MADHARA KUOA /KUOLEWA-MWAKASEGE

  Рет қаралды 17,612

GospelHabari

GospelHabari

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@Adelina-w3q6n
@Adelina-w3q6n Ай бұрын
Hii semina inaitwaje watu wa Mungu?natamani nipate muendelezo wako ,asante sana mtu wa Mungu
@emmanuelmushi5834
@emmanuelmushi5834 7 ай бұрын
Daaa nilikuwa sielewi mwalimu ndio unanifunguwa Nimepata shida sana
@JemaJema-m9q
@JemaJema-m9q Ай бұрын
Mungu naomb unisaidiee yan hyo nimim nashukuru sanaaa mtumishi wa mungu somo zuli tumejifunza kit2 pia naomb uniombeee maan name napia hyo
@RachaelPatrickRachaelPatrick
@RachaelPatrickRachaelPatrick 7 ай бұрын
Mungu nisaidie nipate mwenza sahihi katika maisha
@TulasupaSanga
@TulasupaSanga 8 ай бұрын
Aminaa mtumishi wa Mungu naomba uniombee nipate mwenza ambae ni sahihi kwangu Kila ninaempata kwenye dini yangu ananiacha na kwenda kuoa inanipa. Shida najiona Mimi nimwenyezambi sana niombee najisikia vibaya sana mwalimu 🙏🏿
@gospelhabari
@gospelhabari 8 ай бұрын
Tutazidi kuomba kwa ajili ya hilo
@Hosiananaaly
@Hosiananaaly 7 ай бұрын
Ilinitokea mchungaji acha tu mungu aitwe mungu haina maelezo nashukuru mungu amenitoa.illa kinacho nichanangana naota ndoto amemchukua mtoto wangu anaenda madrasa hicho kinaniumisa sana kwa sasa.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 5 ай бұрын
Pole Napia Kwa Dini Ya Kiislam Kama Aukufunga Ndoq Nae nawewe ulibaki na Dini Yako Yaan Mtoto Ni Wako Unaweza Mpeleka Kwa Dini Yako Fuata Sheria Za Dini Yao Upate Haki Yako
@JemaJema-m9q
@JemaJema-m9q Ай бұрын
Nimebalikiwaa sana nahilii somo limenigusaa sanaa
@anithayohana6063
@anithayohana6063 8 ай бұрын
Mmh aiseee...Mungu n mwema kwangu...
@KelvinKabuka
@KelvinKabuka 3 ай бұрын
amina na nataka nioe ila najifunza jambo la msingi sana🙏🙏
@HamisaIbrahim-n8q
@HamisaIbrahim-n8q 8 ай бұрын
Yan huyo ni Mimi kabisa mungu nisaidie
@gospelhabari
@gospelhabari 8 ай бұрын
Amina
@Hosiananaaly
@Hosiananaaly 7 ай бұрын
Mungu anipe mtu sahihi
@MariethaElgius
@MariethaElgius 2 ай бұрын
Huyoo nimimi kabiaaa
@NuruNgole
@NuruNgole 8 ай бұрын
Mungu anisamehe.naanipe ushindi hili somo langu kabisa. Mungu nimwaminifu kwakweli anatupenda
@gospelhabari
@gospelhabari 8 ай бұрын
Amina
@WinnieLeonard
@WinnieLeonard 8 ай бұрын
Ni kweli mtumishi niombee MUNGU anisaidie maana ni kama unanisema mimi
@ZawadiCharles-k1x
@ZawadiCharles-k1x 2 ай бұрын
Niombee mchungaji jaman nipate mchumba sahihi
@FeristerBenah
@FeristerBenah 2 ай бұрын
Mchungaji ninikifanyike kama tyr familia mbili wameshaungana
@VeraHeneriko-fn4gv
@VeraHeneriko-fn4gv 9 ай бұрын
Matunda makubwa na madogo
@charlesleonard-xz2ip
@charlesleonard-xz2ip 4 ай бұрын
Amen
@Floricious-1417
@Floricious-1417 8 ай бұрын
Mungu zzidi kunitia nguvu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@gospelhabari
@gospelhabari 8 ай бұрын
Amina
@JofreyElisha
@JofreyElisha 8 ай бұрын
Am in a dado,,
@VeraHeneriko-fn4gv
@VeraHeneriko-fn4gv 9 ай бұрын
Mti na matunda
@sethkitomary8315
@sethkitomary8315 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@lostanguvila7761
@lostanguvila7761 9 ай бұрын
Amen
@johnchambo1763
@johnchambo1763 6 ай бұрын
Amen
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: KIBIBLIA MWANAMKE NI NANI.  [ 1 ]
45:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 446 М.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 876 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,3 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 9 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
HATARI YA KUOA AU KUOLEWA NA MKRISTO
11:49
USTADH OMAR
Рет қаралды 7 М.
Namna Majeraha ya Moyo Yamefunga Maisha Yako | Rev. Dr. Eliona Kimaro
12:39
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 10 М.
Ushuhuda kuhusu Mwl Mwakasege Mwaka 2003
37:58
Injili Tv
Рет қаралды 14 М.
Gordian Newton na Upendo Nkone wakiimba pamoja na mwl mwakasege
13:19
Gordian Newton
Рет қаралды 116 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 75 М.
UNAWEZAJE KUSTAWI KATIKATI YA MATATIZO.
24:47
FRANCIS MWASHAMBWA
Рет қаралды 151 М.
MWAKASEGE. KUTOKUAMINI WAKATI UNASHIRIKI CHAKULA CHA BWANA KUNAMUWEKEA MUNGU MIPAKA YA KUKUSAIDIA[5]
1:00:36
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 20 М.
5A. MPE MUNGU MOYO WAKO AUANDAE KWA YALE YANAYOKUJA  || Mwl Christopher Mwakasege || KAHAMA
33:51
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 28 М.
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,3 МЛН