Madhara Ya Marafiki Wabaya - Joel Nanauka

  Рет қаралды 21,244

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 71
@michaelgeorge8454
@michaelgeorge8454 3 жыл бұрын
Kka Joel siwez kkusau ktka Maisha yangu miaka ilopita nilikuona kwenye post zako usku wa manane nikiwa kzn nilikuwa na wazo la biashara kwa miaka skuweza kufanya!! post yako ya kujifunza kutogailisha mambo ili ninyanyua sana nilisubutu kwa mtaji mdogo sana tena masalia ya mshara wangu asbh yke bada ya kuangalia post yko nakushkr sana Brother kwa sasa kzn wame nisimamisha kz ni kipind saxa naish na biashara zangu Maisha yanasonga nalo nifanyia fitna ni rfk yangu niliye mfundisha kz toka yupo mchanga kwenye kz bada ya kuona mafanikio yangu alianza chuk iwish skumoja nikuone kk
@isayasikao5672
@isayasikao5672 2 жыл бұрын
tuko pamoja Sana
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Hatuwezi kufanikiwa kwa kiwango kikubwa kwa marafiki wa kiwango kilekile , ahsante Brother kwa Elimu hii maana kweli wengi wetu tumeshindwa kufika mbali kwa kutoangalia madhara ya marafiki wetu 🙏
@danchibomnyama4295
@danchibomnyama4295 3 жыл бұрын
Safi sana kaka mada yako imenigusa sana
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 2 жыл бұрын
Nadhukuru nimefika hatua nzuri nimebadilisha rafiki
@silviafurah9172
@silviafurah9172 Жыл бұрын
Nkwel Mimi nimmoja wao wa kutumia pesa vibaya kwa marafiki Asante sana
@jamesford5219
@jamesford5219 3 жыл бұрын
Mim nna rafiki mmoja ameniambukiza kutafuta ela na kutumia kwa kuamini kwamba tunaishi Mara moja
@barnabasmajige8473
@barnabasmajige8473 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa marifa ili na sisi maboya tupate kujua ukweli maisha
@vanebichanga9466
@vanebichanga9466 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa nimejifunza mengi kutoka kwa hili somo .mungu akuonekania pia wewe🙏🙏🙏🙏
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 3 жыл бұрын
Ni mafunzo mazuri Na tukiwashiri watoto Itakuwa bora Zaidi
@firdosoman3133
@firdosoman3133 3 жыл бұрын
Kweli kabisa nimewachuja baadhi ya marafiki mana hawafai kabisa
@ruthmwakyusa705
@ruthmwakyusa705 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mtumishi,na kutokana na mafundisho yako naona changes kwenye maisha yangu.
@techwithkombe
@techwithkombe 3 жыл бұрын
we are together we listens u
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 3 жыл бұрын
nakupata vizuri kiongoz ✊
@abdirizakrashid726
@abdirizakrashid726 3 жыл бұрын
Ninakuombea uendele kutufundisha na mwenzimungu akulinde akupe afya na ndoto zako zifanikiwe ufike mbali zaidi ya hapo.
@lwt472
@lwt472 3 жыл бұрын
Nilicho jifunza leo kutoka kwa mwalimu "if you are the best in the group its your time to leave".
@letionnews310
@letionnews310 3 жыл бұрын
Tuko pamoja
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa marafiki baadhi yao sio wazuri
@AfiSoul103
@AfiSoul103 2 жыл бұрын
Daaaah hi Ni kwelii kabisaa
@paulinambelwa6188
@paulinambelwa6188 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mno🌹
@josephbernard7797
@josephbernard7797 3 жыл бұрын
Kweli kbx hiii
@aminahahlubayt7399
@aminahahlubayt7399 Жыл бұрын
Kaka mungu akuweke wallah dah!🙏😌
@abuujuma4165
@abuujuma4165 Жыл бұрын
Ahsante sana kwa kubadili maisha yangu
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mimi ni moja kati ya watu walio adhilika na marafiki dah
@aash4145
@aash4145 Жыл бұрын
Shukran kaka kwa kutufungua,,, nakujifunza mengi kupitia yotibe zako,,, mungu akujaalie kila laher
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 жыл бұрын
Yes brother thank you
@TheSalma1999
@TheSalma1999 3 жыл бұрын
Kweli kabisa unachoongea
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 10 ай бұрын
Hakika
@hezronmangulamangula9718
@hezronmangulamangula9718 2 жыл бұрын
Nimefanikiwa kupitia maneno yako Asante sana kaka mungu akulinde
@binthawa2973
@binthawa2973 3 жыл бұрын
mh sina rafik mana wote walikua chini ya wastani...
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Kwahyo wewe uko juu sana sio
@binthawa2973
@binthawa2973 3 жыл бұрын
@@frankmtei3017 sipo juu ila ni marafik ambao hawapitwi na ngoma na kusutana..
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
@@binthawa2973 oho.. Tafuta saizi yako..
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Kuna muda nitakosa MB,nitakosa pesa za kununua vitabu!!!! Lakini sitashindwa kukuombea uzima kwa muumba!!!!
@mwaisenyemwandela9392
@mwaisenyemwandela9392 3 жыл бұрын
The star among many Galaxies Nanauka
@enockaward7346
@enockaward7346 3 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Kwahiyo wewe tu.ndo unaambukizwa tabia mbaya.wewe huwezi kuwaambukiza tabia mbaya
@venturebown6983
@venturebown6983 3 жыл бұрын
Tuko pamoja Bro..nice lessons
@mainesmwahasunga2680
@mainesmwahasunga2680 3 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mungu akubariki
@franciskao2085
@franciskao2085 3 жыл бұрын
Ni kweli kabxa kaka
@yahayaakbar8900
@yahayaakbar8900 2 жыл бұрын
Iloo kosa kwang sitalirudia ten kukutan na rafik adui
@elijahanthony7667
@elijahanthony7667 2 жыл бұрын
This is very powerful brother nimeipenda🤝🤝
@neemavicent1613
@neemavicent1613 3 жыл бұрын
Kweli kabixa
@SaidiNamtanga2023
@SaidiNamtanga2023 3 жыл бұрын
Nakuelewa boss
@MangiShayo-hm2lw
@MangiShayo-hm2lw 9 ай бұрын
Pamoja
@hakimmahena4854
@hakimmahena4854 3 жыл бұрын
Hongera Sana mtumishi
@Mkaambali
@Mkaambali 3 жыл бұрын
Thanks
@stevdwin8014
@stevdwin8014 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@danielnjowoka9412
@danielnjowoka9412 3 жыл бұрын
🥰🥰🥰💯💯🦁💪🙏
@peterkasembo7854
@peterkasembo7854 Жыл бұрын
❤️🙏
@jameskimaro2915
@jameskimaro2915 2 жыл бұрын
Kaka nataka hivyo vitabu please
@neemakweli461
@neemakweli461 2 жыл бұрын
Asante sana ,tufanye nini ili tuhepukane na tabia hizo??? Tayari marafiki tunao,natabia zao wame tuambukiza ,tufanyeje ili tupone???
@maningulubinza4899
@maningulubinza4899 3 жыл бұрын
💪🔥
@nurdinchilambo1486
@nurdinchilambo1486 3 жыл бұрын
Brother nakumbuka ule msemo wa' show me your friends and I will tell who you are
@twamanjatwasini4200
@twamanjatwasini4200 3 жыл бұрын
Tuko pamoja
@hammyyombe5229
@hammyyombe5229 3 жыл бұрын
🙏
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 3 жыл бұрын
Somo zuri life coach,,, je, rafiki ni mtu wa aina gani?! Mpk sasa nahisi sina rafiki na sijui km ina madhara pia...
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Je wewe ni rafiki bora kwa wengine?
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 3 жыл бұрын
@@frankmtei3017 sijazungumzia rafiki mzuri... generally huwa nahisi sina rafiki awe mbaya awe mzuri mi nahisi nina company tu za watu basi...
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
@@mkwizoxsafarisadventures9750 inabidi uchuje sasa ktk company uliyo nayo au utafute, kwasababu kua na rafk anae simama na wewe , kukushauri, kukutia moyo kwa kuvaa viatu vyako hasa unapopitia magumu ni muhimu sana ktk maisha....
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 3 жыл бұрын
@@frankmtei3017 shukrani sana kaka... Hapo sasa kwa kujinyenyekeza ningetamani siku moja life coach wetu @JNanauka akaja na somo la "Rafiki ni nani?!"
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
@@mkwizoxsafarisadventures9750 angalia kwenye clip zake za nyuma, lipo
@richvetty3243
@richvetty3243 3 жыл бұрын
Uyu jamaa anaongeaga vitu vya uongo sana na anapoteza na kuwahalibu watu wengi sana kuweni makini
@jonathanmichael4386
@jonathanmichael4386 3 жыл бұрын
Wew peke yako na ufupi Wa ktofnyia kaz uwez ona matokeo so kma uelew sio lazma uchangie mada
@allpotentials8420
@allpotentials8420 3 жыл бұрын
Aisee kweli haters gona hate,,,Kama anakuharibu nenda kafuatilie story za kina ambaluti I'm sure zitakujenga Sana bro usisahau na za piele liquid,,lavalava na Lulu diva ok? Halafu sio lazima uchangie na ukichangia toa sababu za msingi,, blood idiot 🚮🚮
@andrewlomilio1954
@andrewlomilio1954 3 жыл бұрын
Si lazima uchangie huna aya huwezi shusha hadhi ya joel leme tell u
@mshigilakarume4425
@mshigilakarume4425 3 жыл бұрын
Dunia inahitaj watu wenye mchango chanya kwenye jamii kama Mr joeli, je ww umechangia nini mpaka hapo ulipo ndugu?
NGUVU YA ZIADA KWENYE KUWEKA MALENGO - JOEL NANAUKA
41:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 118 М.
LIFE WISDOM : AINA 6 ZA UTAJIRI - JOEL NANAUKA
18:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 29 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 168 М.
Tony Robbins । 34 Minutes for the NEXT 34 Years of Your LIFE
34:08
Evan Carmichael
Рет қаралды 2,9 МЛН
Jinsi ya Kuishi na Watu Wenye Haiba Mbalimbali 16.02.2016
44:09
Channel ten
Рет қаралды 77 М.
UCHAWI WA MESSI SI MCHEZO !!!
12:55
Wasafi Media
Рет қаралды 1,2 МЛН
Mbinu Za Kutimiza Malengo 2018  - Joel Nanauka
32:24
Joel Nanauka
Рет қаралды 50 М.
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН