GPS: Wahouthi waishambulia Israel kwa kombora la Hypersonic! Wamelipataje? Netanyahu aapa kujibu

  Рет қаралды 38,150

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 508
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 2 күн бұрын
Kama unawakubali wenetu wa YEMEN gonga like apa
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 күн бұрын
Na wa kubali koliko irãn
@aminaali792
@aminaali792 2 күн бұрын
🇾🇪🔥🔥🔥🔥🔥
@lwakainaza
@lwakainaza 2 күн бұрын
Alla u Akbar.
@princemichael3023
@princemichael3023 2 күн бұрын
Wamepiga bomu alafu akuna aliye kufa 😅😅😅
@SundayMbatia-hr8qp
@SundayMbatia-hr8qp 2 күн бұрын
​@@princemichael3023 Iyo ni massage ndomana wakapga sehemu ya wazi
@FadhiliSolomoni
@FadhiliSolomoni 2 күн бұрын
Wa kwanz leo naomba like jmn
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 2 күн бұрын
Warra DJ smaa Asante🎉
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 2 күн бұрын
Ali unatumia Akili Sana kuchambua Bigup Bro
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 2 күн бұрын
Watu wanamkosoa Ali ila hawazingatii anachokisema wanaangalia zaidi muonekano wake na uongeaji wake ila jamaa anajua sana
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 2 күн бұрын
@@nasibugunda7927 tatizo hawana Iman kama Israel inauwezo Wa kuangusha ballistic missile duniani Israel ndio nchi yenye itelegence Bora Zaid duniani so ni lazima wangekuwa na tarifa mapema
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
​@@nasibugunda7927Vitu vingi anavyoongea Ally ndo uhalisia ulivyo na jamaa anajua sana, Tatizo watu wanapenda kusikia habari za kufurahisha na si habari zenye uhalisia....Keep it up broo, Ally Masubi na Henry mwinuka mnajua snaa
@SamwelRobeth
@SamwelRobeth 2 күн бұрын
@@nasibugunda7927 shida watu WENGINE wazito kwenye uelewa wanamkosea kwa kuwa Hamasaki kuelewa kinachochambuliwa
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 2 күн бұрын
hao wanaokosoa c nawao watuerekezehumu sio kukosoatu
@worldelectro2787
@worldelectro2787 2 күн бұрын
Benjamin Netanyahu ajiuzulu kwa maana ata watu wake hawamuungi mkono kwa ujinga anaofanya Gaza. Yémen wamefanya vizuri sana Iyo ni kama onyo kwa israel, kwa maana mfumo wao wa anga umeshindwa ku intercept Iyo missile. Israel ikeendelea n'a hiyo ujinga atasababisha maafa mkubwa kwa taifa lake
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 2 күн бұрын
kwa sasa anacho subiri ni kuondoka na watu wengi maana anajua akiachana na vita anaangushwa so lazima ashikilie KIDUDE
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 2 күн бұрын
Dah ila vyeo vingine duh sasa mtu unawaza ukiachatu kaz unafungwa duh bola mm ambae sna kitu
@ayoubali-x6n
@ayoubali-x6n 2 күн бұрын
MSISAHAU KM PUTIN ALISEMA NA MM NITAWAPA SILAHA MAADUI ZENU
@trendz_2548
@trendz_2548 2 күн бұрын
Team mzima leo ipo.napenda sana hii segment toka Kenya
@HusseinAli-g9w
@HusseinAli-g9w 2 күн бұрын
Naangalia nikiwa zanzibar kariakoo miembeni big up sana wana sns❤👍👍
@obedysylvester3024
@obedysylvester3024 21 сағат бұрын
Safi sana team hivi ndo vitu vya kuangalia sasa big up guys na wote mnaofatilia Mungu awabariki sana.
@asyajey3479
@asyajey3479 2 күн бұрын
Nawapenda sana mkikamilika wote ❤
@GABRIELGEORGE-qq1nj
@GABRIELGEORGE-qq1nj 2 күн бұрын
DJ SMA KWENYE MAKALA YAKO YA MWISHO UMETUAHIDI MAKALA DEEP KUHUSIANA NA ISRAEL NA PALESTINE TUNAISUBIRI SANA SANA SANA MZEE WA FACTS NA LOGICS🎊🎉🔥🔥
@raydanfrenk
@raydanfrenk 2 күн бұрын
Ww ni pimbi na Dj wako 😅😅😅 kabra ajachambua unajua anachongelea ni upande gan
@djsma255
@djsma255 2 күн бұрын
Ipo jikoni
@Awatee
@Awatee 2 күн бұрын
​@@raydanfrenksi wende BbC uko kwani uliitwa haya na weye nenda uko kwenye taifa la Mungu 😂
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 күн бұрын
​@@raydanfrenkkwani umeitwa huku kaka
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 2 күн бұрын
​@@djsma255 tunaisubiri mkuu
@emaneez
@emaneez 2 күн бұрын
Dj sma . One and 2. Bro your good .
@muhammadharuna-mh7or
@muhammadharuna-mh7or 2 күн бұрын
Wanaomkuba henrry mwinuka naomba like zenu
@AlexGwiha
@AlexGwiha 2 күн бұрын
Hamna mtu humo
@emaneez
@emaneez 2 күн бұрын
Noma Henry . Najua Sanna very diplomatic
@thomasjuma9833
@thomasjuma9833 2 күн бұрын
Niko Kakamega Kenya, Asante
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 Күн бұрын
Big up sana SNS...nasubiria kwa hamu hiyo platform yenu mpya
@SaidyMwajeka-p2v
@SaidyMwajeka-p2v 2 күн бұрын
Huwa mnachambua very good thanks wakuu🎉🎉
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 2 күн бұрын
IRANI NI NEXT LEVEL HAO MBWA IPO SIKU WATAKUJA KULIA KILIO CHA MBWA KOKO😊😊😊
@user-xc6ls9xn8h
@user-xc6ls9xn8h 2 күн бұрын
Safi sana Yemen mpka myaudi akiimbie
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 2 күн бұрын
Na atakimbia tu
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
Akimbie aende wapi wakati yeye ndo mwenye nchi hao warabu niwahamiaji lakin mwenye nchi ni muyahudi
@BakariZaid
@BakariZaid 2 күн бұрын
Bro tuombe uzima you know nothing😢
@BakariZaid
@BakariZaid 2 күн бұрын
Israel bure kabisa
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Күн бұрын
​@@GeraldElias-s7jnchi ipi iyo kwani asili yke mayahudi ni wapi
@lwakainaza
@lwakainaza 2 күн бұрын
Allah u Akbar.
@mamilooutukufu3516
@mamilooutukufu3516 2 күн бұрын
Kiukweli Aly masubi ni fundi aisee Yuko vizur kinyama!! Chuga tunakukubali sana bro Aly masubi
@francomwacha2262
@francomwacha2262 Күн бұрын
Wote tuu wako vzr..
@MohdYahya-z8c
@MohdYahya-z8c 2 күн бұрын
Mungu awabariki hawa jmaa wachambuz wa kipindi hiki, napenda san vipindi vyenu nafatilia san san kutok zenj
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Hamjui kwamba kupiga muda mrefu ndio kunakufanya uwe bora kwenye mapambano huothi wanauzoefu wa kivita kuliko baadhi ya vitengo vya kijeshi ndani ya marekani
@SwedyMohamed-vt5zm
@SwedyMohamed-vt5zm 2 күн бұрын
Kweli jamaa.Hawa jamaa wameshindikana.
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 2 күн бұрын
Kwanza mujue wana Sns Waisrail ni waongo sana so mujue ivo
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 күн бұрын
Uongo gani wakati hata wahudhi wamedhibitisha vivyo hivyo
@MakwegaSaidi
@MakwegaSaidi Күн бұрын
❤ big brothers kwa elimu yenu
@massejobbs4284
@massejobbs4284 2 күн бұрын
Wachambuzi awanaga upande… lakini inajulika vizuri upande wenu ni Libanon, Yemen, Iran na Palestina. … acheni ushabiki. Mnaaribu kipindi , kuwen kati kati.(neutral)
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 2 күн бұрын
Hao wengine inaeleweka sio Ally masubi ..
@Niika870
@Niika870 2 күн бұрын
Wa mbuzi tu hawa Huwa wanaegemea Rusia na Iran
@victorngulwa2311
@victorngulwa2311 2 күн бұрын
Hahahah
@martinisadru9899
@martinisadru9899 2 күн бұрын
@@massejobbs4284 ally masubi yuko vizuri, na inaonyesha yeye ni msomi kuliko hao wengine.
@MustaphaManole
@MustaphaManole 2 күн бұрын
Sasa km unaumia andaa Chanel yako ufanye Ivo uache kubweka kweny Mambo ya watu
@omondiowino7875
@omondiowino7875 2 күн бұрын
Yani Dj smaa anadhani kuwa Israel capability yake iko tu palepale...ile siku Israel itaanza vita to the fullest strength kuna nchi ambazo hazitokwepo tena duniani
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 Күн бұрын
sio kweli, tumeamiishwa tu
@Nassib-h5k
@Nassib-h5k Күн бұрын
Hata yy hatakua dunian
@omondiowino7875
@omondiowino7875 Күн бұрын
@@Nassib-h5k Israel bado IPO sana
@felixrumisha5132
@felixrumisha5132 9 сағат бұрын
Israel anaonea warabu maskini wanaomzunguka pale, ila hana misuli hiyo, tena awashukuru US, Hamas tu kamtoa kamasi
@iddimwamtemi-ow7kn
@iddimwamtemi-ow7kn 2 күн бұрын
Wakwanza leo😊
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 күн бұрын
Leo tuko pamoja mara nyengine❤❤❤❤
@MaulidiMahamudu
@MaulidiMahamudu 2 күн бұрын
Kwakweli hongereni sana Mimi binafsi hupenda sana kuwasikiliza na kuwaangalia kwaajili ya kujifunza na kujua kwa undani kinacho endelea kule mashariki ya kati.
@user-mq9im1wd4x
@user-mq9im1wd4x 2 күн бұрын
Ila kaka Skay tuletee na jamaa mmoja anaitwa Ibrahim Rahby
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 2 күн бұрын
Naungana nawew lakin pia asimsahau thabiti mrangi jamaa anajua sana
@abuuyusratv3796
@abuuyusratv3796 Күн бұрын
Hongereni sana
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 күн бұрын
Wahutu wa Yemen wapo vizuri kuliko wahutu wa burundi
@Beckam254
@Beckam254 2 күн бұрын
😂😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 күн бұрын
@@Beckam254 ehhh jamaa wamepata umaarufu ujue wamepigana miaka 8 sijui Tisa na muungano Wa nchi Kama saudia,Umoja Wa falme za kiarabu na baadhi ya nchi washirika Wa saudia.Hawa Wahutu Wa Yemen vita washavizoea na hawana cha kuputeza.Big up Wahutu
@yusufumwasha548
@yusufumwasha548 2 күн бұрын
Pamoto sana humu hongereni sana
@Williamstozzo
@Williamstozzo 2 күн бұрын
Defense systems siyo tu kuwa zinadungua kila kombora linalokuja ila zinafanya tathmini pia muanguko wa hilo kombora na madhara yake...
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f 2 күн бұрын
Wrong
@yassinhamza1969
@yassinhamza1969 2 күн бұрын
Mfumo wa ulinzi unadungua chochote kinaachopita juu chenye asili ya chuma
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 2 күн бұрын
​@@yassinhamza1969ahsante kaka wewe unaelewa watu huwa hawaelewi lakini wanajifanya wanajua
@husseinc
@husseinc Күн бұрын
Si kweli hizo ni propaganda kuonesha akushindwa kulidungua hili kuficha haibu yemen awezi akarusha kombola hilo la mwendokasi kilometa 2000+ ili likapige bustani ni lazima kuna shabaha muhimu ameikusudia
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 2 күн бұрын
Jaman mm nashangaasana hiv kwamnaosema izarael nitaifa la mungu mbona nitaifa ambalo halina amanikabisa mudawote vita tu inamaana kat ya tanzania yenye amani na izarael wanao ish kwa mashaka mudawote nilip taifa la mungu hapo sierew kabisa yhn
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 2 күн бұрын
Israel anaua. Why wao wapige sehem ya wazi? Poor interigent?? Ujumbe umeshatumwa mara nyingi. They hsve to fo it!!!!
@MikelSitoe
@MikelSitoe 2 күн бұрын
Dini ya kislamu hairuhusu kuua mtu asie kuwa na hatia, ku shambulia sehemu za huduma, za afya kama hospito, sehemu kama shule, ngemana hawa hawafanyi, sio kama hawawezi, Wana weza hayo yote,
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Kaka taarifa zilizopo ni kwamba mfumo wa ulinzi wa israel wa Ayan dou pia umeshabuliwa
@Ibrahlaiza
@Ibrahlaiza 2 күн бұрын
Chanel gani ndio ime report hiyo
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 күн бұрын
​@@Ibrahlaizachannel ya kwako
@Awatee
@Awatee 2 күн бұрын
​@@nasseralhatmi1762😂😂😂😂
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 2 күн бұрын
@@Awatee Ndugu yangu Mimi kusema ukweli hawa Wazungu weusi Tanzania hasa Mashoga Weusi Tanzania huwa nawatukana sana sababu ni Wanafiki wakubwa Tanzania na wana WIVU umewajaa kwahiyo hata uwaelemishe vipi wao ni kupinga Wajuaji kila kitu wanakijua na hapo hapo wanawatetea sana Wazungu hata sijui wana nini? Kwahiyo badala yake Mimi nimeamua kuwatukana tuuuu
@Awatee
@Awatee 2 күн бұрын
@@nasseralhatmi1762 chuki za udini zinawasumbua hawana jipya
@ClarteCom
@ClarteCom 2 күн бұрын
Kipindi changu pendwa
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 2 күн бұрын
Mimi naishi Germany Ila Nina wasiwasi sana ninaposikia hizo ma kilometers: sababu Putin akifika koo na NATO na aamue kurusha kombora moja kwa majirani, sisi Berlin naona tuko Karibu sana.. Vita Bado ndio testing testing.. May god help us
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 күн бұрын
Upo mji gani jirani yangu
@FadhiliSolomoni
@FadhiliSolomoni 2 күн бұрын
Like jmn me wa kwanza
@salehabdallah2274
@salehabdallah2274 Күн бұрын
Mungu awabariki kiukweli mnatupa habar na kuzichambua vizur
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Marekani bado yuko nyuma sana kwenye silaha amejaza plopaganda t na vibaraka na mamluki
@festohaule9716
@festohaule9716 2 күн бұрын
Dunia haina Siri tena..kia mtu anajifua kupigana na kukua kiyasansi
@michaeljuma254
@michaeljuma254 2 күн бұрын
Hata Mimi wakati nimeona hiyo taarifa ya Houthi kuwezesha kombora la hypersonic na kulifikia kabisa Tela Aviv ni habari iliyonishangaza
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
Russia alishawahi kusema, nyinyi mnawapa maadui zangu silaha waniangamize na Mimi nitawapa maadui zenu silaha pia wawaangamize....Naweza Jenga mashiko kwa hii point mkuu.
@michaeljuma254
@michaeljuma254 2 күн бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj tit for tat
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
@@michaeljuma254 Houthi anafadhiliwa sanaa na Iran na pia Iran rafiki ake mkubwa ni Russia( Hizi dots ukiunganisha Kuna point unapata).
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Iran ana njia nyingi za kulipa kisisa cha haniey hawana haja ya kutangaza tena kwamba tunafanya kitu fulani wameamua mwendo wa kimya kimya
@salehsaleh1305
@salehsaleh1305 2 күн бұрын
israil anaishi ila kwa hofo ya kuogopa kifo ila mahasimu zake kifo ni ibada
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 2 күн бұрын
Ila nakumbuka ktk GPS zilizopita maisha wahi kupinga Iran 🇮🇷 hana hypersonic tena mlikataa
@GABRIELGEORGE-qq1nj
@GABRIELGEORGE-qq1nj 2 күн бұрын
NAOMBENI LIKES ZANGU NYINGI SANA KWA AJILI YA BUNDALA DJ SMAA MASUBI NA HENRY MI NDO VIEWER NO1 TODAY🎉🎉
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 2 күн бұрын
Asante snaa GPS... Na wakubali snaaa...
@flm1530
@flm1530 2 күн бұрын
Baadae utaskia free yemen😂
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 2 күн бұрын
Wakajaribu hio hamasi peke yake inawatoa uharo .
@asyajey3479
@asyajey3479 Күн бұрын
Sio rahisi kwa sasa bado ajamalizana na hamas atawezana na Yemen iko kilometer za mabali uko na wayemen kufa kwao kawaida tu huwa hawajali hata 😊
@MussaIdrissa-o4z
@MussaIdrissa-o4z Күн бұрын
Sky ali masubi dj smaa and henry munaongea sana kwakwel muko vzr. Sanaaa katika uchambuzi swali langu nikwamba muna angalau bunduki kila mmoja wenu hapa
@Saletz-j8q
@Saletz-j8q 2 күн бұрын
Nawakuli snaa sns
@JustusNteghay
@JustusNteghay 2 күн бұрын
Mungu hayuko upande wowote kt vita hiyo.Wachambuzi semeni ukweli bila kuegemea supande wowote.Kumbukeni Hamna mchango wowote wa kusimamisha vita wala kuusaidia upande mnaoupendelea
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Күн бұрын
Pamoja frome Oman 🇴🇲
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 күн бұрын
Daah broo Ally Masubi kwenye mambo ya kivita unachangamka sana, ushauri wangu kwako jiungeni na wenzenu mtafute mtengeneze hata satellite broo naona mtakuwa mabilionea wakubwa sana baadae
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE Күн бұрын
jinga la mwisho
@colmanmfoyi2805
@colmanmfoyi2805 2 күн бұрын
brothers mko vizuri
@abubakarimsere
@abubakarimsere 2 күн бұрын
GPS FOR LIFE ❤
@moddyfirrem6475
@moddyfirrem6475 2 күн бұрын
Daah masubi amenoga
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 2 күн бұрын
Mwanetu sana huyo
@josephwaigama-sb8hz
@josephwaigama-sb8hz 13 сағат бұрын
Hi sana
@frankmushendwas37
@frankmushendwas37 2 күн бұрын
Hii gps tunaomba muirudie sauti imekata sana
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 2 күн бұрын
Big up sana GPS
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 2 күн бұрын
Shukurani kiukweli leo tumepata madini bg up iyo chaneli mpy tupo pamoja salut
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 2 күн бұрын
DAR TO LUBUMBASHI CONGO NI 2000KM
@KZee-f7n
@KZee-f7n 2 күн бұрын
Gps for life ❤
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Күн бұрын
Hizi video zitaixhi mda mrefu xan wazo langu mue mnaweka taree kila makala ya GPS
@ChukuMrido
@ChukuMrido 2 күн бұрын
Safi mpo vizuri
@mohdnasser3620
@mohdnasser3620 2 күн бұрын
Yanayo kuja yanafurahisha .wahouthi wamefika kumpaka wa Syria na israel
@AyoubJha-l5j
@AyoubJha-l5j 2 күн бұрын
Maswali mazuri sana na Majibu mazuri zaidi
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 2 күн бұрын
Unakosea mbona meli za marekani na UK na Israel mhuthi anashambulia mbona mhuthi amepiga Israel kwa drone hiyo nayo ameruhusiwa na Irani wakati Yemen alitangaza ana hypersonic, hypersonic hata USA hawezi zuia maana hypersonic zina speed tofautitofauti
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 2 күн бұрын
Kama ni ivo basi israil ni swala la muda tu kupigiga tayari miii naaamini israil hana muda tena
@UUWF
@UUWF 2 күн бұрын
Oya ila hapo kuna unyama mwingi . Halafu Ally na Hendry mnamkimbiza sana smaa
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 8 сағат бұрын
Big up ma broh
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 14 сағат бұрын
Uchambuzi mzuri 🔥
@yuscoramadhan8462
@yuscoramadhan8462 2 күн бұрын
Sahihi ni nje ya mipaka
@mussasaid5572
@mussasaid5572 2 күн бұрын
Nawaelewa sana washkaji keep it up
@michaeljuma254
@michaeljuma254 2 күн бұрын
Nawapenda sana♥️
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Күн бұрын
Nilimsikia kiongozi wa Yemen anasema hilo kombora la hypersonic walilorusha Israel zipo model nyingine Nne mpya mbele ya Hilo....!...hao ni Yemen , je IRAN atamua na silaha za Gani..!
@ramiamisanya9873
@ramiamisanya9873 2 күн бұрын
Hivi hawa miamba 3 kwann wasiingie kwenye Jeshi letu JWTZ ? Mana wana Nondo kali sana pia watalisaidia Jeshi kimbinu,kisilaha etc.
@arttilioemiliam2419
@arttilioemiliam2419 Күн бұрын
@@ramiamisanya9873 aaahahaa hujui midomo ni KAZI ya Wa Tz. Vitendo ndio hivyo Tena. Tunasoma Hadi chuo kikuu hata kijiko Cha mbao hatuwezi tengeneza aaa.. wahara
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 2 күн бұрын
Masubi anaonekana msomi sana huyo jamaa
@FilbertRobert-e4u
@FilbertRobert-e4u 2 күн бұрын
Daaah! Nimeshangaa sana mnajua
@alhudhaify7810
@alhudhaify7810 Күн бұрын
Henry namuelewa sn
@ahmedmishamo8997
@ahmedmishamo8997 2 күн бұрын
Delicious conversation ❤❤❤❤❤
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 2 күн бұрын
Je wakimiliki nyukia siitakiwa baraha
@igurusitv6553
@igurusitv6553 2 күн бұрын
Hatari sana, wacha waendelee kubanwa wasilipate
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 күн бұрын
Wahutu wa Yemen wamekua maarufu kweli
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 2 күн бұрын
Tangia nianze kua mwana sns nimejifunza mengi sn brothers ujumbe umefika na utaendelea so nahitaji kujua zaid kuhs munganyiko wa historia kati zama za nyuma tukiunganisha na sasa.🎉🎉❤
@Josephmashombo
@Josephmashombo 2 күн бұрын
Kazi poa sana jamaa bigup
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 2 күн бұрын
Allah awazidoshie ila mefrah
@inogelapixels
@inogelapixels 2 күн бұрын
Henry Yuko vizuri Sana,ila awe anawapa nafasi na wenzake
@mbux7443
@mbux7443 2 күн бұрын
Heshima kwao
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 2 күн бұрын
Big up brothers from UAE
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 2 күн бұрын
Kubwa sana hii
@user-pd5hl9di2q
@user-pd5hl9di2q 2 күн бұрын
Technology ya vita kwa sasa IPO juu USA na Israel wamekuwa na ndoto za zamani kuwa ndio vinara wa Vita, Israel waongo maafa ni makubwa kituo cha treni kimeshambuliwa na watu wameumia
@MayalaLubala
@MayalaLubala Күн бұрын
Israel lazima aimalize yemen kama gaza nai julikane Mungu ni Mungu wa israel
@jafaribori5428
@jafaribori5428 2 күн бұрын
ninawapenda sana kwakweli ninawafatiliaa kwa ukaribu mmno kutokea hapa England
@golebenson4597
@golebenson4597 2 күн бұрын
Ali masubi mchabuzi bora wa makomboraaa.🎉🎉
@naqiahmad26
@naqiahmad26 2 күн бұрын
mko vizuri maboss
@habibukimwaga5278
@habibukimwaga5278 2 күн бұрын
Napenda sana kipindi hichi
@AhmedAhmed-z6m7t
@AhmedAhmed-z6m7t 2 күн бұрын
Ali Masubi ni Noma kwenye Mambo ya Vita,Ilibidi uingie jeshini
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 2 күн бұрын
Bro sky, Dj SMA, Ally Masubi na Henly kwa hisani yenu nawaombeni mtuletee GPS juu ya jasus wa MOSSAD yule Cohen namna alivyo tumwa syria mpka alipokuja kukamatwa na kunyongwa 1965 nawaombeni
@AGM19697
@AGM19697 2 күн бұрын
Hizo hawatupendi sana
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 2 күн бұрын
@@AGM19697 hawataki wenyewe au nyinyi hapo studio hampendi
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 2 күн бұрын
@@AGM19697 hawataki wenyewe au nyinyi hapo studio hampendi
@user-zh6dw2nh8i
@user-zh6dw2nh8i 2 күн бұрын
Nawakubali sana, ila Kuna mtu ana dominate uchambuzi, Dj sma hapati muda wa kutosha kuchambua. rekebisheni
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 күн бұрын
Mashoga Hata wafe hawasemi Siwanajifanya wana ulinzi kuliko taifa lolote hawana lolote ni waongo wanapiga kilaini kama ngoma wala hawatishi
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 2 күн бұрын
Nimeipenda hiyo
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 45 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,1 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 71 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 37 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 45 МЛН