Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana Yesu , Hakika tunamuona Bwana
@beatriceamedeus44205 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajiri ya Mtumishi wake Apostle kwa mafunuo haya kiukweli nilikuwa sijui nini..! Maana ya ubatizo na aina za ubatizo...Glory be to Jesus
@nicolemushi12885 жыл бұрын
Wooow, Thank you my Mentor for this revelation, hallelujah
@jacksonwambua47283 жыл бұрын
Asante mutumishi wa Mungu nimepokea yaliyo kweli napia nimejua kua Mungu anakutumie kusema yaliyo sahihi!Mungu akutunze lila mahali uendako naukaako
@lindsay64153 жыл бұрын
This is one the most powerful teaching I have ever heard ..Lord have mercy in my soul nibatizwe zaidi na zaidi niwe NAWE Yesu Milele . Amen
@emmasidi94462 жыл бұрын
ubarikiwe pastor nimekuelewa
@elizabethlujabiko89945 жыл бұрын
Kwa kweli namshukuru sana MUNGU kwaajili ya ufunuo huu wa ubatizo. Nimeelewa vizuri na lazima nibatizwe.Maana baada ya mafundisho haya nimegundua sikubatizwa nilimwagiwa maji tu.
@harriethkisese39453 жыл бұрын
Nimeelewa sana tu Apostle
@neyhmrs77042 жыл бұрын
AMEEN AMEEN AMEEN
@asifiweabellumato42625 жыл бұрын
CHIEF,Hili somo limefugua ufaham Wang saana,,Mbl na kwamba uliwah nifundisha miaka mingii iliyo pitaa,but hiii ya juzi imenipa kuelewa Zaid,,, Na Sasa somo limekaa kichwan kias kwambaa naweza mfundsha my yyt Yule ,,wakt wwt ulee !!!!! Love you my CHIEF
@erickagabriel57475 жыл бұрын
great Revelation, Thank you Man of God
@Estherm3092 жыл бұрын
Asante baba KWA mafunzo nimejifunza siri ju bado sijabatizwa naitaji sasa kujua sababu wengi tumepotea tunafikiri ukibatizwa utaona mbingu ila ni atujafunzwa ni kujikana mwenyewe bila majivuno asante sana
@joshuahagenimana6466 Жыл бұрын
Barikiwa nimesaidika
@davideliakim21675 жыл бұрын
YES YES CHIEF APOSTLE BRING IT ON...
@sajoissa61115 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mungu akubariki
@mropeamadeus54455 жыл бұрын
Nakuelewa sana Chief wangu,, MUNGU wa Baba yangu Major 1 akutuze
@Estherm3092 жыл бұрын
Itakuwa ya faraja kwangu mungu baba naomba nifuguliwe faamu zangu nikaweze kusimama kwa utakatifu bila kuofu
@theresialasway76605 жыл бұрын
Amen
@mansixwilliamofficial54963 жыл бұрын
Safi sana umenifungua maana hili soma wengi hatulijui tunajua ubatizo wa maji tu
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Maji mengi kama Yesu kuzamisha yordan, ainoni. Ubatizo wa kibakuli au chupa. No license !! Maji tele, ndo sawasawa. Powerful SERMON.
@Agatha_1525 жыл бұрын
Thank You So Much Chief For This Great Revelation
@holyspiritembassychanneltz85995 жыл бұрын
That is my Chief ,my apostle ,my teacher ,teach me more and more
@user-mc7pr6jd4tАй бұрын
Ameena in Jesus 🙏👏
@felestinekwamboka28732 жыл бұрын
Ninaendelea kujifunza xn kutokana n mafundisho haya ubarikiwe zaidi apostle mtalemwa 🙏🙏🙏
@charlesjoellaizer51282 жыл бұрын
Ameen
@Estherm3092 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Glory be to our Almighty father
@diamondgeyser79872 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@singifridrutatina83735 жыл бұрын
Amen mentor
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Watafia kwenye moto hata wssipookolewa , powerful SERMON ( meshack,....)
@rosemrutu90693 жыл бұрын
Powerful sms be blessed Papa
@dorsandollah33845 жыл бұрын
Kiukweli kila nikifatia mafundisho yako huwa kuna kitu napata kweli sichwi hivyo nilivyo ubarikiwe sana mtumishi
@julianamsofe64455 жыл бұрын
powerful teaching thanks Chief
@TRIPLE_M_13k5 жыл бұрын
Asante sana
@jameskileo52923 жыл бұрын
kweli mtumishi kwani kuna wakati Mungu anaweza kukutuma sehema ya dhiki kulisimamisha agano lake
@jameskileo52923 жыл бұрын
bila huu ubatizo utaleta sababu za kimazingira
@penuelfullsalvationchurch33503 жыл бұрын
Bashiri balikiwa xana kaka...hakika Mungu ametupatia mwalimu wa injili ...lazima injili uhubiliwe kwa mataifa yote nabalikiwa xan nisikiapo mahubiri yako...
@edsonjohn56733 жыл бұрын
Asante mtumishi
@tumainimwanyonga66014 жыл бұрын
Preach be blessed
@kavuthalinah5143 жыл бұрын
very powerful msg
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Ninamshukuru Mungu sana nina mawazo mengi juu ya baptism.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Yesu aliwabariki watoto kwa kuwawekea mikono mimi nilibatizwa ningali mdogo sana utaratibu ulikuwa hivyo kikanisa. Sijui nifanyeje Leo kwa maana sitaki kuhama Hama ma kanisa.
@lembojunior19205 жыл бұрын
ASANTEEE SANAAAA
@mashajane45095 жыл бұрын
My father my father. ... I am ready for the 5 baptism
Rehema William ubarikiwe mtumishi wa Mungu njili safi
@clairemuchai6233 жыл бұрын
Kweli kabisaa mtumishi
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Mat 3.16.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
BARIKIWA SAAAAAANA MTUMISHI MUTALEMWA.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Mungu ni Roho.
@priciebonnie49885 жыл бұрын
Amen Chief
@angelkanoga21753 жыл бұрын
Huu ndio muda wangu wakubatizwa ECG
@happayeustace56674 жыл бұрын
Asante baba
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Kuzaliwa mara ya pili. Born again
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Elizabeth na Zakaria wote Tasa lkn walifunguliwa walikuwa wacha Mungu!!
@lindsay64152 жыл бұрын
One of the most powerful powerful messages I have ever heard from the Lord !! I feel born again and baptized afresh ❤️🙏 Thank you HolySpirit of God ! Blessed be your HOLY NAME
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Luk 12.50, SOMA!TERRIBLY so.ubatizo ni mpana sana.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Uchafu wa mwilini
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Kuzamisha kufunika . Elimu ya ubatizowa maji, Rohomtakatifi, wingu ,mateso maki moto luk 3.16 soma. Yohana mbatizaji: maji, roho Mtakatifu na moto! Kanisa,wao maji, Roho Mtakatifu. Chini ya wingu bahari
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Helena helena!
@jacklinennko85173 жыл бұрын
Hii ndio injili
@richardmurokozi78758 ай бұрын
Je? Ubatizo Wa Kwenye Kisima ni Sahihi?
@rahabnkya82763 жыл бұрын
SANAMU ya nebkadneza, shedreak meshaki abednego wakumbuke Leo.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Machafu ya mwili, kuchanjwa, kujichua, kujichora
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Kutubu kushindaia Kristo kama Mtume Paul
@pendokimaro53945 жыл бұрын
jmn hv hizo no mnazitoa kw 7bu gani ikiwa km mnapigiwa cm hampokei?
@rosemongi53975 жыл бұрын
shalom mpendwa samahani kama ulipiga haikupokelewa, nnaomba upige tena inawezekana wakati umepiga mtumishi alikuwa mbali na simu. Barikiwa
@rahabnkya82763 жыл бұрын
KUTOHOA UBATIZO !
@rahabnkya82763 жыл бұрын
Looo watu wazike wakapiga wenzao unabatiza kwa mateso. Yaani mashambulizi ya mwili kuonyesha jinsi naye Bwana Yesu alivoteswa msalabani. Waigaji ni wengi, ndo maana mara maji, fagio sabuni chumvi aaah plenty of materials. Nameless people.
@benjaminmwaipungu279 Жыл бұрын
That is confusing overexegesis sir. It is doctrinary unnecessary complications and contradiction spriting out of dislocating, misapplication of scriptures and unbalanced hermeneutics. Otherwise we should be thinking before we applaud every screaming.
@rahabnkya82763 жыл бұрын
No turning BAck, decidedly follow Jesus. Walokole ni Usumbufu kila mahali, kazi kuhamahama na gossiping. UUUUI MMHM BASI TU.
@mtanzaniahalisimungunimwem6733 жыл бұрын
Huo wimbo wa kumtetea Yesu naupinga.Yesu ni nguvu kamilifu hakuna binadamu wa kumtetea.utamteteta vip Mungu jamani.mm sikubali maana binafsi nahitaji Sana Yesu anitetee siwezi kitu bila Mungu.
@jacksonwambua47283 жыл бұрын
Dada au ndungu wacha nikuambie huu wimbo wa tenzi wanao imba unamaana yake kwaivo kaa rohoni ili uelewe