Huyo sheikh ni mwanazuoni mkubwa Afrika na dunia, anaweza kuongea masaa 7 na vitu vinashuka bila kikomo. Tumuombe dua Allah amuhifadhi.
@HasaniJuma-ew2kw9 ай бұрын
Hahhaahaaaha mche mola WAKO daraja la uwanawazuon sio mchezo
@rahimkarim23069 ай бұрын
@@HasaniJuma-ew2kw basi tuambie wewe tumpe daraja gani,ili na wewe uridhike na hiyo darja atakayopewa?
@ahmadsayyeed79109 ай бұрын
Allahu Akbar fundi anaongea vizuri sana Maa Shaa Allah sio kama wale wauza dawa wanaoshindana magari na majumba nampenda sana Shaikh Othman❤❤❤❤🎉
@HamisMagambo-gw6ti9 ай бұрын
Maasha-allah kwanza Shekh yupo vizuri kwenye lugha
@faizanassor63369 ай бұрын
MASHA ALLAH shukrain shekh wetu kwa kutufuza ALLAH akulipe kheri zisizo na hesabu ALLAH ajalie ndoa ya kher na vizazi vema ndoa yenye kudumu mpaka wazikane THUMMA AMIN 🤲
@MariamRamadhan-e5x9 ай бұрын
Allahumma Amiin
@zanzibar-hf7vh9 ай бұрын
Allah akupe tawfiq hakika una balagha katika kuongea kwako,Allah ajaalie na sisi tuwe kama wewe,nawewe akuzidishie ilmu yenye manufaa inshaallah
@ShafiiSoud-b3w9 ай бұрын
mwamba huyu....what a peaceful speech with Quranic - reference perfect 🎉🎉
@mjanaomari50259 ай бұрын
Sheikh Othman maalim MUNGU Akuhifadhi tunakuhitaji DRC ya mashariki
@Mody_Alriyami9 ай бұрын
Baarak Allah yaa akhuna sheikh Othman kabla ya kukushukuru wewe naimani kwa haki kumshukuru Aliye tuumba Allah Rahmaani na kuteuliwa sie binadamu zaidi wenye kurithi Ardhini, na ndie pekee aliye tulinda tukiwa na afya nzuri, na Sayyid Jibriil ndio nguzo ya hakika aliye mteuwa kumteremshia mtume wetu Sayyid wa khaatim Al Anbiaa maneno yake matukufu na akampa cheo cha kuifikisha dini pote ulimwenguni, tukathirishe kumsalia kwa wingi kila siku mtumewetu, ninavyo amini nuru yake Allah inayo tuwezesha kuona mbele yetu na kutambua rizki zetu, itazidi maradufu moyoni kwetu, baada ya shukuru zangu kwa mola wetu, nakuombeni mkumbuke anastahiki huyu sheikh Othman kwa sadaka zetu, kwa hakika yeye anajitahidi sana kwenye kukumbusha maisha ya mtume wetu Sayyidnaa Mohammad swalawaatu Allah alaihi wa aalihi mukarramiin, Mola wetu mtukufu akufungulie khazain zake hapa duniani na milango ya peponi mola atujaalie tukiwa kwenye neema zake Allah laa shariik walaa swaahiba Al Ahad Swamad,...😊❤
@shsjjdjhd96249 ай бұрын
Maashallah Amiin amiin
@KhadijaHarrasi9 ай бұрын
Mashaallah Tanarak Rahman Mungu akuhifadhi na akulinde na Mahasidi wa duniani sheikh wetu Othman Maalim Unaburudisha ubongo wetu na nyoyo zetu Mingus atubarik site Jamie Muslimin Ameen
@khamxkhamic11139 ай бұрын
Maashaallah maashaallah Barak Allah mwenyezi mungu azidi kukuhifadhi sheikh wetu
@Nora-v1m3p9 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka llah sheikh wngu Allah akuogezee elimu n hekma n afya njema
@athumanallykaita26629 ай бұрын
Aamiin
@HhRt-m5z9 ай бұрын
Mashallah Hadi raha mungu awalinde mashekhe wetu duniani na akhera
@murtadhwaidrisa49329 ай бұрын
أحسنت أيها الشيخ لقد أفدت الجلس والحاضرين والمتابعين عبر يوتب، نسأل الله أن يحفظكم ويطيل أعماركم ويكثر أمثالكم
@HusseinMohamed-jq7hu5 ай бұрын
Mashallah sheikh othman maalim nilipata mitihan nikitaka nipate no zako nikakosa ili nipate ushaur kwako
@AAA-zu1vy9 ай бұрын
Na mupendaga uy ustadh jmn❤❤❤❤
@Jiddahkhery9 ай бұрын
Mashaallah shekhe wetu Allah ukupe umri mrefu inshaallah
@athumanikhamisi33779 ай бұрын
ماشاءالله لقد وجدنا فوا ءد كثيرا
@husseinmgogo52829 ай бұрын
Nisikiapo maneno yake , ama kwa hakika ni yenye kuburudi moyo wangu. Allah akuhifadhi sheikh wetu
@hajikhamis32889 ай бұрын
Huyu ndo fund wa madaaaaah wote
@alwialhajialwi00129 ай бұрын
Masha Allah Tabarakallah ❤❤❤❤❤❤
@AishaMohamed-n1x9 ай бұрын
MashaaaAlllah TabaarakAllah
@radaonlinetv19229 ай бұрын
Othman Maalim hakamatiki.... Huu ni Moto wa Afrika
@tuahilialisalimo80549 ай бұрын
Assalam alaikum shekhe Maalim tunakuhitaji sana Mozambique
@jiongezeemaarifa14969 ай бұрын
إن في هذه الخطبة النكاح القصيرة فوائد لا تحصى للمسلمين والمسلمات عآمة و للمتزوجين و المتزوجات خاصة نسأل الله تعالى العافيه والسلامة في الدنيا والآخرة آمين يارب العالمين
@HamisiFaki-q8g9 ай бұрын
Mashallah shekh wetu
@othmanhamad78879 ай бұрын
ماشاءالله ياشيخ عثمان معلم والله اتمن ان اسمعك في الدهركله،الغةالعربيةحلواجدا،جزاك الله الخيرياشيخناوبعدالخيرجناةالنعيم.امين
@HasaniJuma-ew2kw9 ай бұрын
Mashaalllah umejitahid kuandika Ila kuna missing ya LUGHA umeteleza
@NadhraRashid9 ай бұрын
Bachu anachungulia tu hawezi kupata mualiko kama huu na kiarabu chake cha mchongo, othman anatiririka tu mabalagha kibao Allah atuekee
@SalumAlly-sv5bk9 ай бұрын
MashaAllah na mh.Rais kikwete amependeza na kanzu yake
@uthaymaanashshiraaziyy24139 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@salimmachila57369 ай бұрын
Our sheikh 🇰🇪
@mussajangwa48789 ай бұрын
Naam Sheikh Aalimul allaama Asheikh Othmaan Maalim Baaraka llaahu fiika
@mahmoudhamisi6739 ай бұрын
Maashallah ❤❤❤
@hamidtv54439 ай бұрын
Allaah akuhifadhi nizidi kunafaika na ww
@AzizaJuma-c7s9 ай бұрын
Mashaallah
@halimamohammed78639 ай бұрын
Mashallah Tabarrakallah
@HamoodKharboosh-sw4qu9 ай бұрын
Tabarak rahman Sheikh.
@MwanatumuJumaa-rj4fg9 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah
@hassanmohdally52179 ай бұрын
Fundi anaongeaa hapo sio wakina petrol kutwaa kusemaa watu angaliaa kiumbee huyyoo anatirirkaa tu
@OptimisticMoonLanding-jd2ho9 ай бұрын
Namkubali xana
@hasnayahya11569 ай бұрын
Akina petrol ulikwenda kuona huko kwao ? Nchi wamejengewa na nani? Kila kitu unawafundishwa na na shekhe au ?
@mahershadhil24939 ай бұрын
@@hasnayahya1156 yaan mnaumia na ukwel au
@arafatsaid9209 ай бұрын
katandika na kiarabu kwa warabu mashallah yuko vzr
@NuhManje9 ай бұрын
@@hasnayahya1156Hao unaowaita akina petrol unafikiri wanazungumza viarabu kama hvi vya kukariri? Hvi wakijua kiarabu wewe? Wewe kama unataka kujua hao unaowaita akina petrol ni watu wa aina gani ktk hiko kiarabu hebu nenda markaz kwake kakae siku 2 tu hlf ukirudi kuwa mkwel utaacha dharau hzi.
@chibudyside56179 ай бұрын
allah akubariq
@SalmaSalma-zv1bh9 ай бұрын
Mashaallah tabarakallah,
@saidrakwe87279 ай бұрын
Ngozi nyeusi shida sana,tuna mambo kiza….ukimsikiliza hapa utajua kama shegh anajua na kama unampinga,jitafakari
@uthmanmaalim26809 ай бұрын
nilijaribu kuskiya kiarabu cha qsassim mafuta na nikatizama kiarabu cha mwamba sheikh othmaan maalim cha mwamba kina kiara cha ndani hata maneno anayotumiaa siya kitoto
@AlfarisHongo9 ай бұрын
Mashallah
@MansourMohdhaji9 ай бұрын
ما شاء الله
@saidimtoni11489 ай бұрын
جزاك الله خيرا
@IdirisakhatibHamad-ts5di9 ай бұрын
Barakallah
@muryd69999 ай бұрын
Maa Shaa Allah 💯
@husseinalieth43469 ай бұрын
Maasha Allah
@halimamfaume19259 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@iddijumaali71929 ай бұрын
MASHALLAH
@AllySully9 ай бұрын
Mh.kikwete vp apo mmbo yapo au ndio umetoa macho tu.
Angekuja mwarabu hapa ungesikia tu lkn katoka Africa kimyaa
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
hee kivipi na wanasikiliza kwa umakini au unataka waruke ruke hapo kwenye mawaidha ya harusi kuwafunda
@ME-kb8rk9 ай бұрын
Hata mvue na nguo mzikiri uchi, HAMUWI MWARAB! Mtabakia mitwana asili zenu DUNI , MIJIKENDA Ndio asili yenu!!!
@yohana12429 ай бұрын
Acha chuki za kisenge
@ShuraimSoud9 ай бұрын
We unaongea nn?hata Bilal alikua muhabeshi mweusi lkn kabashiriwa pepo
@SulmanAli-ic2kj9 ай бұрын
Hili jamaa jinga kweli kwani watu wamesema wanataka kuwa waarabu jamani kuna mijitu haina akili kabisaaaa miahasidi
@hasnayahya11569 ай бұрын
Kwani wenyewe huko hawajui kuzijenga ndoa zao kama kuachana hata hapa ndoa nyingi hazipo ukitaka kujenga nyumba jenga kwako kwaza
@AliNgurudu-i4r9 ай бұрын
Imekuuma ndoulieee!
@SabraAbdilnasir9 ай бұрын
Hujijui hujitambui kabla hujaongea tafakari lakini Hulaumiki allah atuongoze kwenye haki
@HadiaOthaman9 ай бұрын
Allah alisema huu ni UMMA BORA kwasababu ya kukumbushana ssa tatizo.liko wapi
@sabihaibrahim1439 ай бұрын
hasbiyallahu waniimal wakiil
@salehkhamis-ob8ln9 ай бұрын
Duh we utakuwa una stress zako unamalizia hapa
@iddijumaali71929 ай бұрын
SAYAQUUL YUKO SAWA SIKUSIKILIZA VIZUR
@saidtembele30709 ай бұрын
Vipi Muft Zuber angetoboa hapo kweli 😂😂😂😂
@seifseifmohamed71189 ай бұрын
Fanya nidhamu juu ya watu na makamu zao
@myunaniniahmad64639 ай бұрын
Ni mm 2 nimemuona kikwete hapo, au na ww umemuona?
@ahmedkhator39689 ай бұрын
Ndie yy
@saidrakwe87279 ай бұрын
Kuna watu wanauliza eti bwana Othman Maalim kasoma wapi???? Sasa hii Ndio hoja??? Sio hoja bali ni sehemu ya hasadi…hoja anajua au hajui?
@Sheba46519 ай бұрын
Hawaulizi kwa sababu hajasoma, hapana. Wanauliza kwa sababu wanaona akiwaidhi huwa anatumia akili yake sana, na si kutumia dalili toka sunna za bwana Mtume na Quran. Kwa hivyo jibu linakua anakuwa kwenye watu wa bidaa wanavyoona.
@alhilaltvonline9 ай бұрын
@@Sheba4651husda tu zimewashika
@ShuraimSoud9 ай бұрын
Wembie kasoma Mombasa na ndio alipozaliwa
@ME-kb8rk9 ай бұрын
WAPEMBA! 😂😂😂 Mipumbavu ndio mtaidanganya! Eti wa Omani nyooniii endeleeni kuota ndoto za mchana Ama kweli asili zenu duni ndio mbakie nazo hivyohivyo tu! Kenge nyie