Huyu mtangazi si ndo yule aliulizwa na bahati bukuku una mchumba? Nusura aingie chini ya aridhi.
@MercySanga-sd1ne5 ай бұрын
ukweli dada ww ni mtoto wa bahati
@vailetiludovickkweka66112 жыл бұрын
Acha kukunja sura kaaa vizur
@aminaathumani68323 жыл бұрын
Mbona anasauti nzito kama Vire mama yake😲😲😂😂
@SteveNyombo Жыл бұрын
Mungu Awa bariki tena
@DamarisDuuTausi8 ай бұрын
Hawafanani sio mtoto wake hapana
@d.methuselah93293 жыл бұрын
Madora Tv Munafanya Vizuri Mungu Amtunze Dada Yetu
@khalfaninassor53223 жыл бұрын
Amosi 5:23) Ezekier 26:13) Amosi 8:3) nyimbo ni haramu. Mahubiri yanatosha. Kuimba sifa ya makahaba. Isaya 23:16)
@balozitv39003 жыл бұрын
Kazi nzuri dada yangu
@josephsilivester Жыл бұрын
hakika,,, mungu,, atamuongoza
@heavenjohnbukuku85733 жыл бұрын
Whaooo so nice lovely
@donyxkeyofficiel72222 жыл бұрын
Super
@lusajosajent54873 жыл бұрын
Angalau nimemfahamu mtoto wa Bukuku big up Madora
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Sio mwane wa kumzaa bhana bahati bukuku hana mtoto alipataga watoto lkn wakafariki so anawalea km watoto so unaweza kumuita mwanae nae akamwita mama
@christinaabel4236 Жыл бұрын
Jamani ni mtoto wake wa kiroho
@kindnessalltheway92412 жыл бұрын
Bahati hana mtoto nyie...
@nashondaniel35923 жыл бұрын
Amen
@verenikapallanjyo412 жыл бұрын
Ni mama yake wa kiroho.
@lucysanga49412 жыл бұрын
Hana mtoto bahati bukuku nyie
@AtukuzweJohn-r2n2 ай бұрын
Anae
@gloryjaphet41073 жыл бұрын
Kazi nzuri dada hongera
@khalfaninassor53223 жыл бұрын
Glory nimekupenda. Umeshaolewa au una Mchumba?
@gloryjaphet41073 жыл бұрын
Ubarikiwe
@khalfaninassor53223 жыл бұрын
@@gloryjaphet4107 We mtoto wewe mbona hujibu neno.
@monicaalute31433 жыл бұрын
Leo ndyo nimejua km bukuku ana mtoo
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Sio mwanae wakumzaa bahati bukuku alipataga WATOTO wawili ila walifarikigi wakiwa wadogo Sana huyu Ni mtt wake kwakua kamlea yeye ila sio wa tumbo lake
@rehemamwazembe22573 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421wewe umefafanua vema na huo ndo ukweli bahati bukuku kwa sasa hana mtoto watoto wake wawili walishatangulia mbele ya haki
@sweetluc26603 жыл бұрын
Labda mtoto wake wa kiroho toka nimjuwe Bahati Bubuku sijawahi kusikia Ana mtoto wa kumzaa
@jolemerci21553 жыл бұрын
Hâta rose muhando sijui kuwa ana wa toto mimi sijasikia
@josephinemichael15142 жыл бұрын
@@jolemerci2155 Rose anao watatu wakubwa tu
@eppiemodest2 жыл бұрын
Duuuh. Sauti ni mbovù. Tena anakunja sura na hâjiaminì. Bahati Bukukù has no daughter watu wasiseme uwongò ni DHAMBI.
@naomikatharinaandrewmnkai67602 жыл бұрын
Ivi Da Bahati Ana mtoto?
@denisclement91183 жыл бұрын
Nice
@tinajoe54873 жыл бұрын
Sio nyimbo sema wimbo kwa wimbo mmoja,acheni kuharibu kiswahili jamani.
@michellesnaidah65032 жыл бұрын
😂
@RuphenceKarisa6 ай бұрын
😂😂😂
@amenaameeena33172 жыл бұрын
Kwani Bahati ana mtoto maana nilisikia anasema watoto wake walikufa mtoto anajitafuna