Shukran sheikh shafii tatizo waislam wengi hatujui elimu ya zaka Allah akuhifadhi
@NaodaNaoda-du3xgАй бұрын
Ahsante sheikh kwa elimu nzuri ya utoaji Dhaka, Samahani sheik,nina maswali 2 1.kama mtu ni mkulima na shamba huwa anakodi,je kiwango chase cha utoji Dhaka kikoje 2.kama mtu ni mtumishi na anataka kutoa Dhaka kutokana na mshahara wake,je hesabu yake ni ieile ya 663000 agawe kwa 40
@IssaAbdi-r4g4 ай бұрын
Mashaallah
@mahaasintvshortclips11 жыл бұрын
Maasha Allah Shaykh Shafii for the good Explanation concerning Zakaatul Maal.
@rayt9842 жыл бұрын
Hii imenisaidia🙏
@abdulhida82913 жыл бұрын
Masha Allah tabarakalah kheri
@khadijarashidy9304 Жыл бұрын
Mashaallah subhanallah 😢😢 video ina miaka 9 halafu hamna views kabisa
@sadiqfatma3 ай бұрын
Inaonyesha jinsi gani waislaamu tunavyokwepa kuijua elimu hii ya Zakka kwani hatutaki kutoa ! Inna li(A)llahi wa innaaaa ilayhi raaji'uwwwn !
@yahyaburhan47987 жыл бұрын
mashallah
@hashilfarhan73193 жыл бұрын
MaashaAllah lakini ungeelezea aina zote kwasababu lengo ni kupata elimu maana huenda mtu akaulizwa suala na ngamia
@omarhamisi1298 Жыл бұрын
Asalaam alaykm hii zakah ya kutoa shilingi elfu tano tano, mwengine unampa elfu tatu mwengine elfu moja inaswihi kweli maana naona kama kuna ubaguzi hapo kwa kutoa zakah hiyo
@anisahamid5036 Жыл бұрын
Assalam aleikum. Jee ukuweka bank kwa fix deposit ile profit au interest utafanya nini na mwaka umefika