MABESTE: MKE WANGU AMENIACHA, KACHUKULIWA NA RAFIKI YANGU, NILITAMANI KUJIUA!

  Рет қаралды 212,827

Dozen Selection

Dozen Selection

Күн бұрын

#Mabeste #BDozen

Пікірлер: 1 000
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 4 жыл бұрын
Pole kwa yaliyokukuta wewe na Mwenza wako... Nichukue fursa hii kukushauri mimi kama Mwanaume mwenzako na Baba wa familia kama wewe ... Nimechukua time yangu nikamsikiliza Mama/Mke wako na vilevile nikakusikiliza na wewe vizuri sana na kwa umakini kabisa.. Mabeste, my Young Bro! You have to be a really Gentlemen Jombaa ... Nilichogundua baada ya kuwasikiliza nyote wawili kwanza kabisa jua yule Mwanamke kakuzidi IQ ...!! Hili naomba ulitambue kabisa na ukubaliano nalo kiroho safi na wala sio dhambi ...!! Hakuna kitu kibaya kama Mwanamke kukuzidi akili ndani ya nyumba aisee.., Bora Mwanamke akuzidi kipato/fedha na kila kitu lakini sio akili .. Nikupe mfano kidogo!!, Mimi mke wangu anakipato kikubwa kuniliko, lakini najua kupanga na kuipangilia pesa yake kwa kufanya maajabu ya kimaendeleo ndani ya familia tunayoijenga mimi na yeye, Hii humfanya kupata nguvu ya kuniamini na kuendelea kuchapa kazi na kumfanya mpaka yeye anajua najua majukumu yangu ipasavyo kama Baba halisi wa familia.. Kwenye kipato daima hatuwezi kufanana hata siku moja ... Anaweza akapata zaidi au wewe ukapata zaidi, yote huwa nimipango ya mwenyezi Mungu maana yeye ndio mgawaji, lakini mwisho wa siku Baba lazima usimame kama kichwa cha nyumba ... Lazima uwe creatively ... Ufikirie na kufanya makubwa mpaka mke ajue japo huna kipato chakutosheleza lakini una vision ... So she respect me for that na Mungu aendelee kumbariki...!! Back to my Point:- Kwenye mahusiano lazime kuwe kuna moja (1) na mbili (2)... Wote mkiwa number moja inayofanana ndani ya nyumba basi hakika hamuwezi toboa .. Sasa mimi nakushauri Mabeste, Mimi kama mshabiki wako usienijua ...!! You have to be smart on this issue!! Tena smart kweli kweli... Usikubali kuwa discourage na ili swala hata kidogo ... Usikubali kutolewa kwenye reli ya UBaba na kuanza kuimbishwa TAARABU kwenye MEDIA .. Wala Usikae kwenye media kutumia nguvu kuubwa kujitetea, maana mwisho wa siku yule Mwanamke ni Smart sana wakujielezea kwa kila kitu, Kwani mwisho wa siku jua kabisa atakushinda na jamii ikuona mtu wa hovyo na kuaribu mchakato mzima wa maisha yako, maana yule ni Mke uliebahatika kuishi nae miaka mingi... So!,KAA KIMYA KIUME .. Mwanaume asemi semi Bro, wala Mwanaume aliekamilika vizuri kamwe apapambani na Mwanamke kwenye maneno maneno brother... Huo mda unaupata wapi ..!? Hata aseme nini wewe jitaidi kukaa kimya kikali ... Jifanye uyasikii anayoyasema .. Stay focus na Music wako sasa ... Kama unatumia kilevi cha aina yoyote basi punguza na ikiwezekana acha kabisa ... Weka nguvu yako kwenye mziki zaidi na zaid.. Ukipata kipato hata kama ni kidogo, basi akikisha nusu unakula wewe na nusu tumia watoto wako ... Narudia kusema... "Ukimya wako ndio mafanikio yako ..." Japo hata Mama watoto wako anachangamoto zake according to maelezo yake .. Ila sipo tayari kumzungumzia kabisaaa, kwasababu moja tu, Nyumba akiaribika basi lawama huwa tunamrushia Baba ambae ni kichwa cha nyumba ...!! Go out and Do something, Wala usiogope ... Maana Bado unanafasi kubwa yakubadilisha matokeo kwenye maisha yako ....!! Hakika Na Mungu atakubariki .. ✏
@giftmwinyi7156
@giftmwinyi7156 4 жыл бұрын
Fact 👏👏
@jackypaul8846
@jackypaul8846 4 жыл бұрын
U're the best kaka
@amedeuskimario269
@amedeuskimario269 4 жыл бұрын
bro uko vzr sana ushaur wa maana mno tena niwakudhingatia na kama ataelewa hilo atakua mtu positive kuliko anavyofikir sasa
@haimahaima9135
@haimahaima9135 4 жыл бұрын
Aisee kma ushaur unaweza haswaaa we ni bichwa wa famlia naachache kukuita king of family 🔥❤❤❤🔥
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 4 жыл бұрын
Huyu dogo ni boya maana kwanza yeye ndo alianza kuyaongea mitandaoni.
@mickymikobi1920
@mickymikobi1920 4 жыл бұрын
This guy is a real man much respect from 254 av really learn a lot
@lilianmbaga5685
@lilianmbaga5685 4 жыл бұрын
micky mikobi i wish he finds happiness one day! I just loved him, and felt so sad 😞
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 4 жыл бұрын
Sir, Mabeste kakangu, ungekuwa mzuri hivi unavyohadithia, trust me haungepatwa na yalokupata aki. This whole thing is sad 😢
@majaliwayudah9084
@majaliwayudah9084 4 жыл бұрын
Hapo uzuri haujahusika dada angu
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 4 жыл бұрын
Aiseee bro Mabeste samehee na sahauuu,piaa!nmejifunzaa kitu kwako shukraniii sanaa daah kiatu chako kinabana aisee
@dosianasimon312
@dosianasimon312 3 жыл бұрын
wewe ni muongo na wanaume nyie sijui aliyewaloga nani unafanya ujinge mwenyewe halafu unajitetea nini
@beatricejames6370
@beatricejames6370 4 жыл бұрын
Mabesteeee 8 years without cheating....if its real then your the man i need😁
@beatricejames6370
@beatricejames6370 4 жыл бұрын
Hahh
@patrickhaule3120
@patrickhaule3120 4 жыл бұрын
Nitumie namba za wasap
@siotivii1269
@siotivii1269 4 жыл бұрын
So unahitaji mwanaume muongo
@beatricejames6370
@beatricejames6370 4 жыл бұрын
@@siotivii1269 nooooo we need men lyk him bruh
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 4 жыл бұрын
wanaume Wa hivo walikufa enzi zileee miili yao ipo jumba la makumbusho China India ya kisarawe Dodoma
@mwasambuerick9576
@mwasambuerick9576 4 жыл бұрын
Take heart, bro! Don't sweat over smth you can't control.. Move on with your life. The right person will come and you will be happy again!. Not all people that come in our lives are meant to stay with us forever - some come to teach us, some to use us but the right one will stay
@irenemsangi7933
@irenemsangi7933 4 жыл бұрын
Natamani afanikiwe huyu mabeste,
@gelardmandago3739
@gelardmandago3739 4 жыл бұрын
Amina,
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Hata mie natamani awe na maisha mazuri
@rajabufarahani1418
@rajabufarahani1418 4 жыл бұрын
Kikubwa ni 1-kupiga hela, 2 hela 3hela.........helaaa yaani pesaaa. Mwanaume pesaaa japo sio nyingi kama Bakhressa lkn uwe na ya kuweza kubadilisha mboga.
@magrethmoshy4135
@magrethmoshy4135 4 жыл бұрын
Katika interviews nlizoangalia zenye conversation zenye akili, this is it! Hongera sana sana kwa kujitahidi kuangalia mambo on the positive side, yale tunayoweza kujifunza hata wkt tunapopitia matatizo! i had gone through the same experince 5years ago, so I can relate. Hongera sana, with this spirit utaenda mbali sana, Jah bless.
@evodiakalokola8079
@evodiakalokola8079 4 жыл бұрын
Aisee kaka ongera sana na Mwenyezi Mungu atakusimamia big up sana sana
@jimmymarwamatjr491
@jimmymarwamatjr491 4 жыл бұрын
Dah hizi ndoa bana... Nimegundua why watu wanachinja aisee. But mwisho wa siku hongera bro #mabeste kwa kutambua kuwa kuna maisha baada ya hayo.
@ericsamuel2217
@ericsamuel2217 4 жыл бұрын
My friend mabeste kubali kurekebishwa as man, umeonekana unamapungufu jifunze uanze upya mke atarejea akiona umebadilika, tuwaheshimu wake zetu
@jamesmadeli9814
@jamesmadeli9814 4 жыл бұрын
I pray you bounce back brother, back to top.
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 4 жыл бұрын
Pole sanaaa naelewaa maumivu yako aisee take it easy never gv up songaa mbelee life liendeeee bro@Mabestee ....
@patrickKitambo
@patrickKitambo 4 жыл бұрын
hi daughter
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 4 жыл бұрын
@@patrickKitambo hi dad😊
@patrickKitambo
@patrickKitambo 4 жыл бұрын
@@josephinepatrick6026 , navokilipia ada nyingi hivo alaf wew uko hapa unachat!!!
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 4 жыл бұрын
@@patrickKitambo tutakutana 0m...😂😂
@mcibralipuli640
@mcibralipuli640 4 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu Mungu humjibu mtu kwa wakati wake malipo yapo hapahapa Duniani Leo kwangu kesho kwako.
@peterlujuo1640
@peterlujuo1640 4 жыл бұрын
MABESTE IS A LEGEND, TRUST ME BRO IT WAS JUST A LESSON, TUNAMUHITAJI MABESTE WA "BADAE SANA NA DOLE", WORK SMART WE GOT UR BACK BRUH.!!!
@immanuelcharles2699
@immanuelcharles2699 4 жыл бұрын
Pole sana bro Mabeste, vumilia yatapita naamini. Hyo story yako ni km yng, mke wng wa kwanza aliniacha 2010 kisa tu ckuwa fresh kiuchumi akaondoka na mwanangu. Aliolewa 2011 cha kushangaza mamae zake hajazaa tena hadi leo. But me I'm good na family fresh na 2kids.. Ko km kakuacha kwa dharau hatofanikiwa atakuwa mdangaji tu, nawewe utakuwa poa God bless u.
@janem1875
@janem1875 4 жыл бұрын
Man up n raise you kids… . and respect that lady
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 4 жыл бұрын
Exactly! #Word
@azizihamoudi8318
@azizihamoudi8318 4 жыл бұрын
Respect that lady? For what?
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 4 жыл бұрын
Mzee uliweka ndugu na marafiki karibu na kumsahau rafiki yako wa maisha ambaye ulishazaa nae umezingua Ulimkabidhi baba yako familia mpaka ngumi akamdunda mkeo Dada zako nao wakamwoa Ukaona Pancho ndo kilakitu kwako Mahari ukalipiwa Watoto wamechukuliwa na Rafiki yako Majukumu ya ubaba yalikushinda pambana na hali yako Watoto ni wa mama mzee tafuta pa kuweka wengine maisha yaendelee
@nkeshimanayuda1115
@nkeshimanayuda1115 4 жыл бұрын
Kuna ki2 nimejifunza GOD bless you Mabeste...
@braightonmalela2576
@braightonmalela2576 4 жыл бұрын
Ulimemass up bro. Wish ungemuacha tu afe. Tulihangaika kumuombea mtu anaekuja kukuumiza. But sio case coz hata mm nimepitia hayo bro
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
afe wewe ni mungu,ungekua ata mshaur wamungu ungeua wengi wew
@gabynation5406
@gabynation5406 4 жыл бұрын
Ofu ya mungu inahitajika sana ata Kama mmekosea ila c kwenda kwa rafiki wa karbu
@marthaelias830
@marthaelias830 4 жыл бұрын
Be strong mabeste Mungu atakusaidia ila wanawake sisi yote ambayo mabeste kapimsimamia akiwa anaumwa yeye leo wa kumwacha
@agnesmasaki5069
@agnesmasaki5069 4 жыл бұрын
Daaah kweli Lisa yupo smart Sana kichwani Ila kumuacha mume wake kwenda kwa rafiki wa mume wake siyo Jambo zuri ukizingatia alitumia muda wake mwingi kumuhudumia akiwa mgonjwa no matter alikuwa na pesa or not amejitahidi na ni mvumilivu mno wanaume wengine hawawezi jamani huo ndo ukweli
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 4 жыл бұрын
Lisa kasema huyo mpenzi wake mpya ni rafiki yake yeye lisa. Familia zao wanafahamiana
@chazmnzava1102
@chazmnzava1102 4 жыл бұрын
lv u Agnes..
@bensonsanga3471
@bensonsanga3471 4 жыл бұрын
Du! Jamaa unaona kabisa anaumia kuchezewa hisia zake. Pole sana mzee
@alifatma087
@alifatma087 4 жыл бұрын
Nimekuja hapa baada ya kumsikiliza lisa .. Mwanaume 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@agnesngowi2856
@agnesngowi2856 4 жыл бұрын
Nyuma ya haya yote Kuna chanzo! Na hawa wote bado wanapendana sana! Wakati wa mungu ni wakati sahihi
@adiminsichone5347
@adiminsichone5347 4 жыл бұрын
@@agnesngowi2856 serious hawa wanapendana sana sema watu wa pembeni ndy chanzo cha hawa kuachana
@nornooo7225
@nornooo7225 4 жыл бұрын
Mabest kwa Sasa haupo Sawa kifkra kutokana na changamoto ulopitia hivyo nibora ukaacha kuzungumzia yalopita Kisha Anza upya maisha yako mtangulize mungu katika kila jambo.
@raymondmichael8805
@raymondmichael8805 4 жыл бұрын
Don’t give up men Just doing your own life and don’t forget to pray!
@hajimaulidyhajimaulidy8131
@hajimaulidyhajimaulidy8131 4 жыл бұрын
kweli inaumiza sana pole sana kaka du kumbe unaweza sema unamatatizo lakin kuna mwingine anamatatizo zaidi duuuu
@bigboyben6932
@bigboyben6932 4 жыл бұрын
Kwanza kabisa big shoutouts kwako Twangala umetisha man! Niliohitaji kinoma interview ya Levels kuhusu huyu jamaa Mabeste na issue yake. Happy New Year man. Kazi nzuri dozen✌️
@michaelbwoma2760
@michaelbwoma2760 4 жыл бұрын
Unamkubali Sana B Twelve aisee
@rachelmwaimise2587
@rachelmwaimise2587 4 жыл бұрын
Jamani Wanawake Wenzetu Mnaofanya Hivyo Mnatudhalilisha Wenginne Mtulie Na Waume Zenu Alafu Mbaya Zaidi Mnafunga Ndia Mnakula Kiapo Chanini naikiwa Maisha Kuvumiliana Shida Laa
@nataliekamaka1298
@nataliekamaka1298 4 жыл бұрын
una inocent face lakn baada ya kumskilza lisa nakuona una sura ya kikatil kuliko ata idi amin
@marrywistone3115
@marrywistone3115 4 жыл бұрын
Umeona eeeh
@JeffArosha
@JeffArosha Ай бұрын
@@marrywistone3115 Em nielekezeni nielewe
@H-moneybags
@H-moneybags 4 жыл бұрын
Kaka dawa ipo inaitwa pesa tafuta pesa ngarisha maisha mwanamke mzuri mwengine atakuja then raha inakuja mpya
@stevenngaitv7001
@stevenngaitv7001 4 жыл бұрын
Kweli
@AlissonJB_77
@AlissonJB_77 4 жыл бұрын
Point moja swafi sanaaaaa
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Hiyo ni ukweli kabisa, Mimi mwanamke nakubaliana na wewe
@makoyebq879
@makoyebq879 4 жыл бұрын
Konki sana hiyo
@ntimimwakisole3611
@ntimimwakisole3611 4 жыл бұрын
Jamaa anauhakika gani Kama hao watoto ni wake na si wa huyo rafiki yake??? Afuatilie ajue hilo.
@getrudagodson2810
@getrudagodson2810 4 жыл бұрын
Nimeumia nmelia nimeumia jaman pesa Amekua shetani mkubwa sanaa yaan ukifatilia sana hizi mambo utakufa...😭😭😭 mabeste your the best one tafta pesa takatisha maisha yako mwanamke mzr na watoto wazuri watakuja, uzuri wahii dunia hukumu inatolewa hapahapa 🙏
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 4 жыл бұрын
Shida hapo ni pesa,imeandikwa mume utampenda mke, na mke atamheshimu mume, sasa bila hela utaheshimika vipi,maana kizazi hiki hela ndo inaheshimika na sio utu, wanaume tuendelee kutafuta pesa mengine yatakuja
@georgekaduga2918
@georgekaduga2918 4 жыл бұрын
Kabisaaa
@cindyakiki6623
@cindyakiki6623 4 жыл бұрын
Inshort I believe mabeste tunapopata mwanaume anaekupenda elewa neno KUPENDA KWA SHIDA NA RAHA wanawake wengi wetu hatajui tunachotaka especially wen it comes about true love and affection Ila tunapolosee such Realpeople ndo tunajua value zao in our lives it’s okay nayo Inapita...... I appreciate REAL MEN PESA ZIPO NA ZINATAFUTWA TU...... alafu mwenywe Handsome hatari such good man dah wanawake sisi
@khadijasaidi3722
@khadijasaidi3722 4 жыл бұрын
cindy akiki nakuunga mkonk ndugu yangu halaf huyo lisa aangalie nyuma jamani mwanaume kampambania sanaaaaaa kipindi anaumwa hoiii huyu kaka alikua kama kichaaaa kuomba misaaada ili apone kamuuguza mpka kapona jamanii huyo lisa ni anajitetea tuu jamani hata kama mabeste anamakosa lakin daaah wanawake sisi dooh
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 жыл бұрын
Kuna watu wanamtukana mabeste Lakini kumbukeni wanawake wanajua kujieleza sana hata kama wamekosea
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
kbs
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 4 жыл бұрын
Nyoka na mwanamke si ni ndugu au samahani kwa mama zetu
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 жыл бұрын
Hawafai
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 4 жыл бұрын
@@eliassabbath2480 bro mimi nahisi nahitaji kusimulia wanawake ukoo radion nivile hamna pakusema ila wanawake hawafai
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 4 жыл бұрын
Hawa viumbe wanasiri kubwa sana kat yao na shetani wanaifchaa
@jamespatsonjp4935
@jamespatsonjp4935 4 жыл бұрын
We kijana Mungu anakupenda wenda anakuepusha na jambo kubwa.. usilalamike anza maisha ya kumtafuta Mungu na kumuuliza Mungu ana mpango gani na wewe.. achana na mambo ya kidunia sasa mrudie Mungu ...
@neysaleo6605
@neysaleo6605 4 жыл бұрын
Mimi naona hawa nyota zao hazikuendana maana soon walivyo anza uhusiano ndo matatizo yalianzaa hata vitabu vinasema unaweza ukaoa au kuolewa na mtu ambaye sio wako ni vizuri wametengana kabla maafa hayatokea
@lisajafeti3190
@lisajafeti3190 4 жыл бұрын
Wabongo wanamaneno sana hamuwezi kusema ukweli na ndo kitu kitawasumbua sana, kiukweli huyu mwanaume anajitetea tu hana lolote na namwamini sana Lisa maana atamimi yalinikuta hayo mpaka nikaamuwa kuama nchi
@barakakitiku7720
@barakakitiku7720 2 жыл бұрын
Sema wew sas huo ukwel
@patrickmakoye5314
@patrickmakoye5314 4 жыл бұрын
Tragic story pole , Mshukuru Mungu kwa kila jambo huenda amekuepushia na jambo kubwa sana...
@mavelimathayo6426
@mavelimathayo6426 4 жыл бұрын
Hata mm mwanamke alikuwa na ujauzito wa mwanangu tena miezi 5 alienda kulala mpaka asubuh na bwana wake wa zamani kwa shinikizo la mama yake mzazi ila kaka songa mbere brother mungu uwa analipa hapa hapa mimi mwenyewe mtoto wanamzuia ila baba yangu kanishauli nisigombanie mtoto na kutokuwa na uhuru na mtoto dah inauma usiombe yakukute nina miaka 2 na mwezi npo strong kwakua mungu yu karibu yangu
@gospotv
@gospotv 4 жыл бұрын
NDOA ni taasisi yenye vurugu kuliko zote now days kwasababu PESA ni tatizo.
@scollorpatrick7214
@scollorpatrick7214 4 жыл бұрын
Hongera sana kaka, halafu umpoleee jaman njookwangu baba
@rizdenpopitin2537
@rizdenpopitin2537 4 жыл бұрын
Nimesikiliza interview zote za mabeste na mkewe nikichogundua WANAUME TUTAFUTE PESA
@Nderemi786
@Nderemi786 4 жыл бұрын
True
@tarsilakimaro7006
@tarsilakimaro7006 4 жыл бұрын
Tuko pamoja kaka nimefutilia pande zote uyu kaka mwongo mhhhhhhhhhhhhhhh
@heryerasto503
@heryerasto503 4 жыл бұрын
@@tarsilakimaro7006 hujui tuh jamaaa kafanya vingiii kumsaidia mkewe
@rwehumbizajonathan8689
@rwehumbizajonathan8689 4 жыл бұрын
Imeisha hiyo.
@fadhilimahonya4575
@fadhilimahonya4575 4 жыл бұрын
Mama 👐👐👐
@jamalali3875
@jamalali3875 4 жыл бұрын
Laaa ukweli Mwenyezi Mungu ndie anajuwa.Pambane na Hali Yenu.wek matangaz ya mpira.
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 жыл бұрын
😂😂😂au watoto sio wako mabeste maana had mamamkwe😀
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 4 жыл бұрын
Watoto wote wawili sura ya baba kasoro rangi
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 4 жыл бұрын
The best raper aliyenifanya nianze kupenda hiphop kila kitu ni mapito haina haja ya kulaumu sana
@edwinjackson2294
@edwinjackson2294 4 жыл бұрын
Bro mwanamke atakuvumilia miaka hata 20 lkn inamwisho atakuja atachoka tu ila mama yako hawez kukuchoka so hakuna mwanamke atakayekupenda duniani zaid ya mama amin bro
@touchingsmilemusic
@touchingsmilemusic 4 жыл бұрын
Edwin kweli bro
@thadeimlowe786
@thadeimlowe786 4 жыл бұрын
Woyowoyo woyoooooo rip my momy
@wazirikhamisi4828
@wazirikhamisi4828 4 жыл бұрын
Edwin Jackson Good ndg
@godfreyally7787
@godfreyally7787 4 жыл бұрын
Mabeste hongera sana kwakushinda huo mtihani maana sio rahisi
@alaizza4338
@alaizza4338 4 жыл бұрын
Ukimzalisha ukadhani hatopendwa No , tutamtunza na watoto tutalea tu . ❤
@oliviaelizabeth8076
@oliviaelizabeth8076 4 жыл бұрын
Ndoa zinahitaj kumtanguliza Mungu kuliko chochote yaan nataman ndoa ila naogopa Mungu atatenda juu yako 🙏🏻
@zulfasaid6710
@zulfasaid6710 4 жыл бұрын
mimi nimemuelewa sana mama kendrik chozi la mwanamke alitakiacha salama
@touchingsmilemusic
@touchingsmilemusic 4 жыл бұрын
Basi ndio uruke kwa rafiki ya mumeo???
@zulfasaid6710
@zulfasaid6710 4 жыл бұрын
@@touchingsmilemusic hapana kamsikilize mama kendrik kafunguka na yy nimewasikiliza wote wawili maon yangu tu ayo ila ukweli wanaujua wenyewe
@user-vo1xr7qh5q
@user-vo1xr7qh5q 10 ай бұрын
Pole sana kaka kwa changamoto ilikukuta ila what goes around comes around maumivu uliyopitia ipo siku naye atayapitia Ingawa simuombei ili aweze kulea watoto, amepoteza mwanaume anaejielewa.
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Alafu hii mambo ya kuchangisha harusi muwache!! Bibi na bwana harusi wafanye wenyewe waone uchungu wawena adabu wasiachane simple
@bilihaniadriano9446
@bilihaniadriano9446 4 жыл бұрын
😁😁👍👍
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@najma3268
@najma3268 4 жыл бұрын
Vero Asante sana, mtu anataka kuoa hana hata mahari, pakulala kwenyewe hana Na anataka kuoa
@MtuSafi
@MtuSafi 4 жыл бұрын
@@najma3268 njoo nikuoe mm pakulala ninapo na mahari ipo tena muislam mwenzangu wewe.
@rizikisalim9339
@rizikisalim9339 4 жыл бұрын
@@bilihaniadriano9446 9
@shamsikheri7507
@shamsikheri7507 11 ай бұрын
Daaah,,hili SWALA mwanaume mwenzetu analiongea Kwa uchungu sana wanawake mungu anawaona
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 4 жыл бұрын
Nyie wanaume huwa mnaanz ila sisi tukimaliza inakuwa kesi.mwanamke anajua Sana kuvumilia ila siku akichoka akafanya maamuzi lazima itakuuma wewe mwanaume
@deboramushi8471
@deboramushi8471 4 жыл бұрын
pole sana mabeste nakumbuka kipindi kile mkeo anaumwa uliangaika nae sana kaka yaaani kweli wanadamu hatuna fadhila
@ndetiofisi1679
@ndetiofisi1679 4 жыл бұрын
Kwa sasa tunamsubiria Mc PiliPili akiachwa yule atalia kilio cha Mbwa Koko.
@georgenkya1905
@georgenkya1905 4 жыл бұрын
hahaha😂😂😂
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 4 жыл бұрын
Na ule mtambi ulivomtuna mwaka huu ukiisha bahati
@monicamagige4456
@monicamagige4456 4 жыл бұрын
ndeti ofisi 😂😂😂😂
@carolsmith6695
@carolsmith6695 4 жыл бұрын
Nimecheka yangu yotee waaaaaah
@janetjohn8125
@janetjohn8125 4 жыл бұрын
haahahhaha jamani
@PastorDicksonMwaipopo
@PastorDicksonMwaipopo 4 жыл бұрын
Always challenge its not an enemies, but its a step to another Glory of God!Listen Mabeste and Stamina its a time you Guys to know better God,Abid with him please there is a Victory Ahead of you Guys.My Advise.I love you so much Brothers James 1:12 [12]Blessed is the man that endureth temptation: for when he is tried, he shall receive the crown of life, which the Lord hath promised to them that love him.
@dellahmlay3723
@dellahmlay3723 4 жыл бұрын
Wanaume wengi sasa ni wavivu na kuwaachia wanawake majukumu yao, bro ulichemka Kutojishughulisha kwa kusubiri wife alete, akili akuzidi na kipato pia, lazima msingetoboa, alafu ndoa ni watu wawili na Mungu ndani yenu si watu watanionaje.
@kumalijadaud735
@kumalijadaud735 4 жыл бұрын
Pole sana Bro
@presentergeofrey9510
@presentergeofrey9510 4 жыл бұрын
😢😢😢Daaaah Ulimwengu ni Darasa Gumuu Sana'a....Pole Sana Braza
@romeocyrill6635
@romeocyrill6635 4 жыл бұрын
Aisee twangala kuna part ya muhimu sana umeiacha katika hii interview 1. Maisha yao katika mahusiano 2. Kilichopelekea ndoa kuvunjika. Kwa sababu tunaona kila mtu ana mtazamo wake kuhusu hii issue, kama ni kweli alichokisema lissa basi ndugu yangu mabeste umeteleza, jishushe muombe mama msamaha na tafuta msaada kuachana na tungi au punguza mzee ili mrudi kuwa familia . kikubwa ni kila mtu akubali kwa upande wake amekosea na mambo yanaendelea hakuna kinacho shindikana
@josephvenus3259
@josephvenus3259 4 жыл бұрын
Wewe ni kidume shupavu na umeitetea vizuri brand ya kiume. Hayo nayo yatapita, wewe omba Mungu na upige kazi kwa nguvu zote na utatoboa zaidi. Ila don't return back.
@khadijasaidi3722
@khadijasaidi3722 4 жыл бұрын
Lisa mungu anamuona mabeste kahangaika sana kipind anaumwa jamani alijitoa sanaa hakuona aibu kuombaaa kwaajili yake dooh
@zuhuraabiki1103
@zuhuraabiki1103 4 жыл бұрын
Mabeste sikuelewi nimetoka kumsikiliza Lisa Yuko very smart hapindish maneno Kama wew jipange upya
@petermassawe469
@petermassawe469 4 жыл бұрын
Daaaah ila huyo mke wake si aliumwaga Sana alafu jamaaa akamuangaikia Sana au nimekosea?
@stanslausnyangige5978
@stanslausnyangige5978 4 жыл бұрын
Never beg someone to love or be with you, because when you do, you give them the power to use and walk all over you. When someone truly loves you, their actions will show and prove it to you, and you will never have to convince or beg them to love or be with you. Never beg people to stay against their will. Sometimes the gift of goodbye opens another door for you. Move on, and create the next chapter of your life. Never beg for a relationship. Be brave to accept the one who really wants to be with you and reject the one who just pretends to be with you.
@allycarzola9025
@allycarzola9025 4 жыл бұрын
Dah perfect message at the perfect time.. 👊👊
@roi2554
@roi2554 4 жыл бұрын
Thus why the means of life especially in love sites
@breezybabe0019
@breezybabe0019 4 жыл бұрын
Facts, i hope he would move on from all this, shes not worth it at all!
@teddyklex6618
@teddyklex6618 4 жыл бұрын
this is superb😄🙌🙌 well said Stan
@annakattoa7502
@annakattoa7502 4 жыл бұрын
Sijaelewaa mabeste umeachana na mkeo, simlifunga harusi juzijuzi bonge la harusi 😭😭😭😭😭 jamani mlivyopendana vile
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 4 жыл бұрын
Ndoa nyingi sijui kwann there is no happy ending......
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 4 жыл бұрын
Tusiojua tuamini maelezo ya nani ya Mabeste ama ya Lisa mwaga like hapa tujuane😃😃😃😃
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 жыл бұрын
Too sad mzee....Mungu atusimamie sote sikia kwa mwenzio
@touchingsmilemusic
@touchingsmilemusic 4 жыл бұрын
Hamis kweli bro
@dismindershifa8319
@dismindershifa8319 4 жыл бұрын
Kikubwa nacho kushaur tafuta pesa utunze familia na pia acha kumdhalilisha mkeo mbele ya wtt mwanaume ni kichwa cha familia aswa ukiwa unatoa matumizi sio unalelewa wtt na mkeo
@vibestips
@vibestips 4 жыл бұрын
Dah!! maisha haya. Pole sana mkali
@MylerWyson
@MylerWyson 4 жыл бұрын
Mabeste, mabeste, muogope Mungu!! wewe na família yako mlishamkataa huyo dada na watoto.. tafuta pesa tu brother. Mziki hauuwezi utapotea Mazima.. this is 2020.#tafutakipindicloudsufanye
@abrahmaniomar9858
@abrahmaniomar9858 4 жыл бұрын
lazima delete kila kitu, anza maisha mapya
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 4 жыл бұрын
Lete ushahidi tukuamini
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 4 жыл бұрын
Pole sana kwa yaliyokukuta lakini bado Wema wa Mungu upo kila siku endelea kumwamini Mungu utasimama tena.
@lunalove8119
@lunalove8119 4 жыл бұрын
Guys jamani mkaangalie interview ya mke wake ndio mtajua ukweli wote! Ndio mkewe was wrong but huyu jamaa hajielewi kwenye maisha both kama baba na mume! Inasikitisha sana! But all in all! Huyu kaka alikosea sana! Interview ya mke wake ipo kwenye sauti na simulizi page! Mki type "mke wa mabeste " on you tube mtaona ukweli wote!!!
@catherinemsoffe8366
@catherinemsoffe8366 4 жыл бұрын
Nimeangalia kwa kweli mabeste anatakiwa kujitathimini, alipata mke lakini alishindwa kutimiza wajibu wake
@patricemacky1164
@patricemacky1164 4 жыл бұрын
Acha upumbavu umejuaje kama mkewe ndo mkweli mdangaji wewe
@marrywistone3115
@marrywistone3115 4 жыл бұрын
Asante Kwa kuwajuza Kwa mwanamke ndio Kuna ukweli
@salvatorykyakwe8606
@salvatorykyakwe8606 4 жыл бұрын
Pole sana ndgu yangu
@roseswai5778
@roseswai5778 4 жыл бұрын
In short bro tafuta hela, ndoa yako imekufa sababu hufanyi kazi huna michongo na huna hela. Mwanamke anauwezo mkubwa sana wakumvumilia mwanaume katika shida zote but ikifika hatua hajui watoto wake kesho wakiamka watakula nini, uvumilivu huwa unaishia apo
@ubahahmedy1049
@ubahahmedy1049 4 жыл бұрын
Rose Swai bado si sasabu ya kumsaliti
@getrudeadam5027
@getrudeadam5027 4 жыл бұрын
Hiyo siyo sababu mapenzi siyo pesa ni upendo huyo mwanamke tu hakuwa ametulia
@rosehillary8742
@rosehillary8742 4 жыл бұрын
@@ubahahmedy1049 Uvumilivu kama mtu hakuthamini nasepaaaa Hajamsaliti Kakutana na Soul mate Mwacheni Lisa
@shafiifaraji5534
@shafiifaraji5534 4 жыл бұрын
Lakn unaelewa huyo mshkaj alivyopeteza mapene Kwa huyo Demu
@lilianjoseph2581
@lilianjoseph2581 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@royupendo4585
@royupendo4585 4 жыл бұрын
Pole, Mungu akutie nguvu aisee
@martinl.5497
@martinl.5497 4 жыл бұрын
Nataman jamaa ahojiwe tena baada interview hiii na ile ya mwanamke
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 4 жыл бұрын
Teresa Lawrence yaani unatamani kama Mimi aisee.
@jackjudy9182
@jackjudy9182 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂confidence itapungua
@dazuujuma1211
@dazuujuma1211 4 жыл бұрын
Umeonaaaaeeee ila wanatuzinguwa kila mtu yupo na full confidence huuuuuu hatareee
@rosehillary8742
@rosehillary8742 4 жыл бұрын
kabisaaa
@bakarimussa7383
@bakarimussa7383 4 жыл бұрын
Dah noma kwel
@hameesnassoro7158
@hameesnassoro7158 4 жыл бұрын
Kw yeyote asiyejua chungu ya ndoa au y mapenzi hatoweza kumuelewa mabeste anaongea kitu gn,ila kw yeyote aliyepitia changamoto z mahusiano atamuelewa mabeste. "Waswahili husema kilio ch mahabba kimeuzid msiba"
@victoriamsuya718
@victoriamsuya718 4 жыл бұрын
True
@thadeimlowe786
@thadeimlowe786 4 жыл бұрын
fact
@annalukio3923
@annalukio3923 4 жыл бұрын
True
@jamalhatibu777
@jamalhatibu777 4 жыл бұрын
Mabeste pole sana Man, sio siri unaongea huku roho inauma na nakuona kabisa kwamba unahisi kutoa chozi but unajikaza,anyway bro ukisia uanaume huo ndio uanaume na maamuzi ulichukua ni ya busara japokuwa yanaumiza roho. Mind you watoto kama ni mali yako halali hawapotei kamwe watakuja acha jamaa akulelee cha msingi forget each n everythin assume kama vile hakijatokea kitu na kama vile hukua kwenye ndoa so ndo unaanza maisha, pambana na life lako nakuhakikishia kama kakuacha kwa ajili tu ya fitna za waja eti kwa kuwa huna kitu, atarudi kupiga goti kwako hata ipite miaka kumi.Mm nakueleza kwa ushuhuda yameshanikuta na baada ya miaka kumi kule alikokua mwanake penzi halipo tena anarudi kwngu analia wakati tayari nina maisha mengine na mke mwengine analazimisha japo awe mke wa pili. Niliteseka kama ulivyoteseka wewe lkn now nina aman huwezi amini na maisha yanasonga.
@godfreymrema5436
@godfreymrema5436 4 жыл бұрын
Issue ya ndoa sometimes n complicated sana aise, let's make a right choice b4 atujaingia kwenye ndoa kwa wale ambao atujaingia otherwise tutapata tab sanaaaa
@jerryjbank9242
@jerryjbank9242 4 жыл бұрын
Nyie mnaomzingua mabeste baada ya kuangalia interview ya Mke wake Lisa hv mnashindwa kupevuka kwa kuconnect dots na kujua wapi walikwama. Anyway mi nlichoelewa mabeste hakuwa tayar kwa ndoa na hata hakuwa tayar kupata watoto meaning hakuwa tayar kwa responsibilities za kifamilia ndmana hakuwa committed for the family issues. Hyo ni kawaida kwa ndoa za siku hz unakuta kwny mahusiano mmoja ndo analilia ndoa mwngne ypo ypo tu na sio kwmb hataki bali hayupo tayar kwa muda huo. So ukisikiliza pande zote mbili mabeste anaonekana amezingua lkn nikichukua maelezo ya mke wake naona dhahiri kuwa mabeste hakuwa tayar kuanza maisha ya kujenga familia na alionyesha hayo tangu mwanzo wa ndoa Yao. Long story short!
@maatumkombo7962
@maatumkombo7962 4 жыл бұрын
Msemo msema pweke hushnda kweli mke ni mvumilivu sana ww ndiye hujielew mabest
@africangirls482
@africangirls482 4 жыл бұрын
Ww ndo hujielewi
@heryerasto503
@heryerasto503 4 жыл бұрын
Hujielew ww
@matechtv6876
@matechtv6876 4 жыл бұрын
Wewe jamaa!! Utakuwa hujielewi na huwajui wanawake!! Kama hujaoa basi oa, au olewa then you will see!! Kwa hiyo family kuna side part ambayo influence hii ndoa kuvunjika.
@maatumkombo7962
@maatumkombo7962 4 жыл бұрын
Mmesikiliza na mkewe au mnakurupuka huyo mabeste sio mume ni gume gume kama nimwaname asingeangaika kwenye media kujisafisha wkt ukwel anaujua ukiona mtu anapeleka mambo ya ndoa ktk media ujue huyo ameishiwa na aluowa kwa ajili ya mitandao cio kwa ajili ya mungu pole zenu nyooote mnaounga mkono ujinga wa mabeste
@keagleeagle821
@keagleeagle821 4 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba kila mtu anaongea ukweli wa upande wake. Nilichoona hawana good communication skills Kila mtu alikua anaumia upande wake. Wote wapo sawa. Lisa kaelezea vizuri sana matatizo ya kisaikolojia aliyopata lakini huyu Mabeste nae ana matatizo makubwa zaidi ya kisaikolojia japo hajafunguka.
@gospotv
@gospotv 4 жыл бұрын
Umeongea point ya msingi sana
@grayxonmmary6893
@grayxonmmary6893 4 жыл бұрын
mabeste unaweza ukawa upo sahihi bt tambua kujieleza hujui an yule mwanamke anajua pia wew nidhaifu kwenyehilo nimeskiliza interview yake Yule mwanamke kakuzid akili (IQ) so kushindana nae huwez Muhimu be silent bro! Tafta pesa Kunaukweli ndani yako bt Uzaifu wako ataendelea kukuadhibu ukishindana nae Mwanamke anaakili sana yule.......
@kalundehassan9121
@kalundehassan9121 4 жыл бұрын
She is very smart
@jasmineally1493
@jasmineally1493 4 жыл бұрын
She is very smart....he has lost a good wife
@geocstarfish1739
@geocstarfish1739 4 жыл бұрын
Hii ni movie, kwanza mwanamke siku zote hakosagi sababu ya kujitetea. Pili inaonekana sababu kweli ni Mabeste kukosa hela na inawezekana uyo rafiki wa Mabeste alitumia udhaifu wa Mabeste kuwa empty mfukoni kumteka Lisa. Labda Lisa alienda kuomba msaada wa kifedha akapewa conditions ambazo mwisho zilimfanya aone Mabeste hafai kabisa ila rafiki yake ndie bora. Wanawake Wanawake.. Pesa na maisha mazuri, vyote vinatafutwa. Ipo siku Mabeste atapata alafu Lisa uaibike. Inshort nimeuelewa ukweli wa mwanaume kuliko mwanamke sababu nawajua tangu na tangu kwakuwa nimeanza kuwa shabiki wa Mabeste tangu ...Baadae sana... Na kuna time niliwai kuchat nae km fan wake. Namwelewa sana jamaa "Eti anahudumia familia na mwanaume haulizi pesa zinatoka wapi, hana wivu." "Eti anampiga mbele za watoto." Hizi pointi ndio majibu ya mgogoro wao km utaweza kuchanganua akili na kujua tayari jamaa alikuwa kaishaingilia ndoa yao. Kila raheri mabeste.
@hamispeter9043
@hamispeter9043 4 жыл бұрын
Dozen hebu tafuteni mic zikuweka kwenye nguo mambo yaende kisasa
@fastermore8726
@fastermore8726 4 жыл бұрын
Pole mr sirudi tena
@deogratiaschristopher3382
@deogratiaschristopher3382 4 жыл бұрын
Wanaosema mwanke ndio anamakosa adondoshe like apo tujuane
@catherinemsoffe8366
@catherinemsoffe8366 4 жыл бұрын
Kamsikilize make wa mabeste utaelewa.
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 жыл бұрын
Wanajua wenyewe na mungu wao
@deogratiaschristopher3382
@deogratiaschristopher3382 4 жыл бұрын
@@teddygabriel5662 kwel lkn
@deogratiaschristopher3382
@deogratiaschristopher3382 4 жыл бұрын
@@catherinemsoffe8366 Daaah kwel nimemsikiliza yule Dada its so pain
@ibrahshowtz
@ibrahshowtz 4 жыл бұрын
Ndoa ni bahati... Moja ya mistari ya mabeste👉 "Kuacha ngumu/ utaachwa mpaka ujue mapenzi upofu/ huna chako guy BAADAE SANA" Ila pamoja na yote wew ni SHUJAA Broh.. Ila dah walimwengu nyoko sana, huyo mama mkwe duh, broh whatever the case, you still have your fans intact at least hao hajawachukua toka kwako, tupo pamoja na wew bado. And naelekea kuchek kazi yako then nimchek na stamina na yeye..!!
@abdymrishachanzeghe3103
@abdymrishachanzeghe3103 4 жыл бұрын
Ukimsikiliza mkewe unamuelewa lkn kama unawajua wanyaturu hushangai wanajua kuficha ukweli lkn nimadem nuks
@estherpaul6938
@estherpaul6938 4 жыл бұрын
Abdy Mrisha Chanzeghe kabsa na niwachafuuuu aswaaaaaaa niko nao mfyuuuu
@abdymrishachanzeghe3103
@abdymrishachanzeghe3103 4 жыл бұрын
@@estherpaul6938 nimeishi na hilo kabila ila mwisho nkishindwa
@juliettejasonlymo9911
@juliettejasonlymo9911 4 жыл бұрын
Ni wanafki hujawahi ona
@jisamjoseph4558
@jisamjoseph4558 4 жыл бұрын
Hata mi nmeachana na mnyaturu niwashenzi
@asiamwarabu7510
@asiamwarabu7510 4 жыл бұрын
Wana dagidagi wanyaturu tuuh
@judithsolanus5852
@judithsolanus5852 4 жыл бұрын
Binafsi nimemwelewa sana mabeste
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 4 жыл бұрын
Mwanamke hawezi kukuingilia kazi zako na ushindwe kufanya kazi...unless wewe uwe ujui nini unafanya...! Acha kumsema mama kendrick mzee!
@effieyange5392
@effieyange5392 4 жыл бұрын
pole sana
@fatumaseleman1579
@fatumaseleman1579 4 жыл бұрын
Mabesti jamani my FATUMA nipo singo njooo kwangu
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
mwenzio anakimbia mkosi wewe unautaka
@marykessy7042
@marykessy7042 4 жыл бұрын
Mfupa uliomshindaa fisii utauwezaa
@irenebeatus9481
@irenebeatus9481 4 жыл бұрын
Hehehe yule mwanamke kichwa vilekamshindwa we unaweza.
@kokudo8389
@kokudo8389 4 жыл бұрын
Muhimu Umesamehewa big up brother
@musadicksonmakanga3743
@musadicksonmakanga3743 4 жыл бұрын
Nimewasikiliza wote, Mabeste na mke wake. Kuna mambo nimeyagundua.. Kwanza, mwanaume anaweza kuvumilia mwanamke mgonjwa, aliyetengwa, asiye na hela na asiye na ramani lakini mwanamke hawezi kumvumilia mwanaume mzima wa afya lakini aliyekwama kiuchumi. Pili, mwanaume anaweza kukubali kuvunja mahusiano na ndugu na marafiki zake kwa ajili ya mwanamke lakini mwanamke huyohuyo anawezi akamwacha mwanamume wake ili tu kuwaridhisha ndugu zake, jamaa na marafiki. Tatu, mwanamke anaweza tembea na rafiki wa mume wake na akaona poa lakini akamwacha mwanaume aliyekuwa mwaminifu miaka nane huku akidhani anaenda kuwa na furaha aendapo. Mwisho, mwaume anaweza ongea kwa dakika 27 na nusu akaeleweka lakini mwanamke akamjibu kwa zaidi ya lisaa na asieleweke. All in all, wanaume tutafute pesa, na tusiache kuwapenda japo wazingua. Kuna wachache wema.
@hudsonmlayjr4577
@hudsonmlayjr4577 4 жыл бұрын
bullshit bro huyu mwamba ni muongo
@faridamzamil3130
@faridamzamil3130 4 жыл бұрын
Fact😚
@Mr.Eden_official
@Mr.Eden_official 4 жыл бұрын
Bro unajua sana.yule mwanamke ana mawazo ya kishrikina.halafu ni aina ya watu wenye tabia za kukomoana.sio mtu wa kutoa msamaha.naona ana kibri. Cha asili kinacho tokana na hali ya kujiona bora kuliko wengine
@frankremmyriwa4917
@frankremmyriwa4917 4 жыл бұрын
Mabeste bro! Pole sana kwa yaliokukuta mwanamke sio ndugu yako !! They make this world worse
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 20 МЛН
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 553 М.
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН