Asante mungu akuzidishie elmu iliyoko ndani yako mtia moyo baraka za mungu zikumiminikie inshaallah
@jumamansuli249929 күн бұрын
Big up kaka, nmeshika simu nikusearch, chaajabu nafungua youtube nakuta umepost saa moja,,, kweli kaz ya machale nimeiona
@OmaryIbrahim-b9y24 күн бұрын
Si kukuelewa tu bali nayafanyia kazi mafundisho yako🙏
@WilsonMwenda-yi6ic16 күн бұрын
Asante sana kaka, kwa kweri ninabarikiwa na mafunisho yako, Mungu akubariki sana
@jamesbaraka895915 күн бұрын
Kiukweli Machale 'intuition' au sauti ya ndani ya moyoni ni halisi. Yananisaida kila siku kwenye kila kitu ingawa ukiwa na emotion kubwa unaweza usiyasikie. Asante Mwalimu
@LusekeloMwakyisa24 күн бұрын
Asante kwa kutupa nguvu kwa tuyawazayo,,
@carlospeter262628 күн бұрын
Somo zuri sana. Umenifungua macho kiongozi; uko sahihi kabisa 🙏
@princhiuskalogosho180429 күн бұрын
Nakuelewa sana Boss.🙏🙏
@peterelias558529 күн бұрын
Machale....👏👏👏 maelekezo yameshiba sana kuelekea kwenye mabadiliko. Ahsante sana kwa kutoa mafunzo mazuri kaka.
@fursaonlinetv12 күн бұрын
Angalia Movie inaitwa Final Destination haya yote utayathibitisha ni uhakisia mtupu
@JacksonMalimaMuhusi28 күн бұрын
Kiukweli kumbe niko sawa kaka mkubwa Mungu akupe nguvu uendelee maana nilipata machale nikaisi nikufuatilie naweza kupiga hatua ya kiuchumi kwa mafunzo yako na kubadili baadhi ya tabiya zangu BARIKIWA SANA.
@KalabaKlb29 күн бұрын
Asante kwa somo lenye kuleta badiliko, Huyo ndiye roho mutakatifu ao 🙏 ningelipenda nijuwe mwalimu
@danielsunguya11229 күн бұрын
Nashukuru Sana kwa elimu hii, barikiwa sana
@kakawamashariki897828 күн бұрын
Naam mwl. Nakupata vyema, kwa nyongeza Neno Machale ni msamiati wa mtaani japo unaeleweka na wengi. Msamiati sanifu ni KICHO.
@misanamanyama2428 күн бұрын
@kakawamashariki8978 Wow KICHO nimejifunza
@SamweliMwashilindi-fq1me28 күн бұрын
🇹🇿👍
@claudjohn29 күн бұрын
Asante kwa elim, Mungu akubaliki
@EdwardGodfrey-i2j29 күн бұрын
Somo zuri❤
@HuseinYusuph28 күн бұрын
Mwalim ukitii sana machale haipelekei kuwa muoga sana kwenye maamuzi yako?
Mimi naushuhuda: Niliwahi kubishana na Machale safari moja hivi nikabeba mabegi nikafika mlangoni yakaniambia leo hamna safari rudi nikabisha nikasema naenda. Nilipofika ofisini boss akahairisha safari ndipo nikasema tangu leo nitasikiliza na kutii sauti ya ndani. Sasa hivi hata umeme ukibaki siku chache uishe yanakuja yakija tu nanunua na nisiponunua tu utakatika. Mungu atukuzwe kwa kuwa anatuongoza kila wakati.
@misanamanyama2415 күн бұрын
@@jamesbaraka8959 pongezi sana
@BryanNassary29 күн бұрын
Brother huwezi amini Nishaawahi chezwa na machale site ya biashara hakika ilikua kweli Naamini na wewe unafataga machale ndo maana unatusanua 🙏