Mfalme na akuje Sasa, nimemngoja Sana, yatosha! Oyooooooooo oyooooooooo oyooooooooo oyooooooooo oyooooooooo apostle, powerful teaching 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Asante Sana kwa mafundisho yako . Nitakuwa mke mwema, hakuna kuachika hapa in Jesus mighty name amen!
@heavenlight56553 жыл бұрын
Nafurahi sana kuckiliza maombi semina na mafundisho kutoka kwa chief Apostle mtalemwa nawapenda sana baba zangu wa kiroho kutoka ECG DSM NA ARUSHA naipenda ECG kwa7bu Inanifanya kila cku nijue nafasi yng mafundisho mengi yanahusu maisha yng Mungu azidi kuwatinza ECG na kuwalinda na kila adui .
@hellenwanyama66083 жыл бұрын
Amen hapo sasa mafundisho poa sana be blessed pst
@jacquelineelly66844 жыл бұрын
Asante sana Apostle ... nimekuelewa sana 👏👏👏. Barikiwa baba Chief
@MaryestherAlphonce Жыл бұрын
Ooooh! Hallelujah Nimepata kitu Apostle 🙏
@halimanangati.iconnect18464 жыл бұрын
Nilipata neema ya kuwepo kwa kweli nilibarikiwa sana ,Mungu akupe maisha marefu uzidi kutufundisha Chief Apostle Mtalemwa Bushir
@stellamkude45634 жыл бұрын
Ni zaidi ya somo.hakika nimebarikwa. Asante sana Chief Apostle
@vickyalphonce48134 жыл бұрын
Asante Chief Apostle nimepata kujua Mwanaume Ni nanikwangu! Kuwa Mwanaume Ni Mfalme!
@deborahdelly45324 жыл бұрын
Amen amen nimemuombea mme wangu awe mfalme somo tamu sana mtumishi Barikiwa sana
@emmawaruguru41973 жыл бұрын
Waaa! 😂👏👏👏👏👏👏🙏👍 Ukweli mtupu. Mungu aendelee kukubariki mtumishi WA mungu. Neno Hilo ni LA kwangu. Ameen ameen
@eleonorandole92444 жыл бұрын
Nasubir maombi. Asante sana mtumishi nakuombea Mungu akupe mafunuo mengi zaidi kwa ajili yetu. Mungu akuhifadhi.
Wow! I hear you chief! Nimekuelewa sana man of God! Nimebarikiwa sana! Nimependa sana hizo dakika 2 za mwisho za kujisitiri ! Nimepata muarobaini kwa ajili ya mtu wangu na friends zangu ! Hii lazma waisikilize watake wasitake !!!!!
@jplacroyance45904 жыл бұрын
Hii ni kweli sana man of God. Wanawake watafuata hii mafundisho na kuitimiliza ndoa zao zitapona kabisa. Ubarikiwe sana chief!
@fireinmybones1484 жыл бұрын
HALLELUJAH HALLELUJAH AM BLESSED , MAN OF GOD BY YOUR TEACHINGS. STAY BLESSED SIR🔥
@lyingamwazyunga78234 жыл бұрын
Glory to God for this teaching it's like finding a chunk of diamonds in a pile full of rocks...more wisdom to you my mentor Chief Apostle. Mwe!!!
@felestinekwamboka28733 жыл бұрын
This is amazing apostle we should appreciate and do the reality for our families to work smart
@happymbwezeleni96524 жыл бұрын
Thank you Chief Apostle, nimekuelewa sana
@jemimatumaini702610 ай бұрын
Powerful Chief Apostle
@monikabonny13824 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo chief barikiwa
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
Leo umewachana mwenye sikio na asikie,hii lazima .muhusika aisikilize,thanks chief
@lindaaduma79303 жыл бұрын
I love your teaching. Eye opener
@ayoubkikoti63444 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtalemwa,nakuelewa sana mtu wa Mungu,
@everjohn8334 жыл бұрын
Asante Yesu Kristo kwa pastor au nabii mtalemwa.
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
mtume mtalemwa
@samsonmgonja40144 жыл бұрын
Apostle mtalemwa
@anjelamapunda49514 жыл бұрын
Wish i could have this lesson 7 yrs back...but its never too late Thankyou Chief wa watu
@sophiamwakila33004 жыл бұрын
Apostle somo zuri sema tu tunaziba masikio. Sauti imetosha sana. Natamani vijana wajifunze hili.
@Shambalamagaritanzania4 жыл бұрын
Amen Pastor Ujumbe umefika vyema kwetu
@veronicaerasto72494 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho yako pia nimejifunza kukaa katika nafasi yangu, ubarikiwe sana apostle mtalemwa.
@Hungrydonkey93452 жыл бұрын
Asante sana Mtume kwa somo hilo
@harunyusuf42294 жыл бұрын
Amen maubiri yako ni ya baraka sana,Bwana wa uzima akakutende mema.
@pastorgodsonjohn85622 жыл бұрын
Mtalemwa mtalemwa mtalemwa uko vizuri kwa mafunuo
@vailethywalter56744 жыл бұрын
Papaaaaaaaaaaa barikiwa na mungu akupe maisha marefu uuuuu
@tumainkomba39684 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri MUNGU azidi kukufunulia zaidi
@Shambalamagaritanzania4 жыл бұрын
Apostle Mungu amekutuma na tumekupokea umeubiri Big Point
@neemahamisi43024 жыл бұрын
Jamani kwanza kitu nampenda chief ni mkweli hakurembi ni bora ukasirike lakini amesema ukweli mwanamume ni mfalme ana mamlaka hata kama umemzidi kipato asante chief kwa kuondoa ujinga wa beiging wa haki sawa
@marykageha43054 жыл бұрын
UMENIGUSA ..KABISA NIOMBEE . SON OF MAJOR 1 .U DELIVERED ME IN DREAM ,&FROM THAT MOMENT MY LIFE CHANGED ,U &MAJOR ,GOD BLESS U .
@fraviusmanyika75214 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@misslevis66314 жыл бұрын
Aiseeee Chief, this has been helpful. I am blessed to get this knowledge now. Live Long. #IamFormyKing
@evelynjohn27064 жыл бұрын
Rewatching this video😆😆😆😆 shkamoo Apostle 🙌🏽nimemiss ibada
@jecinteranyango74214 жыл бұрын
mtumishi wa MUNGU asante kwa mafudisho mazuri
@neemandemno67484 жыл бұрын
Ahsante Chief kwa mafundisho mazuri ya kutusaidia kukaa ktk nafasi zetu km wanawake
@lilyabel23204 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Apostle, somo ni zuri sana
@josephclemence44414 жыл бұрын
Nimebalikiwa Sana mafundisho yako yote yana u Mungu
@paulshukia70834 жыл бұрын
Apostle hakika ulishazaliwa Kaka mshukuru Mungu sana kwa kukupendelea,
@irenescott16824 жыл бұрын
Aw!thankyou....mafundisho mazuri ya msaada
@elipidiusrushema17594 жыл бұрын
Nakupenda xn apostle mtalemwa na ntakupenda milele
@veronikashija49794 жыл бұрын
My God this is so powerful and wonderful teaching... Be blessed with full anointing and grace upon you Chief Amen
@neemagewe7174 жыл бұрын
Mungu akubariki sana chief
@rahmahamisi76044 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi
@jacquelinefungo12714 жыл бұрын
It wasn't good for me to miss this sermon. Am glad kwakweli. Thank you Apostle, God bless you. Your teachings are excellent
@esthermanya6962 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
I ACKNOWLEDGE THE AUTHORITY💪🔥I RESPECT AS MY HUBBY, MASTER MY KING🤲🔥🤲 THANK YOU LORD FOR THESE TEACHINGS🙏🙏
@evelynjohn27064 жыл бұрын
Thank you Apostle...nmejifunza sana Na pia umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣 UBARIKIWE!!!
@gmdecoration60444 жыл бұрын
Kwakweli kama hawajakuelewa hawaatakaa waelewe nataka nipate kibali nipate mke hapo akielewa vizuri kweli atuachani mwanaume aimbi nibebe🤣🤣🤸🤸
@nehemiahdaniel20704 жыл бұрын
Hahahha
@rosemarymallya44583 жыл бұрын
JEEESUUUUS🙆♀️GRANT ME GRACE EVERY NW AND THEN TO LEARN HW TO BEHAVE HW TO BE THE WIFE🤲🙇♀️SO I CAN NOT FACE THE ANGEL🤦♀️GOD I REPENT💯AM ONLY A HUMAN BUT AM TRYING MY LEVEL BEST🙌😭🙌😭🙌😭🤲🤲🤲🤲
@richerdambers58014 жыл бұрын
Chief powerfull Yesu kristo akuinue sana
@studentagency21854 жыл бұрын
Dah Chief 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿, thank you for this life teaching lesson.
@blessjulius29404 жыл бұрын
Ebenezaaaaa...... Mtusiiiiiiiii
@blessjulius29404 жыл бұрын
Nakukubali Sana kakangu
@filothiasirizabongo57674 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu
@johnkikukwa55434 жыл бұрын
Bigup Apostle,Glory to God
@julianamsofe64454 жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya Apostle
@estherigogo17154 жыл бұрын
Amen Chief Apostle,
@harriethkinjoli75454 жыл бұрын
Nilipata neema ya kuwepo ikiwa ni mara yangu ya kwanza kuwepo ECG,binafsi nilibarikiwa sana.
@emmyinvocavity71984 жыл бұрын
Karibu tena na tena kuna mafundisho mazuri sana huyo ndo Chief Apostle anamafundisho mazuri sana
@harriethkinjoli75454 жыл бұрын
Asante,nimekuwa nikifuatilia mafundisho yake kupitia you tube
@mwilemakala55784 жыл бұрын
Asante baba yangu Chief
@jacquelinenyange55494 жыл бұрын
Thank you Apostle God Bless you
@betkyasio68483 жыл бұрын
I love u so much my dad God protect u and bless you
@deborahdelly45324 жыл бұрын
Umebarikiwa Sana umekilimiwa vitu vya kimbingu Baba Nabii wengi wamefanya mema lakini wewe umewazidi wote
@lucymhina45104 жыл бұрын
Kujistiri,asante
@aggymc12034 жыл бұрын
Hilo nalo neno
@lucymhina45104 жыл бұрын
Zab 45 :10 Lilinifundisha sana,ubarikiwe
@agnesschirstian92264 жыл бұрын
Mmmh, imepenya, barikiwa zaidi na...
@rahelpilos44524 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameeeen cheaf🙏🙏
@bongosamcharo31604 жыл бұрын
Powerful chief Apostle
@danielchakutema8244 жыл бұрын
Amen Apostle
@rosesuluhupamba23164 жыл бұрын
Thanks much pastor
@juliankamugisha98864 жыл бұрын
Mtumishi umetisha, naamini wanawake watakao lishika neno ili wataliokoa taifa.
@rosepatrick64244 жыл бұрын
This word blessed me so much
@erickelisa10664 жыл бұрын
Apostle ,ubarikiwe mno tunafollow mafundisho yako na unabii wako ,,also we assist u to pray for kagera karagwe
@neemammbando17404 жыл бұрын
Thank you Apostle.
@GeeBugatty4 жыл бұрын
Tafadhali naomba msitucheleweshee part 2 yake hili somo na zuri sana
@PastorJoshua_Njombe4 жыл бұрын
Be blessed Apostle
@deborahndosi91384 жыл бұрын
Amen Chief 🙏🙏
@amedeusmmanga45354 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba
@elizabethchales26634 жыл бұрын
Jaman
@merymrema4204 жыл бұрын
Ameni mtumishi
@vickymahanga77344 жыл бұрын
Asante chief
@samwelikisigila4818 Жыл бұрын
Amen
@re.emmanuelmdoe33452 жыл бұрын
WAOO 🕊️🕊️🌹
@theophilokamil30644 жыл бұрын
Amina
@lilianwilliam42514 жыл бұрын
Ur blessed,Master
@queenmariana58874 жыл бұрын
Amen Amen 🙏🙏🙏
@amosjeremiar80064 жыл бұрын
Ameen apostle ni mekuelewa
@floragama88144 жыл бұрын
Amen baba
@pastorgodsonjohn85622 жыл бұрын
Wanaowavalisha wachumba pete kwa kupiga magoti na kulia lia
@floraowenya64624 жыл бұрын
Kwa mafundisho hy lzm nitarudi na ushuhuda maana silaha za vita ninazo.