Nakuelewaga sana mziwanda nauza biashara yang ya icecream inatoka kweli kuptia darasa lako sshv nauza maandazi Mungu akubariki unatusaidia sisi wajasiliamali
@jacquelinewashoto9941 Жыл бұрын
A very good recipe nimejarbu leo maandaz n matamuu
@lucykristensen71453 жыл бұрын
Ni vigumu kufuatia vipimo. Kwa nini usiweke vipimo kwenye discription box. Unaongea haraka huwezi kufuatilia hasa vipimo
@roz39903 жыл бұрын
Maandazi mazuri sana, ila kwa mia mbili mia mbili naona kama unajipunja sana, faida ndogo sana
@wanjikujohnson19582 жыл бұрын
Amazing recipe!
@yasminhafid58973 жыл бұрын
Maa shaa Allah ungeweka zaidi hapo chini vipimo
@siriyangu47243 жыл бұрын
Masha Allah maadazi yamepikika alhamdulilai shukran da
@neemaassey6096 Жыл бұрын
Samahani Dada,, kwa biashara ya maandazi ya Mia mia kwa unga kg 2 unapata maandazi mangap?
@milkamburushi2375 Жыл бұрын
Habari mziwanda?Kama ni ya biashara nikiweka nazi hayata haribika kwa uharaka au kuna kitu naweza weka yakakaa kwa muda
@catherineshehondo97343 ай бұрын
Kama hauna vipimo
@mackyray89303 жыл бұрын
Naweza weka improver badala ya baking powder ?
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Hapana
@jasminenjelekelaa65432 жыл бұрын
Hiyo improved ni nini na ikoje?naomba kupata picha yake
@JaneStivine2 күн бұрын
Mashine ni bei gani nstaks
@mziwandabakers82972 күн бұрын
Inategemea na ukubwa wake zinaanzia 500k
@salomembiku42563 жыл бұрын
Hello mamy.....ulipata maandazi mangapi? Na maandazi hamsini ni kilo ngapi ya unga size hiyo?
@rozinamollel19903 жыл бұрын
uko vizuri dada
@mollenmkwema222 жыл бұрын
Mafuta na twi la Nazi nivya barid au vyamoto?
@adelmarcymallya7723 жыл бұрын
Plz uwe unatuandikia vipimo apo chini
@FATUMASWALIHU Жыл бұрын
mashallah
@maryamjuma10873 жыл бұрын
Maa shaa allah Ramadhan Karim
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin iwe kheri sote
@sakeenaomar57063 жыл бұрын
So nice I like
@junelatifa26183 жыл бұрын
Mashaallah,
@anastaziabeno606211 ай бұрын
Kazi nzur nimeipenda dada km hayo unaweza uza bei gani kwa biashara
@hidayaabdurahman75393 жыл бұрын
Masha Allah
@dorcasauma71383 жыл бұрын
Must I use a mixer?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
It is not a must
@zuhurabini6603 жыл бұрын
MaShallah mandazi lain
@annagracejoseph88343 жыл бұрын
Ubarikiwe
@gladysgeke31942 жыл бұрын
unga umetumia kampuni gani na aina gani dear
@nzeyimanahawa81093 жыл бұрын
Naweza kutumia maziwa fresh badala ya nazi
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ndio yafaa
@astidijakashemeile19183 жыл бұрын
Asante sana
@bertherdaniel30993 жыл бұрын
Hapo kweny vikombe n vile vya robo vdg ndo unapimia au
@faithmdee3 жыл бұрын
Asante
@joannasherlin37883 жыл бұрын
Mashine kubwa kama hiyo inapatikana wapi?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
0768859358
@emilianamakiya64373 жыл бұрын
Je naweza kutumia nazi ya azam na ntaweka pakt ngapi kwa 2kg
@assya483 жыл бұрын
andika vipimo chini
@addalazaro55792 жыл бұрын
Je ya kilo moja vipimo vinakuaje
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Gawanya kwa mbili
@zubedasulmah31352 жыл бұрын
Katika kilo Moja anatumia unga kilo Sugar 1 cup Tui 21/2cup Oil 1/4 cup Hamira 3tspn B/p 1tspn
@brayufulala57482 жыл бұрын
Alafu ukipasha mafuta ukayacomesha huyo unga tofauti ni ipi
@jemazurimafuru29563 жыл бұрын
Mafuta umeweka ya moto na tui la nazi je ni ya moto au bakidi