Namshukuru sana Mungu kutupatia Mwalimu Mwakasege ambaye Roho wa Mungu yupo ndani take.🙏🙏.
@betinaernest2766 Жыл бұрын
NiliwAhi kuota ndoto Fulani ilikuwa ngumu Sana kuitafsir na hata mpaka leo hii siikumbuki,, baada ya kuiota hiyo ndoto nikaamka usiku huo huo na mda huo huo nikamuomba mwenyezi mungu anipe lugha rahisi niweze kuielew ile ndoto yaani anioteshe ndoto nyingine iliyo rahsi niweze kujua, nilivyolala tu haikupita mda mrefu nikapata mafunuo makubwa yaliyorahisi Sana ambayo hata mtoto mdogo anaweza kujua... Asante mungu
@saraphinasalila9202 Жыл бұрын
Ameen
@MESIAMWALUJOBO Жыл бұрын
Betina naomba mamba y'all pls
@celinayohane79943 жыл бұрын
Damu ya Yesu ikanene mema maishani mwako baba 🙏.
@ikanaelmshana81822 жыл бұрын
Amen Mungu tusaidie tupe Roho wako mtakatifu atuwezeshe kutukumbusha ndoto tunazoziota kwa jina la Yesu Kes
@elizabethjakobo279 Жыл бұрын
Uyu mtumishi nilikuwa na mskiliza tangu nikiwa mtoto adi Sasa niko mtu mzima Mungu akutuze baba yangu wakirooh 🇰🇪
@servantjosiahtv31294 жыл бұрын
Oooh yes.. Asante sana Roho mtakatifu kwaajiri ya ujumbe huu kupitia Mtumishi wako mwakasege
@patriciameshacky21582 жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana baba nimekuanikikufatilia tangia nikiwa mdogo nasoma shule ya msingi hakika ufunuo wako kwangu uwanashuuda sana Baba yangu Mungu hakubariki sana 🙏🙏🙏
@jovithaclavery64743 жыл бұрын
Amen, ubarikiwe Sana mtumishi ,nami nimeelewa sasa ,kuna ndoto naotaga mno inajirudiarudia Sana ,na huwa nafadhaika Sana kwasababu ni Mara nyingi sasa zinajirudia hizo ndoto🙏🙏🙏
@joyjilien54323 жыл бұрын
Mwambie mtu yeyote haswa mtumishi wa mungu akuombee na baadae muulize tafsiri yake 🙏🙏
@asiamtatifikolo64774 жыл бұрын
Asante Mwakasege Mimi din nyingine lakin, nakuelewa saana/
@amedeusmodestikimey98883 жыл бұрын
Mungu anakutambua
@aoman52143 жыл бұрын
Amen mwenyez Mungu akupe maisha marefu uzidi kujua yaliyo ya Mungu na kuyatenda
@aoman52143 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana dada
@dianasimon72023 жыл бұрын
Asante mtumishi wa MUNGU barikiwa utokapo na uingiapo,MUNGU asikupungukie HEKIMA
@barakkissoka85113 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@emmanuelirunde87154 жыл бұрын
Amen Ubarikiwe Baba, Ninakutakia Baraka Za BWANA Na MUNGU MKUU, Aendelee Kukupa Upako.
@kaicy165 Жыл бұрын
Amina🙏🏾
@marrytesha67793 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu mwalimu tunakupenda😍
@italegeleo56243 жыл бұрын
baba nashukulu kwa chakula charoho
@jacklinemomanyi16513 жыл бұрын
Thanks to God !!! It has touched my heart and l am blessed too much .God bless the words of your mouth
@susiehollo7434 Жыл бұрын
Ndo leo napata ujumbe huu wakati nikiuhitaji zaidi, hakika wakati wa Bwana ndo wakati sahihi. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na Bwana aendelee kukutumia kwa ajili ya Utukufu wake 🙏
@richarddavidmk4 жыл бұрын
Baba asante kwa hii chanel. Sala ya Bwana ,ilinifungua sana
@nancykigamwamureli91974 жыл бұрын
Amen Amen glory to God am glad to hear from this channel. Asante kwa kunifungua macho ya ndani na kunifungisha kwajili ya ndoto be blessed too Amen watching from Germany
@Yasintamaiko5 ай бұрын
Naomba uniombe nipatekazi nimechoka kufanya kazi zandani sikia maombi yangu BABA na Mungu akubaliki sana tena sana naitwa yasinta maiko🤲🤲😭
@victoriasuleiman10662 жыл бұрын
Your Blessed Man of God... I'm Healed.Glory to Almighty God.
@happyiskaka73183 жыл бұрын
Mungu akuinue mtumishi Asante nimeijua Siri
@connieconny35843 жыл бұрын
Be blessed man of God!! This has really touched my heart....
@winniekombe46193 жыл бұрын
Amen
@YUSUPHIGUNGU6 ай бұрын
Umebarikiwa sana mtumishi wa mungu. Mungu azidi kukubarki uzidi kutufundisha ile kweli tuipasayo kuenenda
@marylynliseche7732 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu Kwa kweli umenibariki sana and be blessed 🙏🙏🙏🙏❤️
@palmomfwango452 жыл бұрын
Mungu akulinde na akupe hekima zaid asathe kwa neno la kutukumbussha
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Asante mwalimu kumbe nilifanya bila kuelewa km niko sahihi nitaendelea kufuata hayo mafundisho
@hellenkintebwe23193 жыл бұрын
Thanks,Man of God. Umenisaidia sana kwa hili. Be blessed.
@EliminaNtandu3 ай бұрын
Mwl,mungu aendelee kukutunza unanibariki sana,unapozuru wengine usinipite
@evaristagabriel49603 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako mwalimu na mtumishi wa Mungu.
@elibarikieliatunawapatavzr78723 жыл бұрын
Amen umeniongezea kitu Mungu aendelee kukupa ufunuo zaidi
@aloycesilas171 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho yako mtumishi wa mungu akubariki sana
@clementkigelulye79154 жыл бұрын
I'm so happy umeongea mengi yananihusu ukiwa na kupewa Cha utambuzi utawe tafsiri ndoto zako Kuna siku nilipata ndoto ya kufunguliwa anga Mungu azidi kukubariki Mtumishi wetu
@jacquelinemwakatika3 жыл бұрын
Natamani kama wewe au zaidi ya wewe,unanibariki sana MUNGU azidi kukunza nakukutumia zaidi
@jacksonbiswalo83603 жыл бұрын
Yap
@priscapaul3393 жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu soma nimelielewa
@joycefuraha2643 жыл бұрын
Thank you so much mwalimu.Mungu wa mbinguni akubariki sana na akuongezee ufunuo mkuu kwakusaidia watu wote.aksanti sana papa
@fatumaluze77243 жыл бұрын
Mungu akupe umri mrefu Amina somo zuri sana
@jacksonbiswalo83603 жыл бұрын
Ninakukubali sana MTUMISHI wa MUNGU.Mungu akujaalie maisha marefu.
@samsonnashon97193 жыл бұрын
hakika somo hili ni jema na MUNGU akubariki sana mwalimu mwakasege I LOVE YOU
@winnycham8588 Жыл бұрын
Bwana asifiwe sana, nimeota ndoto naudumia watoto wadogo
@giselamkwele77453 жыл бұрын
Asante sana Mchungaji,nahitaji sana huduma yako,Mungu akubariki
@johnmwilolezi39243 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe watu wa mungu, mm nilikuwa naomba juu ya kupata mume. sahihi kwa muda wa siku kadhaa, lakin gafla naskia sauti ikiniambia mume wako anakuja ila hana mbuz wala kondooo ila ana kiu ya upendo mmpokeee. Jaman nisaidien kuhusu hili jambo
@apostlemussaonlinetv3 ай бұрын
Mungu anakuambia usiangalie mwenye mali angalia mwenye upendo sijui ww uwa unataka mwanaume wanamnagani Mungu anajua moyo wako
@martinjuliano456011 күн бұрын
Daa Dada ang endelea kumuuliza Mungu zaidi apate kukujulisha
@successsafari52503 жыл бұрын
mwl bwana yesu asifiwe....asante sana kwa somo zuri ila naomba unisaidie maana kuna ndoto naiyota mala kwa mala ila cjui maana yake (naota na paa hewani)
@chipetapeter68047 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba yangu nakupenda Sana naomba niombeee uchumi wangu ukatulie baba
@lucyjeremia13814 жыл бұрын
Mungu akupe afya zaid mtumishi wa mungu
@nuhumasika80002 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu, mungu atusaidie katika ndoto na niwe na kiu ya kukujua wewe zaidi
@lreneauma17624 жыл бұрын
Ameni mutumishi waa mungu ckuwa najuwa mana ya iyo doto ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏
@lucialeoter9343 жыл бұрын
Amina mtumishi BWANA yesu akubaliki.
@emmanuelmakinga-tr3zu Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafundisho Mazuri Mwalimu
@erishaerisha79893 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi mpaka natamani ningekusimulia ndoto ambayo hua hujirudiaridia ukanifasilia
@miriamopiyo48253 жыл бұрын
Wachungaji wa mungu bwanayesu asifiwe.. Naitwa miriam ..Naomba mnisaidie nimekwa nikiota ndoto kuhusu mtoto wangu mara kwa mara .. Naota mtoto wangu amefura uvimbe mkubwa sehemu zake za siri tena naota analia kwa uchungu sana kuenda niangalie nikaona mtu ametoka hapo huyu mtu nikama amemba mtoto wangu tena naota mama yangu amemwinua mtoto wangu juu akamwangusha na tumbo macho ya mtoto ikatoa damu na mdomo nikalia kwa uchungu zaidi...sasa hi si ndoto mtoto wangu akiwa amelala ana tafuna sana meno nisaidieni tafathali ...
@aoman52143 жыл бұрын
Hmmmm pole Sana mpenz ukiona hivyo basi jua kuna nguvu flani inayowez kumjarb mtoto wako hivyo umepewa maono ili uweze kusimama na kumwombea mwanao na pia unapopat ndoto km hizi ni muhimu Sana kusali na kukemea nguvu za magonjwa au za Giza maan unaweza kuot kumbe si mwanao akawa ni mtoto wa mwingine kupitia maombi yako yakamponya
@evdanifordyphilipo70173 жыл бұрын
Mmh
@Leah-k5f16 күн бұрын
Yaan uyu mtu amekuekekz vzur mpk nmpenda ubarikiwe@@aoman5214
@ErnestKayombo Жыл бұрын
Mchungaji naitwa Lili nipo njombe naomba uniombee rehema mchungaji tangu mwezi wa Saba nimekuwa nikiota na kuwaza hizo ndoto za kumkufuru mungu wangu nampenda mungu wangu niombee mchungaji
@RosePatrick-vh2or6 ай бұрын
Damu ya yesu inanena mwema maishani mwangu Amina mtumishi
@pendonziku87313 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtishi wa MUNGU umenifumgua kitu nilikuwa sijui
@renaldatemu5382 жыл бұрын
Ahsante Kwa mafunuo haya mwl. Mungu àkutunze.
@dorelnbraison3483 жыл бұрын
Amina mungu akubariki karikibu utuhubirie injiri iringa mtumish wa mungu
@brightmollel66984 жыл бұрын
Powerful msg! Praise the Holy- spirit
@sabrinamsoma13533 жыл бұрын
Hi, kaduma hapa
@eliadahmhina41252 жыл бұрын
Baba Yangu ...Mwl Mwakasege
@WinfridaKalinga Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
@Mary-f4z4 ай бұрын
Ameeen baba Mungu akutumie kama yeye apendavyo
@gracemsuya8953 жыл бұрын
Mungu akubariki na akutunze mwalimu
@BeatriceSarakikya6 ай бұрын
Asante Yesu Kwa kumtumia mtumishi wako, Mungu azidi kukuinua na kukutia nguvu mno
@angelbless70703 жыл бұрын
God bless you daily,your my teacher in my life
@brianbaraka45634 жыл бұрын
Ahsante Mwalimu kwa ufunuo huu Mungu atukuzwe na ahimidiwe kwa utumishi wako !
@jeanineaudreyassi73904 жыл бұрын
Www.philippekacou.org 7 SASA ! UJUMBE HUU YA MWANA KONDOO UNASEMA NINI ? Ujumbe huu unasema ya kwamba hatuko tena wakati wa jioni bali usiku wa manane. Hata hivyo, ni wakati moja tu na ile ile Roho ya Eliya, lakini ni Ujumbe « Mpya » ambao ni Ujumbe ya wakati wa jioni kwa kiwango cha juu. Basi Zakaria 14 : 7 ni tofauti na Matayo 25: 6. 8 Ujumbe huu unasema ya kwamba shauri la makanisa ulimwenguni, shauri la kiekumenika ya makanisa, vyama, miungano, shirikisho za makanisa… makanisa katolika, makanisa za kiortodoxi, makanisa za kimetodisti, Ekankar, dhehebu Horus, makanisa za kiluteri, makanisa za kianglikani, mahikari, makanisa Baptisti, rosikrusia, makanisa Nazareti, scientology, esoteric, makanisa anabaptisti, vodoo, makanisa ya wasabato, marafiki wa Yesu, misioni Emaus, maisha kilindi, mashahidi wa Yehova, mashahidi wa Yesu, makanisa foursquare. 9 Umasoni, makanisa pentekoste, ibada la miungu ya wainka, makanisa protestanti, Krishna, Kanisa la Kristo, méditation transcendantale, Graili, wachawi, makanisa za kiinjili, wamormoni, guru maharadji na makanisa zote za uamsho na zile za urudisho,… makambi za maombi, monasteri, makao ya watawa, mishoni na huduma hata wabranhamisti, yaani wale wangali na fwata Ujumbe ya William Branham, hata katika usafi wake woteni toharani, na nyavu za shetani kwa kuwapeleka watu jehanamu na maroho zinazo tenda katika makanisa haya siyo Roho Mtakatifu bali mapepo za udanganyifu. Ni yale yale mapepo yaliyokuwa mitoni, mitaro, vinyago, vodoo, msitu takatifu, desturi na mapokeo, ambayo yalikuwa yakitokeza wachawi wa kiasili. [Kc.10v1] 10 Ujumbe huu unasema ya kwamba ni yale yale mapepo ambayo yalitokeza Elvis Presley, Bob Marley, James Brown, Madonna, papa Wemba ndiyo yanayo tokeza leo haya makundi na wanamziki wa kikristo kama vile Tabitha Lemaire, Don Moen, Exo Eclats, Yolanda Adams na Céline Dion. [Kc.59v33] [Kc.113v10] [Kc.118v11] [Kc.131v4] 11 Ujumbe huu unasema ya kwamba Kaina, Joël Osteen, T.D. Jakes, Doug Batchelor, David Owuor, Emmanuel Makandiwa, Uebert Angel, T.B. Joshua, Manasseh Jordan, ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema kwamba Jesse Jackson, John Hagee, Pat Robertson, Joaquim Gonçalves, Donald Parnell, Alejandro Bullón, Guillermo Maldonado, Alberto Mottesi, ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema ya kwamba Claudio Freidzon, Dante Gebel, Edir Macedo, Valdemiro Santiago, Silas Malafaia, Paula White, Joyce Meyer ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema ya kwamba Chris Oyakhilome, David Oyedepo, T.L. Osborn, Morris Cerullo, Yonggi Cho, Win Worley, Rebecca Brown ni shetani katika mwili. 12 Ujumbe huu unasema ya kwamba Billy Graham, Luis Palau, Franck Alexandre, D. Owens, S. Swingfield, L. Allison, Ewald Frank, Joseph Coleman, Billy Paul na Joseph Branham ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema ya kwamba Christian Bernard, Jim Lassiter, D.K.Olukoya, Zach. Adetola, Charles Talingano ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema ya kwamba Benny Hinn, Reinhard Bonnké... Kacou Séverin, Faustin Shungu, Mamadou Karambiri, Charles Ndifon, Martin Mutyebelé, Derek Prince, André Larrue, Yvan Castanou, Shora Kuetu ni shetani katika mwili. Ujumbe huu unasema ya kwamba Konrad Raiser, Setri Nyomi, Paul Ayoh, George Freeman, Cecil Robeck, Theodor Angelou, Hamsa Eichler, Bet Beach, Ricardo di Segni, Samuel-René Sirat, Nichiko Niwano, Henri Viaud-Murat, rabbin Schneider, David Rosen… ni shetani katika mwili. [Kc.6v22] 13 Wote wanao fwata watu hawa ao wanao tumika katika roho moja nao na manabii wote wanao zunguka mainchi ni wachawi, nyota zinazo tanga tanga kwa kazi ya Shetani kwa kuwadanganya watu wa dunia, wale majina yao hayakuandikwa katika kitabu cha Uzima cha mwana Kondoo kabla ya dunia kuwekwa msingi kama ilivyo kuwa wakati wa Noa. Na ya kwamba huduma yao ni ile ya nyoka kulingana na Mwanzo 3 na Matayo 24 : 24. Huduma yao ni ile ya chura kulingana na Ufunuo 16 : 13-14. Ni Mungu peke aliye watokeza kama jeshi juu ya adui zake kulingana na 1 Wafalme 22 : 19-23 na 2 Watesalonika 2 : 9-12. Na miujiza yao yote hata ile ya wabranhamisti ina lengo la kudanganya na kuzuia wateule kutoka Misri na kufanya mgumu mioyo za farao na wafalme wao. [Kc.23v5] [Kc.29v15] 14 Ujumbe huu unasema ya kwamba makanisa za kiprotestanti, za kiinjili, na makanisa za uamsho na misioni na huduma ni sura ya mnyama, yaani ukatolika, na walipokea chapa chake, roho yake ambayo wanaita « roho mtakatifu ». Hata kama wanasema kwa lugha, wanabatiza kwa jina la Yesu-Kristo, wanafufua wafu na kuhubiri biblia yote, roho zinazo wasukuma wanazoita « roho mtakatifu » ni roho ya chatu, roho ya uaguzi. Ujumbe huu unaseme ya kwamba ubatizo wa kurudisha upya inalazimishwa kwa watu wote wa dunia. 15 Ujumbe huu unasema ya kwamba mabiblia Louis Segond, Tob, Martin, Crampon, Thompson, Scofield, Ostervald, Colombe, Semeur, King James, Tafsiri ya dunia mpya na zile zinazo husiana na hizo na matafsiri zote zilizo chunguzwa upya ao kurekebishwa ni vyombo vya uchawi. Na ya kwamba maduka za vitabu vya kikristo ni sura ya duka za vitabu vya uchawi na za elimu za siri na za uaguzi. Na ya kwamba radio na televisheni za makanisa za kiprotestanti na za kiinjili kwa mfano wa LMTV na BENIE TV ni pipa za aina zote za takataka na uchafu mbele ya Mungu. [Kc.10v20] 16 Ujumbe huu huhukumu aina zote za shule za uchungaji. Ujumbe huu huhukumu teolojia « teo » maana yake mungu, « lojia » maana yake kujifunza. Basi telojia ni elimu inayo msingin wake kuzimu. Huwezi kujifunza Mungu, wala kujifunza Neno lake. Ni Mungu peke hujifunua ao hufunua Neno lake kwa yule impendezaye. Ujumbe huu huhukumu kuungama dhambi sikioni mwa padre au kwa mchungaji, na unasema ya kwamba kuungama dhambi yote inapaswa kufanyika hadharani, mbele ya kusanyiko. [Kc.2v16] [Kc.57v38]
@TulasupaSanga9 ай бұрын
Baba Mungu nikumbuke Mimi mtumwa wako🙏🏿🙏🏿
@neemasapiyo54943 жыл бұрын
ASANTE kwa mafundisho, MUNGU AZIDI KUKUFUNIKA. Nakupenda BABA
@shininisoipano49733 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@sadickmajaliwa12962 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa mafundisho mazuri.
@ikanaelmshana81822 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki mtumishi wake kwa kutulisha kiroho
@NeemaMushi-n2u3 ай бұрын
Wewe ni mwalimu Bora mungu azdi kukupa nguvu
@anjelasaid60983 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@margretokuku8220 Жыл бұрын
Asante. Hiyo. Ne no Powerful
@lucykisaka97274 жыл бұрын
Amen. Mungu akubariki mwalimu
@mathazamda12503 жыл бұрын
Ameeen 🙏
@rebbymichelle60564 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi..
@hhhghyghgg86403 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumish baba mm nimkua naota nko na mtoto saa zingine naota nimeolewa na hizo ndoto naota nikiamka nikirudi kulala tena inarudi tena hiyo hiyo ndoto kama mara 3 kwa usiku mmoja inamaanisha nn naomba unifumbulie mtumish
@rhodawilson37802 жыл бұрын
Emen baba ujumbe mzuri sana bless you
@sarafinatauni8402 жыл бұрын
Asante kwa huduma. MUNGU akutunze
@albertnestorylukoo97164 жыл бұрын
We hakika ni mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukupatia nguvu
@lightnessclementebrighton49903 жыл бұрын
Nabalikiwa Asante mungu kwa kunifundisha kupitia mtumishi wako
@shadrackrasi1711 Жыл бұрын
Umenibariki sana mungu akubariki pst
@rhodasamwel24854 жыл бұрын
Ameen Ameen Yesu akutunze mwl wetu
@aminashikalage97333 жыл бұрын
amina napokea kwa jina la yesu
@tatushemsanga16423 жыл бұрын
Ameeeen ubarikiwe sana mtumishi was mungu kwa mafundisho
@brivernyongesa8095 Жыл бұрын
Mungu Yu nasi Kwa jina la yesu kristo ayetufiya musabani,na je ukiota umeenda kijijini Kisha ukitoka kwa poma lenu na ukutane na jirani wenu Yuko na kisu anataka kukukata Kisha umunyang'anye alafu umurudishie umwambie yesu ndiye mulinzi wetu alafu kuenda upate marafiki Sako wanaunda waya ya Fensi Kisha ukirudi kwenu ujiku umepatilishwa mavasi ukapewa mavasi meusi maana yake n nn
@sedekiabilijite55164 жыл бұрын
Mwalimu Nimekuwa nikiota sana ndoto nikiwa shule na wanafunzi wenzangu wa secondary haipiti siku mbili wala week bila kuota hizo ndoto ,mara tunajiandaa na mitihani ,kama sijaota hiyo ndoto naota nikiwa mazingira ya kijijini kwetu na ndungu zangu ,najua kuna kitu Mungu ananisemesha ila bado sijaelewa nini maana yake ,na huwa roho yangu haina furaha kuto fahamu hizo ndoto , Nimekuwa nikiomba rehema na kukaa mwaga damu ya Yesu kwenye lango la ndoto hizo , Mungu akubariki sana nitaendelea kujifunza masomo yako na kuendelea kuomba
@Nenaki2554 жыл бұрын
Habari, omba against spirit of delay / roho ya kuchelewa au kucheleweshwa
@clementkigelulye79154 жыл бұрын
Kuna mahali umekwama kiimani omba Mungu akuvushe kwenye Hilo daraja
@sedekiabilijite55164 жыл бұрын
@@clementkigelulye7915 nashukuru kwa ushauri wako , nilitamani kujua zaidi nifanyeje maana nateseka na ndoto hizo mbili
@elizaexpery22074 жыл бұрын
Me mwenyew huw ii ndoto inanisumbua sana...huwa naomb ila inajirudia...tu.. Maana nyingine ni kwamb Upo level za chin kimaisha...
@florakibona80424 жыл бұрын
Roho ya kurudishwa nyuma
@clementmusalege24772 жыл бұрын
Thank you for good massage to us God bless you forever.
@christinakibuda11973 жыл бұрын
You're blessed baba,Mungu akutunze zaidi na zaidi
@nellyanammanyi39653 жыл бұрын
Nimejifunza Kitu. Godbless your ministry.
@Neemakilimba3 жыл бұрын
Ameen
@mossesjoseph22023 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.
@MerlinaKubadesha3 ай бұрын
Amen one day is coming soon😂😂🎉 i believe in god only 🎉
@julianabenard33262 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu Mwakasege
@veronicajoseph11183 жыл бұрын
Amen nabarikiwa na mafundisho yako mwl🙏🙏
@joycejacob62633 жыл бұрын
Amen nabarikiwa na neno la Mungu
@bosco10453 ай бұрын
Amina baba mungu akupe maisha marefu tuzidi kupata neno Mimi nikikusia hata kweny TV nacha kilakitu na kuskiliza nafuatiliaga vipindi vya upendo chanel
@reymasenya64503 жыл бұрын
Ubalikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu
@benjaminngholope31913 жыл бұрын
Mungu akuzidishe nguvu ktk kazi yako ya kutufundisha neno la Mungu
@godlovemwakabuba89603 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni aendelee kukutia nguvu katika utumishi wako.
@hosianapanga93432 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako,be blessed baba.
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Amen Nashukuru sana baba Mungu akubarki
@janemsamati67003 жыл бұрын
Asante baba ,tumejifunza kuhusu ndoto, nimejua nitawafundisha wanangu habari ya ndoto
@inukauangaze50763 жыл бұрын
Asante sana kwa huduma unayoifanya
@nasfahsadiq46973 жыл бұрын
Habari mwalimu,ninasumbuliwa sanaa na ndoto naweza kupata mawasiliano nawe.
@astedioniz29613 жыл бұрын
Habari mumy umepata namba za mwalim mwakaseng
@AtuganileMkumbwa-w5j26 күн бұрын
🙏samahan Mimi nilitoa naambiwa amka usome kifungu Cha mathayo 9mstar 10_13 nikaamka namimi Sina bibilia lakini nafsi yangu iliendelea Kuni ambia soma lakini nilishindwa kwa usiku ule asubui niliendelea kusukumwa nilienda katika kabisa lililo kuwa karibu na Nyumbani ninapo ishi nikamkuta mtumishi nikamweleza kilicho nikuta alinipa bibilia nikasoma hicho kifungu lakin sikuelewa chochote mpaka Leo sielewi chochote kuhusu hiyo ndoto nisaidie nijue maana yakifungu hicho
@eliethkwesigabo1990 Жыл бұрын
Niliota mwanaume niliyekuwa nae ananitoa mimba,,,duh kumbe Mungu alikuwa ananionyesha nikapuuzia na akaitoa kweli😭kwa kuniwekea dawa kwenye chakula
@eliethkwesigabo1990 Жыл бұрын
Duh nimejifunza kitu,,niliomba kwa kulashia lashia😭,,,Maana kwa siku moja niliota ndoto mbili tofauti ambazo zilikuja kuwa kweli!
@Yasintamaiko5 ай бұрын
Mwalimu natamani kukutana nawewe lkn nashindwa me kumfwata kwangu Mungu ndugu wamenitenga sijui nifanye nini na moyo wangu unaniambia nikikutana nawewe bc yote yataisha akuna ndugu anae niitaji kwasababu nimeamua kumfwata Mungu nashindwa kuendelea mbele vita nikubwa sana Baba kwangu maisha yangu yanaangamia naomba nisaidie 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭kilio changu nikikubwa mno sijui nifanye nini Mungu anipe neema ya kukutananawewe vikwazo nivingi sana pale ninapotamani kukutana nawewe naomba nisaidie mwalimu 🤲🤲🙏
@EstherKimathy4 ай бұрын
Pole sana yasinta Mungu akakupe hitaji la moyo wakoo🙏
@EstherKimathy4 ай бұрын
Fatilia maombi yake utafunguliwa dear
@tatusaid21582 жыл бұрын
Asante sana baba mimi niliota ndoto ambayo sijui ikoje. Niliota hivi nilikuwa kwenye nyumba moja tulikuwa tumekaa wengi ndipo akatokea mtu anapesa nyingi sana akaaza kujitupa nje na mimi nilikuwa nazitaka hizo pesa lakini kuinuka siwezi nilikuwa nimembeba mtoto mzito sana mgogoni Kila nikijalibu nashiwa lakini mimi najitahidi sana mpaka nikaamka nakwenda kuzikita pesa nikaotoka pia ni yuro Sasa sijajua ilikuwa unamaanisha nini
@mroneandtwotv78769 ай бұрын
Iyo kubeba kitu mgongonii ni una vituu umebebeshwa kwenye ulimwengu wa roho na mwilii ndo Mana piaa mwili wako ulikuwa umebebe vituu vzito kwa mm navyoelewaa
@Love-zu3qb Жыл бұрын
Amin mwl ubarikiwe sana
@NeemaMartin-l6c6 күн бұрын
Minimeota jina langu limeandikwa ukutani jina kubwa sana afu ninafurahaa kwerii ila kuna wenzagu hawajafurahia uwepo wa jina langu.. Naomba unisaidie mwalimu sijaielewa ndoto hiyo