Huyu mchungaji ni hazina kubwa sana. Wasabato wamelamba jackpot bingo. Mimi japo siyo msabato ninampenda sana huyu mtu. Mungu anamtumia sana kufikisha ujumbe. Huyu mtu yatupasa kumuombea ili lengo la Mungu juu yake litimie 100%.
@anetivicent86632 жыл бұрын
Mungu akubariki na wewe pia,,,,
@blackbeauty5792 жыл бұрын
Amen, tuwaombee watumishi kwa kweli
@lugembezenzele65552 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏
@adamichael82162 жыл бұрын
Amina mchungaji napenda sn kufatilia mahubiri yako unanifundisha mengi sana
@rizikiebonge96312 жыл бұрын
Amen thank you so much god bless you pastor 🇺🇸
@jimmymarwamatjr4912 жыл бұрын
Amen
@marthadaniel49042 жыл бұрын
Amen ubarikiwe mchungaji
@gadsonjohn86832 жыл бұрын
Ameni
@phinawatwego52792 жыл бұрын
Aminaaaaaaa Aminaaaaaaa
@alicesidi96012 жыл бұрын
Amen be blessed
@gracekisaka84612 жыл бұрын
Ameeen
@malkiadidoday46612 жыл бұрын
Aminaaa
@francinemukandutiye28412 жыл бұрын
Amen!! Asante sana, Mungu akubariki.
@longheesanga71822 жыл бұрын
Samahani kwa hilo
@mozesamizi9312 жыл бұрын
Mchungaji wewe mbona huwekagi namba ili watu wachangie matangazo haya?hicho kama sio kiburi part 1,basi ni uchoyo wa baraka!
@MahubiriPrMmbaga2 жыл бұрын
Tuna number ya maswali na maombi
@jonacemanyama48582 жыл бұрын
Nina tatizo la kwikwi kwa muda mrefu sasa naomba ushauri,maombi au kupata tiba kabisa
@longheesanga71822 жыл бұрын
We mwache mchungaji wetu
@jonacemanyama48582 жыл бұрын
@@longheesanga7182 haujawi kupata tatizo ndo maana unjibu unavyo taka,ubarikiwe sana ila,Mungu anaweza kumtumia mtu mwingine akaguswa na tatizo langu akanisaidia.Naona umekuwa Mungu mpaka unadiriki kusema nikuachie pastor wako!!. Asante 🙏🙏
@jonacemanyama48582 жыл бұрын
@@longheesanga7182 kila mwadamu huwa anapitia nyakati ngumu aidha kuumwa,kufiwa,au shida yoyote ktk wakati wowote,eti nikuachie pastor wako!! Sawa,ila najua mwadamu hajawai kuumba mtu akawa nafsi hai ila kwa mara ya kwanza unanishuhudia ilo,uko vizuri,basi kwakuwa wewe ni Mungu niponye wewe ili nisimsumbue pastor wako.👏