Hugs mum mungu akufariji pamoja kutoka kenya pia tuna husuni sana
@shanifesto90373 жыл бұрын
Pole sana mama Janeth ,,msiba huu ni mzito sana ,,dahh Ee mwenyezi mungu mpokee baba yetu,,inauma sana sana
@sulaymanwaziri44553 жыл бұрын
Dah!!! bado akili yangu inashindwa kuukubali ukweli,, numia sana sana moyoni 😭😭😭😭😭
@ManuTV03 жыл бұрын
Pia mm
@shifaaal-baity45033 жыл бұрын
😢😥
@rosemarykiarie29963 жыл бұрын
Rambi rambi kutoka Kenya...Mama Janeth mwenyezi mungu akupe faraja kwa maana ndiye mume wa wajane, awe sehemu yako kwa kila jambo utakalo hitaji...Kumbuka kiapo kile ulichoapa"hadi kifo kitakapo watenganisha" mavumbini tulitoka mavumbini tutarudi. Mwanga wa milele aangaziwe apumzike kwa amani.Amina.
@nasrataji57523 жыл бұрын
Pole sana mama Janeth hakika ni pigo kubwa sana kwako napia kwa watanzania kwa ujumla, Ni majonzi yasiokwisha 😭😭😭😭😭
@irenekathoni30143 жыл бұрын
It really hurting...I can't believe it...may you comfort us
@serianjamal82543 жыл бұрын
Pole sana mamaangu Janeth nimeumia sana apumzike kwa amani babaetu mpendwa
@richielumamboofficial7213 жыл бұрын
Pole sana mama janet❤️🙏🏾🤞
@haroonchibwana62533 жыл бұрын
Innalillah waina ilahi rajeeon. Go well son of the soil, son of Africa. Africa is proud of you.. We may not come from the same country, but we shared your vision. A great Leader you were, a proud African. I am not Tanzanian, but your love for the Africa continent spread all over Africa and beyond, You gave us hope, you gave the young politicians the reasons to join the political field. Your Leadership style, touched a lot of Africans. You believed in your people, you decided to die in the eyes of your own people. May GOD receive you well and May HE forgive your short comings. RIP John. We will forever remember you.
@pendopendo74273 жыл бұрын
Pole sana mama yetu kipenzi😭😭😭😭
@nthukandunge94643 жыл бұрын
May the lord comfort you during this hard moment..poleni Sana watanzania
@mwash77773 жыл бұрын
This are real hard times. Sorry for Tanzania for the loss of a great leader. Bt pls viongozi mask ni muhimu sana kwenye umati wakati huu. With all humility n respect
@richardmfinanga62223 жыл бұрын
Pole sana mama Janeth
@estherwafula69323 жыл бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu kweli msiba mzito
@sabrinaiboma24443 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama yetu kwa kipindi hichi kigumu kwako ..najua una maumivu makali mpendwa...jeraha zito sana...kusahau kwako ni pagumu ila Mungu apate kukufariji AMEEN 🇹🇿🌏😭😭💪
@janethkilauli98513 жыл бұрын
Pole Sana mama kwa msiba huu nzito , mungu akupe nguvu faraja na uvumilivu ktk kpnd hk kigumu, hkika inauma Sana mungu akawe faraja
@husseinboru29363 жыл бұрын
Poleni saana marejeo ni kwa MUNGU
@paulinalohay34133 жыл бұрын
Pole Sana mama yetu Janeth mungu akutia nguvu
@dedankinyanjui21853 жыл бұрын
This hurts terribly feels like you have lost your own dad...poleni sana ndugu zetu watanzania
@sskondopoleani96163 жыл бұрын
Pole BiJanet Magufuli. Allah akufanyie wepesi.🙏🙏
@Josephabela3083 жыл бұрын
Pole sana mama yetu na family na wa Tanzania wote wenye mapendo na inchi yao.
@mugiarnezaariela82773 жыл бұрын
Poleni Mama mwenyenzi mungu atakulinda😭
@angelkimaro9233 жыл бұрын
Sitaki kuamini jaman uwiiiii naumia mpka nashindwa kufanya kila kitu nilikua nampenda sana Rais wangu Magufuli nenda baba ukatuandalie makao
@abelmchenga503 жыл бұрын
Pole sana mama etu mungu akupenguvu Pomoja na uvumilivu tuko pamoja nawe taifa zima limeumia sana rais wetu acha tumshukuru mungu
@benitasebuhoro49043 жыл бұрын
Pole mama yetu Mungu akutie nguvu sirahisi kupokea nakuzowea lakini tunayo Imani kwamba baba yetu amekwenda kupumzika Mungu amulaze pamoja nawatakatifu
@fardamatungulu75763 жыл бұрын
pole MAMA mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu
@hadijahblessed26303 жыл бұрын
😥😪😥😪😥😪😥😪
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Mama Pole Sana.... MUNGU akupiganie Sana....
@esterkawogo50643 жыл бұрын
Pole sanaaaa mama mpendwa wa baba yetu.tuzidi kumwombea apumzike kwa amani .nivigumi kuamini.daa mora weee tusaidie.
@dorinaochieng11413 жыл бұрын
Pole Sana mamaang
@neemamtega7373 жыл бұрын
Mungu akupe faraja kwa kipindi hiki cha simanzi mama janeth
@MrJojofreight3 жыл бұрын
Be comforted mama Janet Magufuli
@rezegerezege6913 жыл бұрын
Mama yangu pole sana hakika😭😭😭😭😭😭😭😭
@priscacharlescharles90143 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mama 😭😭😭😭😭😭😭
@robertigohe93383 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akutie nguvu mama yetu Janet Magufuli na awe faraja ktk maisha yako yote
@kigosigo70203 жыл бұрын
Pole mama
@flossykelly50373 жыл бұрын
Mungu atutie nguvu kwa wakati huu mgumu😭😭😭😭
@sarahsarah49193 жыл бұрын
Pole Sana mama janeti magufuli
@catherinekakusa81573 жыл бұрын
Pole Sana kwana family 😭😭😭😭🙏mungu amitiye nguvu
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Siku zote nasema mchawi Ana afadhari kuliko mnafiki, mnafiki ni mtu mmbaya Sana, Anaweza kuwachonganisha mkauwana nandiomana nasema mnafiki nizaid ya mchawi,, mungu nifundishe kunyamaza halafu makucha ya unafiki huwa ningumu kufichika loh nikimtizama delila akimfariji mama janeti na mambo anayoyafanya na kumchafua magufuli ndio najifunza kitu, ila awali ya yote barikiwa sana we bibi ila kila nafsi itaonja mauti, mauti ni mlango ambao kila mtu ataupita hivyo basi wenzetu wa Kisha tangulia mbele za haki tuwaombee duwa na kumuomba mungu awasamehe walipokosea ili nasisi tu Kisha ondoka katika hi Dunia tupate kuombewa na tunao wacha huku nyuma
@amourmtungo69413 жыл бұрын
Poleni wafiwa. Sote ni majani tu na kila jani lina siku yake ya kudondoka😥
@christinarobert30543 жыл бұрын
Pole san mam yetu janeth mungu akutie nguv
@bintimohamed26463 жыл бұрын
Pole Pole sana sana Mama Magufuli. May he soul Rest In Peace We are going to miss you so much daddy Clean heart and was (. HORE) 🙏🏽🙏🏽😭😭😭😌🇹🇿🇰🇪😭😭😭💔💔
@sengabebe85603 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭
@ahmedabdullahi6253 жыл бұрын
Poleni sana
@twiseghekisilu88453 жыл бұрын
Haya maumivu sijui yatatuisha lini watanzanzania jamani! Mungu ingilia Kati baba hatuwezi wenyewe.
@robertigohe93383 жыл бұрын
Hata katikati ya giza nene katika familia na taifa,Mungu yupo
@ibrahimrajab17023 жыл бұрын
Pole mamaetu
@wivinaschalion97953 жыл бұрын
Dah mama wawatu anatamani ingekuwa ni ndoto akiamka amkute Mungu akutie nguvu mama viatu vyako nivizito siwezi kuvaa
@benjaminkimaro83483 жыл бұрын
Dah😭😭🇹🇿🇹🇿
@annastaziadaniel23083 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@ibrahimrajab17023 жыл бұрын
Innalillah wainailaih rajiwn
@cidewashington6703 жыл бұрын
Ina lillah waina illah rajiun
@nusratbintabdullah57133 жыл бұрын
Soo sorry my his soul rest internal peace 😭😭😭😭🇺🇬
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@mathiaszakaria70523 жыл бұрын
Inahuzunisha Sana kwakweli😪
@nassibuhaule34503 жыл бұрын
Pore Sana janethi kwakupoterewa na jembe ra family
@zandinesualne7673 жыл бұрын
Zandine
@zandinesualne7673 жыл бұрын
Zandine. Sualn
@mwainehajji82023 жыл бұрын
Pole sn mama etu najuw vp maumivu unayo yapat man na mm nishafiliw na mumu
@cheiknamouna20583 жыл бұрын
Nani kaona mlinzi wa anko bado anamlinda mama J lakini ningependa zaidi wavae tu barakoa jamani kwa huu muda
@alhamudyalhamudy20153 жыл бұрын
Kuna baadhi ya masheh wanasema nidhambi muislam kumuombea duwa mkrost sasa hapavip hebu tuekeni sawa
@minzaikekashololo58623 жыл бұрын
Nimekusikitiatu kaka dah
@dintazdintaz73113 жыл бұрын
Huyo ni kiongoz wa nchi nzma na nchi haina dini rasmi ndo maana unaona kwamba hata magu alikua anaingia amsikitin ki2 ambacho hata sisi wakristu hatutak
@yahayab4u6143 жыл бұрын
Iyo dua inaishia umo ndani
@husseinboru29363 жыл бұрын
Kila mmoja na amali yake tumwachie Mungu
@nuruelmada95703 жыл бұрын
Kwakua Waislam ndo wana Mungu, Si ndio!!!?
@humoudmohammad31253 жыл бұрын
.
@angelkimaro9233 жыл бұрын
Sitaki kuamini jaman uwiiiii naumia mpka nashindwa kufanya kila kitu nilikua nampenda sana Rais wangu Magufuli nenda baba ukatuandalie makao
@robertigohe93383 жыл бұрын
Hata katikati ya giza nene katika familia na taifa,Mungu yupo