Рет қаралды 150,163
Simba SC imeitandika Fountain gate kichapo cha mabao 4-0 kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenye Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wake wa pili wa Ligi Kuu ya NBC ....
Magoli yametoka kwa Edwin Balua, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua na Valentino Mashaka.....
Haya ni magoli.....