskia hamas wakitaka vita isimame wala wagaza kuandamana ili hamas waache vita hii inaonyesha mashoga wanachezea kichapo ila kwakua wao ndio wanaomiliki vyombo vya habari hawasemi kazi Iendelee
@mweyoms55482 ай бұрын
NETANYAHU NA NYANG'AU WENZIE WANAOMTUMA NA ANAOWATUMA, 'WAKE UP CALL' HII WASIICHUKULIE MZAHA. KUNA MJELEDI UNAJONGEA.
@yanja692 ай бұрын
Hao wameuwa na Jeshi la IDF na sio Hamasi maana mabomu wanayo angusha hawaangalii wapi pa kupigaa
@ShehaHaji-k8t2 ай бұрын
Na sasa ivi ao wa palestina w ashashtukia vita na Hezbollah inaiumiza Israel pia
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Kwanza Israel wakitaka amani wamtoe huyo Netanyahu Piliatakaekuja kuwa kiongozi are jeshi ardhi ya palestrina Na tatu wawe huru watu kutwmbeleyana palestrina na Israel nne mateka wote kuachiliwa pande zote
@DodomaTanzania-r5z2 ай бұрын
Mbona Tanzania hatunaga ujasiri wa kuandamana 😂😂😂
@thamani58422 ай бұрын
Kwa kipi?
@africanQueeny-u7o2 ай бұрын
Ata yakaisha ila Gaza awataludia walicho kipata 😅😅😅😂 magaidi yamepigwa kama ngoma asant Netanyau piga mashoga mda wote mwanaume awezi kupigana na shoga aliye tatuliwa malinda😂
@Awatee2 ай бұрын
Kinakufarahisha kuwawa kwa raiya na hatia hichi kicheko chako ipo siku itakua uchungu kwako lzm kikurudi mwenyeo tukuulize askari wa bwana wako nyau wamekufa wangapi ?
@SwedyMohamed-vt5zm2 ай бұрын
Kwani hujui kwamba Nchini Israel ndiko ushoga kisheria ni ruksa?Na wanasiasa wakubwa TU ni Mashoga?Sijui mnaishi dunia Gani.Yaani Bado mnaishi ktk ulimwengu wa filamu za Akina Rambo, Bruce Lee, Chuck Norris.Ati Rambo(commando)MMoja anaenda anateketeza vikosi kibao vya Wavietnam.Enzi hizo ndio tulidanganywa ATI Israel taifa teule haishindwi.Sasa tuna maarifa na taarifa sahihi.Tumeng'amua kuwa Israel ni taifa la Mashoga na ni la kishetani.Ni taifa teule Kwa Marekani na Mashoga wenzake wa Kanada na Ulaya.
@ShedrackShedrack-c2b2 ай бұрын
@@Awatee7
@swalehemusa45462 ай бұрын
Ngoja nikwambie vita ndio imeanza na Israeli hta kaa Kwa aman mpaka kiama ndio kwanza tumeanza alafu kwetu ss kufa ni kawaida mbona
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Tulia wakunyoe ndevu 😂 Acha makombora yarindime Gaza majengo yote yashuke chini
@hawa60522 ай бұрын
Mola ndio mmiliki wa Ulimwengu
@muksinimbaruku12332 ай бұрын
Aya wanaomfagilia Netanyau wako wap wale machizi?
@DodomaTanzania-r5z2 ай бұрын
Lkn mnawajua vzur israel mkikamatwa mapumbu msilete miguno tunacheka kwa zamu
@ShedrackShedrack-c2b2 ай бұрын
Netanyahu hatuna shakanaye tukonaye pamoja mbaka skuyakiama
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Unasemaje sasa 😂😂
@emmanuelsunday83252 ай бұрын
Netanya hakuna kumaliza vita mpaka mateka warudishwe, wananchi waache uoga waache viongozi wao wafanye kazi
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
@frankcryk3241 Acha makombora yarindime Gaza majengo yote yashuke chini
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Piga hao magaidi Hamas piga kabisa 😂
@VictorFungo-b6n2 ай бұрын
Hawana akili hawa pumbavu zao! Huwezi fanya makubaliano na mtu ambae hakutaki na anataka kukuangamiza usiwepo kwenye uso wa dunia
@Kzm-c9u2 ай бұрын
Kwani unaumia ukiwa wapi wewe mzayuni mweusi?
@issalyanali41192 ай бұрын
Wauwawe tu, kwanza mayahudi SI wakristo huku misituni kusini mwa jangwa la Sahara Kuna watu wanateseka ,wakati tela Viv ,,christian 1% tu
@SwedyMohamed-vt5zm2 ай бұрын
Kwa Nini walipora nchi ya watu (Wapalestina)
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Acha makombora yarindime Gaza majengo yote yashuke chini
@HusseinSaguti-sj9nh2 ай бұрын
Jibwabwa nalo laongea?
@muksinimbaruku12332 ай бұрын
Waangalie hao waisreal wenyewe wanafanana kabisa na wapalestine yan ni ndgu, ila Natanyau anaonekana ni mzungu wa Poland kabisa. Kapandkizwa pale
@ronniemalima63252 ай бұрын
Wapalestine na Israel sio ndugu,ni watutofauti kabisaa
@RoseJofrey-i2s2 ай бұрын
Wajinga nyie Israel wameandan kw ajir raiya wao cio kw anijir ya palestina
@AhmedAhmed-z6m7t2 ай бұрын
Israel ni Mbwa
@zebedayokatamaduni96762 ай бұрын
Israel ni mbwa , Wakati anashusha makombora kila siku 😂😂 Majengo yote yatashuka si unaona? Haija wahi kutokea Gaza kupigwa kiasi hiki. Hamasi kiburi chao kinaleta maangamizi Gaza
@paschalmartin95982 ай бұрын
Yaani hamas wanaua mateka kwa makusudi halafu wanasingizia ni mashambulizi ya Israel?