Ni wapi Yesu aliltuagiza tutumie maji na mafuta? Yesu aliamuru tutumie jina la Yesu Marko 16:16-18 [16]Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. [17]Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; And these signs shall follow [18]watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya. Aposto leo umeyakanyaga
@rahabnkya82763 ай бұрын
Kwa nini lkn mafuta na maji vinauzwa kwa fujo ktk makanisa ya kiroho nchini kote. Ni biashara ya aina gani hiyo kwa kiongozi mtoaji. Luk 4 1 . Kubatizwa nako nako maji yanatumika, ni kiashiria gani yana msukuma mtu akibatizwa maji kidogonau mengi yanatatiza wengi.
@user-yd8sp1qj3w3 ай бұрын
Bible interpretation is a very big problem
@edwinmanji742 ай бұрын
Kabisa ndugu nakubaliana na wewe,na hii ndiyo shida ambayo wengi hawawezi kugundua haraka maana yasemwayo yameandikwa ila tafsiri inayotolewa sasa!