Naam,Mwl. The future is now, maana maskini si yule tu asiye na fedha bali hata kwa yule aipataye fedha akashindwa kuizalisha. Mimi pia nilkuwa mhanga wa kipato kidogo lakin tamaa ya uwekezaji mkubwa unaopelekea kuishia njiani baada ya fedha kukata ili hali biashara ina pengo la mtaji. Mfano huo wa mashamba pia ni mmoja wapo tangu 2019 hadi leo hii sijalima, sasa je! Kwa jicho la kiuchumi Mil.2 hiyo ikiwa ingebaki ktk mzungko wa soko leo ningekuwa na kiasi gani? Somo zurii.. asante sana kwa kunkumbusha Braza.
@kelvinmwakatobe21748 сағат бұрын
Kuna makosa nimefanya hapoooo aiseeee
@Saidmarez2 күн бұрын
Leo umeongea kitu kikubwa sana mentor hii elimu inabidi tuifanyie kazi hongera sana tunazidi kujifunza 🎉🎉
@HuseinYusuph3 күн бұрын
Masha Allah maneno mazur sana mkuu umezungumza ❤🎉
@MedsonStarlonКүн бұрын
Shukrani sana misana manyama, nakuelewa sana
@VictorVedasto-i1z16 сағат бұрын
Akika apa kunaujumbe kiongozi Asante sana
@EdwardGodfrey-i2j3 күн бұрын
Maarifa mazuri Sana. Ahsante mwalimu.
@MaryamHaruna-f3r3 күн бұрын
Asante sana Mwl wangu nimekubali hii nakumbuka nilifanya kazi nikapata pesa nikakimbilia kujenga halafu nikatenga ya mtaji kidogo sana kuja kuanza biashara nikagundua mtaji hautoshi na nyumba nilijenga haijaisha ipo tu yaan biashara ikashindikana na ujenzi ukaishia njiani Iła nimejifunza na nikaamua kurekebisha makosa ni kweli ukiwa na Pesa cash hata roho inatulia unafanya mambo kwa utaratibu mzuri kabisa
@siphaeljoseph21563 күн бұрын
Asante kaka Misana😊
@SamweliMwashilindi-fq1me3 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu mkufunzi wangu nakupata vizuri kabisa,Asante Sana mwalim wangu
@Rockefella-933 күн бұрын
Exactly 💯
@mfaumengangee78563 күн бұрын
Nakuelewa sana mwalimu maana makosa tumesha ya Fanya tayari
@claudjohn3 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@PastoryMnavi2 күн бұрын
👏👏👏
@stephanosospeter17093 күн бұрын
Asante kwa ushauri brother
@suleimanh18263 күн бұрын
Nimekuelewa sana mkuu. Ubarikiwe
@StephenPhiri-qb5ik3 күн бұрын
SUCCESS COMES FROM THE GOOD DECISIONS OF THE PRESENT - Asante sana for this Lesson watching From Lusaka Zambia
@misanamanyama243 күн бұрын
@StephenPhiri-qb5ik You got it very Right ✅️
@FrancisLyamuya-ou1eb3 күн бұрын
Ni kweli kabisa brother
@daudkwalu35633 күн бұрын
Safi sana...Mi hukuita Knowledge dragon 💥 Siku yangu huwa naona haijajitosheleza bila kutazama video zako.
@misanamanyama243 күн бұрын
@@daudkwalu3563 karibu sana
@sautizetu330823 сағат бұрын
Unachokisema nimekisema sana hasa nikikutana na vijana wangu shida hawajawahi kunielewa, mimi nakubaliana na wewe sanaaa.
@misanamanyama2422 сағат бұрын
@@sautizetu3308 Wasogezee hii video pengine wataelewa
@RonaJumanne3 күн бұрын
❤
@Ntanguxebastianraphael22 күн бұрын
#
@becamrindoko3 күн бұрын
Mwalimu kila Siku unapiga Kwenye Mshono . Mbolea ya Ubongo
@OmaryWaziri-s5z3 күн бұрын
Mwalim wa wlimu tz
@hosakumbawa60983 күн бұрын
Asante sana,nami nimebadilishana pesa na udongo na pia nikanunua nyumba mil.80,na sasa nahangaika sina mtaji wa kufanya biashara ninazotaka kuzifanya
@misanamanyama243 күн бұрын
@@hosakumbawa6098 Haya Makosa tumeyafanya wengi sana !! Mimi binafsi storudia Tena
@rosemarysulle92883 күн бұрын
Wengine tulishapoteza sana,sasa nitajitahiďi kuwasaidia wtt wangu wasifanye makosa haya.yaan unakuja kuona haya makosa,na umri umeenda nguvu zimeisha mambo bado nimagumu😢
@rosemarysulle92883 күн бұрын
Nina rafiki yangu amekaribia kustaafu,anapanga,akipata hela yke ya kustaafu,aende tanga kununua mashamba ya mkonge,😢😢😢jmn Mungu atusaidie hta hiz video nashindwa kumutumia,hayupo kwenye mtandao wa dunia,naona kbs anakwenda kuhanguka vibaya sijui