UPANDE WA MUNGU AU WA SHETANI!

  Рет қаралды 42,716

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 132
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 Жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi David kwa mahubiri mazuri hakika Mungu anakutumia vyema nakukubali sana, Tumpeni Bwana Yesu utukufu na sifa!!
@wilfridamanono2667
@wilfridamanono2667 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe, i listened your sermon and helped me sana. I was sick when I followed your prays through KZbin channel, i got cured. God to be given glory for using you pastor.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 ай бұрын
Ameeeen
@ghatichacha837
@ghatichacha837 Жыл бұрын
Amen, kila ninapokusikiliza ninapiga hatua moja mbele. Mungu Akubariki Sana. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇳🇨🇳🇨🇳🇨🇳
@samwelmwirigikenda6688
@samwelmwirigikenda6688 Жыл бұрын
Mchungaji Mungu azidi ku kubariki kwa kazi ya injiri unayo ifanya. Umekuwa wa msaada katika maisha yangu ya kiroho. Niko Kenya mjini NAKURU
@NaomyOtundo
@NaomyOtundo 4 ай бұрын
Me too,nilidhalia namjua Yesu adi siku nilianza kuskiza mahubiri yake
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Jambo moja la ajabu na baya Sana Ni huu wote Ni waumini mpo kanisani ila mkitoka ibadani kila mmoja na njia yake Ile salaam ya upendo haipo Tena yaan hawajuani kabisa,haya kaja mgeni kanisani anataka kumpokea YESU watashangilia kinafiki ngoja ibada imalize hata wakumuuliza Yule mgeni unaishi wapi karibu Sana hakuna hata wa kumtia moyo aupende wokovu hayupo kila mtu na lake hii NI mbaya Sana
@sarahmwakisu2702
@sarahmwakisu2702 Жыл бұрын
Amina! Sifa na utukufu ni kwa BWANA. YESU kwa ajili ya karama aliyoiweka ndani yako MUNGU akubariki. Niko mjini Mbeya ninajengeka sana kiroho kwenye masomo yako ya youtube hata ya miaka mingi iliyopita kwangu ni mapya kila siku. Asante. By. Dominick Maluli.
@JamcMacay
@JamcMacay 9 ай бұрын
Mchungaji ubarikiwe sana hakika nimeona mungu akinitendea mambo makubwa mungu azindi kufunulia wewe mambo mapya
@SAMWELMERIDA-jf8sg
@SAMWELMERIDA-jf8sg Жыл бұрын
Amina nimebarikiwa sana natamani Mungu anisaidie kuhubiri nakuongoa roho Mungu anisaidie sana majirani niwatagamzie wote Mungu nisaidie nipe nguvu
@lizzylucy4479
@lizzylucy4479 Жыл бұрын
May God bless you pastor na azidi KUKUPA hekima kwa neno Lake toka nianze kufuatilia mafundisho yako hujipata sifai macho pa BWANA sometimes nikama Mungu hunituma hapa kunirudi
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 Жыл бұрын
Amina, be blessed pastor
@mbaabu-mk
@mbaabu-mk 4 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji..mm ni mkenya upande wa meru Umekuwa wa msaada sana kwangu haswa upande wa maombi ya imani..
@alicesidi9601
@alicesidi9601 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana, ubarikiwe sana Mchungaji
@eliaskahindi7995
@eliaskahindi7995 Жыл бұрын
Mimi nikijana msabato kutoka Kenya, nakufuatilia sana, Mungu akubariki kwa kutufunza neno la Mungu....natoka Kenya, in Coast region, mahali kunaitwa Malindi
@ChristopherSigira
@ChristopherSigira Жыл бұрын
BWANA YESU Asifigwe kwakuli Nana balikiwa namafundiso BWANA YESU Akutia Nguvu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏
@janewaititu8051
@janewaititu8051 Жыл бұрын
Asifiwe Yesu mchungaji,nahitaji tuombee Ndugu zangu wokovu na mume wangu na pia watoto wangu wasimame imara kwa imani..asante
@DoreenCaspian
@DoreenCaspian Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji kwa mafundisho...namuona Mungu kupitia haya mahubiri.....
@bossladyjv3828
@bossladyjv3828 Жыл бұрын
Everline Olphah Edwin Tabitha Christine Christopher Trecy Tupokee wokovu mwenyezi Mungu awe mkombozi wa maisha yetu Kusizia wakati wa maombi na wakati wa kusoma Biblia iise katika jina la Yesu Kristo Amina
@agustinomangi1796
@agustinomangi1796 Жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki sana. Huwa ninapokusikiliza napata kitu kipya nisichokijua.
@ezekieljuma308
@ezekieljuma308 Жыл бұрын
Nabarikiwa san Mungu na atusaidie tusiwe n hofu ya kumtangaza Mungu
@nadinekatungu6987
@nadinekatungu6987 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho mungu akubariki sana solo limetujenga
@lornaareba3286
@lornaareba3286 10 ай бұрын
Pastor Mungu akubariki natazama kutoka kenya. Majina ya ndugu zangu. Elikana, Peter, Phillip, kefha nd Lewis. Pombe imewatawala
@froline5209
@froline5209 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe milele na milele Amina mchungaji barikiwa sana.
@Neemav-c5i
@Neemav-c5i Жыл бұрын
Amina Pr. Mungu azidi kukutumia.
@eliebigirimana6881
@eliebigirimana6881 Жыл бұрын
Nashukuru Saana mchungaji kwa huduma zako mimi ni msabato toka Kongo mjini Goma uniombeye kwakuwa mimi sija komala kiroho kwa kweli mimi ni mvuguvugu,kinyume na ile uombeye wazazi wangu kwa magonjwa inayo wasumbuwa,mmoja anasumbuliwa n'a pepo wachafu, Mwengine ni mshipa,piya utaombeya inshi yetu ya Congo inayo pitiya vita watu wanakufa Saana apa kongo.
@eustina0
@eustina0 Жыл бұрын
Barikiwa pr Mungu azidi kukutia nguvu na uzima ufanye kazi yake 🙏🙏🙏🙏
@petermathias8097
@petermathias8097 Жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki sana kwa maafundisho hayo bwana yesu anavyokutumia Mungu na azindi kukutumia
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 9 ай бұрын
Nakushukuru sana Mungu kwa kumtuma Mch . Mmbaga
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 Жыл бұрын
Amen.ubarikiwe pastor Mbaga
@hapysonrithe3842
@hapysonrithe3842 Жыл бұрын
Mchungaji barikiwa sana Mungu akuongoze katka kutangaza kaz yake
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Жыл бұрын
Amina mtumishi
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Жыл бұрын
Ameni kwaimani namkomboa Amani laston amludie mungu mfungue Emanueli mnyogele amludie mungu 🙏
@deohcivilian
@deohcivilian Жыл бұрын
👏👏👏 Ubarikiwe mchungaji
@KelvinChoma-x1p
@KelvinChoma-x1p 4 ай бұрын
Amen
@rossarutasha9391
@rossarutasha9391 Жыл бұрын
Tuombee Mimi na watoto wangu n'a wajukuu wawili pastor Mungu atubariki sote tufanye kazi ya Mungu
@WilheliminaMatekere-rc5gy
@WilheliminaMatekere-rc5gy Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji maana huwa unanibariki sana kwa Mahubiri yako
@jamesmedard5538
@jamesmedard5538 Жыл бұрын
Barikiwa sana Pastor kwa somo hili
@isakabuswelu3792
@isakabuswelu3792 Жыл бұрын
Mungu azid kukutumia pr kama apendavyo yeye maan unanibariki sana
@PendoOscar
@PendoOscar Жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa mambo yake mema ❤ubarikiwe mchungaji
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mtumishi wa Mungu Leo hii Mungu anatafuta Mashahid wake ,Mungu atusaidie
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa sana
@hellenokere
@hellenokere Жыл бұрын
Nabarikiwa xna kutoka kenya bt naomba mtumishi tomba kutoka kwako nnetoa mimba mbili na nmelala n wanaume zaidi y thirty nko n watoto nanne n sahii cna doa nmekata tama y maisha
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 Жыл бұрын
Mtazame yesu krsto yeye ndo anatoa faraja yesu hakukata tamaa alivumilia had mwsho ili mm na wewe tuokolewe so be tolerance
@hellenokere
@hellenokere Жыл бұрын
@@onesmoelias2285 amina
@upendoloondokalembekela7748
@upendoloondokalembekela7748 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor mmbaga
@limbeguga4853
@limbeguga4853 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor kwa somo NZUR, nimebarikiwa Sana
@dofiwanyonyi9477
@dofiwanyonyi9477 Жыл бұрын
009p
@margaretmuchiri
@margaretmuchiri Жыл бұрын
Mm ni mugeni ubarikiwe mutumisi wa mungu nimebarikiw na nikafunguka macho sana
@adamkisapi9381
@adamkisapi9381 Жыл бұрын
Asante Yesu umpe afya neema na amani maana amejitoa kwako Kutulisha neno lako na tunaokolewa.
@denonode6546
@denonode6546 Жыл бұрын
Amen pastor mafundisho yango Yana nipa moyo nafuraha na amani
@pendosengerema
@pendosengerema Жыл бұрын
Pastor somo hili limegusa sana family yangu hawajamwamini Mungu mpaka sasa waombee natamani sana waokolewe kama sisi
@lilianeliuze3437
@lilianeliuze3437 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mahubir Pastor,Bwana azid kukutumia
@SuzanaMohochi
@SuzanaMohochi Жыл бұрын
Amina mtumishi mungu aendelee kukutumia
@lilianlima8609
@lilianlima8609 Жыл бұрын
Bwana akubariki, tunabarikiwa mno 🙏🙏🙏to God be the glory
@estachkm824
@estachkm824 Жыл бұрын
naitwa Estch Kweli , Amen napenda sana kukusikiliza na mafindisho yako yamenibadilisha maisha yangu ningependa siku moja niwasiliane nawe niko Dallas Texas
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 11 ай бұрын
Shalom, there is also an offering on the altar, there is also an offering of gratitude for recovery, if he prays for him, there is an offering on the altar
@lydiamapenzi2152
@lydiamapenzi2152 Жыл бұрын
Amen mchungaji kwa SoMo zuri tunafukuliwa tukiwa hku saudi Arabia
@joicejo3899
@joicejo3899 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana nakufwatilia kutoka saudi Arabia
@luciapunte7504
@luciapunte7504 Жыл бұрын
Asant mtumishi wa mungu kwa mahubiri
@musarichard3173
@musarichard3173 Жыл бұрын
Pastor Mmbaga mkasa wa kuandika sms na kuituma nimewahi jaribu mwezi wa 12 mwaka jana. Cha kushangaza hapa Chingola Zambia nilipoenda mwezi January mwaka huu watu sita walinipgia simu na kati ya hao watu wanne wamebatizwa na hao wengine ni kwasababu sjui lugha vizuri ya kiwemba. Hakika ninabarikiwa sana na mahubiri haya
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji
@cristinekenya1050
@cristinekenya1050 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor nafuatilia kutoka Lebanon
@eduardobabou3022
@eduardobabou3022 Жыл бұрын
Neema limeshuka Amina ♥️♥️♥️♥️
@ndamotz3027
@ndamotz3027 Жыл бұрын
Mungu anibariki kwa kuangalia
@gaselochaula2692
@gaselochaula2692 Жыл бұрын
Amina, mtumishi wa MUNGU tunabarikiwa sana
@phelixokwany5462
@phelixokwany5462 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kadri ya mapenzi yake. Nakupata nikiwa Somali
@jerushakerubo1149
@jerushakerubo1149 Жыл бұрын
pastor barikiwa sana,napenda sana kuskza uchumbe wako kutoka Lebanon.But naomba umwombee dadangu mgonjwa sana ako na thyroid anaenda operation plz!
@bossladyjv3828
@bossladyjv3828 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@izackngido
@izackngido Жыл бұрын
Daaah aminaa sana
@philipomasanja2373
@philipomasanja2373 Жыл бұрын
hirisomo kiraarie mpokea YESU apereke habari njema MUNGU atusaidiesana
@unylis-tv6905
@unylis-tv6905 Жыл бұрын
Pastor naomba kuongeya nawewe kuhusu uinjilisti ni hubiri neno LA Mungu.
@abdonmtamalo8469
@abdonmtamalo8469 Жыл бұрын
Barikiwa pastor mbaga naomba uniombee ili niweze kushinda dhambi
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amini kuwa wewe ni mshindi kabla hujaona kwa macho! 1 Yohana 5:4 Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu.
@abdonmtamalo8469
@abdonmtamalo8469 Жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga asante mtumishi wa Mungu
@K9-academy
@K9-academy Жыл бұрын
I wish to be among of your students katika unabii balikiwa mchungaji
@christinalunyilija
@christinalunyilija Жыл бұрын
Amina
@joemosemediaproductions9667
@joemosemediaproductions9667 Жыл бұрын
Napenda mahubiri yako sana inanijenga kiroho
@elienew3788
@elienew3788 Жыл бұрын
Niko na kaka Babake Eddie ametekwa na ulevi
@masaulemrema4437
@masaulemrema4437 Жыл бұрын
Mchungaji nimelifurahia SoMo lako Je hata kwenye utube ukibagua mubiri ni vibaya??
@ryoaishodo309
@ryoaishodo309 Жыл бұрын
Blandina Gillian salma sato villa issaka Emma masato seiji Gatie Goldina komora henry Eunice takeru himiko sachiko Masashi megumi shigemi betty sato victor
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 11 ай бұрын
Sasa naomba uniambie sadaka ya madhabahu ni nini 18:36
@daudibomani1940
@daudibomani1940 Жыл бұрын
Fundisha somo la Kuhusu MUNGU Mmoja mwenye nafsi TATU
@elienew3788
@elienew3788 Жыл бұрын
Mungu wetu atupenda nabarikiwa kwa neno laMungu
@joemosemediaproductions9667
@joemosemediaproductions9667 Жыл бұрын
Mchungaji hapo kwa kuhisi kuubiri injili au kufundisha wengine ukweli wa maandiko niko naye ila hiyo uoga uliosema ndio bado inanisumbua lakini bado nina imani na msukumo wakupambana nao hivyo basi unacho sema kipo kwa wengi umenipa nguvu tena ya kuendelea
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 9 ай бұрын
Yeri Kithi Ngari Steve Peter Na watoto wangu
@neemashabani5860
@neemashabani5860 Жыл бұрын
MIUNGU waokowe ndugu zangu MOGAYA Kegori Keganyero kegori
@peninamwailunda8813
@peninamwailunda8813 Жыл бұрын
yapo sana Mch. unakaa kulingana na dau lako, hata ukikuta kiti kipo wazi kama unajijua wewe sio VIP huwezi kaa, na wengine kumwona hadi 100,000, na bado, mch akihubiri unaenda kumtunza pale madhabahuni, na wananote ile mbaya
@saumukarisa9873
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Ombea ndugu zangu waachane na roho ya ulevi wa kila aina
@RebbecaAkinyi
@RebbecaAkinyi Жыл бұрын
May God biess you❤❤
@hapysonrithe3842
@hapysonrithe3842 Жыл бұрын
Amen
@laridistrict4710
@laridistrict4710 Жыл бұрын
i cannot get the download icon like in the other lessons
@atanas53
@atanas53 Жыл бұрын
Pastor unashangaa kanisani kuna siti za watu flani, KUNA SADAKA YA KUMUONA MUNGU AKIWA AMEKAA KWENYE KITI CHA ENZI. HA HA HAAA, MUNGU ATUSAIDIE KWAKWELI.
@ryoaishodo309
@ryoaishodo309 Жыл бұрын
Hajime hiroshi Elius Rolf marianna victor hawa niwalevi mchungaji naomba uwaombee Amen
@jacklinejerr2447
@jacklinejerr2447 Жыл бұрын
Nimepokea 🙏
@DivinahNyambeki
@DivinahNyambeki 5 ай бұрын
Amen 🙏
@christinesavai884
@christinesavai884 Жыл бұрын
Amen and Amen
@joemosemediaproductions9667
@joemosemediaproductions9667 Жыл бұрын
Nakuskiza kutoka kenya nakuru mahubìri haya yanaponya nafsi ya watu wengi nikiwa mmoja wao
@DivinahNyambeki
@DivinahNyambeki 5 ай бұрын
My brother Benson ,Lucy
@josephinelusambo4593
@josephinelusambo4593 Жыл бұрын
umbarikiwe
@elviesmoranga9497
@elviesmoranga9497 Жыл бұрын
Ameen for the enlightenment
@laridistrict4710
@laridistrict4710 Жыл бұрын
PUT THIS LESSON TO BE DOWNLOADABLE FOR EASIER SHARING WITH THOSE WITHOUT SMART PHONES
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
It is downloadable.
@frankmchomvu9447
@frankmchomvu9447 Жыл бұрын
The lesson is not downloadable. Kindly check and assist.
@hortensiaprotas9226
@hortensiaprotas9226 Жыл бұрын
Naomba yamba Yako much.
@hirokay9374
@hirokay9374 Жыл бұрын
Rolf Hajime Hiroshi komora Henry sato villa issaka
@mush337
@mush337 Жыл бұрын
Niko na swali mtumishi wa mungu,je pastor anafaa kutoa sadaka na kusaidia masikini?Nikitoa milioni tano ama hata hamsini kama sadaka kwako,je unafaa kutoa hio sadaka pia,na ukitoa unatoa Kwa pastor mwingine?
@elviesmoranga9497
@elviesmoranga9497 Жыл бұрын
Kulipia pesa wanasema n kujiunganisha madhabahu
@siuhitv2012
@siuhitv2012 Жыл бұрын
Juma shabani
@GraceNdakuya
@GraceNdakuya 7 ай бұрын
Mtumishi umenifungua kupitia kwa maubiri yako eeemen
@shazzysymon6835
@shazzysymon6835 Жыл бұрын
Hellow vijuzuu ni nini ❓ hiyo pastor anasema unachukua unagawa
@samwelmwirigikenda6688
@samwelmwirigikenda6688 Жыл бұрын
Vijuzuu ni small cards abazo Zina ujumbe
@pendosengerema
@pendosengerema Жыл бұрын
Pastor Kuna watu wengine ukiwapa hivyo vijizuu Huwa wanatupa na nmejionea boarding schools je watu kama hao utaendelea kuwapa?
@shazzysymon6835
@shazzysymon6835 Жыл бұрын
@@samwelmwirigikenda6688 thanks soo MTU huzibuy wapi ama unajiundia
@tabitharobonyo6442
@tabitharobonyo6442 Жыл бұрын
Walter Agao God to free him he is addicted to alcohol , tobacco and miraa
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
@meskammalemo
@meskammalemo 4 ай бұрын
Natafuta namba yake mtumishi ya whatsapp
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 4 ай бұрын
+255 755 932 283 tuma ujumbe WhatsApp
MUNGU ANAPO HITAJI KUKUTUMIA PR  DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
54:34
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
DINI MOJA YA DUNIA -PR DAVID MMBAGA
1:31:50
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 13 М.
NIONESHE UTUKUFU WAKO
1:22:39
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 59 М.
ANZA KUJITAMBUA KAATIKA HILI   PR DAVID MMBAGA
1:08:41
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 2,9 М.
KWANINI KUINGIA NAKUTOKA MISRI?  SIKU YA 7official
1:24:19
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 25 М.
ZABURI YA KINGA DHIDI YA MAJANGA NA MIKOSI-- PR. DAVID MMBAGA
1:05:10
MACHO YAKIFUNGULIWA | PR. DAVID MMBAGA  (OFFICIAL VIDEO)
1:03:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 18 М.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 28 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН