Asante kwa somo la leo nimepata taarifa nitatumia iwe maarifa Usugu naondoka nao
@stanleyandrea51534 ай бұрын
Ahsante sanaaa mentor wangu
@FelixFanuel-v9s2 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho mazuri
@hashimuliloto80172 ай бұрын
True and most powerful words
@SamweliMwashilindi-fq1me4 ай бұрын
Kwa kweri mkufunzi nimekukubali Sana na ninakutakia maisha marefu na mungu akupe maarifa na nakuerewa Sana hayo uyasemayo🎉❤
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana nafurahi sana kusikia
@rosemarysulle9288Ай бұрын
Hongera sana na asante kwa mafundisho mazuri,hakika umetusaidia wengi.
@YohanaMpambi4 ай бұрын
Binafsi na kuku balisana na jitahidi kufauta haya mafundisho Asante kwa Elimu iliyo bora
@misanamanyama244 ай бұрын
Nafurahi kusikia hivyo na Asante kwa kuendelea kufuatilia masomo haya. Nisaidie kushare kwa wadau wengine ili elimu hii ifanyike msaada kwao pia
@MedsonStarlon4 ай бұрын
Hakuna kitakachobadilika mpaka pale utakapochagua na kuchukua hatua ya kubadilika,,, Ahsante sana mwalimu
@misanamanyama243 ай бұрын
Asante sana mkuu
@AshaOmary-l2l4 ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@misanamanyama244 ай бұрын
Amina amina
@FrancisLyamuya-ou1eb4 ай бұрын
Asante Sana kaka
@misanamanyama244 ай бұрын
Karibu kaka, nisaidie kushare kwa wadau.
@carlospeter26264 ай бұрын
Somo zuri, all the best 👍
@Saidmarez4 ай бұрын
Thanks
@Gesunte-mn3qn4 ай бұрын
Mi Umenigusa, Nimekua Sugu Kwenye Chanzo Cha Mapato Naomba Ushauri WaNini Chakufanya Hili Niweze Kukibadili Chanzo Hiki Cha Mapato
@misanamanyama244 ай бұрын
@@Gesunte-mn3qn Chanzo cha mapato kimefanya nini ? Unahitaji kuongeza change kingine, au unahitaji kukuza ulichonancho?
@becamrindoko4 ай бұрын
✅✅✅💥💥
@HassanNasibu-q6m4 ай бұрын
Asante. Pia. Tunaomba. Somo ni. Namna gabi. Unaeza. Kuongoza. Mradi ikiwa. Mbali
@misanamanyama244 ай бұрын
Hili somo linakuja, endelea kufuatilia
@HafidhOmar-rs4ty4 ай бұрын
Misana ukiongea kila mtazamaji anajihisi unamkusudia yye na marhem maalim seif znz alikuwa na falsafa hizi kila mtu alihisi anampambania yye binafsi hongera sna
@misanamanyama244 ай бұрын
@@HafidhOmar-rs4ty nimefurahi kupata huu mrejesho kiongozi. Ngoja niongeze bidiii