tanroads tunawapongeza kwa kujitaihidi ila tunaomba uwekaji wa vibao vya 50 ni vingi sn jaman hamna safari kabisa maana tz ya sasa kila sehemu kuna makazi ya watu hata kitonga ss watu wamejenga kwahyo liangalieni hilo
@odenlwila8390 Жыл бұрын
Hivi hapo vwawa hamuoni aibu makao makuu ya mkoa barabara tu ya kutoka polisi ichenjezya hadi isangu hamuioni