No video

Magoli na kadi nyekundu | Simba 3-2 Mbeya City | NBC Premier League 18/01/2022

  Рет қаралды 334,316

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Simba SC imepata ushindi wa jasho na damu ikiwachapa Mbeya City mabao 3-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Ilikuwa ni mechi ngumu pande zote, wakianza Simba kwa goli la Saidi Ntibazonkiza dakika 11 lakini Mbeya City wakachomoa dakikaya 13.
Saido akafunga goli la pili kwa Simba, kwa mkwaju wa penati dakika ya 49 na Pape Sakho akafumua bomu la Sugunyo na kuipa Simba goli la tatu dakika ya 56 kabla ya Juma Shemvuni kufunga la pili kwa Mbeya Dakika ya 78.
Katika mchezo huu pia Mbeya City walipata pigo kwa beki wao Samson Madeleke kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 66.

Пікірлер: 274
@protasmtechula9705
@protasmtechula9705 Жыл бұрын
Azam mnacherewa mnooooh kuweka highlight bnaaaah
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz Жыл бұрын
Sakho this child is the monster of football
@zubeirkhamis916
@zubeirkhamis916 Жыл бұрын
Head Kocha sio sahihi. Mm namkubali mgunda mara 100%
@karatadume8805
@karatadume8805 Жыл бұрын
Hama timu
@zubeirkhamis916
@zubeirkhamis916 Жыл бұрын
@@karatadume8805 halafu iweje
@bigpichaz
@bigpichaz Жыл бұрын
hujui mpira
@zubeirkhamis916
@zubeirkhamis916 Жыл бұрын
@@karatadume8805 ww unaejua mpira hebu niambie Sheria namba 7 na 8 zinasemaje ikiwa hujui usibishane na mtu usiyemjua Yuko vp
@mbalaleshalif8892
@mbalaleshalif8892 Жыл бұрын
P.O.SAKHO ni moto wa kuotea mbali.hazuiliki kwasasa💪🦁
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Saidoo ni mashine ya hatariii✊🏻✊🏻✊🏻
@thomasnyarusanda2608
@thomasnyarusanda2608 Жыл бұрын
Offside haikuonekana..kawaida ya marefa wetu kwa Simba na Yanga. Kitu MBA Yanga walipewa penati dhidi ya Geita
@babacrgueye3565
@babacrgueye3565 Жыл бұрын
Pape Ousmane Sakho from Sénégal
@hassanmasoud7891
@hassanmasoud7891 Жыл бұрын
Ntibanzokiza💥💥💯
@appareilterrestre807
@appareilterrestre807 Жыл бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮✔️
@mussamuntadhi8692
@mussamuntadhi8692 Жыл бұрын
Kulipa kisasi ni hapa hapa duniani😉😁😁✌✌
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
Ushauri wangu chama asiwe anatolew kwenye mchezo 🙂. Tungefunga hata zaidi im sure .
@jafarimwinuka2656
@jafarimwinuka2656 Жыл бұрын
Tungepigwa 3 kipnd cha kwanza
@zunnahmohammed4719
@zunnahmohammed4719 Жыл бұрын
jaman hili goli la sakho hapana Kwa kweli
@kuyasayalel2605
@kuyasayalel2605 Жыл бұрын
Goli la pili la Simba ni offside kabla ya penalty
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 Жыл бұрын
Kwa Simba hii sioni kimataifa bila bahasha hakuna mpira ,Kadi nyekundu ya bahasha na bado walielemewa kimpira noma kweli😀😀😀😀😀😀😀,madunduka FC ...Dubai imewaongezea nini zaidi ya kumpotezea hela boss wenu..
@patrickmuvendi142
@patrickmuvendi142 Жыл бұрын
Angecheza kwa mguu, amezingua
@revocatalystjoely581
@revocatalystjoely581 Жыл бұрын
Waiting ✋wakuu
@amaniolodi
@amaniolodi Жыл бұрын
Huu Mpira wa bongo hakuna siku itakua sasa hiyoo red ni ya nin sasa??
@caltoncandido6024
@caltoncandido6024 Жыл бұрын
Sakho ni noma
@nickclaver7195
@nickclaver7195 Жыл бұрын
Supa sub za kocha anajua alicho kifanya kocha big up
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
Manula kwani sio wa Mbeya KWELI🤔🤔😳 Mana 😂😂🤲🤲
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Alafu mbona kajiangusha maksudi uyu ashalogwa 😃😃😃
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Жыл бұрын
Sakho on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 huo mshuti
@fadhilisabihi5943
@fadhilisabihi5943 Жыл бұрын
Japo wameshinda lakin kwa movement hii alafu uwe na mdogo za ubingwa club Africa?
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz Жыл бұрын
Ninawapa udhuru wa fatiki, Kocha kuwa mpya wa ligi nk, but alhamdulillah kwa ushindi
@bonyvine4088
@bonyvine4088 Жыл бұрын
Antibiotic,love from Burundi
@hamadihassani1628
@hamadihassani1628 Жыл бұрын
Huyu kocha kwachama tuko tear tubaki namgunda wetu ila chama ndio simba
@boniphacejoseph1683
@boniphacejoseph1683 Жыл бұрын
Aishi manura masihala mengi Hilo goli lapil la mbeya we ume sababisha so goli lakukutesa wew Hilo punguza sifa mwamba
@fifofashiondesign2974
@fifofashiondesign2974 Жыл бұрын
Siyo la pili tu ata la kwanza, ame chomoka aka shindwa ku dive mupira
@officiallcoolest_khid3223
@officiallcoolest_khid3223 Жыл бұрын
ilibaki tu kidg mngepakwa mafuta
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 Жыл бұрын
Sasa hapo angekuwa kipa mwingine dhidi ya Yanga wangesema Bahasha 😁
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 Жыл бұрын
Manura acha ukuma ukipigwa bench ulete Mambo yako ya ushirikina kuwa chawia wenzio magoli kipa
@kateadam8204
@kateadam8204 Жыл бұрын
mlipeni mshahara bahasha hadi kwa mbeya city dah
@irenecosmas1173
@irenecosmas1173 Жыл бұрын
du! simba mmejua kunifurahisha
@oscarkomba7258
@oscarkomba7258 Жыл бұрын
Mpira wa bongo ni vichekesho 😊
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Sana yani vituko
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
mi.naipenda simba lakini kabla penalti simba walikua wameotea
@simbascdailysimbasctanzani2835
@simbascdailysimbasctanzani2835 Жыл бұрын
Filimbi unayo nyuma puliza
@chrissg4026
@chrissg4026 Жыл бұрын
Credit kwa Kanote credit kwa Saidoo, Credit kwa Sakho!
@reubenismail385
@reubenismail385 Жыл бұрын
Manula sio kabisa!hapo jina ndo linamlinda lkn kiwango kipo chini kabisa hakuna kipa hapo
@fettysultana5364
@fettysultana5364 Жыл бұрын
Magoli ya Simba ynptkn Simba pekee
@yaazidramadhan
@yaazidramadhan Жыл бұрын
Muhimu points tatu muhimu
@abdallahrashidy3266
@abdallahrashidy3266 Жыл бұрын
Alafu kocha mwenyew kumutoa cham amekera xan kama ameza mambo ya ajabu ivo tutamupa pole atarud kwa mungu kwao
@richardvalson4313
@richardvalson4313 Жыл бұрын
Azam kwa sasa mmekuwa mdebwedo sana kwenye highlights
@shafmbande3582
@shafmbande3582 Жыл бұрын
Kinoma yani
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
Lakini bado unaona highlights.. tujifunze kuwa na shukurani..si bora angalau Azam wamewekeza tunaona hata kama kimdebwedo??jamani hee??
@bigjizee4130
@bigjizee4130 Жыл бұрын
Hii sio highlight ndugu yangu, wafuatilie vizuri Azam. Hii ni video ya magoli na Red card. Highlight video wataleta baadae
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Жыл бұрын
@@bigjizee4130 haya hiyo video ya magoli inaitwaje kwa taaluma ya vipande vya filamu??au umekariri halafu huelewi ulichokariri..hicho unachoita video za magoli ndio goals highlights..na kwa mechi nzima kwa ufupi na marejeo huiitwa match highlights..na kuandaa match highlights huchukua muda kwani unatakiwa ku-balance matukio muhimu kwa pande zote mbili huwezi kukurupuka tu angalia za CAF huwa wanatangulia kutoa highlights kwa ufupi sana tena za magoli na baadae hutuata match highlights kwa ujumla wake..
@richardvalson4313
@richardvalson4313 Жыл бұрын
@@rockygappi1018 wasituaminishe kuwa wao ni bora 🙌
@sarahtz4936
@sarahtz4936 Жыл бұрын
Azam camera zenu saiz Zina matatizo 🤔🤔🤔
@saimonrodgers8262
@saimonrodgers8262 Жыл бұрын
Manula sijui nikitukane tusi gani kwa kweli daaaah
@bizzboy5490
@bizzboy5490 Жыл бұрын
Mtukane kama ulivyo mtukana golikipa wa Ihefu.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@bizzboy5490 KIGOLI CHENU KIMOJA NGURUWE MLA MIHOGO WEWE
@bizzboy5490
@bizzboy5490 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 Mtoto wa mtaani hakuchagulii tusi.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@bizzboy5490 V LAKINI ASHURA CHEUPE HAJAMBO NASIKIYA KARUDI KUTOKA DUBAI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@justinloodolaitayo2781
@justinloodolaitayo2781 Жыл бұрын
Akuna muchezaji hapo Simba kama Sako ila ana madoido ndiyo shida yake TU
@sarahtz4936
@sarahtz4936 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@alexmeya8491
@alexmeya8491 Жыл бұрын
🤫🤫🤫🤫mpira Raha snaa jamn hvi mbona inakuwa hv nafrahi snaa❣️❣️❣️❣️
@allenmsafili5587
@allenmsafili5587 Жыл бұрын
Okay
@erastophilip834
@erastophilip834 Жыл бұрын
Huyu kocha akirudia kumtoa chama ahakikishe anakuja na mabegi uwanjani
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Ni kweli bro maana timu ilizidiwa baada ya kupigwa kadi nyekundu
@hassanisassi9195
@hassanisassi9195 Жыл бұрын
Ndo uwezo wake ulipoishia uyo kipa watu wanapigiaga mbaritu himo 😁😄😆
@EREVUKATV
@EREVUKATV Жыл бұрын
Mtangazaji mpka apo nishajua wew timu gan hovyo sana ww
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NGURUWE MLA MIHOGO WEWE
@ondaomari6255
@ondaomari6255 Жыл бұрын
Wanawake wachezeshe mechi za wanawake wenzio sio mechi kama hizo. jenda balance iwe na kiasi
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
🦁🦁🦁🦁🔥
@justinloodolaitayo2781
@justinloodolaitayo2781 Жыл бұрын
Chama akuna kupumuzika Sako akuna kupumuzika saido akuna kupumuzika Moses akuna kupumuzika
@ayopattern5105
@ayopattern5105 Жыл бұрын
Hivi huy manula yupo SIMBA kweli? au anatafuta sababu 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷
@jorampeter6131
@jorampeter6131 Жыл бұрын
Sijawah kumkubali manula hat kidog,kuna haj gn ya kung'ang'ania kuudaka mpira badal ya kuupanch pemben kwa mkono,,Simba inabd muanze na goal keeping taften golikipa wa maan ila huy ataendlea kuikost tm 2
@mwalimuphilemonmbemba1649
@mwalimuphilemonmbemba1649 Жыл бұрын
Mbn yupo vizuri kila kipa anakosea
@zuu9996
@zuu9996 Жыл бұрын
Jifunze kuwa na shukran kha!
@NKONINGOMEDIA
@NKONINGOMEDIA Жыл бұрын
Eti kweli Leo Simba tumeponea chupu chupu
@hassanmasoud7891
@hassanmasoud7891 Жыл бұрын
Huyu sacko sio poa
@chembejohn9605
@chembejohn9605 Жыл бұрын
Wa mam mkichezesha game z simba lazima mtoe red card n penat z mchongo...mwee
@mwamedypwemu6117
@mwamedypwemu6117 Жыл бұрын
mhh kocha simba mbon kama zoraki
@rajenderrobert8605
@rajenderrobert8605 Жыл бұрын
Poor Performance, poor coaching . We need Chama , Chama,Chama
@juliusjengo4164
@juliusjengo4164 Жыл бұрын
penalty gani mtu alishaotea huyu Simba ya Dubai mtabebwa mpka lini😂🤣😂🤣
@sarahtz4936
@sarahtz4936 Жыл бұрын
Nenda ukafute bas 😂😂😂😂😂😎😎😎 wivu tu mbebwe na nyie bas 😒😒
@nyandayohana1849
@nyandayohana1849 Жыл бұрын
Kumbe we hujui mpila mpuzii kweri 🤣🤣
@gnasnassary9475
@gnasnassary9475 Жыл бұрын
Kweli me mnyama ila hapo ilikuwa offside
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Жыл бұрын
Hamna offside hapo. dakika ya 2:45 inaweza kukupa uhalisia kama hamna offside hapo
@juliusjengo4164
@juliusjengo4164 Жыл бұрын
@@nyandayohana1849 duh hata ukwel wabisha bas pole Sana maana ndo hata soka hujui 😂🤣😂🤣😂🤣 endeleeni na mbeleko
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Жыл бұрын
Hamna offside hapo. pause dakika ya 2:45 inaweza kukupa uhalisia kama hamna offside hapo
@mohammedabdalla2884
@mohammedabdalla2884 Жыл бұрын
Gandisha dakika 2:28 ndo utajua kuwa sio offside
@abedimoraes8537
@abedimoraes8537 Жыл бұрын
Moira hujuiii Kanye kule
@abedimoraes8537
@abedimoraes8537 Жыл бұрын
Goli offside na goli la yanga na Azam alofunga faridi Musa ofsaid acheni ujinga kma hamjui mpira kaen pemben
@jaymoneytz400
@jaymoneytz400 Жыл бұрын
Sadio konute above
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
manula jitahidi.kua makini.golini
@godfreychristian4799
@godfreychristian4799 Жыл бұрын
Maula akiwa anafungwa magoli kama haya anawakatisha tamaa washambuliaji .awe makini na kazi yake
@f.a6043
@f.a6043 Жыл бұрын
Mjinga sana sijui anakuaje tena hata mm nimemchukia mzembe kweli
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 Жыл бұрын
@@f.a6043 anachuki na kocha
@razalomgala8935
@razalomgala8935 Жыл бұрын
Nyie mashabiki b Ndio manao haribu na ndio mnaofukuzisha wachezaji na makocha maana mnapenda kuingilia mambo ya makocha ,hivi kila shabiki akimchagua mchezaji wake anaempenda hivi itakuaje ? Basi kama makocha wanakosea wafukuzeni muingie ninyi maana mumekua kelo munaingilia majukum ambayo sio yenu.
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 Жыл бұрын
Hiyo ndio pena ya bahasha sasa haiwezekani mchezaji wa simba yupo offside halafu wanapewa pena. Huu mpira wa bongo hauwezi kukua
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
We utopolo unakusumbua, yaani mtu afanyiwe faulo ndani penalty box alafu useme uashura wenu.
@emilianamassawe5046
@emilianamassawe5046 Жыл бұрын
Uhakika kbs alikua offside Kwan hamuoni😂😂
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Жыл бұрын
#likes za #S_Ntibazonkiza💪
@mohamedihamisikaonekahamisikao
@mohamedihamisikaonekahamisikao Жыл бұрын
Sana wana chelewa san
@bigdaddy_faustinjumong4427
@bigdaddy_faustinjumong4427 Жыл бұрын
@@mohamedihamisikaonekahamisikao saaaaana
@baroseliasbaruani5123
@baroseliasbaruani5123 Жыл бұрын
Refari ni mwanasimba Pia ... yaani ni Shabiki wa Simba
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Muhimu point 3
@fatmahamadnassor5058
@fatmahamadnassor5058 Жыл бұрын
Cku zote kipa wetu anatufungixha kw kutoka toka onvo ktk goli
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Bahasha ilifanyakazi barabara!!!😢
@humphreymsengi6686
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
Mwizi hufikiria kila mtu ni mwizi kama yeye
@fra9873
@fra9873 Жыл бұрын
Goalkeeper....😳😂🤣
@allenissae3485
@allenissae3485 Жыл бұрын
Mbona hamachii mechi hiyo
@jaycodestz1304
@jaycodestz1304 Жыл бұрын
Daah wamekaa nayo kama ugal an kak poor poor 😢
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Nimeangalia kwa umakini sana goli letu la pili la penati , ilikuwa ni offside jaman
@ibrahimsanga690
@ibrahimsanga690 Жыл бұрын
Hata haikuwa offside..mpira unapopigwa walikuwa on side. Walilopokuwa wanapokea wanaonekana kama wapo offside.
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Жыл бұрын
Siyo offside hii wewe
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Жыл бұрын
Labda macho yangu sasa
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 Жыл бұрын
@@ibrahimsanga690 Ingekuwa timu pinzani imepewa hiyo pena ungesema ni bahasha. Kama unatetea clear offside kama hiyo basi wewe una ushabiki wa kupitiliza. Ungesema refa kapitiwa. Hata hiyo haikuwa rafu mchezaji wa simba alimdanganya refa
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Жыл бұрын
Angalia tena kwa umakini.
@dannypeter4951
@dannypeter4951 Жыл бұрын
Kocha hakuona Hilo asisti ya chama
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 Жыл бұрын
Na Simba nae katoa bahasha kwa refa maana magoli ya mchongo na penat ya mchongo kadi nyekundu ya mchongo Simba bila kubebwa haishindi Yanga inashinda mechi zake bila mpizani kupewa kadi nyekundu ;
@uledysultany6388
@uledysultany6388 Жыл бұрын
Kafie mbele huko muhimu 3 point
@sadikisalumu7965
@sadikisalumu7965 Жыл бұрын
Manula 😃
@mohammedabdalla2884
@mohammedabdalla2884 Жыл бұрын
Wale wanaosema offside wajitahidi wagandishe (pause) dakika 2:28 ndo watajua kuwa sio offside
@Nicolas-tz7lq
@Nicolas-tz7lq Жыл бұрын
Simba na huyu Robertinho kaz IPO....
@prosperswai490
@prosperswai490 Жыл бұрын
Manula kazingua kinoma hii mechi
@hamadihassani1628
@hamadihassani1628 Жыл бұрын
Viongoz wa simba kama hatabadilika huyo kocha kwachama hatuta kubar kamwe
@zakayomsigwa2826
@zakayomsigwa2826 Жыл бұрын
Manula Ni mshenzi
@alicenice1711
@alicenice1711 Жыл бұрын
Hivi awa ndo wale wa from Dubai ama tusubiri wengine wanakuja?
@jacksonmathayo6510
@jacksonmathayo6510 Жыл бұрын
😂😂😂🙆
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UTANIPA ILE KITU NAMESA MWENSAKE
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Mbona hujashangilia?acha ushabiki zuzuweee
@joelnikupala2560
@joelnikupala2560 Жыл бұрын
Penalty kwa simba haikufaa foul mie nimeona ulitakiwa uamuzi wa offside kwani ilikuwa offside.
@daudimadeha3654
@daudimadeha3654 Жыл бұрын
Wengine mnapendaga hoja so kila anaye angalia mpira anaelewa ingekuwa yanga magolikipa wanaowatengea hata usinge ongea
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
NGURUWE MLA MIHOGO WEWE
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Жыл бұрын
Hamna offside hapo. pause dakika ya 2:45 inaweza kukupa uhalisia kama hamna offside hapo
@stanastana3199
@stanastana3199 Жыл бұрын
Manula atoke simba
@johnsnoop7652
@johnsnoop7652 Жыл бұрын
Penati ya ofside
@mbalaleshalif8892
@mbalaleshalif8892 Жыл бұрын
Kwasasa kumuamini manula kwenye mechi muhimu Kama hizi nisawa na kumwachia nguruwe shamba lako la mihogo.hutolikuta salama.😀atafutwe goalkeeper mwengine2
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 Жыл бұрын
MANULA HAUPO SIRIOUS KM DIARA WA YANGA. ULITAKIWA KUIANGALIA HATA BEKI YAKO HAIKUWA VIZURI HIVYO UNAPASWA KUTOKAA NA MIPIRA MARA NYINGI NYUMA. M. OTTARA KIUKWELI KWENYE KUBEKI DAAÀ HAAMINIKI MUDA WOWOTE ANACHOMESHA HAYUPO FITI KABISAAAA. HATUNA BEKI PALE
@athumanimdaki2847
@athumanimdaki2847 Жыл бұрын
Kila siku tutakua tunalalamika kuwa league yetu haikui,,kwa style hii dah,,yan red card ya mchongo py penart ya mchongo coz wachezaj wa Simba walikua wameshajenga kibanda in short ilikua offside
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 Жыл бұрын
Ww penart ya geita umeiona ile uliyoopewa
@Robbym936
@Robbym936 Жыл бұрын
Imesha 2_2 ety fundi😂
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 Жыл бұрын
Kwaiyo tufanyaje sasa
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 Жыл бұрын
mohamed hussein alikuwa offside Sakho pia offside sawa Sakho kaenda kuusumbua mpira mpaka anaenda kuugusa mohamed hussein ule mpira yule beki anakuja kucheza na mwili refa ndio anaona penati kwa hili refa 100 per cent ameshindwa sawa twende kwenye goli la sakho faulo imetokea kule namba tatu kwa beki wa mbeya city mshika kibendera kaona ila kauchuna ule mpira mara ukaguswa ukamfikia kibu kibu katoa v pass ikapotea ile lkn ukamgusa beki wa mbeya city umemtoka ndio sakho anakutananao kupiga himo twende kwenye card nyekundu ile sio faulo ya card kwasababu wameenda wote juu ktk kupiga kichwa wamegusana Ok ktk kushuka yule beki wa mbeya city kashuka na konga sasa card hapo inatokaje wakati mpira ni wa kusimama hupo 50,50 Sakho ni mchezaji mzoefu pale kajidondosha tu na refa naye msimbazi na yule wa nje naye yuda mshika kibendera naye yuda basi shamba la bwana kheri na mbuzi ni wa bwana kheri sisi tunasema hiviii endeleeni hivi hivi ila tukikutana tucheze kamili kusiwe na hizi mambo za red card mtatueleza kwann fei toto mumemdanganya kawa mwana mpotevu 🏆💛💚💪🇹🇿🇦🇪
@adilaadila1128
@adilaadila1128 Жыл бұрын
@@hassanparamana2215 hahahah nimecheka lazima tuwavalie Jez nyeuc
@christophermanyaku1390
@christophermanyaku1390 Жыл бұрын
Chama angebaki wangefungwa
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 Жыл бұрын
Aishi kapewa bahasha
@micamathew2595
@micamathew2595 Жыл бұрын
Manula huwa anafungwa kirahisi cjui!!
@wltrmakere8250
@wltrmakere8250 Жыл бұрын
Huyu kipa ni choko..’
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
TATIZO LA WANAWAKE KUAMUA NDO HILI... WANAAMUA KWA HISIA...
@chacha-255
@chacha-255 Жыл бұрын
Maisha msimbazi yameanza kuwa magumu mpango wa kuapooza wachezaji kuwapeleka dubai ili wasidai mishahara umefeli, Manula kaona ajiongeze tu kaenda kubeti
@eliaskahory7116
@eliaskahory7116 Жыл бұрын
Hakuna pila Dubai hapo labda Pira kubebwa. Penart ya Mtu Alie offside. Mmmm hakika mna bahat na refarii wa kike.
@livinusmlingoti
@livinusmlingoti Жыл бұрын
Wachezaji jamani ongezeni ufanis
@aginesaemanuel4025
@aginesaemanuel4025 Жыл бұрын
Hawaaa marefaa
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 Жыл бұрын
Aishi Manila nae kapewa bahasha!!!
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Kuna muda manura anakua ni mseng* ivi ndo kitu gani amefanya apo ??
@raphaelpeter6820
@raphaelpeter6820 Жыл бұрын
manula kazid upuuz
@esterdaudi6979
@esterdaudi6979 Жыл бұрын
Hiyo dada fala nae
@reubenismail385
@reubenismail385 Жыл бұрын
Unadakaje mpira wa namna hiyo wa goli la pili?mpira huo ulipaswa ugonge ngumi ili uendeuelekeo mwingine lkn wewe unaudaka mpira huo kweli!hakuna kipa hapo,magoli yote ya simba kipa hayuko sawa
@nemeskimbe376
@nemeskimbe376 Жыл бұрын
Goli la pili ilikuwa offside
@kelvinfussi5210
@kelvinfussi5210 Жыл бұрын
Hamna offside hapo. pause dakika ya 2:45 inaweza kukupa uhalisia kama hamna offside hapo
@venasnasho4358
@venasnasho4358 Жыл бұрын
Inatokea Manula ila angetupa mbali kwa ngumi
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 Жыл бұрын
Samba loketo hapo chacha
@justinloodolaitayo2781
@justinloodolaitayo2781 Жыл бұрын
Kama Sako hapo mbele afu chama afu Moses ila kocha ate anatoa chama anaacha kibudens kweli kocha huyo ni wafimbo TU
@mupetv6381
@mupetv6381 Жыл бұрын
Mna uhakika huyu Manula ndo Tanzania One!!! Au ni TBC ONE, ukweli na uhakika!!!😅😅
@mvulanjawa6561
@mvulanjawa6561 Жыл бұрын
Km mdaka upepo wenu
@irenedavid952
@irenedavid952 Жыл бұрын
Mdaka Misha le je
@theresiakisoviated.4886
@theresiakisoviated.4886 Жыл бұрын
We embu mtaje ambae ana uwezo wake na awe mtanzania
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 46 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 4,1 МЛН