No video

MAZINGE AWAASA WAISLAM KUTUNZA SABATO: MDAHALO, SIKU YA TAKATIFU YA IBADA ILIYOAGIZWA NA MUNGU

  Рет қаралды 81,762

Advent Sound TV

Advent Sound TV

Күн бұрын

Mdahalo uliofanyika Tanga Tarehe 2 Hadi 3 Feb. 2023. Vitabu vyote vinathibitisha kwamba, siku pekee aliyoagiza Mwenyezi Mungu kufanyika ibada takatifu ni siku ya Sabato-Jumamosi.
Historia inathibitisha kwama Siku ya Ijumaa haikuwa siku rasmi ya ibada katika Uislam. Siku hii ilianzishwa na Waislam wa Madina (Answar) kabla hata Muhammad hajahamia huko (Hijra). Lengo lao lilikuwa ni kujitofautisha na Wayahudi na Wakristo. Muhammad alipo hamia Madini alikuta waislam wa huko wanakusanyika katika siku ya Ijumaa. Siku moja siku ya Ijumaa, Muhammad akiwa anahutubia msikitini, msafara wa wafanya biashara wakaingia mjini kutoka sham, kukawa na vurugu na kelele za wafanya biashara. Masahaba wote wakakimbia kwenda huko na kumwacha anahudubia wakabaki watu 12 tu! Hapo ndipo ikashuka sura ya Ijumaa katika Qur'an kwa lengo la kuwafanya watu waache mambo ya biashara wakati wa Ibada unapokuwa umefika.

Пікірлер: 160
@YusuphYuzoo
@YusuphYuzoo Жыл бұрын
Mungu awabarik❤🇹🇿
@radhiamohaa3723
@radhiamohaa3723 Жыл бұрын
Mazinge Allah Kampa kipaji mashaAllah huaga nikiskiza mawaidha yako yaani Alhamdhulillah
@ErickAndrew-lr4ls
@ErickAndrew-lr4ls 9 ай бұрын
Poleni sana katika midahaloyauchambuzi wa sabato sikuzamwisho watu watakataa meno nakupenda maovu
@mizingayaudongo1097
@mizingayaudongo1097 Жыл бұрын
MwenyeziMungu awabariki !!
@samwelmanasse5724
@samwelmanasse5724 Жыл бұрын
Mazinge, Ndeche, wahubiri, washiriki na wasikilizaji wote, ninafuhaha moyoni mwangu kwa vile mmetumiwa na Roho wa Bwana kuanzisha mahubiri haya ili kutimiza maandiko. Kueneza habari njema ili mwisho wa dunia ifike. Sisi wasikilizaji haja zetu ni kuyaandika sura hizo na kuzithibitisha ili kwa imani ya Mungu, tufanye uamuzi mzuri. Mbarikiwe mno.
@adventsoundtv
@adventsoundtv Жыл бұрын
Amina ubarikiwe na wewe kwa kututia moyo
@user-hf4bk3rz4p
@user-hf4bk3rz4p 9 ай бұрын
Let God shine through reality
@masengopatrice
@masengopatrice Жыл бұрын
Nyinyi wa islam muna kubali kwamba taurati ili teremshwa na mnyenzi mungu. Kwa iyo mnyenze mungu ana tu ambiyeni kwa amri yake tuli tunze siku ya sabbato iliyo jumamosi sasa nyinyi mna sema mungu ana dji pinga. ikiwa mume kataa Sabbato mume kataa amri ya mnyenzi mungu toeni maisha yenu kwa yesu na mta okoka mungu awa saidiye sana
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 4 ай бұрын
Tatizo mnashindania din lakini sabato.inaonekana ni jumamosi.Mungu atusamehe wanadamu
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps 8 ай бұрын
Mazinge mashaallah ALLAH akubariki
@user-gp7sd9kg4t
@user-gp7sd9kg4t 9 ай бұрын
Waislamu siku hiyo ya hukumu ikifika msije mkalaumu mkisema hamkuambiwa tumefanyq kazi yetu n juhudi yenu kuifuata siku hiyo ya sabato
@saopoul7928
@saopoul7928 Жыл бұрын
Shekhe mawaidha yako hayajanishawishi kabs,, napenda din zote lakn point zako hazijanishawishii,, mungu wawabariki,, imani yako ndoitakuponya din zililetwa tu,mungu ndoanajua din ipi ni sahih,, amen,inshaallah
@noorbawaazir9035
@noorbawaazir9035 Жыл бұрын
Hulazimishwi mzee...ww na iman yako n cc na dini yetu😂Quran ishakujibu.
@failunaomari9372
@failunaomari9372 9 ай бұрын
Hueleweki ndugu Soma zaidi, na alama za nyakati.
@lisauroble31
@lisauroble31 Жыл бұрын
Asante sana sheghe wangu
@gracenjoroge5952
@gracenjoroge5952 Жыл бұрын
Hawa waislamu hawajielewi,kwanza wamekumbali sabato ni amri ya Mungu ilhari wanaipinga
@radhiamohaa3723
@radhiamohaa3723 Жыл бұрын
We pia msabato toba ina Lillah wa inalillah 😢😢😢😢😢
@GAYOTV2023
@GAYOTV2023 Жыл бұрын
Mazinge hana hoja ni mchekeshaji tuu maneno mengi
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Жыл бұрын
Hivyo ndivyo uliambiwa kanisani kweni museme hivyo,
@lawayomary
@lawayomary Жыл бұрын
kua na adabu jifuze uelewe
@JohnAbdul-gm2tb
@JohnAbdul-gm2tb Жыл бұрын
Mazinge Yuko sawa Kwa saababu katika usomaji harukiruki maneno lakini Hawa walimu wengine Kuna maneno wanayakimbia.
@joseprinceofficialKE
@joseprinceofficialKE Жыл бұрын
Jamamosi,Jumapili,Jumatatu,nne,Jumatano,,Alhamisi, Ijumaa,( Kiswahili.) English ( Sunday, Monday, Tuesday Wednesday, Thursday, Friday, Saturday, (English). We've different calenders the names of days originally were made by Greeks, the Gregorian calendar, Julian Calendar etc.
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 5 ай бұрын
Kubukeni anae sema ukweri munakata munaseme kichaa mungu ariacha neno funika kombe mwanaharamu apite mukijua mama wakabo mama mama wakabo nibakwata
@InjiliTV777
@InjiliTV777 Жыл бұрын
Sabato Iko wazi ni Jumamosi, hakuna msomi yeyote duniani anayeweza kupinga hili
@rabiawasia227
@rabiawasia227 Жыл бұрын
Twende kilugha bila maandiko jmosi. Mosi ni moja kiswahili jpili endelea kuesabu utaona inaishia sikugan
@rispahcheptoo6327
@rispahcheptoo6327 Жыл бұрын
@Rabia Wasia the bible stated very well,read mark 15:42-43, Tena usome Mark 16:1-2 hapo sasa utaelewa vzri Kati ya Friday, sat na Sunday
@jumamfinanga6867
@jumamfinanga6867 Жыл бұрын
Akili we hunaa
@muuhjunior3139
@muuhjunior3139 Жыл бұрын
Unazungumzia wasomi wa dunia ipi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hamuna akili mtafuteni mungu wazungu wamewamaliza hakuna mungu kwenye ukiristo dini yenu mauza uza ya wazungu subirini mufungishe ndoa makanisani za jinsia moja
@pascalngaya4050
@pascalngaya4050 Жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa BWANA
@lawayomary
@lawayomary Жыл бұрын
wasabato ni kundi la vuvi
@JuliasRanga-dd8zn
@JuliasRanga-dd8zn Жыл бұрын
Amen
@dominicbirika5164
@dominicbirika5164 Жыл бұрын
Sabato Iko wazi kabisaa ndani Biblia
@bigdad1816
@bigdad1816 Жыл бұрын
Shabarth ni siku ya Saba katika kiyaudi inaanza ijumaa Saa kumi na mbili na inaisha Saa kumi na mbili jumamosi ni kiyaudi shabat th ,ningependea kuukiza Kwa sheikh mazinge ni sehemu ghani katika Quruani Mungu anasema dini yangu ni Islam na pia Kwa wakristo ni sehemu ghani katika Biblia Mungu anasema dini yangu ni ukristo sababu dini zote hizi zikiletwa na wageni sio waafrica ukristu wazungu uislamu waarabu na hakuna anayeweza kutuhakikishia dini yake ndio ya kweli .
@mcharoamani8524
@mcharoamani8524 Жыл бұрын
Ameen
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
Mazinge n comedian 😂mungu awalinde
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Жыл бұрын
Akulinde wewe mana ukiulizwa swali utojibu, wapi yesu aliingia kanisani, toa haya moja tu
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Kwanza elewa kanisa ni nini, sio nyumba bali ni mkusanyiko wa watu, Yesu kasema waliopo wawili watatu kwa ajili ya jina lake ako pamoja nao
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Жыл бұрын
@@lewiskims8890 kama kanisa ni nyumba yesu alikuwa akifanya wapi ibada zake
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
@@lewiskims8890 amen😂
@joycejohn5317
@joycejohn5317 5 ай бұрын
Muslim jibu kama watu wa Mungu jmn mbn janja janja uwiiiii
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 Жыл бұрын
Mazinge nikama mwijaku ndie anapenda kupotosha watu
@lawayomary
@lawayomary Жыл бұрын
kubalini ukweli acheni ubishi usio nafaida
@ImranImran-mo8pl
@ImranImran-mo8pl Жыл бұрын
Wasabato hamujielewe kabisa wanafiki sanaa mukipewa ukweli
@ImranImran-mo8pl
@ImranImran-mo8pl Жыл бұрын
Kama yesu ni bwana wa mabwana je bwana wa mabibi ni nan..
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Unataka au hutaki Yesu ninayemwamini ndiye wa kweli achana na maneno ya Mazinge
@harrisonodiwa7248
@harrisonodiwa7248 Жыл бұрын
Yaani hawa waislamu Wakristo wakiomba wao wako tu shughuli zao,kejeli Kwa Mungu.
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
True
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Takbiiir
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
Kwahiyo mazinge amekataa mpaka neno la Allah iliosema juma mosi ameikataa
@rashidgona1808
@rashidgona1808 Жыл бұрын
TAKBIR ni ya wanawake wewe mwanaume takbir n ya nini
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k 8 ай бұрын
Mazinge muige huyu Shaykh muzammir faqir
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Soma wakolosai 2:16 acheni kubishana " basi mtu asiwahukumu ninyi kwa habari ya vyakula au vinywaji au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi au sabato" uwe na siku njema
@PatrickMathias-cs9qc
@PatrickMathias-cs9qc 5 ай бұрын
Ngoja nikusaidie wayahudi waliishika sabato kwa namna ya ukandamizaji kama vile hauruhusiwi kutoa pepo,kuponya, na kuchuma chakula siku ya sabato wakasahau kusudio la sabato sasa Yesu alipowaambia mtu asiwahukumu maana yake sio kwamba msiishike sabato bali muitumie sabato kumtukuza bwana yesu kwa kuwa yeye ndiye Bwana wa hiyo sabato na tuitumie kutibu mapepo kuhubiri injili na si Kama wayahudi walivyofanya wala tusiogope kwa jinsi watakavyotuhukumu lakini sabato ni Amri ilyotoka kwa Mungu hatuwezi kuivunja kamwe
@mrjulius5840
@mrjulius5840 8 ай бұрын
Mkome kabisa kushindana na WASABATO maana hao ndio WAKRISTO WA KWELI.
@kingwakenya
@kingwakenya Жыл бұрын
Masinge amepoteza waisilamu kabiza kwa kuficha ukweli
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Ushindwe kbs
@rispahcheptoo6327
@rispahcheptoo6327 Жыл бұрын
Obviously Saturday is the sabbath day of God. Mark 15:42-43 ,Hebrews 4:9-11
@USDisdoomed
@USDisdoomed Жыл бұрын
Mazinge ameanza kuzeeka
@mazikumakoye9533
@mazikumakoye9533 Жыл бұрын
Nakubali
@saidahmed9688
@saidahmed9688 11 ай бұрын
mhadhara mzuri
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
Huyu ni comedy tu anatafuta na riziki ya kula
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 Жыл бұрын
Walimu wa kiislam siku zote wanaogopa kuanza mada, hawajiamini
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Makafiri nyiyee mumeanzishiwa dini na mwanamke akili mbovu
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
True
@tatujuma8781
@tatujuma8781 Жыл бұрын
😄😄😄mama amewaanzishia dini
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
😂😂😂😂😂wap mukristo anaweza mwislam
@sabbob574
@sabbob574 Жыл бұрын
Mazinge mbona hajibu hoja. Kazi kutukana tu. Ifeke wakati walimu wa kiislam muwe wakweli wa dhamila mambo y kiroho sio ya mchezo mchezo.
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Mazinge acha maneno leta nenop
@miss_mshana5872
@miss_mshana5872 Жыл бұрын
Mada siku ya ibada ni ipi?? Lakini shekh anachanganya mada na hajajibu sabato ilianzishwa na nani na ipi ni siku ya ibada? Barikiwa sana mapastor kwa kadri Mungu anavyowatumia kujiziilisha kwa watu
@usafirionline4465
@usafirionline4465 13 сағат бұрын
Uyo sheik yuko rough sana interms of interpretation ya maandiko . Ana generalization na competition eti wasabato ni manyani😅 yan huyu hana point kabisaa
@Tanzanialife1
@Tanzanialife1 10 ай бұрын
Wote nyinyi mnatupotosha tu!
@ModestyBleise-oj5ch
@ModestyBleise-oj5ch Жыл бұрын
Ndacha kuja timboroa please
@mazikumakoye9533
@mazikumakoye9533 Жыл бұрын
Mazinge alitangulia kuzaliwa lakini kuelewa biblia hamana kitu kabisa, Ni mpinga kristo.
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
ndiyoooooooo
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Siku takatifu ni kila siku, maana neno linasema sali bila kikomo
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Ayo ni yako sababu Mungu mwenye kuweka kila kitu nduniani na mbinguni ni siku moja tu alibaliki na kuitakasa siku ya saba na akaiita jina Sabatu ndio siku pekee takatifu
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
@@lewiskims8890 hivyo unajua maana ya saba to ww maana yake
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Kusali ni kila siku lakini hiyo sabato ni mapumziko
@naiknaik2816
@naiknaik2816 Жыл бұрын
MashaAllah mazinge allah akubariki inshaAllah...Yani hawa ma pasta wameshinduwa kutoa Sabato ni siku ya juma mosi wlh ni aibu kubwa sana
@franciskabila8136
@franciskabila8136 Жыл бұрын
Ndugu yangu hata kama hujaenda shule wafaa kuelewa sabato ni jumamosi. Soma vizuri luka 23:53 na luka 24:1
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
@@franciskabila8136 true hakuna kitu ameelewa😂😂
@ivonignas6537
@ivonignas6537 Жыл бұрын
Mazinge comedian na kibaya hawapendi kujifunza wanajiandaa kwa ubishi hajui hata anachokiongea lkn huu muhazara mtangulizi wa mada ametupa kitu kikubwa sana mwenye masikio amesikia
@ivonignas6537
@ivonignas6537 Жыл бұрын
Siendi tena kusali Jumapili
@tridaxprocumbens6079
@tridaxprocumbens6079 8 ай бұрын
​​​@@ivonignas6537Amen, ubarikiwe sana. Karibu usali jumamosi (siku ya Sabato) utunze amri ya nne ya Mungu
@isihakajarika2668
@isihakajarika2668 Жыл бұрын
JAMANI mm nnashida na huyu mchungaji Omary nisaidieni mawasiliano yake jamani
@eliasmatalamototv2850
@eliasmatalamototv2850 Жыл бұрын
Unafanyikaga Wapi Wengine tunakosa
@unclejonah7350
@unclejonah7350 9 ай бұрын
Wachungaji kazi yenu mmemaliza Sasa Roho Afanye kazi yake
@saifservice-df4up
@saifservice-df4up Жыл бұрын
PJ pH
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
waislam hamna bahati mnadanganywa mnaona kwa nn msimgeukie Yesu aliyekufa kwa ajili ya wote????? Jibu usiniambie
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Sisi tokea utoto tunasema ukienda pwani jumaamosi unageuka nyani au jiwe kumbe ni kweli maskini lilitokea kweli
@orestmrema8201
@orestmrema8201 9 ай бұрын
Jaman ukweli uko wazi kuhusu Sabato ya Jumamosi.
@saopoul7928
@saopoul7928 Жыл бұрын
Duuuuuw
@bettygesare5948
@bettygesare5948 Жыл бұрын
Wafufi wa watu yesu aliwambia wanafunzi wake nitawafanya wafuvi wa watu
@DanielJoakim_01
@DanielJoakim_01 Жыл бұрын
Nimeipata akika
@miss_mshana5872
@miss_mshana5872 Жыл бұрын
Kisaikologia mnaanza kuaribu upeo wa waislam kufikiria na kwa kuanza eti sabato ilianzishwa na mwanamke , tunaomba Aya na sio story, na ndy maana waislam hawapendi kusom dini yao zaidi ya kusikiliz mashekh na kuwaamin kuliko aliyeilet torati
@usafirionline4465
@usafirionline4465 12 сағат бұрын
Soma sura nzima sheikh 😂 ubavuta mistari katiikati ya sura bila kielewa mwanzo wala mwisho anageneralize sura nzima kupitia mstari mmoja😅
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 Жыл бұрын
Hivi nyinyi Mabasterd ni WALEVI au Mnaropoka.Hajielewi.Tafuteni ANDIKO kama mnavyo ulizwa SWALI.Msionge MATAPISHI.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 ай бұрын
Wewe hujui kwamba kwenye kitabu chenu cha majini kimetambuwa siku ya jumamosi kama siku ya ibada?
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Mazingee kiboko ya makafiri
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 Жыл бұрын
Mazinge ni commediany sio muhadhiri maana hawezi kufundisha watu waelewe dini yake inasemaje kuhusu sabato, wakati waalimu wa kikristo wakisoma quran inavyosema juu ya sabato,
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Na amesilimisha ma elfu na malaki
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
Wewe mwenyewe unatakiwa kusoma bibilia ukisubiri Mazinge akufundishe utakuwa umechelewa sana;Mazinge kafundisha tangu zamani hadi leo bado anafundisha na wenye akili nzuri wanamuelewa na wanasilimu.
@raiyaaaraiyaa6054
@raiyaaaraiyaa6054 Жыл бұрын
Wewe ndio msanii haswaa mazinge amesilimisha maelfu ya watu. Wenye akili pekee ndio huelewa mazinge
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Жыл бұрын
Kuna waelewa lakini wajifanya ujui wewe muone mchekeshaji sisi tunao jua twaelewa nini yuwasema
@abubakarsaid4023
@abubakarsaid4023 Жыл бұрын
Mung kaumba moto na Pepo wewe ndio uchague ukweli unao wewe hakuna kischo eleweka hapo wewe nimuongo
@lisauroble31
@lisauroble31 Жыл бұрын
KURANI MUONGOZO USIYAJUWA UTAYAKUTA SABATO IMELAANIWA WATU WAKAWA MANYANI NAMANGURUWE
@candlestickministries1806
@candlestickministries1806 Жыл бұрын
Jameni Midahalo kama hii kanisani?
@Answarsunnasiyu
@Answarsunnasiyu Жыл бұрын
mze simba 🦊🦊
@naiknaik2816
@naiknaik2816 Жыл бұрын
MashaAllah shekh bongo mola akupe umri refu inshaAllah...Kumbe hawa wanafata mwanamke 🤣
@adventsoundtv
@adventsoundtv Жыл бұрын
Mkumbushe Mbogo pia kwamba. Wa kwanza kufuata mwanamke ni Waislam, wanamfuata bi Khadija maana ndiye aliyempatia utume Muhammad. Soma Wakeze mtume wadogo na wanawe, au Tarekhe twabariy, au kitabu sahihi Cha Sira, acha vya mashekhe wa siku hizi wanao-edit Uislam. Khadija anamwambia Muhammad "furahi ndugu yangu, tua moyo wako, wallah mimi naona umekwisha kuwa mtume " Sasa unaona mwanzilishi wa Uislam???
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Жыл бұрын
@@adventsoundtv Sasa kama amemuambia Sasa umekuwa mtume yeye ndio kampa utume? Hio sira kaisome tena
@muuhjunior3139
@muuhjunior3139 Жыл бұрын
​@@adventsoundtv dini hamjui nyie acheni kuongea uongo Kuna ishala ya unabii na bi Khadija aliziona ndo maana akamwambia umeshakuwa mtume lakini utume kaletewa na jibilil someni dini yetu vizur mpate laha ya moyo nyie ayah sisi hatujigongi gongi dini imekamilika
@noorbawaazir9035
@noorbawaazir9035 Жыл бұрын
Mtu unatakiwa utoe andiko j.moc ni sabato ktk biblia..unaleta hadithi ndeeeeefu...achen utapeli.
@yohana1242
@yohana1242 Жыл бұрын
Ushasem kati ya ijumaa na jumapili jumamosi haimo
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
siku iliyo kati ya ijumaa na jumapili ni siku gani??????
@damarisdaniel7247
@damarisdaniel7247 Жыл бұрын
This is nonsense we don't win souls by speaking and criticizing others but trusting the power of Holy Spirit by spending tym with Him not speaking nonsense on stage.Go and read how Apostles won souls for Jesus they never preached days but Jesus our Sabbath .Pls I urge us in the name of Jesus tuache kupiga kelele.Lets pray not saying words.Hakuna siku takatifu kwa wale wamepokea Yesu bali huabudu Yesu kwa roho na kweli.This is not right.Let me ask this question.How do this benefit to unbelievers? This is nonsense
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
Itakuaje uabudu kwa roho na kweli bila kusika Amri za Mungu? Nipe jawabu Yesu bila sabatu ni bure sabatu bla Yesu ni bure
@bettygesare5948
@bettygesare5948 Жыл бұрын
Wapi uliona kwa Bible Hellen imeandikwa
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 Жыл бұрын
Hizo ni vitabu ziliandikwa na wakristo wenyewe, Hellen G white ni mungu wawasabato.Dini ya mwanamke mzungu.Yesu Jerusalem lkn kanisa la sabato liko America hvi Jesus was an American ajabu hakuna kanisa hata Moja headquarters yake ni Israel yote niya wazungu waingereza,wataliano na waamerika ndio ujue Yesu hajui kanisa bali wazungu.
@amoscharles1420
@amoscharles1420 Жыл бұрын
@@ustadhfarouq7729 Makanisa yalivyoanza kujengwa Karne ya kwanza hata hiyo America ilikuwa haijazaliwa..tatizo lenu waislam mkiambiwa kitu na masheikh wenu mnayabebaga kama yalivyo bila kuchunguza..Sasa America imezaliwa 1776 wakati Makanisa Toka mwaka wa 100 kabla hata ya Muhammad kuzaliwa yapo..
@lewiskims8890
@lewiskims8890 Жыл бұрын
@@amoscharles1420 Sabatu hakuna mwanandamu alianjisha ni Mungu mwenyewe alianjisha sabatu na akamulisha kila kiumbe kishike. Mtu wa kwanja nduniani Adam na Awa kuumbwa walipumzika pamoja na Mungu. Sabatu ilianjishwa taree 07/01/001 na wisilamu je?
@isihakajarika2668
@isihakajarika2668 Жыл бұрын
Katika watu ambao wepesi mno kuwanyoosha aisee ni wasabato na dini yao ya mama Hellen G white mm nawatamani sana hawa nukutane nao daah naombeni mawasiliano ya hawa wachungaji mimi
@DifaRobelindo-cj2ij
@DifaRobelindo-cj2ij 10 ай бұрын
Dahh itauma sana ila ukuel utabak kuuwa ukuel
@aliroro9344
@aliroro9344 11 ай бұрын
😂😂😂 Muslims tunajua ijumaa ndio siku yetu ya ibadaa sababu sabato ilkua siku ya jews kuabudu
@jacksule7557
@jacksule7557 6 ай бұрын
Koroan inaitambua sabato ww fata mkumbo
@abdallahhamisiiddi4513
@abdallahhamisiiddi4513 Жыл бұрын
Wapumbavu ,jumamosi ni siku yakwanza ya wiki,wakristo vipi ,?hamjuwi kiswahili? Jumaa ni siku Mosi ni moja, Kwaiyo juma mosi ni siku yakwanza yawiki,
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Acha ujinga wewe hata akili za kuazima hamna????? heeeeeee wewe!!!!!!!!!!!!!!
@BelthaNgoda-cd1gi
@BelthaNgoda-cd1gi Жыл бұрын
Huo ni mtazamo wako wewe usipotoshe ambao hawajui
@jacksule7557
@jacksule7557 6 ай бұрын
Elim kaka unahis elim nan alianza pata kat yako na muebrania au greeks au mzung au mrusi au mchina au mjapan au mwarabu au myahudi au german au itary ss ka guggle hizo lugha zao zote zsabato ni sku gan af ndo uje useme lugha yako ya juz kiswahili tena kisichojitoshereza kimsamia
@jacksule7557
@jacksule7557 6 ай бұрын
Elim kaka unahis elim nan alianza pata kat yako na muebrania au greeks au mzung au mrusi au mchina au mjapan au mwarabu au myahudi au german au itary ss ka guggle hizo lugha zao zote zsabato ni sku gan af ndo uje useme lugha yako ya juz kiswahili tena kisichojitoshereza kimsamia
@nasrahibrahim-xg5pq
@nasrahibrahim-xg5pq Жыл бұрын
Wakristo wajinga kweli mnatajiwa Hadi maandiko lakini hamsomi
@miss_mshana5872
@miss_mshana5872 Жыл бұрын
Tumesema tunatumia Qur'an na biblia sasa vitabu vingine vinatok wapi, hizo ni historia tu mtu yeyote anaweza kuandik, tunatak maandiko yanasemaje sio dini alianzishwa na nani,?
@Answarsunnasiyu
@Answarsunnasiyu Жыл бұрын
mazinge kiboko yenu
@abdallahsaleh6254
@abdallahsaleh6254 Жыл бұрын
nyie wakristo aka makafiri hata nyie pia hamna hoja yeyote ile
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
WAkiristo ni pesa na nibiashara tuu hawajui lolote wadamganya wafuasi wao
@kenedypaulafisa.574
@kenedypaulafisa.574 Жыл бұрын
Unakaa kubishania dini ambayo we umezaliwa umeikuta na utaicha. Kwani ungezaliwa India kwenye familia ya mabudha unadhania ungekuwa mwislamu au ungezaliwa familia ya katoliki unadhania ungekuwa mwilsamu? Jifunze sio kutukana
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
@@kenedypaulafisa.574 Kwani waislam wengi sini wakatholiki na wahidi na dini zengine kwani ww hufanyi research uone dini ya kislam inavyo kua Kwa Kasi duniani kisha dini hatuachi hapa duniani tunaenda nayo tukikufa Mali na starehe ndio utazziacha ww na kma huana dini ya usilam Moto unakusubiri ,nahakuna alie kutusi umetusiwa nn ww haswaa useme nimetusi
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
​@@andallaathman3856 aliye kwambia ukiwa mwisilam ndiyo unaingia mbinguni nani? Dini ni njia uisilam siyo njia ya kumpeleka mtu mbinguni njia ya kifika mbinguni ni Yesu peke yake siyo uisilam!
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
@@rehemaabinelynyagawa2878 hakuna uislam haojatwambia twaenda mbinguni laa hashaaa uislam umetupa promise ALLAH Sisi tukifanya matendo mazuri tunaenda peponi yani paradise,hata yesu haiendi mbingu yupo paradise mbinguni waenda fanyaje nasiku yamwisho zitapeperushwa kaa Moshi andiko Kwa bibilia na uislam ndio njia ilio nyoka na ndio dini yahakki ya ALLAH ukiristo hakuna sio dini ni yawazungu wame wlaghai tuu masikini na hamutaki kusoma
MAZINGE AWAASA WAISLAM KUTUNZA SABATO PART 2: MASWALI NA MAJIBU
43:08
Advent Sound TV
Рет қаралды 58 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 33 МЛН
ISHMAEL AU ISAKA? MAZINGE NA  WAISLAMU WAWEKWA WAZI NA MWALIMU YOHANA OMARY.
1:18:44
GITHAGATHAGO RURACIO-INI RWA DADA SARAH ( PART 1)
20:22
Dada Sarah
Рет қаралды 10 М.
MAZINGE NA SHAFII WAUNGANA KUMKABILI NDACHA MPAKA KIELEWEKE
1:45:36
Advent Sound TV
Рет қаралды 520
Uchambuzi wa freemasons ndani ya Bibilia by Suleiman Mazinge+254710843989
27:11
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Mbengo Tv
Рет қаралды 34 М.
MDAHALO WASLAMU WASHINDWA KUTETE IJUMA
27:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 822 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН