GWAJIMA AFANYWA MAKAMU WA RAIS MAMA AANGUSHA GARI, MAKONDA ALLY HAPPY, MAKALA ENDELEENI KUTULIA

  Рет қаралды 22,230

huduma ya kristo

huduma ya kristo

4 ай бұрын

Пікірлер: 48
@user-ly4jw9qi9x
@user-ly4jw9qi9x 3 ай бұрын
Mungu akupe zaidi mtume
@CharlesMunge-di9em
@CharlesMunge-di9em 3 ай бұрын
Continue declaring the word of god in order to continue maintaining peace in Tanzania land
@AbediKaniki-vm1vn
@AbediKaniki-vm1vn 3 ай бұрын
Amina mtumishi wewe ninabii sio waziiri au mtumishi wa seikali upo sahihi kusema hayo hazarni
@alexmachare6495
@alexmachare6495 3 ай бұрын
Continue
@HAAM670
@HAAM670 3 ай бұрын
Amos 3:7. Yoeli 2:28.
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Hata kama ujumbe niwaaibu Mungu akisema niwahadhara lazima uwe wa hadara
@janengaga2928
@janengaga2928 3 ай бұрын
Hii sababu ni nini kukosa makao maalum hasa kwa raia akiangalia ni mtumish wa MUNGU vizur tu.
@levissanga8867
@levissanga8867 3 ай бұрын
Toa ujumbe bila hofu ya mtu kupokea au la.
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 Ай бұрын
Acheni kuongeea kwa mafumbo kama mnatumws na MUNGU semeni ukweli
@yohanamwakanyelenge3786
@yohanamwakanyelenge3786 3 ай бұрын
Pole pole japo kuna ukweli kidogo!
@AnthonySilayo
@AnthonySilayo 3 ай бұрын
Ooh
@valenakomba7686
@valenakomba7686 3 ай бұрын
KWA HIYO WEWE UNAONGEA NA MUNGU MAMBO YA SIASA TUU. NDIYO KITENGO CHAKO ULICHOPEWA NA BWANA?😮
@frankjohn8706
@frankjohn8706 15 сағат бұрын
Uongo
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 3 ай бұрын
Huwezi kuwafikia kwa upesi hao uliopewa jumbe zao, endelea kutoa ushuhuda badala kufanya siri
@simboninsiandosi8135
@simboninsiandosi8135 3 ай бұрын
Kama kaambiw aseme wa nini anyamaze? Mtumishi sema kama uliyogizwa usiche neno tupone
@isayatippe6409
@isayatippe6409 3 ай бұрын
Najua kitu kimoja! Rais hapangwi na kutangazwa na nabii ye yote hilo ni jambo la KIKATIBA. Jukumu letu ni Kumwomba Mungu awaongoze wapiga kura kumpata yule ambaye ni chaguo lake. Mungu ndiye awawekaye Viongozi, hata Askofu Gwajima anajua hilo. Ewe nabii, acha kuwachonganisha Watanzania, Watanzania waongozwe na Mungu kupitia katiba yao! Hata Madhehebu ya dini hatupangiwi Viongozi na nabii bali tuna katiba zetu na Mungu hutupatia Viongozi kupitia utaratibu huo wa katiba na si vinginevyo!!!
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 3 ай бұрын
Samia ni raisi 2025 sio Gwajima
@tumainjoseph7189
@tumainjoseph7189 3 ай бұрын
Nashindwa kukuelewa sasa gwajima badala ya kuwa rais atakuwa makamu wa rais sasa una simama wap
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 3 ай бұрын
mungu akulinde mtumishi
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 ай бұрын
Una leta uchochezi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Kama ni kwani kakwambia uende siri?
@1961nungwi
@1961nungwi 3 ай бұрын
Watu wanaingia na kutoka tangu Uhuru! Hakuna laana Wala Nini. Waziri Mkuu Uingereza anabadilika Kila wakati: wamelaaniwa??!
@allyomary2271
@allyomary2271 3 ай бұрын
Fungua code basi tujue
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 3 ай бұрын
Una abari Magufuli alipita wapi
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z 17 күн бұрын
nakushauri sasa kwa muda uliotowa unabii kuhusu rais ajae tumekwelewa sasa twelesee mambo ya dini achana na mambo ya siasa wana siasa hawakubari ukweli wao wanajali matumbo yao watakuja wakuletee mizongwe sisi tuliowengi tunasubili unabii wenu utakapotimia kuna watu hawakubali kuna manabii wanoona mambo ya miaka ya mbele sanaaaa mimi ya 1958 nikiwa kijana.wa miaka 12 alikwepo mzee moja alikwa anapanda mlimani asubuhi na kutoa unabii watu walikwa wanamtukana kwamba chizi lakini leo hii tunaishii kwa yale mambo aliokwa anayasema mambo nikisikia mwenyewe ni haya 1 kuna ugonjwa utakuja usio na dawa =sasa ukimwi 2 kutokuolewa wanawake na ndoa hastadumu 3watawara wa Afrika hawatasaidia Afrika watasaidia kutorosha mali za Afrika kwenda ulaya 4 wakoloni waliotutawala wataludi kututawala kwa njia nyingine tutawakaripisha sisi wenyewe waje kutuipia kijanja =wekezaji tabili hizi za 1958 mpaka leo ni 67 tunaishi nazo
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 3 ай бұрын
J
@user-mn7zq7cd5t
@user-mn7zq7cd5t 3 ай бұрын
Hapo tu pa Mama anaenda kuanguka muda wowote, naona na yeye ameona akahisi akitumia njia ya kanisani atakuwa salama.
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 14 сағат бұрын
Mama unasema ataanguka nani atakuwa mama samia aliwekezwa na magu shujaa mama samia atachaguliwa tumuenzi magufuli shujaa wanafrica mama atapita tena kwa.kishindo mm nashangaa ma samia amewakosea nn mnaomchukia mbona.ameongoza vizuri kwan mnachukiachukia maraisi
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 3 ай бұрын
Mungu anahekima kuliko wote ingestaili siri Mungu angeagiza siri
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 3 ай бұрын
Hivi kweli unaamuaje kutuma mjumbe apeleke sadaka na kuitangaza?! Kwani ni harambee au zaka! Kama ni yatima,wajane,ama makanisa machanga yanayosali kwenye vibanda pia mtu humtolea Mungu kimya kimya,na wenye uwezo pia humtolea Mungu kimya kimya, iweje basi mjumbe aseme nimetumwa nilete sadaka?! Harambee sawa...
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂heeeeeh ulisema gwajima atajuwa Rais,sasa Mungu mmegeuka tena???
@hudumayakristo
@hudumayakristo 3 ай бұрын
Sikiliza vizuri...utaelewa kilichosemwa
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 3 ай бұрын
Kweli...watu hawasikilizi vizuri...
@telesphorymajumbi
@telesphorymajumbi 3 ай бұрын
Ni sawa kwako unaye yasema.. Nabii huyo atakaposema uongo apigwe mawe afe. Nisingependa owe hi yo kwako bali na iwe baraka. Mimi ninakushukuru ktk hayo yote. Usitamke neno baya kwa MKUU wako ni sawa kama umemtukana kwake yeye. Paulo lisema sikujuwa ndugu zangu imeandikwa, usimtukane MKUU wa wakuu wako... Matendo 23:1-5.na iwe kama ulivyo nena isipo kuwa hivyo..!! ni hatari kwako duniani na mbinguni.
@telesphorymajumbi
@telesphorymajumbi 3 ай бұрын
Hayo yawezakana kabisa. Sasa kama sadaka inatolewa kwa Siri, ungefanya hivyo kwa raisi wako. Ungemuomba Mungu akupe nafasi ya kumuona yeye hashindwi. Yote ni mwema, Ubarikiwe.
@1961nungwi
@1961nungwi 3 ай бұрын
Hakuna UDINI Tanzania. WanaNchi hatutaki!!
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 ай бұрын
We usisemee watanzania jisemee mwenyewe acha upambe kaa na ujinga wako na uelewa wako mdogo
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 3 ай бұрын
Upo vizuri sana kutasfiri ndoto
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 3 ай бұрын
Rafiki unatudanganya
@melkizedekwiliam-hi7bz
@melkizedekwiliam-hi7bz 3 ай бұрын
@@benignajosephwatendewao2065 umesoma vema kichwa cha habar? Kwanin kichwa cha habar ipishane na maelezo?
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y Ай бұрын
Tim Gwajima
@nyembobea7285
@nyembobea7285 3 ай бұрын
Hivi nyinyi kazi yenu ni hii au wewe ni mtu wa kundi la siri umetumwa kutuletea propaganda ili mje mfanye uharibifu na kwanini kila siku mtabiri ni wewe
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 ай бұрын
Utoe ukipofu wako kama auko vizuri na MUNGU jua uo ujumbe autaupata kaa kimya
@CharlesMunge-di9em
@CharlesMunge-di9em 3 ай бұрын
Continue declaring the word of god in order to continue maintaining peace in Tanzania land
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 3 ай бұрын
Kwanini mpaka Leo waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha madai yao mpaka Leo yamechelewa kutoka?
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 3 ай бұрын
Acha utoto kwani mambo ya hotel yanaingilianaje na unabii kama auna la kuchangia nyamaza
LIVE: PM Modi Addresses Big Business At CII I Union Budget 2024 I TOI
2:12:57
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 45 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 9 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 63 МЛН
WATCH LIVE: Kamala Harris holds Atlanta campaign rally | FOX 5 News
1:29:58
DR.GWAJIMA AWEKA WAZI NDOTO YA UKOMBOZI WA UCHUMI WA TANZANIA
59:18
huduma ya kristo
Рет қаралды 14 М.
Utambulisho Wangu | Bishop Dr. Josephat Gwajima | 28.07.2024
3:10:30
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 3,2 М.
Waka waka 🤣 Which video is the best 1,2,3,4? 🤩
0:13
Adani Family
Рет қаралды 7 МЛН
Choices for your loved ones❤️
0:15
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН
ПИЩЕВОЙ ВАНДАЛ НАКАЗАН
0:20
МАКАРОН
Рет қаралды 2,8 МЛН