Hongera mama samia wanambeya tunakupenda ahsante umeikumbuka mbeya
@yustomwaisomania25878 ай бұрын
Msisahau madaraja ya watembea kwa miguu pale njia panda uyole,Kabwe na mafyati
@jesusbrother768410 ай бұрын
MJI WA MBEYA NA UZURI WAKE WOTE, KWA NINI HAUJA FANYIWA “MASTER PLAN”?
@elinamilyatuu733710 ай бұрын
Yani Mbeya kuipanga sahv wavunje sana
@jesusbrother768410 ай бұрын
@@elinamilyatuu7337Ni bora kuvunja na kujenga mji mpya utakao izidi hata nchi ya Rwanda, maana Mbeya ni nzuri sana na ni kijani kibichi mito, maziwa na milima ya kupendeza sana! Haiwezekani iwe ndiyo “A bread basket of Tanzania 🍞 🇹🇿 “, halafu mji ume pangika vibaya bila mpango na bado ni mkoa mmojawapo ya mikoa mikuu Tanzania, inayo zalisha na kuchangia mapato makubwa ya ukuaji wa uchumi nchini. Faida yake ya “maziwa na asali” inayo changia nchini ina jenga wapi? Na Mbeya ita jenga kwa “MASTER PLAN” lini? Mbeya ina faidika vipi kwa mchango wake mkubwa inayo toa?

@Aminmwansile-we8vn3 ай бұрын
Serikali inaogopa kufanyia master plan Jiji la mbeya inaogopa gharama maana Jiji la mbeya ni kubwa mno