MAKONDA AKIPEWA POLE NA WANANCHI | BAADA YA UKIMYA MWAMBA HUYU HAPA..

  Рет қаралды 79,892

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

makonda yupo wapi paul makonda apewa sumu
makonda awekewa sumu makonda afariki paul makonda yupo wapi paul makonda yupo likizo
#paulmakonda

Пікірлер: 209
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 Ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah Mungu yumwema Pole makonda tunakupenda Saana ❤❤❤ God protect U ❤ God bless you 🙏
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 28 күн бұрын
Nimefurahi ninalia kwafurahaa niliyonayo mm mungu anajua ❤❤❤❤❤
@MashakaEdward-ne1ih
@MashakaEdward-ne1ih Ай бұрын
Mungu baba wa mbingini mwenye mamlaka hapa chini na juu mbingini jina lako lihimidiwe na ufulume wako utukuzwe tunakushukuru kwa ulinzi wako mkubwa na kuturejeshea mtu alieshika dhamana yetu madarakani mungu mrinde na umukinge kati ya maadui wake amina
@user-eo4ni2lm9i
@user-eo4ni2lm9i Ай бұрын
Bwana yesu wewe uko karibu sana na mtumishi wako makonda mlinde mtumishi wako mpe afya ya Roho na mwili aweze kufanya kazi uliyo muitia bado kazi ajaikamilisha baba wa mbinguni uyu niwako yelemia <a href="#" class="seekto" data-time="1983">33:3</a>
@SelemanAthuman-ke1gh
@SelemanAthuman-ke1gh Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu makonda ww Jerry silaa,na majaliwa kwakwel mnajua majukumu yenu
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p Ай бұрын
Asante mungu kwa kumuona makonda wetu na mungu muekee ulinzi mukubwa mtetezi wetu wanyonge
@maroriventures5322
@maroriventures5322 Ай бұрын
mimi ni Moses from Kenya kweli makoda amepatikana asant mungu
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 Ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏 mungu akubariki akulinde Mh Makonda ❤❤❤✅💪💯🤲🇹🇿👍
@franklukwala1157
@franklukwala1157 Ай бұрын
Channel ya habari ya kuaminika ni Millard Ayo tu wew ni tapeli
@danielimeshack3712
@danielimeshack3712 Ай бұрын
Sasa kama unaiamini hiyo hapa umekuja kufanya nini
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 Ай бұрын
​@@danielimeshack3712Ni kweli kabisa,hii ni channel ya mataahira wala hakuna habari ya maana ila majungu,umbea na fitina
@YaeliJoseph
@YaeliJoseph Ай бұрын
Hasaaaaa, huyu ni shetani kabisa maana anongea uongo,
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Sauti yenyewe ya mtangazazi ni kama ya yule wa ubaya ubwela Wana Simbaaaa
@NeemaJackson-s5f
@NeemaJackson-s5f Ай бұрын
Nakukubdlii mungu akulinde jamsni
@hassaniabdallah401
@hassaniabdallah401 Ай бұрын
Mungu Akulinde sana naomba ugombee urais tunakuomba
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 26 күн бұрын
Love my brother wangu sana mungu akudumishe na akupe umli mrefu
@user-tz7px9hh8s
@user-tz7px9hh8s Ай бұрын
Tunakupenda baba mungu akulinde
@JanethBlasd
@JanethBlasd 24 күн бұрын
Mungu n mwema kila wakat dam y yesu ikufunike
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Alhamdulillah ,makonda mungu akulinde na husud za walimwengu
@SallehFakki
@SallehFakki 28 күн бұрын
I love you makonda from zanzibar
@AlikoSabasaba
@AlikoSabasaba 26 күн бұрын
Asante sana mungu wetu kwa kupatikana makonda
@nadiatanzania
@nadiatanzania Ай бұрын
I'm very happy thank you Jesus 😊🙏
@averinataitus
@averinataitus Ай бұрын
Asante Mungu kwa yote Tunamweka Makonda mikononi mwako umlinde kwa Kila baya zaidi umjaze ujasili Hekima na Busara katika utenfaji wake Hilo awe mtetezi was wanyonge wanaoonewa
@user-dr6pb3yo9s
@user-dr6pb3yo9s 26 күн бұрын
Yaaan mimi jumatatu niko ofisini kwa jambo langu asante mungu
@mariammabula7318
@mariammabula7318 28 күн бұрын
Asante mungu
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p Ай бұрын
Yaani mungu yuko makini na kiongozi wetu mzuri na mungu wetu ulie hai tunakuomba endelea kuwa makini na makonda wetu wachawi wasijaribu wabaya wasijaribu kumutafuta mungu yule yeyote atakae jaribu kumutafuta mtetezi wa wanyongo mutangulize yeye mungu na nasema Asante mungu kwa kuitikia Ombi hilo
@PendaelyMartin
@PendaelyMartin 27 күн бұрын
❤❤❤❤
@magdalenalaban8895
@magdalenalaban8895 26 күн бұрын
Na Mimi nimefurahi Sana Mungu azidi kukupa ulinzi
@fransiscajohn4373
@fransiscajohn4373 Ай бұрын
Ee mwenyezi mungu mlinde sana Mh . Makonda kiukweli ni msaidizi wa watu wanaonyanyaswa Arusha watu waliteseka sana mungu ukamleta baba wakugomboa Arusha yetu
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@user-uu1fs6vp6g
@user-uu1fs6vp6g Ай бұрын
Da asate mungu kama kiogozi wetu yu hai asate mungu kwa awamu nyingine tena baba tunakupenda sana sisi wanaichi wa hali ya chini kumbuka baba hata yona alitumwa na mungu kwenda kwenye mji wa ninawi na mungu kwenda kuwaponya wana wapotevu lakini wengi walimkatisha tamaa ila mungu wake akamkubusha tena kwa hiyo hata wewe ajaribu ni mengi sana kwako ila mungu yuko pamoja na wewe
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf Ай бұрын
Mbona haongeii
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@EsterWilliam-cv2jb
@EsterWilliam-cv2jb Ай бұрын
Sa ulikuwa wapi
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Ай бұрын
Amen.
@user-ee2bk3me8d
@user-ee2bk3me8d 27 күн бұрын
Pole kamanda
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 Ай бұрын
Wow, NAMPA MUNGU UTUKUFU , KWA KUMREJESHEA UHAI MAKONDA. AMINA. AMINA ❤
@maryhaule6448
@maryhaule6448 Ай бұрын
Duuuuu mungu mkubwa
@scolastikapeter5892
@scolastikapeter5892 Ай бұрын
Waooooh!!
@SalmaMrembo
@SalmaMrembo Ай бұрын
Waooooooooooo baba uyooo
@SubiraJohn-k7k
@SubiraJohn-k7k Ай бұрын
Mwenyezimungu akulinde bro❤❤❤❤❤
@eddiematta8007
@eddiematta8007 28 күн бұрын
waandishi tumechoka namyi wakati wote makonda makonda makonda...hamna lingine
@NeemaAloys
@NeemaAloys 25 күн бұрын
Eee mungu muepuxhie matatizo aya makonda
@ZaZa-ck9sf
@ZaZa-ck9sf Ай бұрын
Majungu yenu ni bule kama mungu hakupenda ni kazi bule allaah akulinde kipenzi
@user-bf1rm2er5z
@user-bf1rm2er5z Ай бұрын
Asante mungu wewe ni mwema umesikia maombi yetu
@JaneMushi-w8s
@JaneMushi-w8s 28 күн бұрын
Baba umerufi mungu akusaidie bab
@paulomartini6005
@paulomartini6005 Ай бұрын
Jamn mwamba wetu mungu amjalie afya nzuri kila kukicha
@AcheckMbagwa-m9m
@AcheckMbagwa-m9m Ай бұрын
Asante mungu Amlinde amtunze zaidi
@eunicemaganga4350
@eunicemaganga4350 Ай бұрын
Sifa na utukufu ni heshima na adhama zimrudie Mungu muumba, na Damu ya Yesu kristo iendelee kunena mema juu ya yake,
@janetchinga695
@janetchinga695 Ай бұрын
Naomba tu kwamba afanye kazi yamungu sio yasiyasa Bola awe pastor ❤❤❤
@MasudiNammanje
@MasudiNammanje Ай бұрын
Daa
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Ай бұрын
❤❤makonda❤❤
@user-tm9so4mw1g
@user-tm9so4mw1g Ай бұрын
Umetupooza machungu mwamba, tunakuhitaji na usubiri urais hakuui mtu. Asante mungu Kwa kumlinda huyu mwamba wetu
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@MiriamIfuja
@MiriamIfuja Ай бұрын
Asante Yesuuuuu
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo Ай бұрын
Ashukuriwe Mungu asikiae maombi yetu watanzania3umerudi salama kiongozi wetu ulindwe na ulinzi wa mbinguni na ulinzi wa duniani Damu ya Yesu ikuzingire pande zote ❤
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 28 күн бұрын
Huu ulofa wenu unavunja heshima na ustaarabu wetu watanzania.vichwa vya habari na clip mnazoonesha havina uhusiano,uhalisia Wala ukweli.Watu wanashukuru Mungu kwa taarifa zisizo za kweli
@MsafiriNkwera
@MsafiriNkwera Ай бұрын
Hakika mungu akupiganie rc makonda nimefarijika sana binafsi kukuona mwamba
@DamaclineHaron
@DamaclineHaron 28 күн бұрын
Mimi mkenya.nimefurahi kukuona ndugu yangu mungu anakupenda
@YunusuKantangayo
@YunusuKantangayo Ай бұрын
Mungu ni mkubwa aendelee KUKULINDA na bado tunakihitaji sana si kwa nafasi ya uliopo kwa sasa tunamuomba mwenyezi Mungu upandishwe na uinuliwe juu zaidi mara mbili zaidi Amin
@user-im9ew6pw8e
@user-im9ew6pw8e Ай бұрын
Pole sana mh
@SallehFakki
@SallehFakki 28 күн бұрын
Mwenyezi mungu atakulinda RAIS WETU UNAE FATA
@IssaKoloba
@IssaKoloba Ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeen jamani
@user-kq7in8gd9o
@user-kq7in8gd9o Ай бұрын
Makonda Kaka Mungu hatakuacha Kila atendaye haki jicho la Bwana litamfurahia Bali mwovu na fisadi ataaibika wakati wa Bwana umjiapo.
@EasterGlory
@EasterGlory 26 күн бұрын
Mic you moreee
@EstherElius-xh4yr
@EstherElius-xh4yr Ай бұрын
Tunakuomba ,,,,umlinde. Makonda,,,,,,yy nafamily ,,yake. Eeeemungu,,,s'kiya kilio,,chet❤
@zainabumohamed4763
@zainabumohamed4763 Ай бұрын
alhamdulillah
@Bwenge-minecraft
@Bwenge-minecraft Ай бұрын
mungu nimwema tuna kuona mwamba shujaa.
@YasminaMkali
@YasminaMkali Ай бұрын
Kwendaaaaaaaaa! Acha uwongo! Hajaonekana na haijulikani aliko!
@helentelemla5623
@helentelemla5623 Ай бұрын
Sijui ni kweli mi yeye yupo hai au nisiendelee kutoamini.Mungu mlinde kijana wetu.
@StivinWambuto-zy5ft
@StivinWambuto-zy5ft Ай бұрын
Tunamshukuru MUNGU Sana kama ni KWELI kiongozi makonda ni mzima, maana wametuchanganya na kutuhuzunisha Kwa taarifa mbaya
@NeemaJackson-s5f
@NeemaJackson-s5f Ай бұрын
Baba jamani
@AishaKondo-fl7hk
@AishaKondo-fl7hk Ай бұрын
Tunataka kumsikia mwenyewe imani imepotea😢
@victoriafaronendakwamakond4816
@victoriafaronendakwamakond4816 Ай бұрын
Mungu ni mwema
@melkizedck
@melkizedck Ай бұрын
Mwandish sis siyo watoto. Tunataka makonda aongee mwenyewe. Hii vodeo ya zaman
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/aoK9Yoirg9CWh6ssi=poppSkgAYlYhkwLB
@ErnestSolomon-m7o
@ErnestSolomon-m7o Ай бұрын
Wanaomtafuta kwa mabaya hayo mabaya iwarudie wao kwa jina la yesu
@AishaHamza-e9u
@AishaHamza-e9u Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Ай бұрын
Mbona pole nyingi halafu kakonda
@KipambaYokbob
@KipambaYokbob Ай бұрын
Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@tulimwaipopo-eq3be
@tulimwaipopo-eq3be Ай бұрын
Mungu mkumbuke baba huyu umlinde na maadui zake
@user-cu3cl4yy5s
@user-cu3cl4yy5s Ай бұрын
Daaah mwamba uyu apa karudi mzigoni tunamkubali mheshimiwa
@AminaKioko-lv6jx
@AminaKioko-lv6jx Ай бұрын
Utukuzwe mungu wawanyonge tuna furaha. Tumemuona makonda
@kenedmwakaswaga2098
@kenedmwakaswaga2098 Ай бұрын
Ya mda mrefu Sana iyo clip
@fruitfulchildrenshome9411
@fruitfulchildrenshome9411 Ай бұрын
Mimi mwenyewe Tomaso hadi nimshike mkono ndo nitaamini kuwa ni kweli. Wewe ni tumaini jipya kwa watu wa Arusha. Mungu akutunze.
@christinasamson5332
@christinasamson5332 Ай бұрын
Asantu mungu.
@anthonynyakunga6270
@anthonynyakunga6270 Ай бұрын
Ahimidiwe Mungu Amina
@AshaMohamed-cn6wn
@AshaMohamed-cn6wn 29 күн бұрын
ALLAH AKUPE SHUFAA. AMMIN.
@LucumayMoses
@LucumayMoses Ай бұрын
Jamani kama kweli umeludi mkuu wa mkoa wa Arusha bc mungu yupo na anakupenda
@mungunimwemakilawakati1299
@mungunimwemakilawakati1299 Ай бұрын
Tafadhali mwandishi u😮situtanie, sisi sio watoto wa kudanganywa
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 27 күн бұрын
Hii ni yazamani msitudanganye mbwa nyinyi sii ni yazamani
@HaznaAbdallah
@HaznaAbdallah Ай бұрын
Mmmmh
@user-jk2sl4sk4p
@user-jk2sl4sk4p Ай бұрын
Mungu ndiyo kilakitu akuweke na baado siamini tena siamini jamani
@user-yk2mr1uu5i
@user-yk2mr1uu5i Ай бұрын
Mwamba huyu apa mungu nimwema
@halimaMngara
@halimaMngara Ай бұрын
Damu ya Yesu ikufunike
@FikiriniAdam-uk7cc
@FikiriniAdam-uk7cc Ай бұрын
Yazamanisana
@kinywakithebigboss5057
@kinywakithebigboss5057 Ай бұрын
Makonda nikama zahabu ili iwe zahabu lazima ipite kwenye Moto Mimi ninaimani ndio raisi wa 2030 hongela Sana makonda
@theresiamalya7130
@theresiamalya7130 Ай бұрын
Jina la Bwana libarikiwe.
@jonathanbbenardkazenga2085
@jonathanbbenardkazenga2085 Ай бұрын
Mpakq apewe pole inamanisha Kuna kitu
@NurathZuberi
@NurathZuberi Ай бұрын
Hakuna ki2 hapo
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 Ай бұрын
Mh ni kweli?
@FredMwambenja
@FredMwambenja 27 күн бұрын
Nchi ya tanzania inamungu siku zote, na wapo watu wengi wenye loho nzuli kama makonda wanakuja. Na mtaisoma namba
@EstherElius-xh4yr
@EstherElius-xh4yr Ай бұрын
Mungu,,,anajuwa,,,,kilakitu,, tusubir,,,,,,tumiombee,,,,,afiya,,,,yake ,,,,,iimarike. ,,,aridi,,,,kazini,Salama,,,,, eeeemungu,,,,,wetu. ,unatumiwa,,,,vema. Hakuna,,,,tuchoweza,,,kufacha,, ,
@user-yu1xi7dh4o
@user-yu1xi7dh4o Ай бұрын
Hii picha ni msibani kwa rowasa kwa hiyo usitupange
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np Ай бұрын
Makonda usiwe mzembe jikinge unamaadui wengi wakubwa wenye nguvu na uwezo
@mukeshimanarose1334
@mukeshimanarose1334 Ай бұрын
😮😊😊❤❤❤🙏🙏🇧🇮🇰🇪
@Blessing_uk
@Blessing_uk Ай бұрын
Wwnimuongo hyo video niyamuda
@NeemaMoleli-g7m
@NeemaMoleli-g7m 29 күн бұрын
Nahitaji nimekosa namna ya kupata
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 Ай бұрын
Hii sio ya kweli ya siku nyingi hapa kwenye msiba wa mkapa alikua katumbuliwa na magufuli hapa alikua raia wa kawaida kashaondolewa kwenye ukuu wa mkoa dar
@WilliamSENYE-yk8pb
@WilliamSENYE-yk8pb Ай бұрын
Tafuten kiki zakuwambia wananchi kuliko lutuhadaa
@MashakaEdward-ne1ih
@MashakaEdward-ne1ih Ай бұрын
Kwa furaha machozi yananitoka makonda kweli upo hongera kwa ujasiri wako ktk kutimiza wajibu katka jukumu lako😂.
@janetchinga695
@janetchinga695 Ай бұрын
Siamin nitaamini nikisikia sauti yake 😢😢😢
@tusanemheta8638
@tusanemheta8638 Ай бұрын
Mbwa km mbwa Wengine
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 43 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 5 МЛН
ДОКАЗАЛ ЧТО НЕ КАБЛУК #shorts
00:30
Паша Осадчий
Рет қаралды 904 М.