Mm nna kipaji cha uchambuzi pia ushauri wa biashara
@fratilupembe3479Ай бұрын
Hongera Sana mkuu, ni muda wa kuanza kugeuza kuwa pesa hiyo, unaweza kuwa Business consultant, ukawa unachambua Mambo pia watu wakujue.
@rogerslwitiko3915Ай бұрын
@@fratilupembe3479 Nashukuru sana Mkuu ngoja nianze kufanyia kazi hii Talanta
@fratilupembe3479Ай бұрын
@rogerslwitiko3915 Fanyia mkuu utaona makubwa Sana ,kikubwa unahitaji kujinoa zaidi na kufanya kila kitu kwa ubora sa. Subscribe kwenye channel yetu, share pia na wengine wanufaike.
@rogerslwitiko3915Ай бұрын
@@fratilupembe3479 Usijali Ndugu umefanya la maana kuanzisha hii platform
@JudithJulius-b2tАй бұрын
Sure nahitaji kujiajiri kupitia kipaji change cha kupamba maua ,nipo kwenye ajira natafuta mtaji,hila napenda kupanda maua kupamba mpaka naona nachelewa
@fratilupembe3479Ай бұрын
Hongera Sana, jipe muda anza kufanya kwa kujitolea kwenye baadhi ya Kumbi zinazopambwa , fanya huko baadae unaweza kutumia muda wa ziada kufanya hivyo.
@bungigemangana41712 ай бұрын
Thanks
@fratilupembe34792 ай бұрын
Welcome, please share and subscribe ✍️✍️✋✋
@KanyawelaАй бұрын
Je?walio na mapepo watafanyaje Tuyatoe watupe pesa?
@fratilupembe3479Ай бұрын
✋✋✋ Nimependa sana swali wewe katoe mapepo utalipwa na Mungu 😀😀
@MonicaYohana-cm1xh2 ай бұрын
Nimejifunza kuekeza kwenye real estate
@fratilupembe34792 ай бұрын
Hii kubwa🇹🇿✋✋✋
@LupembeajuaАй бұрын
Sahihi
@fratilupembe3479Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿✋
@TunsumeMwaijumbaАй бұрын
Kwenye aridhi
@fratilupembe3479Ай бұрын
Hongera Sana Tunsume✍️✍️✍️ share na rafiki zako pia.
@JamesAtilioАй бұрын
Ni ukweli usiopingika kaka umenena
@fratilupembe3479Ай бұрын
Shukrani Sana Mtaalamu wa Uchumi✍️✍️
@jafarbaissa9542 ай бұрын
kutatuwa matatizo ya wetu
@fratilupembe34792 ай бұрын
Hongera Sana, tafuta tatizo litatue, Subscribe, share pia kwa jamaa na marafiki.