Mbinu Za Kutimiza Malengo 2018 - Joel Nanauka

  Рет қаралды 50,842

Joel Nanauka

Joel Nanauka

6 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 73
@pendomushi2354
@pendomushi2354 5 жыл бұрын
Kaka yani huwa unagusa maisha yangu. Sina la kusema zaidi naomba uanze kuandaa madarasa mikoan like kwetu dodoma tunakukaribisha sanaa
@jackmossile8076
@jackmossile8076 2 жыл бұрын
Napenda jinsi unavyojibu maswali na mtangazaji nae ametulia na anajua kazi yak💯
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Nikitazama fikra nyingi za wanawake huwa wanapenda wanaume wanao jiamini kama wewe na wanamsimamo,I'm proud of you,unalimisha vizuri sana na unauelewa wakutosha,
@siboragasaya6946
@siboragasaya6946 5 жыл бұрын
Joel nimejifunza mengi sana kaka kutoka kiukweli mungu akupe maisha marefu, ila naulizia upatikanaji wa kitabu chako kwa mfano Mimi niko msoma
@pendomushi2354
@pendomushi2354 5 жыл бұрын
Hi joel wewe ni mwl wangu mkubwa sana umenifanya nibadili maisha yang kwa ukubwa Mungu akutunze.
@msleny6767
@msleny6767 4 жыл бұрын
Asante sana mwalimu Joel Somo hili litakuwa mpya kila mwaka..wakati site Download the message and save in your daily play list👌👏
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312
@zhnnnsafisanamweshimiawata1312 5 жыл бұрын
mungu akuweke kaka joeli hutuhuwerimishe tujikwamue naumasikini asante sana kwamafundisho nahiman tutafikia marengo yetu
@hatibumaulidi8608
@hatibumaulidi8608 5 жыл бұрын
Kwa kipindi kifupi sana kukufuatilia, lakini marafiki zangu sasa wananiita professor kwa kuapply your lesson brother Joel, big up keep it up! SeeYouAtTheTop
@jackmossile8076
@jackmossile8076 2 жыл бұрын
Best interview ever
@kakapascal5090
@kakapascal5090 6 жыл бұрын
Naam Kaka mfano mzuri Sana, wa Nyuki na inzi. "Nyuki hawakwenda shule,lakini kazi yao yapendeza wengi kuliko wasomi na viongozi wasiyo na faida"
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Kaka Pascal kabisa
@healinghomeprayercentre
@healinghomeprayercentre 5 жыл бұрын
Tafadhali Coach Joel, nakusihi uniambie nitanunua kitabu chako wapi, kitabu cha Timiza malengo yako; Mimi Niko Kenya
@fatmakessy981
@fatmakessy981 4 жыл бұрын
Ubarikiwe zaid my broo
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 5 жыл бұрын
Kaka l like your teaching may Almighty God bless you.😀
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 жыл бұрын
Thank you bro, tusiwe na tabia kama za nzi.
@sleyoumkhamic9237
@sleyoumkhamic9237 5 жыл бұрын
nakubali sana kak mm nina malengo mengi katika maixha yangu
@jozuerwetabula4039
@jozuerwetabula4039 6 жыл бұрын
Nakukubali sana nanauka your my everything in ma future god b wid u ol de tym
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
jozue rwetabula nashukuru sana pamoja
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 6 жыл бұрын
Ntakufatilia kaka mafunzo yako mazuri sana god bless you
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
safiya safiya ameen
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Asante sana mungu kakutumia
@hamicluvanda8464
@hamicluvanda8464 6 жыл бұрын
mungu ameweka vitu kwa huyu jamaa nahisi tutajifunza kupitia yeye
@winfridapatrick9865
@winfridapatrick9865 6 жыл бұрын
Thank you Joel
@shohamuwokovuhalisi.2648
@shohamuwokovuhalisi.2648 6 жыл бұрын
IMEKUWA KUBWA HIO ASANTE KWA MAFUNZO YAKO MR. NANAUKA.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Shohamu Wokovu Kamili. Nashukuru sana pamoja sana
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
UMENIBADIKISHA SANA KIMTAZAMO NA SASA NIMEONA NURU MBELE YANGU
@mansourahmed5464
@mansourahmed5464 6 жыл бұрын
shukrani kaka, nina amini kwa uliyoyazungumza ...! nitafika mbali. wacha niweke ktk uhalisia.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Mansour Ahmed kabisaa
@samwelpanga2404
@samwelpanga2404 6 жыл бұрын
Thanks sana bro
@mrugamhono9451
@mrugamhono9451 6 жыл бұрын
thanks hro for your advice
@jumayusufu5207
@jumayusufu5207 5 жыл бұрын
Congraturation kaka
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Nimependa ghafla, na ninakukubali kwa mafunzo
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Ali M1966 karibu sana
@henrykashimba6908
@henrykashimba6908 6 жыл бұрын
thanks brother
@saidihemed8001
@saidihemed8001 6 жыл бұрын
Asante sana bro
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 6 жыл бұрын
Asante Sana bro
@hassanmgao2795
@hassanmgao2795 6 жыл бұрын
Hey my brother discipline its all about "do right thing at right place" as student what you're advice to me towards success? Can you help us.. Also if l am study and I think to be entrepreneur do you think Doe's it feasible to manage two things at the same time if impossible what possible...?
@jescakapondo658
@jescakapondo658 5 жыл бұрын
naomba kaka unipe ushauri juu suala la mahusiano nipo kwenye changamoto
@arurentjuma1548
@arurentjuma1548 6 жыл бұрын
Natafuta kitabu cha timiza malengo yako sijakipata
@GODIUSRWEYONGEZA
@GODIUSRWEYONGEZA 6 жыл бұрын
Be blasseb br Joel m nahitaji soft copy ya kitabu chako cha timiza malengo msaada please nifuate procedure gan ili nikipate?
@joachimlema3299
@joachimlema3299 5 жыл бұрын
Nimekuelewa kaka
@ericaron4657
@ericaron4657 6 жыл бұрын
Shari Kala VP una mafundisho Kwan njia y'all cd
@ericaron4657
@ericaron4657 6 жыл бұрын
hi brother Jo vitabu vyako vinapatikana wapi
@yusuphmohamedy1316
@yusuphmohamedy1316 6 жыл бұрын
Asante kaka kwa elim nzur
@japhetchambanenje5483
@japhetchambanenje5483 5 жыл бұрын
Big up brother
@husnashariff9012
@husnashariff9012 6 жыл бұрын
Jaman nampendaga huyu kijana waah
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Husna Shariff Nashukuru husna
@wazirikosianga4120
@wazirikosianga4120 5 жыл бұрын
Yako vizur kwel husna katk maisha
@hassanmsuya9057
@hassanmsuya9057 5 жыл бұрын
Ana push vijana kutoka katika hatua moja kwenda nyingine
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 жыл бұрын
@@hassanmsuya9057 kweli kabisa. Ata mimi nashkuru amenipush pia
@linuslivingstone9913
@linuslivingstone9913 6 жыл бұрын
Am blessed
@user-qs9rn2je4c
@user-qs9rn2je4c 6 жыл бұрын
hongera nanauka kila laa her kwako
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
جزجز شكطا nashukuru sana
@siboragasaya6946
@siboragasaya6946 5 жыл бұрын
Joel Nanauka kaka kitabu chako kinapatikanaje mie niko msoma
@farajimartin6406
@farajimartin6406 6 жыл бұрын
nataka vitabu vyako ntavipataje
@shabanhamis8465
@shabanhamis8465 6 жыл бұрын
nakubali mtuangu
@franksam5848
@franksam5848 5 жыл бұрын
Thanks brother may I have communication of you.
@healinghomeprayercentre
@healinghomeprayercentre 5 жыл бұрын
Hallelujah
@neliganmsigala4583
@neliganmsigala4583 6 жыл бұрын
personal log book inapatikana wap
@safiyasafiya5014
@safiyasafiya5014 6 жыл бұрын
Kunamradi ninaotaka kufanya nitaomba ushauri wako kwanza ili nipate mwangaza please
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
safiya safiya karibu sana
@titonimu4291
@titonimu4291 2 жыл бұрын
Sounds or sauti is not perfect. Try to collect
@elirehemamagoti6262
@elirehemamagoti6262 5 жыл бұрын
Thank you brother
@janeljulius4938
@janeljulius4938 5 жыл бұрын
Nauru xana kaja noel how can I get ur's books
@josephsungura8933
@josephsungura8933 5 жыл бұрын
Tafakari na uchukea hatua saf sana bro J nanauka
@johnjasper3587
@johnjasper3587 6 жыл бұрын
Ok
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Ninamengi ya kujuazaidi sasa nitakupataje?
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Ali M1966 tuwasiliane 0655720197
@jeremiamasiaya7363
@jeremiamasiaya7363 6 жыл бұрын
Ahsante sana kaka JOEL NANAUKA.... Hv nitapataje kitabu chako cha TIMIZA MALENGO YAKO? Namba yangu ni 0689102157.... Na pia nijulishe bei yake
@ndoomapaulo6189
@ndoomapaulo6189 4 жыл бұрын
Kaka vitabu vyako vinapatikana wap maana mimi nipo Mozambique namba yangu wasapi 0682445585
@elishamushi964
@elishamushi964 6 жыл бұрын
BRO. NAKUKUBAL SANA, VITABU VYAKO VINAPATIKANA WAPI? NAMBA YANGU NI 0715-770760
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Elisha Mushi sawa Elisha tutakutafuta kukupatia
Kanuni Za Kuwa Na  Furaha Siku Zote: 40/10/50
26:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 80 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 27 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,4 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 139 МЛН
Shaolin-Meister Shi Heng Yi - Wie schafft man es, loszulassen?
2:19:42
Hotel Matze
Рет қаралды 1,5 МЛН
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 45 М.
Jinsi ya Kuanzisha Biashara inayodumu kwa muda mrefu - Misana Manyama
12:48
English Conversation; Learn while you Sleep with 5000 words
3:01:48
Zen English
Рет қаралды 25 МЛН
NAMANA YA KUTIMIZA MALENGO YAKO: JOEL NANAUKA
12:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31