Tanzania tuna watu ila hawajapata nafasi salute sana mkuu
@adilanyosisye21792 жыл бұрын
Moja ya watu wenye hekima kubwa sana ktk Hii nchi...🙌🙌🙌🙂🙂 Mungu azid kukutunza sir/ MH. Mabeo, nashindwa hata kusema mengi
@jeremiahmakoye63402 жыл бұрын
Saana huyu baba ana hekima sana
@georgedamas70972 жыл бұрын
That's the spirit of Magufuli speaking... Salute Sir.
@kandygraphicstanzania2 жыл бұрын
One of the most thing nilikuwa natamani kuona Jeshi letu linafanya ni Kuanzisha miradi mikubwa na yenye maslahi kwa JWTZ na Wananchi wa Tanzania kama hii, cuz kwa wale wanao tembea watakuwa mashahidi wa hili Exp: Egypt ( Misri ) Jeshi lao lina miradi mingi hadi raha na limepelekea kuongeza upendo wa Raia kwa Jeshi lao kuliko kitu chochote, pia hata bei za vitu kwao ni nafuu na ni vyauhakika na usalama zaidi, CONGRATS JWTZ
@abubakarikisuju802 жыл бұрын
Mabeyo unafaa kuwa Rais wetu"
@raulencomarkesh58482 жыл бұрын
Jamani urais tena?
@juliuszellah10042 жыл бұрын
Yes, General kaongea point nzuri sana, hata huku vikosi vya jeshi vinafanya hivyo hivyo. Jeshi huku lina makampuni mengi yenye viwanda vya mnasafa marefu nchini kwao na kwa usalama wa nchi yao. Very good example.
@barakalukumay80872 жыл бұрын
Ahsante CDF... Maono Mazuri na yakizalendo MUNGU Akubariki!
@jeremiahmakoye63402 жыл бұрын
Maombi yangu kwa Mungu,ni kwamba akupe maisha marefu,afya njema na hekima zaidi. Tunajivunia kuwa na CDF Mabeyo.
@fredrickfilbert39222 жыл бұрын
Asante sana CDF Mabeyo. Jambo lililo mbele ni kupambana na mafisadi
@juliethmoshi29232 жыл бұрын
Good job CDF!! Natamanii ungeongoza nchi 💪🏽💪🏽💪🏽
@barnaba30372 жыл бұрын
Hongera CDF, unanikumbusha hon. Late Pres Magufuli
@lonickmpumilwa2 жыл бұрын
Well said proudly to hear your focus for bringing future development
@hallidrajab4672 жыл бұрын
Safi vituo vitufikie nchi nzima ila iwe kwa bei rafiki
@hasanainkhalid53672 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu CDF
@halimajamaniamekuwamndeme96172 жыл бұрын
Nampenda sana CDF anahekma sana, mungu akupe maisha marefu
@iviejustified81092 жыл бұрын
Heshima saana kwako mzee wangu.... Siasa zimekuwa nyingi saaana maisha haya.... Hado wewe umeongea .... Ubarikiwe saana Mungu yupo pamoja na wewe
@Jonasmemruti2 жыл бұрын
We proud of your Guys especially JWTZ ni chachu ya Maendeleo ya Taifa.
@marcondokeji89822 жыл бұрын
We are proud of you our general, Tanzania inakwenda mbele kwa kuwa tuna majeshi imara. Mungu ibariki Tanzania, Mungu yabariki majeshi yetu yote.
@jumamwengwa46822 жыл бұрын
I loving Jwtz#Nice job#Tanzania imara#Tanzania ni ya Watanzania#Ripjpm#Mwinyi#samia#kasim#ndugai#siro#MABEYO#WATANZANI
@husseinswaleh58692 жыл бұрын
Huyu ni mtu makini sana na mwenye mawazo ya kizalendo namuona JPM on him.
@willykulwa26502 жыл бұрын
Hekima yako ni kubwa Sana afande Mabeyo Mungu akubariki akulinde na akupiganie tunakupenda tupo nyuma yako Baba, wewe ni dira yetu na Kiongozi mwenye upendo wa dhati uliyechaguliwa na Mungu wa mbinguni
@rtp90102 жыл бұрын
General upo vizuri sana! Nakupongeza sana. Mungu akubariki sana sana.
@mariamnimbo83942 жыл бұрын
I salute u Sir!!!! Keep on the good spirit and vision that u have for our country.
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Hongereni kwa kutumika vizuri kipindi cha amani. Mungu awatie nguvu kufikiri zaidi. Mawese hutoa diesel.
@deohank59952 жыл бұрын
Wadau mnisamehe, Mh.ana muonekano wa Urais , sura yake imejaa UKWELI WENYE HOFU YA MUNGU.
@renatusmatungwa65062 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Kweli kabisa
@zumbeshauri81142 жыл бұрын
Hahaha kabisa yani
@ahz69072 жыл бұрын
Mh😎
@rashdiyange77582 жыл бұрын
Yn uyu mzee namkubali sana yn kakaa kikomando sanaa baba Big Up
@richardsaidi24482 жыл бұрын
Safi sanaa mabeyo Kwa kazi nzuri
@tinolutonja89322 жыл бұрын
Safi sana mkuu wetu ww xaiv nizaidi ya samia na unazungumuza kama mkuu wa nchi tunatamani ugekua ww tuu
@masawemasawe16702 жыл бұрын
Of course it's my first time to hear this guy and am actually salute to this views
@johnmalambo17382 жыл бұрын
Safi Sana kiongozi nimaono uko vizuri
@jamesshaw40112 жыл бұрын
Mzalendo mwingine anag'ara anasema mambo ya maana sio kama wengine
@ahz69072 жыл бұрын
Sio kama polepole. Si ndio?😊
@malcolmmusa16182 жыл бұрын
The best Chief of Defence Force to exist. 💯🙏👏
@edwinemrod39332 жыл бұрын
General Venance Mabeyo has a VISION 🔥
@joshuanyonyi33132 жыл бұрын
Mbona kama We Kiongozi mzur..tingisha kidogo ikulu pazuri...wasikuzoee hao wastaafu
@windmediatz2 жыл бұрын
Hongera CDF, tafadhali msiishie huko tunaomba na kwenye technology mje na mkakati maalum Kwa sababu ktk Dunia ya technology data itakuja Kuwa ni resource muhimu kuliko hata mafuta...
@dodwiedwin39442 жыл бұрын
Crude oil ndio fani yangu Mzee nimeisomea.
@abelchacha59772 жыл бұрын
Hongera sa cdf na team
@masundelwa2 жыл бұрын
Huyu mwamba si agombee URAISI jamani🙏🙏
@wilfredmaimu19582 жыл бұрын
Mungu akujalie sana cdf
@salutarysebastian28822 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana katika utendaji wako
@peterjanuary79722 жыл бұрын
Mungu ibariki 🇹🇿 TANZANIA🙏🙏
@jamesshaw40112 жыл бұрын
Africa we need patriotic leaders like these and we are tired of greedy and selfish leaders who focus on their pocket. Africa we have fertile soil, minerals gold diamond, rivers, lakes,oceans, good climate, youn population, vergetation ect BUT WHY WE ARE POOR?? WE NEED LEADERS LIKE THESE WHO CAN MOBILISE PEOPLE TO EXPLOIT THE RESOURSES FOR OUR PEOPLE...LONG LIVE AND SALUTE TO THE LEGACY OF MAGUFULI, NYERERE GOD REST THEM IN PEACE AMEN.
@henryj33042 жыл бұрын
Safi sana Mr CDF God bless you.
@francisnyaji50002 жыл бұрын
Safi nzuri iyo
@sylvestercharles35852 жыл бұрын
Msikubali nchi ikarudi ilikotoka, alisema Hayati JPM.
@allyhotti37772 жыл бұрын
Jeshiletu hongerenisana🙏natowa mawoni hapo mahala nipazurisana funguweni wingo wamiradi ikiwemo Hotel yakisasa kwajili yamabasi yawe yanaingiya mabasi yote yatakujahapo, funguweni cawoshi yakisasa muwe mnaosha magari yote mtakusanya mapatomengisana 🙏
@eddymush39672 жыл бұрын
Uko Vizuri Chief.Mkiwa na mikakati dhabiti ya uendeshaji isiyo na Kansa ya 'cha umma' mtaweza kua taasisi yenye nguvu Sana kiuchumi.
@erickchitumbi13082 жыл бұрын
Hongereni sana jeshi letu kuwa wa mfano
@gasirigwaaloyce87392 жыл бұрын
Yaan mzee umenikumbusha ndoto za jpm
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Tuondoe ile ubinafsi tufikirie taasisi na umma. Hekima kubwa sana.
@HassanAlJabri2 жыл бұрын
Safi sana. Hii ndio kazi khasa iendelee
@magingatv2 жыл бұрын
kazi iendelee
@bakarishabani86692 жыл бұрын
Uko vizuri sanaa
@juniordeprince5362 жыл бұрын
We love you CDF mabeyo I wish one day you be come A president republic of tz yani naomba JPM number 2 mabeyo
@gaudenceswai53822 жыл бұрын
Very intelligent, congratulations CDF
@capteinchuimchafu78942 жыл бұрын
Mwamba Ana muonekano wa uraisi hv
@upendohalisi57632 жыл бұрын
Mungu Baba na kiti cha uhai kikae ndani yako hiyo ni hekima ya aliyekuumba ulindwe kila eneo na popote pale uendako!!
@yohanakobero33872 жыл бұрын
Salute kwako mheshimiwa mkuu wa majeshi.
@bahatichombo72092 жыл бұрын
Hongera Mkuu wa majeshi 🙏🙏
@barakachawe62412 жыл бұрын
Asante mkuu. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kwnz..
@josephatkiliko25462 жыл бұрын
Asante sana.
@Jonasmemruti2 жыл бұрын
CONGRATULATION TO OUR HEAD OF GERAL OF THE ARMY HORN CDF MABEYO.
@mackjr52912 жыл бұрын
Heard💉 head
@Jonasmemruti2 жыл бұрын
Typing error
@saidramadhan59612 жыл бұрын
well say i salute you may Allah blessing you and guide your family
@alexlingwendu67802 жыл бұрын
Aluta kontinua .Kazi iendelee.Hongera JWTZ hongera Tanzania .
@mpokimwakaje81782 жыл бұрын
Mungu akutunze
@jumachacha39032 жыл бұрын
Ukiwa na mawazo endelevu na yenye tija kwa nchi kama hii yetu tz lazma wakufanyie figisu,ushushwe au uondolewe kabisa. Big up cdf kwa ajili ya mama Tanzanian.
@mohamediabdi13912 жыл бұрын
cdf mnyenyekevu muadilifu na mtiifu safi sana umenikumbusha jinsi kivuko mlivokiokoa
@busholaseseko49052 жыл бұрын
Safi sana mkuu wetu. Tuchape kazi nchi yetu isonge mbele
@papapapa51962 жыл бұрын
Saluti mkuu
@musagodfrey57292 жыл бұрын
Naipenda Tanzania Nakukubali Kiongozi Mabeo
@salehmussa93712 жыл бұрын
Natamn uendelee kuwa CDF hadi ukamilishe ndoto zako, kimsingi wewe ni mmoja ktk hazina chache za nchi hii. Najivunia kuwa Mtanzania
@zumbeshauri81142 жыл бұрын
Hakiak
@masandageorge9342 жыл бұрын
Daah kweli we nikiongozi unaongea madini matamu Kama jpm hivi namuona ndani mwako
@medardmakonge14662 жыл бұрын
Duh,Mkuu Wangu hakika hakukosea kukuteua kuwa msimamizi Wa ulinzi hapa nchini;Mungu akutamgulie sana ktk utumishi wako
@josefinajemsi17262 жыл бұрын
Yes raic watanzania , mwaaaaaaa! Baba wapili, komaaa wactukereeee!
@salummnumbe51642 жыл бұрын
Proudly TPDF
@lameckbalekere19622 жыл бұрын
Safi kamanda
@petrojohn.81562 жыл бұрын
Ila hadi hapo mmejitahidi sana sana mnastahili pongezi sana ,mmefungua kituo chenu cha mafuta ,na mmepanga mafuta yenu kuletwa kutoka uarabuni moja kwa moja.Pongezi kwa mkuu wa majeshi.
@onesm0mbise9022 жыл бұрын
Ivi jaman aifai uyu Baba mabeo hawe RAIS WA NCHI YETU uyu MTU Yuko vzr sana
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
HAPA KAZI TUU. 🙏
@benjaminbugalama21492 жыл бұрын
mungu akulinde ,,,na hao mashetani
@timotheongabanya71862 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa majeshi yetu endeleza jithada za Jpm
@jigajrphil13442 жыл бұрын
Ingependeza zaidi Sekta ya uingizaji Mafuta apa Nchin ingekabiziwa kwa Chombo cha usalama na kusambaza apa nchini kwenye makampuni binafsi ili izo pesa ili izo pesa zijiendeshe katika uo mladi.. Mafuta ni vilipuzi kwahiyo sio salama sana kukabizi kampuni binafi japo kuna usalama wa kutosha, Na mimi nimeongezea fikra zangu kama Mkuu alivyo shauri tuwe na fikra, Kazi iendelee
@wadeelegbogun30152 жыл бұрын
BIG UP CDF.
@alphoncewilliam43252 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@medardmakonge14662 жыл бұрын
Cdf hakika Rais hakukose kukuteua nakuamini sana kiogozi Wangu:Asante sana kuongeza nyingi kwenye miladi yetu hii faida kwa wananchi wetu pia jeshi letu Amina sana mkuu
@abuuramadhan80932 жыл бұрын
Jeshi mngejikita kwenye high tech na kutengeneza hata vifaa vya jeshi ili msinunue vifaa ving kutoka nje
@venancephilbert93972 жыл бұрын
Wanaelekea humo Stretrgic project_ kuwa na mafuta ya kjtosha kwa usalama wa nchi ...maana nzito .then crude oil refinery .then huko unakosema, hii haihitaj century kk... soon tutackia
@bamsnames1492 жыл бұрын
BIG BROTHER ALWAYS RIGHT
@marcominja88502 жыл бұрын
Hongera sana japo si mara ya kwanza jeshi kufungua kiyuo cha mafuta, pale lugalo kulikuwa na kituo cha mafuta na kikapewa jina super lkn baadae kilikufa. Naamin this time around mtasonga mbele.
@mimutiengungatimollel37942 жыл бұрын
Duuuhhh" mungu akulinde ni kwnn usiwe rais wa nch hiiii?? Pongezi xana jeshi letu mungu awatie nguvu