Utawezaje kutambua kanisa la kweli kati ya makanisa mengi ambayo kila moja hudai ni la kweli?
Пікірлер
@robinedson7 жыл бұрын
Wakati Fulani nikiwa katika mafunzo ya Kijeshi katika chuo cha Mafunzo ya Kijeshi katika Mkoa mmoja hapa Tanzania tulikua tukikusanyika wakati wa jioni kujifunza neno la Mungu pamoja na kutiana Moyo ili tuzidi kua wavumilivu wa kiroho na kimwili....nilikua na redio yangu ndogo ambayo Nlikua naweka memory card ambayo nilikua nimejaza mafundisho ya Roho na Unabii....wanafunzi wenzangu walikua wakisikia mahubiri haya walikua wakinisihi tujifunze zaidi kuelewa maana ya Unabii.....hakika Nlikua najiona mwenye furaha kwa sababu ya kueneza injili katika maeneo magumu kama pale tulipokua.... Changamoto kubwa tuliyokutana nayo ilikua ni kuzuiwa kufanya ibada siku ya Sabato pmj na kukutana kila siku jioni....mkuu wa mafunzo alitufata akatuonya huku tukiitwa watu wenye machafuko ya kidini....wachache walisimama na kukubali kuendelea kueneza neno...tulizidi kukutana chini ya miti tukilisifu neno la Mungu....wakati mwingine tulikua tukienda kwenye makanisa ya kipentekosti tukilihubiri neno kupitia nyimbo..... Namshukuru Mungu tulifanikiwa kumaliza mafunzo Salama..... Asante sana Mchungaji Mmbaga kwa mafundisho yako.... Amina
@lusanikaseke41173 жыл бұрын
Mungu anaweza yote hakika
@jeikary87678 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@philipomasatu-lr9hf5 ай бұрын
mungu aendelee kukutumia tuzidi kubarikiwa
@mossesjoseph22024 жыл бұрын
Kwa uwezo wa Roho Mtakatifu leo hii nimejifunza na kuelewa mambo mengi magumu kupitia mafundisho yako, hakika wewe ni mtumishi wa Mungu aliye hai.
@mwakasamuelnyiro65595 жыл бұрын
Amina na Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa haya MAFUNZO uliyotumwa na MUNGU kunena nami. Nimeguswa sana na nimebarikiwa.Nimefunzika na kuonyeka sana. Ni ombi langu,NEEMA YA MUNGU INITOSHE
@evaanthony81067 жыл бұрын
Pastor Mmbaga karibu sana Udom cive kwa mafundisho, maana ulinipa nguvu ya kumtumaini Bwana toka kipindi kile.... ( kuokolewa kwa neema)
Mungu aKubariki muchungaji baada ya kusikiliza somo hili nimejifunza jambo jipya kirohomm ni mkenya na kufuatilia kutoka qatar neno la Mungu ni taa na kiongozi kwa maisha yangu
@clarencemushi76023 жыл бұрын
Bwana Yesu akupe nguvu daima cku zote za maisha yako pastor kwa kuwa unatembea na roho mtakatifu kwa uaminivu
@moseskayan37056 жыл бұрын
Hakika si wewe unaefundisha Bali mungu aliye ndani yako
@maureenjovial62374 жыл бұрын
So powerful amen amen nabarikiwa sana kutoka Saudi Arabia God bless you mchungaji
@dadarehema7 жыл бұрын
Mungu atusaidie somo limeeleweka ipasavyo,Barikiwa mchungaji Mbaga!
@hezekiamhapa73954 жыл бұрын
Kanisa la kweli la Mwenyezi MUNGU lipo tuyachunguze maandiko !! Asante mchungaji
@magnifiquentkrtmna3205 жыл бұрын
Asante unanifundisha kbs wametufica sana. Kwanini hawasemi ukweri jmeni
@AminaMwachise5 ай бұрын
Barikiwa pastor
@estharlovely62022 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji na Mwenzi MUNGU akulinde
@waryobanyansambo19774 жыл бұрын
Mwenyez mungu watie nguvu wale wasio jua wajue walete kwenye njia ya kwel
@masungasitta74707 жыл бұрын
Pastor mungu akubariki sana kwa mafundisho yako mazur niko kwenye pumziko Jema yaan sabato karibu tufurahie sabato njema
@elimikasauti9tv2477 жыл бұрын
very interesting sermon ubarikiwe pastor,, Mungu akuhifadhi umalize jukumu alilokusudia la wewe kuumbwa ktk ulimwengu huu wa Dhambi
@princesegilolasamo27763 жыл бұрын
Mwalimu nakukubari sana sana sema kuna tatizo! Na sina uhakika kama ujui kweli au la! unafanya makusudi, jua kwamba wewe ni mwalimu na unafundisha wengi sana karibia wasabato wa dunia nzima waelewa kiswahiri wanasikiliza mafundisho yako na hata ambao siyo wasabato wanatarajia ukweli tofauti na uongo waliowai usikia huko walipohukataa, sasa mwalimu unawafundisha watu kuhusu jehova na unawaombea kwa jina lake je, ni kweli ujui nini maana ya jina jehova? Au kwa sababu imeandikwa kwenye biblia basi na sisi tumtaje tu bila kuoji? Unawafundisha watu kuhusu yesu na mitume PAMOJA NA WANAFUNZI wake ni weupe je, ni kweli ujui kuhusu historia ya maraika 19 waliomuasi MUNGU na kuja kufanya machukizo hapa duniani? Ninamaswali mengi sana naitaji kukuhuliza mwalimu sema kwanza nilikuwa naomba unijibu aya machache tu kutokana naitaji ufahamu zaidi kuhusu hili. ......thxs
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Pangilia maswali yako vizuri. Swali kwanza la pili na kuendelea ndipo nianze kujibu
@mlebingechamcham96317 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu maana unanibariki
@mikeruwa35985 жыл бұрын
Wewe si pastor wa kawaida....Ur annointed by God
@monniekevin93033 жыл бұрын
Asante mtumishi nimefahamika zaidi
@judithcherono25956 жыл бұрын
Asante sana pastor, nimebarikiwa sana Mungu akubariki,Amina
@peterkinysi18433 жыл бұрын
Hayo mafundisho nayaelewa vizuri kuhusu utabiri wa kinabii kuhusu mpinga kristo. Mimi ni muanglikana na history kuhusu makanisa naijua vizuri. Mimi nipo tofauti nkuulize swali, kwa imani yako, je wasio wasabato wataenda motoni, na walio wasabato ndio watakao enda peponi. Matendo yetu ndio yata hukumiwa dhehebu halitupeleki peponi au motoni. Kwhiyo ninyi ndo mpo safi.
@lugembezenzele65552 жыл бұрын
Ushajijibu mwenyewe,kuwa msabato sio ticket ya kwenda mbinguni
@dorcasmkasiti53127 жыл бұрын
AMEN mchungaji ninawafuatilia sana nikiwa hapa Oman, nabarikiwa sana na haya mafundisho songambele mtu wa Mungu
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
Mungu akubariki sana. wasalimie watu wa Oman
@dorcasmkasiti53127 жыл бұрын
hapa Oman kinaeleweka lazima falme za warabu ziwe falme za mwanakondoo
@denismodest15405 жыл бұрын
@@dorcasmkasiti5312 piga kazi ya Mungu huko oman
@yusuphkishegena5964 жыл бұрын
Amina wasalimie huko oman
@barakamtabwigwa17263 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga mchungajii naomba namba zako
@deone7287 жыл бұрын
Barikiwa Sana Pastor
@janetkahada52065 жыл бұрын
Amen ubarikiwa muchungaji
@almabeatrice20827 жыл бұрын
Oh Mungu wangu tuende wapi sisi tuangalie maana kimbilio letu ni wewe. Ubarikiwe sana mchungaji nimeguswa sana ... Eee bwana niangalie na mimi.
@alexamos92997 жыл бұрын
.ubalikiw past umenia nguvu zaimani
@EmmaMzalendo6 ай бұрын
Amina
@marysteven35433 жыл бұрын
Mungu akutangulie pasita,unatufundisha mambo mazito 🙏🙏🙏
@augustinokaguotv22455 жыл бұрын
wewe kama huamini amri kumi za Mungu kwenu dhambi ni ruksa ufunuo 14:12 hapo ndipo penye subira ya watakatifu washikao amri za Mungu na imani ya yesu Ufunuo 12: 17; joka akamkasirikia mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake washikao amri za Mungu na ushuhuda wa yesu naye akasimama juu ya mchanga wa bahari wewe shupaza shingo
@zacharianziku3605 жыл бұрын
Nabarikiwa San juuu ya mafundisho yako naomba umiombee walau na mm niwe km wewe Maan Nina huduma hy mwalim na mch. Mmbaga
@ovidiokibuga10865 жыл бұрын
Kuwa kama yeye haiwezekani ndg,hata kama utakuwa Mchungaji utafikia Edge yako na yeye PR atafikia kwenye edge yake
@magdaelisa11203 жыл бұрын
vipaji tulivyo pewa tuvitumie. Mwenye
@Diana-qx5qf2 жыл бұрын
Mimi ni rhoda niko saudia neno lako linanipa kufu god bless you pastor
@moseskayan37056 жыл бұрын
nimelewa safi kabisa umenifanya nimjue jesu mpaka nalia nikiandika coment hii mungu akuongezee ujasiri
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Mungu akubariki saaaana,uendelee kukua katika neema
@moseskayan37056 жыл бұрын
Amina na iwe hivyo kama mungu atakavyo yeye
@nezerinejuma5510 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@myself41283 жыл бұрын
Hivi Nyie mnang'ang'ania mafundisho ya sheria zilizowahusu wayahudi mpaka lini???kabla.Yesu hajafa msalabani Tulikuwa tunaishi chini ya sheria lakini ALIPOFUFUKA HATUPO TENA CHINI YA SHERIA,SOMA WAGALATIA 3:24..Sheria ilikuwa ikituongoza kabla ya Yesu kuja, soma WARUMI(ROMANS) 6:14 FOR SIN HAS NO POWER OVER YOU,Hatupo tena chini ya sheria!! Biblia inasema mtu na asiwahukumu kwa SABATO(WAKOLOSAI 2:16) sikukuu wala mwandamo wa mwezi, Tumche Mungu kila siku tuishi kitakatifu kilasiku ila lazima tuwe na SIKU YA MAPUMZIKO WEEKEND!YESU NDIYE BWANA WA SABATO,BIBLIA INASEMA HAKUNA ANAYEWEZA KUHESABIWA HAKI MBELE ZA MUNGU KWA KUFUATA SHERIA HAKUNA!!!!!!!!!!!Wagalatia 3: 11 ni kwa imani Tu tutamwona Mungu!!!
@lusanikaseke41173 жыл бұрын
Mungu akusaidie utambue kua Ufunuo pia ni kitabu cha agano jipya ba kilisimuliwa na kuandikwa na mtume na nabii yohana aliye kua mwanafunzi wa Yesu na pia ufunuo huo aliupokea kutoka kwa malaika ambae alipewa na Bwana wetu Yesu kristo ilitupate kutambua mambo yaliyopo sasa. Mafungu uliyosoma ni sahihi lakini Roho mtakatifu akufunulie uyaelewe kwa kina na kumbuka hili; Njia ni nyembamba nayo imesonga iendayo uzimani waionao ni wachache, lakini pia njia ni pana iendayo upotevuni waionao ni wengi. hivyo tafuta kuzishika sheria ukiwa na imani ya Yesu, isikuchanganye; hatuokolewi kwa sheria ila kwa neema.
@lusanikaseke41173 жыл бұрын
kama sabato yaani pumziko takatifu sio dhambi vp kuhusu kua na miungu mingine na kujifanyia sanamu na kjziabudu??? habari gani kuhusu kuzini na kuua na kushuhudia uongo??? nukuu maneno ya Yesu katika Mathayo 5:17... alisema: msidhani ya kua nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kuitangua, bali kuitimiliza 18 kwa maana, amini, nawambia, mpaka mbingu na nchi zitapoondoka, yodi moja au nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. 19 basi mtu yeyote atakaye vunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni.) basi uelewe Yesu hakuipinga sabato bali alitufundisha kuitunza yana kutenda mema na kusaidia, pia kuponya na kuinua siku ya sabato na ndo ulikua mgogoro wake na wayahudi. na pia Yeye ndiye Bwana wa sabato yani aliye atoa amri na katika yeye tunapata pumziko la kweli na uponyaji. basi
@arogiusprosper77607 жыл бұрын
pastor nabarikiwa sana na mahubiri yako Mungu akutie nguvu
@agneskatuma35736 жыл бұрын
hongera sana mchungaji uko na hekima sana
@samueljr91056 жыл бұрын
Kanisa hizo za kuabudu dhahabu zina wenyewe kina "(DEVI)" MAY GOD OPEN THEIR MIND IN JESUS NAME
@winnieesther14235 жыл бұрын
Nimfurai sana mchungaji ni siku yangu ya kwanza kukuskia ila nimebarikiwa,,,watching from Saudi Arabia 2019
@mathayofelix32355 жыл бұрын
Winnie Esther barikiwa Sana
@barakamtabwigwa17263 жыл бұрын
@@mathayofelix3235 unaweza nipatia namba ya mchungajii mbaga
@miriamquite76655 жыл бұрын
Thank you pastor 🙏🙏
@joshuamartin6916 жыл бұрын
Amen By Peter Japheth Ngulu
@mapendoimani24626 жыл бұрын
Salvation is more what is in your heart than what is your Head.
@medsonmgallah67606 жыл бұрын
mungu anaona mi mkatholiki pyua
@gracezunda88045 жыл бұрын
Njoo musoma uongoe waliorudi nyuma nawengine pia pastor please please njoo kanisa la pwani
@jamessiwakwi46957 жыл бұрын
Amina! Sana
@hopeuwera29476 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@calebumanganyu72787 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana'a na mahubiri haya
@augustinokaguotv22455 жыл бұрын
Barikiwa poster
@vitalesikagi34755 жыл бұрын
Ubarikiwe wewe na BWANA
@JohnJoseph-my2zq7 жыл бұрын
hongera sana mchungaji
@ibrahimthabit61875 жыл бұрын
Paster nahitaji kubatizwa
@tumainvedasto Жыл бұрын
Ni kweli lakini watu vichwa havina nywele yaani akili
@mashishangahumbuyu53786 жыл бұрын
Pr ubarikiwe sana
@amanimwidowe94086 жыл бұрын
Mbaga Mungu akupe umri mrefu uinue na walio lala amina
@gloriakiangi58075 жыл бұрын
Amina mungu azidi kukutumia
@osianamwambisi64676 жыл бұрын
Kweli kabisa mchungaji! Mi ndo msabato kwa sababu nakubali biblia yote ya ukweli amri kumi za MUNGU na imani ya Yesu kristo
@mapendoimani24626 жыл бұрын
Bibilia ni moja tu Tafsiri ndiyo ipo tofauti kulingana na tamaduni na lugha iliyo tafsariwa na walio Tafsiri.sasa watu wengi sasa wanawasikiliza viongozi wao wa Dini kuliko kumsikiliza Roho Mtakatifu.
@lusanikaseke41173 жыл бұрын
we unaielewa vipi
@jimmylukas12097 жыл бұрын
nabarikiwa mno
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
lilikua linsemaje
@mjeshiayubu78585 жыл бұрын
Nic iko poa
@kisoimunyithya38932 жыл бұрын
Pastor can you teach about the doctrine of trinity?
@japhetkabogo16106 жыл бұрын
Hizo DVD zinapatikana wapi kwa hapa mwanza
@davisrotich1165 жыл бұрын
somo limenijenga mno
@sadickmponyamili70707 жыл бұрын
KUNA SOMO NILILISIKIA JUZ KAMA TAREHE 25 AU 26 AGUST NILKUWA USINGIZINI KUTOKA REDIONI SIJUI NDIO HILI ILA SILKUMBUKI LKN NALPENDA SANA KM MKILIPATA NDG KTK KRISTO NAOMBENI KULPATA PIA #MUNGU ATUSAIDIE SANA WAPENDWA
@samuelpeter69645 жыл бұрын
Vipi kuhusu hicho kisanamu sijakielewa
@maitretv76036 жыл бұрын
Mungu yupo kazini kwani tunaishi wakati wa udanganyifu kuu; kama vile ulimwenguni kila mtu anataka awe rais wa Jamhuri, kanisani pia kila mtu ana huduma. Unabii, ndoto, na maono zatokea huko na kule kwa kugawa huduma. Wanaongeza kazi ya wanawake hadi mimbarini. Jina la Bwana Yesu Kristo linafanywa kuwa biashara, makesha za maombi zimepangwa mwisho wa kila mwezi. Watu waliyo anguka kutoka neema, wanao ngojea jehanamu wao ni watumishi wa Mungu. Wana wa mapepo! Kuna mambo mawili ya kufanya: Ao muonyeshe wazi wazi kwamba mimi ni katika kosa na ninajiunga nanyi wala basi muyatambue makosa yenu mbele ya watu wote na nifute masinagogi zenu. Kila mara ninaona mambo namna hii. #ProphetKacouPhilippe www.philippekacou.org goo.gl/s1X3WY
@geraldjozee78136 жыл бұрын
Amen
@laurentieliasi24964 жыл бұрын
Mchungaji kama utauona ujumbe huu tafadhali naomba unieleweshe au kama yeyote anafahamu naomba anijuze kuna tofauti gani kati ya zaka na fungu la kumi?
@GuillaumeLumande-j3d Жыл бұрын
👀🤔🙏
@amanimwidowe94086 жыл бұрын
unasema ukweli
@kelvinnyagah24947 жыл бұрын
Be blessed Amen
@cishahayoeliemoses63594 жыл бұрын
Apa mimi ninaswali,mbona makanisa mengine kuna ucaguzi unafanyika
@drostaflorian79705 жыл бұрын
AMINA
@fortnataangelo48055 жыл бұрын
Jamani naomba kujua ,sasa huyo kahaba, anazaa mabinti wastaarabu, au makahaba kama yeye,,,
@angelinakessi19925 жыл бұрын
Anakuwa na tabia sawa na huyo kahaba,
@amanimwidowe94086 жыл бұрын
amina
@janetkahada52065 жыл бұрын
Mbona hata siku ya MUNGU alitakaza hukuangali kwa mandiko?
@jonasjoe36237 жыл бұрын
Mch mbona nyuma yako kuna sanamu kama limeshika mkuki,kwani haulisafishagi?
hiyo sio sanamu ni picha iliyobeba ujumbe wa vita tazama kwa makini utaona mkono ulioshika kombeo na jiwe kwenye kombeo na fimbo mkono mwingine halafu yachunguze maandiko upate neno
@eliadajustus5556 жыл бұрын
pastor naomba unisaidie fungu linalosema tuimbe bila kucheza
@denismodest15405 жыл бұрын
isay 65:5na uangalie referenc chini ya biblia kwenye ukurasa huohuo
@drostaflorian79705 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@samoramagafu51617 жыл бұрын
asante kwa mahubiri lakini ukweli utabakia ukweli tu Yesu ambaye ndiye neno la Mungu hakutuambia tushike sabato, Mt 17:5, ujuzi huo wote wa maandiko ni porojo tu 2 kor 3:6. na kichwa cha kanisa ni Yesu, weak doptrine pastor mbaga.
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
Samora Magafu Mathayo : Mlango 24 20 Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. Unaweza kunisaidia andiko hilo lina maaana gani?
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Yesu anaposema Mimi ndie Bw wa sabato ana maana gani? Na alipomwambia yule alietaka uzima wa milele kwamba je wazijua sheria alimaanisha nn?
@adventisthope24547 жыл бұрын
Naomba maendelezo ya mitume walivyofariki
@mo-zillah56836 жыл бұрын
pastor mmbaga, mi nataka kuwa pastor nami napenda sana kufundisha.unaweza kunisaidia mtumishe wa Mungu-namba yangu 0743054879 na 0743774573 nisaidie tafadhali
@edwardmamuya80665 жыл бұрын
Kanisa la Mungu ni moyo wa Mwanadamu. Makanisa mengi unayotaja hayajaacha kutekeleza amri 10 za Mungu.
@annastaziamaternus13736 жыл бұрын
majigambo 100 100,waadventista ninyi injili yenu imejikita Sana katika sheria , siku na kuwatoa waliokwishamwamini Kristo katika makanisa yao, ila injili ya kumfanya mtu ambaye hamjui Bwana amjue mmeshitupilia mbali, yaani mnavua samaki Katina madiaba ya wenzenu na kuwaamishia kwenu, why msiende baharini mkavue ,huu ujanja utawapeleka jehanamu Ohoooo
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Annastazia Maternus Pole sana. Nadhani umetuelewa vibaya. Angalia masomo mengine pia
@donaldmwahalende48415 жыл бұрын
Wewe beba maswali yako tukusaidie fuata ukweli
@danielmkama46365 жыл бұрын
Annastazia Maternus dada hili somo haujalielewa ukielewa na ukasoma biblia utapata nuru ya kweli mchungaji anatumia mafungu ndani ya biblia uongo wake uko wapi
@yusuphkishegena5964 жыл бұрын
Acha kuhamak hayo n. Mafundisho2
@yusuphkishegena5964 жыл бұрын
Na inaonekana huyo dada biblia hua haisom au kama anaisoma Kama Gazet lakin akiskiliza vizur ataelewa hapo hakuna uongo
@matthewglory28776 жыл бұрын
Mchungaji unapatikana wapi??
@samoramagafu51617 жыл бұрын
msisitizo uliowekwa kuhusu sabato katika agano la kale na vzito wa hoja yako hiyo bado ni dhafu sana.
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
Ipi hasa?
@annastaziamaternus13736 жыл бұрын
Ukitafakari kwa kina ninyi wasabato mmekalia kiti cha Musa kuwahukumu wenzenu ,mafarisayo wanaishi. mmezikazania sharia lakini hamzishiki, sabato za miezi na miaka mnazitunza? kwa washika amri inatakiwa Kama ni mkulima ulime miaka sita, ila mwaka wa saba upumzike, wasabato hii mnaishika? au ndo sheria kidogo na neema kidogo.
@geofreymsigala91816 жыл бұрын
Ukitafakari kwa kina nikweli.....lakini ukisoma biblia kwa kina utabaini hayo unayoyasema si kweli, Mungu akubariki uwe msomaji mzuri wa maandiko bila kutetea msimamo au dini yako!
@richardcastro23866 жыл бұрын
Hua Nashangaa Uki like post ina futika
@leonardkayolo73146 жыл бұрын
Samahani sana mchungaji, naomba kama utaipata SMS hii, naomba unitumie namba yako kwa email hii. leonard.kayolo@gmail.com
@madolaclassic92476 жыл бұрын
Wapendwa katika Kristu, ukweli utabaki kuwa ukweli tu! Yesu ndiye mwazilishi wa kanisa na yeye ndiye kichwa cha kanisa.kanisa haliwezi kumzaa Yesu,na Yesu mwenyewe aliacha kanisa moja tu! Nalo ni kanisa takatifu katoliki la mitume na alimchagua petro kuwa kiongozi wa kanisa.mengine ni madhehebu Tu! ambayo watu wenyewe wameyanzisha,soma biblia vizuri utaujua ukweli.
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
madola classic Wapi imeandikwa?
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Je kabla ya ujio wa yesu akina yohana walifundisha na kubatiza wao walikuwa wa kanisa gani? Leta ushahidi wa maandiko ya kile unachokisema
@bahatiomenda53715 жыл бұрын
pole sana mpendwa
@notbulgajohn40824 жыл бұрын
Duuu bado upo mbali Sana na maandiko matakatifu,waomba Mapadri wakuonyeshe ushahidi kutoka Bible . Mungu akusaidie.tunaombea .
@DottoBazil-nx2cd7 ай бұрын
Tusome kitabu Gani ili tuthibitishe hayo unayoyadai?
@JohnJoseph-my2zq7 жыл бұрын
paster nitapataje hicho kitabu cha papa?
@MahubiriPrMmbaga7 жыл бұрын
John Joseph Kipi?
@barakamtabwigwa17263 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga naomba namba yako mchungajii
@grace-angeleplasseu13816 жыл бұрын
Swali: Mtume KACOU Philippe ni nani? Jibu: Kacou Philippe ni Mtume ambaye Bwana wetu Yesu Kristo aliwapelekea wote dunia kama manabii wa Biblia kulingana na Mathayo 23: 34-35. Maneno yake yana thamani sawa kuliko wale wa manabii wa Biblia. Yeye ni kama Nuhu leo. Ikiwa unakataa, wewe wamemkataa Yesu Kristo na kumtumikia na kumwabudu shetani bila kujua. www. philippekacou. org
@ngometvarusha40304 жыл бұрын
Kuna jambo linanichanganya kidogo kutokana namahubiri za namna nyingi ambazo tunahubiriwa jambo LA kwanza je mtu anampenda Mungu yesu roho mtakatifu au kanisa lake kwa sababu kwakweli kila kanisa linamsimamo wake na ina mahali fulan imeshikilia kwenye biblia na ukiangalia msingi wakila kanisa ni mwanadamu amepata maono akasambaza kwa watu akaisemea akawapata wafuasi wengi basi ikawa imani ,katoliki ukiwauliza swali watajibu kwa maandiko Lutheran ivyo ivyo waingilikana nao ivyo Pentecostal ivyo wasabato wa Jehovah nao sasa nani mkweli .
@MahubiriPrMmbaga4 жыл бұрын
WAPIME KAMA WANACHOKISEMA KINAUNGWA MKONO NA BIBLIA AU WANA LAZIMISHA BIBLIA IUNGE MKONO MAWAZO YAO?
@kelvinkimeu99746 жыл бұрын
Sheria za Musa hazina maana tens ata kidogo,,,Yesu alijumlisha sheria zote katika upendo,,,wasaboto wamelaaniwa kwa sababu wanakiburi wanajiona wao ndio watakatifu pekeao,,,Siku wala ndini hazimpeleki mtu mbinguni mbali imani aliyo nayo katika Yesu,,,punguzeni majigambo. May God forgive you and show you correct way to even is not day but believing that Jesus died for your sins.
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Unahitaji msaada zaidi nakusihi soma vitabu upate maarifa
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Umesema vema juu ya sheria za Mussa je amri kumi za Mungu nazo zilifutwa? Ambazo ndani yke mna amri ya 4 ya kuitunza sabato?
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Bw Yesu anasema sikuja kuitangua torati Bali kuitimiliza dunia na vyote vilivyomo vitapita lakini hakuna hata yodi 1 ya torati itakayo ondolewa na tena yesu ndie Bw wa Sabato
@kabaranamaganga66466 жыл бұрын
Mtu 1 alimwendea yesu akamwuliza nifanyeje nipate kurithi ufalme wa mbinguni akaambiwa je wazijua amri ?akajibu ndio nimezishika toka utoto wng !yesu kwann alimuuliza juu ya amri kabla ya mambo mengine yote ?Amri 10 za mungu hazikufutwa na zilikaa ndani ya sanduku la agano Bali sheria za Mussa zilizokaa juu ya sanduku la agano ndo zilizofutwa nakukaribisha uende popote lilipo kanisa la waadvetista wasabato na maswali yote ulionayo upate tiba ya kiroho
@notbulgajohn40824 жыл бұрын
Pole Sana Bwana Yesu akutetee na kukuonyesha kuwa ndiye Bwana wa Sabato
@elimikasauti9tv2477 жыл бұрын
very interesting sermon ubarikiwe pastor,, Mungu akuhifadhi umalize jukumu alilokusudia la wewe kuumbwa ktk ulimwengu huu wa Dhambi