No video

Dr. Chris Mauki:Yatazame haya matano kabla ya kumkubalia awe mpenzi wako.

  Рет қаралды 16,095

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Kama unataka kuingia naye kwenye ndoa, viko vitu muhimu na sensitive kamwe usivifumbie macho maana vitakugharimu kesho au kesho kutwa. Baadhi ya hayo mambo ni haya hapa!
#DrChrisMauki#Furaha#Matano

Пікірлер: 41
@user-fh7fx1dq2u
@user-fh7fx1dq2u 2 ай бұрын
Asante kwa somo lako limenifunza kitu sana
@ZawadiKilagalila-sd2tt
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
N kwer kabsa,mm nmeachana na mchumba kisa utofaut wa iman,asante mungu kwakukupata dr mauki
@fodwpeter5839
@fodwpeter5839 2 жыл бұрын
Asante kwa kutupatia madini i appreciate you brother
@user-le3et5mr7z
@user-le3et5mr7z 8 ай бұрын
Kweli kbs Asante sana 🙏
@user-lt4oq4ez2d
@user-lt4oq4ez2d Жыл бұрын
Asante naona kuelewa sana hili somo.. Mungu akupe maarifa zaidi baba 🙇‍♂🙇‍♂
@nyanginyamhoza1106
@nyanginyamhoza1106 Жыл бұрын
Yatazame haya ma5 kabla ya kumkubalia awe mpenzi wako 1. Ana Imani ya kufanana na wewe 2.Je anaitumia hiyo Imani kwenye maisha yake ya kila siku 3.Je anatumia akili/ hekima yake?( common sense) 4.marafiki/watu waliomzunguka wakoje 5.Nani anamuongoza( kumadire)
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 25 күн бұрын
Good subject aucle ❤😅
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Asante kwa somo nzur lenye baraka
@lydiaedwin6911
@lydiaedwin6911 Жыл бұрын
Asante ,Mungu akubariki Sana
@teclaeden8818
@teclaeden8818 Жыл бұрын
Asante docter. Tunakuelewa na unnatusaidia sana.wengi tumeathirika.
@reytizack8424
@reytizack8424 Жыл бұрын
Asante sana dock kwa ushaur wako mzur
@user-qx3bn7ez4w
@user-qx3bn7ez4w 10 ай бұрын
Asanteh Kwa kunipa marifa
@EvamaryJumanne-uw6wj
@EvamaryJumanne-uw6wj Жыл бұрын
Thanks,dockt god bless u 🙏🙏
@sikudhanisaidi8835
@sikudhanisaidi8835 Жыл бұрын
Nimekulewa somo lako asant doctor
@rachelphilip7799
@rachelphilip7799 2 жыл бұрын
Somo Zuri sanaa barikiwa👏👏
@richardkayumbo2885
@richardkayumbo2885 2 жыл бұрын
Shukrani sana kwa ushauri mzuri sana.
@dorcasndekalio-du9mf
@dorcasndekalio-du9mf Жыл бұрын
God bless you Dr
@rossieyokim4142
@rossieyokim4142 2 жыл бұрын
Daaah so amazing,I appreciate
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 2 жыл бұрын
Asante Dr barikiwa sana
@marikokinyua2144
@marikokinyua2144 Жыл бұрын
Thanks my doctor for your help
@user-fh7fx1dq2u
@user-fh7fx1dq2u 6 ай бұрын
Somo zuri sana limenisaidia😂
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 жыл бұрын
Good 👍😊 work brother keep it up brother
@julithabrighton5722
@julithabrighton5722 2 жыл бұрын
You tell us necked truth as if you're in our life
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 2 жыл бұрын
Somo zuri sana bro
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 2 жыл бұрын
Thxz boss en b blssd
@aminahuqa5643
@aminahuqa5643 2 жыл бұрын
Shukran
@nassirkhalfan3166
@nassirkhalfan3166 2 жыл бұрын
Somo la leo ni motooo👍
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 жыл бұрын
Somo zuri sana
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 2 жыл бұрын
I'm n that r/ship bt is gd I got ur point to leading me thxz
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Imani ni kitu kikubwa Sana🙏
@innocentmakala6542
@innocentmakala6542 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥💯 upo vema
@ZawadiKilagalila-sd2tt
@ZawadiKilagalila-sd2tt Жыл бұрын
inanihusu hii dr
@julithabrighton5722
@julithabrighton5722 2 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu, I wish ningekufahamu mapema kabla sijapotea njia na kukutwa na majanga.
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Majanga yanarekebishika dada mradi uhai tu. Itachukua muda tuvute subira
@hubbynasry9885
@hubbynasry9885 Жыл бұрын
Kaka namaswali mengi sna yakukuuliza
@KeyEtienne
@KeyEtienne Жыл бұрын
Uuuu
@njuuhjera9971
@njuuhjera9971 Жыл бұрын
Kwann usiseme Muslim unasema A na kwa wakristo umesema direct ..Ila somo zuri
@jamesoscar8911
@jamesoscar8911 2 жыл бұрын
💕💕❤️❤️❤️💪👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 2 жыл бұрын
Sante moja ya kitu nakitzama kwa Sasa ni mambo ya imani
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 2 жыл бұрын
Tunasubiriiiiii
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 2 жыл бұрын
100% Dr chris....ila kwa sasa nawona nibola watu wanitafutie mpenzi bola....I have met unpredictable men...mwanzo wanatabia mzuri later they changed into true characters (bad)
Dr. Chris Mauki: Sababu 6 za wanawake kuchelewa kuolewa
9:56
Chris Mauki
Рет қаралды 17 М.
Dr. Chris Mauki: Kanuni 3 katika kuchagua wa kukupenda
5:28
Chris Mauki
Рет қаралды 10 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 38 МЛН
Harley Quinn's revenge plan!!!#Harley Quinn #joker
00:59
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 205 М.
Dr. Chris Mauki : Hakikisheni Mmeyazungumza Haya Kabla Ya Kuoana
11:10
LAZIMA USHINDE HOFU HIZI - JOEL NANAUKA
10:59
Joel Nanauka
Рет қаралды 66 М.
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН