HATMA YA DUNIA NA MANABII WA UONGO Na Pr David Mmbaga

  Рет қаралды 15,145

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 109
@elihurumaphilipo4586
@elihurumaphilipo4586 2 ай бұрын
Pr Ubarikiwe saana kwa somo lako ukweli mimi ni Mhanga mkubwa wa manabii wa uongo, ukweli unapofundisha mtu si rahisi kuelewa kama mtu hajawahi kupitia changamoto hizo za manabii wa uongo, nilipoteza ndoa yangu unaushi na mke anamwamini nabii wa uongo asilimia mia sitaki kukymbuka jamani😢😢😢
@user-fg9zg8yi8q
@user-fg9zg8yi8q 10 ай бұрын
Nimepalikiwana hili somo amen
@maelezokitabwire8855
@maelezokitabwire8855 Жыл бұрын
Namshukuru mungu kwa neema kubwa alio nipa mimi kuniokowa nakunifanya mtu mzima ambaye nime jua njia ya kweli.nime pata muda wa kucunguza biblia mimi mwenye na nime ona ukweli ndo maana namuomba roho mtakatifu aendele kuwa kiongozi wangu kila ninapo amka.nina mengi sana ila mungu ni mwema kweli.nilitoka ndani ya mazehebu nilikua nime naswa ila kwa neema kubwa nimetoka nakuamini yesu kua bwana na mokozi wangu.
@monalisajohn3029
@monalisajohn3029 Жыл бұрын
Amen pastor
@annnangunda4971
@annnangunda4971 Жыл бұрын
Amen Amen pastor it's true with your teaching be blessed
@maelezokitabwire8855
@maelezokitabwire8855 Жыл бұрын
Mimi ni mkongomani nikiwa uhamishoni njini uganda.mungu akupe maisha marefu mwalimu, na akuzidishie hekima na akili.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Ubarikiwe
@maridadi-u7n
@maridadi-u7n Жыл бұрын
Amina mtumishi, Tunaomba uandae na somo la wanawake kufundisha makanisani au kuwa viongozi
@agnessshole
@agnessshole Жыл бұрын
Hizi nizaidi ya sifa za manabii wa uongo, maan hata marafiki wapotoshaji waongo huja kwa sura hizihizii Ninaushuhuda katika hili ,mtumishi wa Mungu.
@maombijofre2302
@maombijofre2302 Жыл бұрын
Asante Sana Ubarikiwe
@dottogatuntu
@dottogatuntu Жыл бұрын
Pastor bwana yesu asifiwe kwa ajili yako,,yaani nimepata majibu ya ndoto zangu za usiku uliopita,,,nakupenda na nitaendelea kukupenda..toka nianze kukufatilia nimejifunza mengi
@judyalex1237
@judyalex1237 Жыл бұрын
AMEN 🙏🙌🙌
@ValentinKanyumba-hd8pd
@ValentinKanyumba-hd8pd Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumwa Wake, kuanzia leo nimejua njia za manabii wa uongo. jina la bwana litukuzwe. pastor usichoke kutufundisha maana mimi tangu nimeanza kuku fwatilia nimejua mengi sana, hata tabia yangu imebadilika hata nikisimama mbele kwakuhubiri ninakua na ujasiri maana nafundisha ninacho kielewa .mimi nilikujua mwaka wa 2021nilikujua kimiujiza hata mimi sielewi, Mungu kweli anajua kile kimustahilicho mtu
@pauljoackim2786
@pauljoackim2786 Жыл бұрын
Pastor: ungana na mwalimu ndacha ili africa mashariki ipate wokovu kwa jina la yesu!!
@Mwalimurama
@Mwalimurama Жыл бұрын
Amen, Kweli kabsa Mtumishi mafundisho yako ni MUNGU BABA azidi kutukuzwa zaidi maana yamenibadili si ki tabia, hata ki akili.Ubarikiwe
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Mungu okowa watu wako kupitia neno hili watu wako wafunguliwe , barikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai.
@raelsarange638
@raelsarange638 Жыл бұрын
Be blessed abundantly pastor I'm blessed too ❤
@rodahadhiambo3637
@rodahadhiambo3637 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor mungu anakutumia kufundisha wengi, Mungu atukuzwe
@JC-lk3me
@JC-lk3me Жыл бұрын
Asante sana mchungaji kwa somo hili Mungu akubariki wewe na familia yako
@dennismoses-ds4rx
@dennismoses-ds4rx Жыл бұрын
Asate sana kwamafundisho manzuri mungu akubariki
@KitaLuhe-kv4mp
@KitaLuhe-kv4mp Жыл бұрын
Amina pasta UBARIKWE SANA !!!!!!
@user-ys8wo3fs5x
@user-ys8wo3fs5x Жыл бұрын
Mtumishi nakupataje
@mariejoseenkundabantu2803
@mariejoseenkundabantu2803 Жыл бұрын
Hsante Kwa mafundisho mchunga from Sauth Africa
@everlynemoraa6214
@everlynemoraa6214 Жыл бұрын
Am from kenya.
@zlpporahgechemba3111
@zlpporahgechemba3111 Жыл бұрын
🙏🙏be blessed pastor
@zirhumanafiston116
@zirhumanafiston116 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pr David A Mmbaga
@mussahonesty9907
@mussahonesty9907 Жыл бұрын
Mungu azidi kukupa ufunuo zaidi na zaidi barikiwa sana pr
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 Жыл бұрын
Hallelujah 🙌 🙌
@jacklinepaul2681
@jacklinepaul2681 Жыл бұрын
Amen
@UserUser-gq1ir
@UserUser-gq1ir Жыл бұрын
Asante pastor kwa fundisho nzuri
@omwegaoyioka
@omwegaoyioka Жыл бұрын
Amen.
@fgdt6453
@fgdt6453 Жыл бұрын
Amina
@jackline6547
@jackline6547 Жыл бұрын
Bwana atupe hekima mtumishi nkumbuke kwa maombi naitaji hekma na maarifa ktoka kwa mwenyezi Mungu wetu
@user-bx5nc8ge6r
@user-bx5nc8ge6r Жыл бұрын
Aksanti sana mutumishi wa mungu ❤
@rehemanashon3739
@rehemanashon3739 Жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor ❤
@rebeccaonyando7214
@rebeccaonyando7214 Жыл бұрын
Amen. Nafuatilia kutoka Kenya.
@jerlaskambale5458
@jerlaskambale5458 Жыл бұрын
Asante
@UserUser-gq1ir
@UserUser-gq1ir Жыл бұрын
Pamoja kutoka Kenya/Lebanon
@lizziewangui6106
@lizziewangui6106 Жыл бұрын
yesu yuaja tena hakika,,asante mchungaji
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Nakufatilia sana pr Mmbaga nikiwaUlaya
@jigospeltv
@jigospeltv Жыл бұрын
Barikiwa mno endelea KUTOA masomo mengi ya hivi
@BarikHaonga-is1dx
@BarikHaonga-is1dx Жыл бұрын
AMENI BWANA AKUBARIKI.
@sabatomazani3456
@sabatomazani3456 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutumia vema wokovu uwejuu yetu pastor mungu akubalik sana
@jumamasele5793
@jumamasele5793 Жыл бұрын
Mimi ni muislam lakn napenda mafundisho yako isipokua sipend kusikia yesu ni mungu hapo mnakosea ila pro mbaga nakufatilia sana ww ni mkwel na hupindishi maelezo
@elienew3788
@elienew3788 Жыл бұрын
Asante sana
@enocklutonja339
@enocklutonja339 Жыл бұрын
Hakika hili ni somo jema Sana, Mungu akubariki Sana Pastor
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Жыл бұрын
AMINA
@MoleKidu-ev2me
@MoleKidu-ev2me Жыл бұрын
Ivi mchungaji mbinguni 2tamkuta yesu( MUNGU, YESU, NA ROHO WAKIWA WAMEJITENGANISHA KATIKA MAUMBO)
@yakobolusasu1821
@yakobolusasu1821 Жыл бұрын
Kwani ww hujaelewa huyo ni MUNGU kwenye kazi zake na nihiyo moja MUNGU wetu
@user-ct4ud6wn3i
@user-ct4ud6wn3i Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 Жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, Nimelielewa sana somo lako na pia kunakitu nimejifunza. Ila kuna jambo naomba unisaidie kadri Mungu atakavyo kuongoza , huku kwetu kuna mtumishi mmoja anaombea watu katika matatizo mbalimbali ila baada ya maombi kuna vitu atakuambia uvifanye, mfano atakuambia Mungu amenionyesha nenda kachimbe mizizi ya mti fulani utumie tatizo lako litakwisha, Wakati mwingine kuna maagizo atakupa ya vitu kadhaa ambavyo ataomba umletee mfano, mchanga wa katikati ya soko,kuku, chumvi na vitu kadhalika. Sasa naomba kukuuliza hivi kweli huyu ni mtumishi wa Mungu kweli? Na kama ni kweli inamaana kwa maombi tu mtu hawezi kupona bila kutumia kitu kingine? Naomba nisaidie kunielewesha maana kwa sasa watu wengi wanamfuata.
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
Ndugu yangu ukishaona hivyo huyo ni mganga wa kienyeji anayetumia jina la Yesu soma pia matendo ya mitume 19:11-17 haya mambo yanahitaji tumuombe Mungu sana maana wadanganyifu ni wengi sana siku hizi bila roho wa Mungu ni vigumu kuwatambua neno la Mungu linasema mtawajua kwa matunda yao kama hawaendi sawasawa na neno la Mungu hata walipo ya wagonjwa hatupaswi kuwaendea endelea kubarikiwa mpendwa
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
Hata wakiponya wagonjwa hatupaswi kuwaendea
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 Жыл бұрын
@@mamakhadijah2352 Inaweza kuwa kweli unachokisema, lakini nimeshuhudia akiombea watu na mapepo yakilipuka na wengine kupona kabisa, na mbaya zaidi huyu mtu ni kijana mdogo ambaye amechipukia ktk kanisa kwahiyo inakuwa ni vigumu hata watu kumfikiria kama hivyo. Jaman kama ni hivyo Mungu atusaidie vinginevyo shetan ataangusha watu wengi maana nimeshuhudia hadi wachungaji wenyewe baadhi wakimpelekea shida zao na yeye anawaonyesha miti au kuwapa maelekezo kama hayo ya kuleta vitu kadhaa na wakifata maelekezo wanapona kabisa, hiyo ndiyo sababu watu wameanza kumuamini sana.
@doreenodongo2446
@doreenodongo2446 Жыл бұрын
​@@kefasoneliakimumkeyembo1804 Huyo mchungaji kijana Hana tofauti na wachungaji wazee ambao ni wa uongo. Mtumishi wa kweli hawezi kukutuma ulete vitu ndo akuombee. Atakuambia mpige magoti muombe bila kuleta chochote. Huyo mchungaji anatumiwa na shetani wala siyo wa Mungu. Mfuatilie Sana mchungaji Mbaga. Utapata ukweli. Zaidi mwombe roho wa Mungu akuongoze. Ubarikiwe Sana ndugu.
@kefasoneliakimumkeyembo1804
@kefasoneliakimumkeyembo1804 Жыл бұрын
@@doreenodongo2446 Amen👏👏
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen 🙏🏼🙏🏼
@omegakapange
@omegakapange Жыл бұрын
Tuko pamoja pastor kaza mwendo NB: hakuna taji mbinguni isiyo na nyota from UOA
@user-hd7uf6wb2z
@user-hd7uf6wb2z Жыл бұрын
At a Mimi nimejifuza pasta
@user-cb6rh2ek1r
@user-cb6rh2ek1r Жыл бұрын
Jambo mtumishi wa Mungu, mimi ni mu congomani na niko mu DRC ila niliomba ni pate numéro yako ya WhatsApp ili ni kueleze mambo inayo nisumbua ndani ya maisha yangu ya kiroho.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍🙏
@user-gc2bs3nr8l
@user-gc2bs3nr8l Жыл бұрын
HAPPY SABBATH
@joliea2956
@joliea2956 Жыл бұрын
Mimi nlitekwa na nabii ila Mungu alinitoa nashukuru
@thepresenttruthlastdayeven3605
@thepresenttruthlastdayeven3605 Жыл бұрын
Vp kuhusu UTATU MTAKATIFU pastor unaweza sema kitu hapo
@williammollel97
@williammollel97 Жыл бұрын
Tumemzuia ndugu yetu alieambiwa atoe kipande Cha ardhi kwa ajili ya ukombozi wa ardhi yake na Mambo yake
@patrickbasil9412
@patrickbasil9412 Жыл бұрын
tuko pamoja toka moshi mjini
@carinethebosslady3722
@carinethebosslady3722 Жыл бұрын
Aisee mimi kaka yangu aliingia huko..mpaka akawa chizi alichanganyikiwa kabisa alidanganywa vingi..tuliomba na kufunga kwaajili yake..ametoka na saivi yupo salama..ila maombi yenu bado ni muhim pastor Mung amsaidie arud helaluni mwake kabla saa haijafika akamrudie Mung wa kwel .
@monicact4260
@monicact4260 Жыл бұрын
Kigali tunakufuatilia
@everlynemoraa6214
@everlynemoraa6214 Жыл бұрын
How are you pastor, you never mentioned the venue of the crusade on September.plz let us know the venue.
@simonogaro6990
@simonogaro6990 Жыл бұрын
Atakuwa kicc he'll be taking on family life,
@fridah6046
@fridah6046 Жыл бұрын
I would like him to come in nairobi
@emilibraison2410
@emilibraison2410 Жыл бұрын
Pasta ubarikiw nimegiswa kabisa
@emanuel4148
@emanuel4148 Жыл бұрын
Pastor yaani kwasasa umepoa kabisa sjui umelishwa rushwa ya pesa
@rodgersnyandusinyangwara8879
@rodgersnyandusinyangwara8879 Жыл бұрын
Vipi mtumishi imepoa,kaka labda wewe ndio imepoa
@rodgersnyandusinyangwara8879
@rodgersnyandusinyangwara8879 Жыл бұрын
Mibaraka pastor
@shukhuranpetro5796
@shukhuranpetro5796 Жыл бұрын
Tuko pamoja kutoka musoma
@daudibomani1940
@daudibomani1940 Жыл бұрын
Nasubir Sana SoMo la utatu tunalihitaji Sana mjoli
@thepresenttruthlastdayeven3605
@thepresenttruthlastdayeven3605 Жыл бұрын
mmhh hapo ndo kimbembe cha ukweli wa leo nami natamani sana apite hapo tujue hasa ukweli wake ni upi ktk somo hilo linalosumbua vichwa vya wachungaji leo
@paulpeter2108
@paulpeter2108 Жыл бұрын
Kuna nyakati kujisimamia ni muhimu kuliko kusubiria wachungaji maana imani zetu zitakuwa zinategemea watu na hapo inakua ni hatari sana kwetu wajoli wenzangu.
@daudibomani1940
@daudibomani1940 Жыл бұрын
@@paulpeter2108 Kabisa mtumishi umenena ukweli lakini Mimi nasubili SoMo hili alitoe huyo tumuone na yeye yupo upande gani maana Ni heri kuwa Moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu..
@daudibomani1940
@daudibomani1940 Жыл бұрын
@@thepresenttruthlastdayeven3605 Kabisa Yani
@veeJesus
@veeJesus Жыл бұрын
Swala la utatu ni rahisi sana kamwe hatuna Mungu watatu tuna Mungu mmoja naejifunua katika ofisi tatu.
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Жыл бұрын
Kuna mmoja alijiita nabii Elia wa kizazi Cha nne. Alisema hatakufa mpaka Yesu arudi. Alishakufa siku nyingi amezikwa Bunju na Yesu bado hajarudi🤣
@danielkilonzo-bw9zk
@danielkilonzo-bw9zk Жыл бұрын
Nakufuata ...
@carolgathoni1818
@carolgathoni1818 Жыл бұрын
Mafundisho yako Yana fanana na mahuburi ya mtume josephat Elias mwingira kutoka efatha church Tanzania, kenya tuko tune kabisa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@officialkinghimself2637
@officialkinghimself2637 Жыл бұрын
Sio kwer
@wilbertmakundi2071
@wilbertmakundi2071 Жыл бұрын
Karma Ellen white na mwenzao miller
@olgahawuor6042
@olgahawuor6042 Жыл бұрын
Amen
@GuzuraJonas-ux6yx
@GuzuraJonas-ux6yx Жыл бұрын
Angalia usije ukakataa wengine yamkini ni manabii wa kweli, maana Mungu hajasema kuwa hatotuma tena manabii, ijapokuwa wauongo pia watakuja.........!!!
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
​​@@GuzuraJonas-ux6yxabisa umenena vema tunawapima tu kwa maandiko ikiwa hawaendi sawa na maandiko tunajua ni waongo vinginevyo hakuna haja ya kuwa wabishi
@dorcusmusombi3646
@dorcusmusombi3646 Жыл бұрын
Na xaxa pastor hao watu walikufa kwa sababu ya uogo ,hatima yao itakuwa aje siku ya mwisho?kwa sababu hawakufahamu
@lydiahsarange7430
@lydiahsarange7430 Жыл бұрын
Mungu anajua mwenyewe
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 Жыл бұрын
Hata kama mtu atakufa akiwa hajui ukweli lakini anajua jema na baya kwahiyo Mungu atahukumu mwenyewe
@agnessshole
@agnessshole Жыл бұрын
Hizi nizaidi ya sifa za manabii wa uongo, maan hata marafiki wapotoshaji waongo huja kwa sura hizihizii Ninaushuhuda katika hili ,mtumishi wa Mungu.
@eltabusenzia765
@eltabusenzia765 Жыл бұрын
Amen
@alinefasha696
@alinefasha696 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@FrederickNyangweso-fe3yy
@FrederickNyangweso-fe3yy Жыл бұрын
Mungu wa mbingu na ardhi na WA baraka akubariki mchunguji David Mmbaga
@neemamgeta2955
@neemamgeta2955 Жыл бұрын
Amina
@monicact4260
@monicact4260 Жыл бұрын
Kigali tunakufuatilia
@emanuel4148
@emanuel4148 Жыл бұрын
Pastor yaani kwasasa umepoa kabisa sjui umelishwa rushwa ya pesa
@meshackhaule
@meshackhaule Жыл бұрын
Huduma hizi kwa mtazamo wa kawaida wa ki utu utaona ni kawaida sana lakini hakika kazii hii ya kufundisha maelfu ya watu katika kujua ukweli hua na ugumu mkubwa mno vita yake haiwezi kupambana kwa kibinaadam Hakika ukiweza kutafakari maneno haya utajua yakua hii comment ulioiweka ni ukorofi tu na wala sio kawaida
@joycekelvin5434
@joycekelvin5434 Жыл бұрын
Mungu akusaidie
@jitrihadarutamo2738
@jitrihadarutamo2738 Жыл бұрын
Mungu akusaidie
@fredinandvyoisaka6490
@fredinandvyoisaka6490 Жыл бұрын
Ndugu hii kazi siyo rahisi kama unavyodhani, mwenye hekima atawaombea wote wanaopeleka habari njema za wokovu.
@Worship396
@Worship396 Жыл бұрын
Amen 🙏
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 Жыл бұрын
Amen
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen 🙏
JE UMEITWA? PR DAVID MMBAGA
37:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 14 М.
KWANINI KIFO CHA YESU KINA UTATA | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:01:00
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
VITA YA MIUNGU (ACHA MUNGU APIGANE MWENYEWE VITA HII)
1:00:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 78 М.
KWANINI WENGI WANASHINDWA KATIKA MAISHA? - PR. DAVID MMBAGA
1:20:38
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:59:57
JE UNAMJUA YESU? | PR. DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
1:16:32
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.
NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU (Mungu anapoongea na wewe)
50:12
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
MAKRISTO WA UONGO NA MANABII WA UONGO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:13
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 8 М.