Umeongea vizuri xana kwa hekima, Mungu akujalie afya njema🙋
@mturijackonia91383 жыл бұрын
Akuna tena Kama magufuli
@ThomasMsuya-m3d2 ай бұрын
Tuta kukumbuka Kila tunapo ona alama yoyote ya ukumbusho wako Pumzika Shujaa Vita umevipiga Mwendo umeumaliza ❤
@shejamy063 жыл бұрын
Tunakupenda mzee mabeyo Mungu akutie nguvu tupo pamoja
@nestor3842 жыл бұрын
The genius JPM💪🏻 Hakuna Rais atakuja kuwa kama yeye 🙏🏻💔
@martinkigua86272 жыл бұрын
Kabisa non to compare with him rest in power John
@SHEDRACKILOMO10 ай бұрын
Itachikuwa miaka
@MajoDaudi-d7g2 ай бұрын
Tutamukumbuka daima mtetezi wawanyonge rara baba
@alphonceelias25512 жыл бұрын
Mwamba pumzika kwa amani baba,ulijua shida zetu na kuzifanyia kazi immediately.ulizunguka ndani ya nchi yetu ukiangalia watu wako,na kutatua shida zao papo hapo pale ilipowezekana na ulimtanguliza Mungu mbele.
@georgebenard39232 жыл бұрын
Pumzika baba yetu, umefanya kazi ya miaka60 umetekeleza kwa miaka mi4 tu lala baba nitaenzi, na kutunza heshma ndani ya Roho Yangu,
@tumuhairweconrad5363 жыл бұрын
Rest in peace our beloved friend H.E the president J. P. Magufuli and may Load bless u .Amen
@abdullahmutonye14022 жыл бұрын
Mheshimiwa maghufuli, alikuwa raise mpenda haki na mwenye kutenda haki kwa wore, Mungu amlaze pema peponi, Ameen.
@RahimuHassan-v2l Жыл бұрын
Mungu akupe unachositahili isha allah
@luganomwankyoko26532 жыл бұрын
umestaafu umeacha alamaa🇹🇿
@gilbertkalanda93549 ай бұрын
Huyu bwana General ni mnyenyekevu Sana, kweli Seminari zinapika watu
@germanapaulo66633 жыл бұрын
RIP Rais wangu,mtetezi wa wanyonge,John pombe Magufuri 😭😭😭
@IongwaEzekiel27 күн бұрын
Habo joo waliyo mutowa Makufuli samia na kikwete, kwaza kikwete ni Congo mani tena ndugu yangu mimi kutoka ubware kwetu halisoma na halikuwa colenge wa baba yangu mimi wakamia tanzani kisha hakahingiya mabo ya siasa ya CCM Tanzanian
@majidfrolian49043 жыл бұрын
Mna camera nzuri Sana Clouds siku hz hongereni
@emmanuelkayanda38933 жыл бұрын
Akili yako iko kwwnye camera tu
@ahamadally39082 жыл бұрын
Tarifayyahabari
@virejiangingo2882 жыл бұрын
Pumnzika kwa Amani Rais wetu mpendwa Magufuri
@MWLKALEBUMWANGINDA2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@dalaliamanidar30042 жыл бұрын
Kumbe mabeyo ana medali zote hizo lakini wakati akisaafu hakuvaa asee mabeyo ni Mike Tyson asee kwa TANZANIA....hebu angalia hii video then angalia akistaafu hutaona akivaa medali....yaani Huyu mwamba alikua sio mtu wa sifa KWASABABU medali ZAKE zinajulikana jeshini heshima kwako MABEYO
@miltonjohn9779 Жыл бұрын
Wamebaki wapiga dili na wanyanyasi wa wananchi.
@Anna-im5jr10 ай бұрын
Wema hawaishi.Maana maadui wamewazunguka.Ndivyo ilivyokuwa kwa Mpendwa .JPM.R.I.P. BABA.
@chb53672 жыл бұрын
Cdf aliposema nakuhakikishia jeshi litakutii ndipo alipopiga makofi tu mh Samia.🤔
@kiduvencha38582 жыл бұрын
Safi sana
@charlesmugisha65292 жыл бұрын
Maisha aya jamani?😭😭😭
@lyambisipatrick25402 жыл бұрын
Tunangalia sehemu nyingine sio lazima kwake
@Mrnyuki0428 Жыл бұрын
Mabeo ni mtu snaa
@rabsonchisumo66403 жыл бұрын
R.i.p
@majidfrolian49043 жыл бұрын
Bonge la speech
@epifaniamilinga284810 ай бұрын
Jamani iiii8
@zenobiakapere13792 жыл бұрын
Pumzika kwa amani JPM
@Bulayampuya11 ай бұрын
Tangu nchi ipate uhuru mwaka1961 tulikuwa hatuwahi kupata msiba wa rais kufia madarakan MUNGU moyo ujasili ktk kipind hiki kigumu mlaze maahara pema mh Magufuli
@richardkaula68473 жыл бұрын
Imebaki kumbukumbu ya kutuumiza ukizingatia maigizo
@haido.992 жыл бұрын
😓😭😭😭😭
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
🙏
@jacoblaiser76342 жыл бұрын
Gen Mabeyo weww ni Kiongozi hasa. Kongole General
@salimbori97043 жыл бұрын
Juuu
@Bulayampuya11 ай бұрын
Viatu vya mhe magufuli hakuna vitakae mfika ulikuwa tunu ya taifa letu