Barikiwa sana mtumishi wa Mungu hakiki yesu Yuko kalibu. Ni ukweli usiopingika yesu anakuja kulichukua kanisa lake
@RuharukaChristopher24 күн бұрын
Mubarikiwe kwakutusisimuwa bb mchungaji
@LinaLema-c1mАй бұрын
Bwana yesu asifiwe naomba kujua kanisa lipo kisongo mahali Gani lipo karibu na nn
@LimiFumbukaАй бұрын
Amina mafundisho mazuri sana tulio na matumain ya kumuona Mungu
@NeemaHamissiАй бұрын
Haleluya shalom shalom Baba
@janetbwari7845Ай бұрын
Ni kweli pastor mangaiko ni mbaya ata ukilazimaza kusoma neno aushiki 🎉🎉🎉may God bless you pastor 👏👏 nimebalikiwa sana nimejizunza mengi 🎉🎉 amen 🙏🙏🙏
@magrethmkemwa9287Ай бұрын
Mungu akubariki,Mungu anisaidie kukesha daima.
@MariJosee-um7oeАй бұрын
Amen amen amen amen amen
@emmanuelshaban4834Ай бұрын
Ninabarikiwa sana na mafundisho yako. Bwana akubariki sana mtumishi wa Mungu, karibu na kwetu Kibondo Kigoma..
@achiboldkundasaingowi7375Ай бұрын
Ema ubarikiwe sana, ukiona injili kama hii inatangazwa kuna gharama. Kuwa mmoja wapo wa kupeleka injii' Number ya mhubiri imeoneshwa hapo, tuma chochote kwa kazi ya Mungu.
@DieudonneMAHANGO-ws3doАй бұрын
Amen 🙏🏾
@MariJosee-um7oeАй бұрын
Amen amen amen
@byoseasolokoci7257Ай бұрын
Amen 🙏
@FausterMbijima-q9cАй бұрын
Mungu akubariki na akutunze nimebarkiwa sana na neno