Asante Rabi Kwa somo zuri mno.. la kutufungua tulipokuwa tumefungwa. Hivyo viumbe havitaingia katika hema yangu Kwa sababu ya nguvu ya DAMU YA KRISTO YESU ILIYOTUKOMBOA... Haya masomo yako sijui wakristo wanayasikiliza!!!!
@TediSadoki28 күн бұрын
Asante mtumishi umetufungu wengi na kutufundisha kukili ushindi sitskufa nitaishi sita Nzoka watoto wangu wataishi
Mungu tuhurumihe Mungu tuhurumihe tusaindiye watoto wetu wasiangamigye na viumbe via rohoni
@EmanuelEdward-b3d3 күн бұрын
Bwana yesu akutienguvu sana..minahitaji kuuliza swali..nilitaka kushiriki damu ya yesu naweza kushiriki pamoja na watoto wangu? Maana ni wanaumri mdogo ..Asante Mchungaji
@damarisnyaataАй бұрын
Amen Amen Mungu wetu ni mwema
@KazunguRose-fq7gz2 ай бұрын
Ameen ameen ameeeen
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Muladhi WA kijawi umeanguka Kwa jina la Yesu Kristo
@LydiaNasimiyu-h1n3 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ SAWA sawa