Bado kuna jua, giza linachelewa kutokana na majira kubadilika
Пікірлер: 38
@MJM52 Жыл бұрын
Wanaomkubali EBM gongeni like
@royalq16017 ай бұрын
Haha haha uko ni kama Kigoma tu Tofauti maendeleo
@ludobudege1662 Жыл бұрын
Good job brother
@Zanzibreport2024 Жыл бұрын
Kaka hebu watembele waislamu wanaofunga tujue wanaofunga saa ngapi
@sharifukilongo2565 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@christonchristian7448 Жыл бұрын
jmn si saa mbili kasoro au
@christonchristian7448 Жыл бұрын
au ni kwa wale wa CUBA tu
@NIMFASHADieudonne-cy1fx9 ай бұрын
Asanteni sana
@nashonikazabukeye5259 Жыл бұрын
Hii dunia mbna maajabu mungu mkuu
@zawadix9574 Жыл бұрын
Mungu mkuu hiyo nature wa tz Kila kitu mungu akili zetu norma
@mayombotz Жыл бұрын
Alafu utasikia wazungu wenzetu hawalali sasa watalalaje kwa staili hiyoo
@bigboys016 Жыл бұрын
Huko sikama hapa kwetu kigoma tu,
@christopherrobert1948 Жыл бұрын
kigoma ni GMT+2
@bigboys016 Жыл бұрын
@@christopherrobert1948 mjomba mimi ku calculate time zone nikiachia form two,hahaha ila hiyo kitu itakua culture shock kwangu siku nikifanikiwa kufika mazingira hayo
@bakarishareeff1111 Жыл бұрын
Aise Dunia inamaajabu mengi sana
@swalehadinan7264 Жыл бұрын
daah sijawahi kujua kabla ni maajabu kwangu
@Bin_Slyim Жыл бұрын
Hatareeee
@michaelkomwiswa7048 Жыл бұрын
Maajabu hayo
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
HALI HIYO CAIRO HUWA IKO HIVYO ☝️😁
@DavidJunior-o2t11 ай бұрын
Sasa tunawanga saa ngapi 😢😢
@simonmugo8006 Жыл бұрын
😃😃😃
@neemahappyeverafter6181 Жыл бұрын
na sisi ambao hatujawahi miliki saa kwasababa position ya jua inatosha kabisa yafaa tujipange😅😅😅
@peterlugomoka3605 Жыл бұрын
Kwaiyo masaa hayo hayana tofauti na kigoma maana usiku unachelewa kuingia giza
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Kigoma saa moja Bado peupe tuuuu
@dungaoffi Жыл бұрын
Hii ndoto yangu
@mukrimchum7453 Жыл бұрын
Mda wote nangalia naona gari watu hawatembei
@abednegopaul2705 Жыл бұрын
Kaka wanaofunga inakuaje... especially Islamic how do they do?? Maana it seems wataenda more than twelve hours....
@eddyevarist2593 Жыл бұрын
waislam wanafuturu sa2 usiku jua likizama
@ngumaimani276 Жыл бұрын
Kama kigoma uko
@ibotv02 Жыл бұрын
Hapo mimi siezi kuishi, Ntachelewa kazini kila siku(KUWANGA) 😆😆😆
@zawadix9574 Жыл бұрын
Mbona hamna watu looks so depressing ndio mana watoto Wana shoot watu stress kibau
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Ndo maisha ya huko ni indoor life
@diid17 Жыл бұрын
ARIZONA NDIO STATE YANGU PENDWA
@kasaisatv9765 Жыл бұрын
Na ni pazuri sana.
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
Iowa
@gnaivasha Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@abednegopaul2705 Жыл бұрын
Kaka wanaofunga inakuaje... especially Islamic how do they do?? Maana it seems wataenda more than twelve hours....
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Kuhusu kufungua ni kuzama kwa jua hivyo mpaka lizameee