RUSSIA YASITISHA KUPELEKA GESI ULAYA, MSOTO WATAJWA KUYAKUTA MATAIFA HAYO

  Рет қаралды 18,820

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@RamadhanRamdhan-i2c
@RamadhanRamdhan-i2c 2 күн бұрын
Ukrein Hana ges urusi ndyo Mwenye ges sasa jibu unalo
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@@RamadhanRamdhan-i2c anapitishia kwenye arthi ipi Ili iende ulaya magaribi?
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k 2 күн бұрын
Hilo sio tatizo!! Tatizo kwawaleee ambao wanategemea kupokeaa, mpokeaji anahasaza kuliko mtoani maana gass haiharibik kama ugalii😂😂
@sultanmohammed8634
@sultanmohammed8634 Күн бұрын
Yes absolutely yes yes good news very good news
@JomoKilawe
@JomoKilawe 2 күн бұрын
Urus Ana Soko China,India,na kwingineko hilo Soko Linamtosha..
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq Күн бұрын
Wanainch wa Russia sasa umasikin umeikumba
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 2 күн бұрын
Tutaishi na tutasalimika kwa jina la Yesu kristo
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 күн бұрын
Mbona wateja anao wengi aliopewa na mungu ata ukimchukia utakufa blad presha
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 2 күн бұрын
Ukrain ndo iliasema kua haitoruhusu Mkataba ule usainiwe upya(ambapo gesi inapitia kwke kwnd Maghrib) na ndio kuongezeka kw mgogoro baina yke na Slovakia hadi Slovakia kutishia usamnazaji wa umeme kwnd Ukrain
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 2 күн бұрын
Hayaaa tunasbr kuona mwisho wa hili zengwreee 😅
@JosephAmos-z4g
@JosephAmos-z4g 2 күн бұрын
Mambo mmh
@jonasjonas8111
@jonasjonas8111 2 күн бұрын
Russia haijaacha kusambaza gesi bt Ukraine ndio wamekataa kuongeza mkataba wa gesi ya urussi kupita katika ardhi yao kwenda ulaya
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@@jonasjonas8111 umemjibu vyema huyu mwandishi anafikiri hatufuatiliagali taarifa Yani huyu mwandishi hajui kitu anatuletea stori za kwenye vijiwe vya kahawa
@barnaba3037
@barnaba3037 2 күн бұрын
Mwandishi unakwama sana
@innocentisdory3810
@innocentisdory3810 2 күн бұрын
Mwandishi hauko poa sana
@asifiwempagama27
@asifiwempagama27 2 күн бұрын
Inakuwa ukimwaga mboga wanamwaga ugali. Vita vya ndg/ matanga ndg tabia zake weka hapo
@mapundarajabu5416
@mapundarajabu5416 2 күн бұрын
Urusi itafunga kabisa na iposiku watamuomba radhi Putin
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@@mapundarajabu5416 weni mjinga kweli ulaya sasahivi wameshaanza kuchukua gesi kutoka Azerbaijan na Algeria wanaachana kabisa na gesi ya urusi ifikapo 2026
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 2 күн бұрын
​@@robertphilip385Iko bei juu sana,ndio maana gharama ya maisha imepanda sana ulaya
@RamadhaniMzashi
@RamadhaniMzashi 2 күн бұрын
wewe ndo mjinga kqa sababu unasikiliza vyombo vya habari vya baba ako​@@robertphilip385
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 Күн бұрын
​@@robertphilip385 acha ujinga uko kote ges zao zitaisha ila urusi bado ipo yan urusi ges kama Ina chemka 😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
@@sbboymkaliofficial9108 gesi ya urusi mkondo wake ni mjo na wa arzabayjan ndo maana urusi anaumiza kichwa algeria ndo kabisa kuishakwake miaka 400
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 2 күн бұрын
Puti Wanyooshe Awo wahuni Mpk Waseme
@charlesadolf1062
@charlesadolf1062 2 күн бұрын
Russia to China,India and Africa
@vintz338
@vintz338 2 күн бұрын
Ukraine hajasitisha, muda wa mkataba umeisha urusi wamefunga , nyie mnaosema ukrain kasitisha mtakua mmepata taarifa kwa mwijaku 😂😂😂😂
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@@vintz338 ukraine ndo kakataa kuongeza mkataba wa gesi kupitia kwenye arthi yake kwenyekweli sema kweli usitangulize sana mahaba Kwa urusi ukashuhudia uongo mkuu
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 күн бұрын
Hata wakisitisha bado yeye yupo juuu wafanye wafanyavyo lazima watamfuata tuuu wamejaribu kila mbinu zao bado wataelewa tu na huyo mturuki ndipo nae hakizingua basi urafiki na Putin utakuwa umekatika na Edorgan hawezi ktk Hilo japo hatakuwa na msukumo kutoka Nato.sisi wafrica bado tupo nyuma Sana..
@godfreykasheka9127
@godfreykasheka9127 3 күн бұрын
Dollar B7 ni sawa na Tilion 140? Mwandishi hukusoma hesabu nn😂😂😂
@ShedrackShedrack-c2b
@ShedrackShedrack-c2b 2 күн бұрын
Nizaidi yaiyo
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 2 күн бұрын
​@@ShedrackShedrack-c2bNi zaidi ya hiyo kvp hebu piga hesabu
@OmarHamza-j5v
@OmarHamza-j5v 2 күн бұрын
URUSI. HAYUMBI. WATOYUMBA ULAYA. WATAZIDI KUGOMBANA WENYEWE KWA WENYEWE. WATAUZIWA GESI BEI HALI NA MAREKANI NDIPO WATAPOKOMA,
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@@OmarHamza-j5v kumbe hata hujui ulaya sahivi wanachukua gesi Azerbaijan na Algeria Wala hawamtegemei Tena urusi
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 күн бұрын
@@robertphilip385 watu wapo kishabiki mnoo
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
@@lusajomwaipopo5042 kweli asee
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
@@lusajomwaipopo5042 kweli asee watu wamebaki na mahaba hatakweli wanapindisha
@AlpheusCharisma
@AlpheusCharisma 2 күн бұрын
Sema mkataba wakusafirisha gas kwenda ulaya umeisha. Ulikuwa wa miaka mi 5 na leo ndo mwisho. Lakini pia Ukraine hataki ipitie kwaka.😅😅Naona usaidiwe maana hujui
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 2 күн бұрын
Kwani njia ni moja tu ya Ukraine ?
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 күн бұрын
Wengi hajaona hilo andiko ukrein ndiyo imezuia
@matikowambura7657
@matikowambura7657 2 күн бұрын
Ukreni ndo kasttisha kupitia ardhi yake acha uongo pimbi ww
@robertphilip385
@robertphilip385 3 күн бұрын
Acha uongo ukrain ndo imesitisha gesi kupitia kwenye arthi yake mpumbavu wewe
@edwardmongi117
@edwardmongi117 2 күн бұрын
Ukrain ina ardhi ipi
@robertphilip385
@robertphilip385 2 күн бұрын
@edwardmongi117 kwahiyo ukraine siyo inchi siyo
@kimeinetwork4599
@kimeinetwork4599 2 күн бұрын
Mwambie
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 күн бұрын
​@@edwardmongi117duu kwahiyo ukrein haina ardhi
@marcedeskaigarula
@marcedeskaigarula 2 күн бұрын
Usitukane bali uchangie hoja kwa nidhamu .
MAKALI YA GESI YA RUSSIA, SLOVAKIA YATISHIA KUIKATIA UMEME UKRAINE
4:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Yanga africa Vs Tp mazembe // CAF CHAMPIONS LEAGUE// LIVE STREAM
Producer florizy
Рет қаралды 6 М.
Subhanallah!Namna Mji wa Sodoma ulivyo leo hii
10:35
Kalamutz
Рет қаралды 137 М.
BMG TV: Taarifa mpya daraja la JP Magufuli (Kigongo- Busisi) Mwanza
12:40
PUTIN AOMBA VITA NA MAREKANI, ULAYA ‘TUTAIJARIBU ORESHNIK’
4:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН