Amen Kwa hakika mungu Ni mzuri Na pia nimwamnifu kila nikisikiza mahubiri haya Kuna kitu kipaya najifunza hakika mungu wa mbinguni akubariki pastor Na pia akuongezee miaka mengi
@SarahSangwa-d2u Жыл бұрын
Mungu akubariki pasta tunatosheka n'a mahubiri
@marthamsacky6973 Жыл бұрын
Asante Mungu nimezidi kujengeka kiroho huyu Mungu kwangu ni rafiki yangu amenitendea mengi na namuomba anipe Hekima yakumtumikia bila kuchoka
@MARIE-iy4bx2 жыл бұрын
Ameen, nimejipata nalia,nikikumbuka vile nimerudi nyuma kufunga,😭Ee Mwenyezi Mungu, naomba ufahamu na Nuru yako iniangazie kwa Mara nyengine,angalau niache unafiki na wewe🙏🙏🙏,
@mariamagdalenamwamyalla4849 Жыл бұрын
Martha musafiri pastor mungu akubariki sana unatusaidia tulio weng na mungu akubariki sana🙏
@elifurahamnkeni2759 Жыл бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe Sana Naomba uniombee Nina shida nyingi. Ningekuwa na Namba yako ya simu tungeongea ila kwa imani nitapona
@prosmacharius7074 Жыл бұрын
Asema mpe mda mwingi Yesu utapata kila ukitakacho kiurahisi.tuanze wote Leo ndugu tuone maajabu
@paschal04tv842 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana Mungu akubariki pastor.
@JudyMihila-eo1lg Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@damaricemkanyika82932 жыл бұрын
Amen , mafundisho yako posta mbaga mungu akubariki sana nko kenya taita.
@elizabethmakaranga2182 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho unayotufundsha stayblessed mch Mmbaga
@prosmacharius7074 Жыл бұрын
Naanza leo kukupa mda wangu Yesu.mambo yangu yamegoma sababu nimeyapa mda Sana kuliko wewe
@selfaakinyi29862 жыл бұрын
This sermon is a blessing, i have a lecture who told us at his home their is not television or radio no phone to the kids, he give the books to read if tired they out to play,
@yobike9680 Жыл бұрын
Asanti sana nyumbani wa mungu kwa kusikiliza Nasumbili yako mimi niliona hapohapo mgojwa ulionisumbua sana mpaka nikama moyo . asifiwe mungu na mungu akupariki sana
@kilungumsabaha38912 жыл бұрын
Ameeen Pastor Nabarikiwa sana na Mahubiri haya nakupata vizuri kutoka Muscat 🙏🙏
Kweli mungu ni mwema Kila saa,na wakati wake ni sasa.Amina pastor.barikiwa sana 🙏🙏🙏🙏
@elizabethgodfreytondo30522 жыл бұрын
Amen,kweli bila Mungu tunafanya kazi bure
@sarahndagile9972 жыл бұрын
Amen
@mulibwabafyure158117 күн бұрын
God Bless you man of God for your good message.
@ESPERENCEGilBERT4 ай бұрын
Naitaji maombe pastor🙏🙏naumwa🙏
@MushirimaAly-j8o2 ай бұрын
Mwenyezimuungu akuweke sikunyingi
@AtimGrace-yk8sn4 ай бұрын
Akika nabarikiwa sana na ingili hii nikiwa Nairobi mutumishi wa mungu mungu azidi kukuinwa
@halimaelizabethamuli2542 жыл бұрын
Hivi mie nashukuru Mungu sana kwa kunikutanisha na mafundisho ya pst Mmbaga, kwani nilikua kwenye giza sana 🙏🙏🙏🙏
@aggywilson6984 Жыл бұрын
Ameen mafundisho yananifungulia mengi 😭ubarikiwe sana pastor🙏🙏🙏
@ellenmpemba728927 күн бұрын
Barikiwa
@DanielLuhunga-iy4hl6 ай бұрын
Barikiwa San pastor
@leilahjaye64132 жыл бұрын
Amen Nimejifundisha mengi, Asante pastor
@Petro7572 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Bwana
@robertjisandu56 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na somo hili. Barikiwa pastor
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Fundisho nzuri asante kwa kunielimisha umenisaidia sana barikiwa mtumishi wa Mungu
@margaretwanjiru9096 Жыл бұрын
Amen Amen 🙏🏻
@shijantumba31642 жыл бұрын
kuna kitabu kinaitwa THE MONEY CODE, aisee kinaelezea njia zilizowafanya wayahudi kufanikiwa katika biashara
@dennischinamo31545 ай бұрын
Kitabu hicho unacho?
@marthadaniel49042 жыл бұрын
Amen, nabarikiwe san 🙏🏾
@jacksonngusi41222 жыл бұрын
Vile Bwana apendavyo akutumie fanya kwa nguvu zako zote mpaka mwisho Bwana ameweka mafundisho makubwa juu yako nguvu zote wekeza Na Bwana Akusaidie sana kwa mfaano wa paulo
@callenonderi17082 жыл бұрын
Amen nabarikiwa nikiwa labanon
@ngolorose2 жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@robenragira1018 Жыл бұрын
Ahsante sana mtumishi wa bwana Mungu awabaliki sana
@sabinamrema5493 Жыл бұрын
Ameen Pastor nimepata moyo wakumjua huyu Mungu.
@juliuswambua51682 жыл бұрын
Amen -Thanks be to God
@PeterCharles-yc7tn6 ай бұрын
Mchungaji nimiaka miwili imepita tangu ufundishe somo hili lakin nimepata kibali kwa bwana biashara yangu imekua sana asante mungu
@MahubiriPrMmbaga6 ай бұрын
Mungu atukuzwe saaaana
@beathapontian2187 Жыл бұрын
Mungu aendele kuku tunza 🙏🙏
@froline52092 жыл бұрын
Your teachings pastor inspire me so much be blessed
@mwendapolesdachurch2 жыл бұрын
Amina.
@revocatNgendakumana-xv5um Жыл бұрын
Thank u
@crealmarwa2 жыл бұрын
Graciàs🙌
@JahlayzahEbrahimovc8 ай бұрын
Uzidi kubarikiwa mola
@mosesmasamaga693019 күн бұрын
Mchungaji habr ya hasbh,umenisaidia kwa fungu la wapeni watu vitu.barikiwa mchungaji
@adarashidi81782 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@jerlaskambale5458 Жыл бұрын
ASante kwa mahu
@samwelgidion34012 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@abilityemmanuel30002 жыл бұрын
Pastor David mbaga,, samahan siku ukipata muda utuewekee sawa hali hii ya waadventsta kusherekea mwaka mpya limekaaje tusaidie
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
kzbin.infoM_9N3GilTmU?feature=share
@nicepallangyo1860 Жыл бұрын
Mimi nataka niongee na pastor moja kwa moja lakn nashindwa kuchukua namba
@upendotv27762 жыл бұрын
Niukweli kbisa ukipumzka unpta nguvu
@peninamwailunda88132 жыл бұрын
yaani mch. umenena
@charleskibugachannel22102 жыл бұрын
Amina
@glorialaizer9450 Жыл бұрын
Masaaa 6 yanatosha kulala
@peterdavid201495 ай бұрын
Kila kitu tunachofanya ni cha kiroho kweli kabisa. Kuna kipindi nilitafuna kwa mambo ya hovyo kabisa pesa ya ujenzi ili tutoke kwenye nyumba ya kupanga. Nikahisi hii si jambo la kawaida ilihitaji Mungu anisaidie. Nilipoomba nijenge, haraka Mungu alijibu ndani ya mwaka tu tulihamia. Baada ya mwaka Mungu alinioneshea, akaja mtu wa nyumbani akatamka tu akasema sikutegemea kama huyu jamaa atafikia hatua hii. Na akaropoka tena kwa rafiki yangu akasema huyu jamaa simwelewi mwelewi ile nguvu kapata wapi. Rafiki akamwuliza nguvu gani? Akajibu kwa ufupi tu yule mke wake huenda ni mchawi ndiye anayemsaidia.......
@PamelaMonyangi10 ай бұрын
ninajekwa naomba maombi
@BonfaceChacha-md2ux Жыл бұрын
Mchungaji niombee nipate utakaso wa roho mtakatifu pamoja nipate cheo cha kuwa mibaraka kwa ndugu zangu ...pia niweze kupata kazi mji wa Nairobi ..sema neno pastor nipate mbaraka wa ibrahimu
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Mungu akutendee muujiza
@rahimajuma53062 жыл бұрын
Ameen
@EstherLushino Жыл бұрын
Pr naomba no yako ya. Cim yako ya Sasa tafadhali
@EutropiaDuwanghe5 ай бұрын
God bless you uendeleze kazi yake
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Nashukuru mchungaji kwa kunipa akili ya chakula Cha roho
@veronicajimisha612 жыл бұрын
Ninajifunza
@Wenyehekima2 ай бұрын
Hizi siri za ufalme wa Mungu nahitaji kuzielewa
@UncleJonah-h8l Жыл бұрын
Nilikuwa nimetanga mbali nawe Yesu Narudi nisaidie kuyaelewa haya na kuyafanyia kazi
@chagamammbaga34572 жыл бұрын
only point is to belive in GOD
@marsellah92952 жыл бұрын
Niko hapa nakufuatiria kutoka saudia
@hellenratemo28132 жыл бұрын
Amen
@bukurujoseph37862 жыл бұрын
Amena baba
@nazieleliakimu3625 Жыл бұрын
++
@damariskimaiga3642 жыл бұрын
Thanks 🙏🙏 for inspiration massage pastor kindly assist me with your number Damaris from Kenya.
@MARIE-iy4bx2 жыл бұрын
Ameen, nimejipata nalia,nikikumbuka vile nimerudi nyuma kufunga,😭Ee Mwenyezi Mungu, naomba ufahamu na Nuru yako iniangazie kwa Mara nyengine,angalau niache unafiki na wewe🙏🙏🙏,
@sarahmusa4779 Жыл бұрын
Nabarkiwa na mahbir amina pastor
@mosesmasamaga693019 күн бұрын
Mchungaji habr ya hasbh,umenisaidia kwa fungu la wapeni watu vitu.barikiwa mchungaji