Mungu wa rehema unajua taabu na mahangaiko yetu. Unapokuja kutupa msaada tunaanza kulalamika na kutoa vijisababu vya kulaumu wengine. Uturehemu tupe neema ya kujitwika vigodoro vyetu twende mbele. Maana umeshatuponya na kututengenezea njia tayari. Asante Pastor na timu yako. Mungu aibariki huduma hii
@beatricemageka79724 жыл бұрын
Nashukuru pastor kwa funzo la hekima kwamba majibu ya shida na najaribu yetu tunayo ila tu hatutambui,Mungu atusaidie tuweze kujitambua na tusonge mbele kimaisha na kiroho pia,amina
@liliankeruboq69484 жыл бұрын
Ukwel binadamu twajiroga wenyewe, shukran muhubiri. Funzo nzuri kwel.
@shaniachanceline27514 жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji napenda mafundisho yako🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💓💗😍🥰
@rachelmanema90444 жыл бұрын
Asante mchungaji hubiri lako limenifungua kwa mengi Mungu akubariki sanaaaaa
@elizabethtondo51784 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu naomba unisamehe kwani nimekuwa mlamimishi sana KATIKA maisha yangu. Pastor Mungu akubariki kwa somo hili hakika nimepata silaha ya kusimama tena kwenye maisha yangu.
@trustalid59684 жыл бұрын
Asant mchungaji kwa neno, kweli akili imefunguka kwa Siku ya leo, Amen
@karennyabuto79774 жыл бұрын
I wish this pastor could come to our church one day.God bless him.
@adjafamkungilwa1154 Жыл бұрын
X
@francisthomas74811 ай бұрын
Asante pastor uko namahuburi masuri sana ninakusilisa sana kutoka hapa Kenya 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana.
@JC-lk3me3 жыл бұрын
The best teacher on the tv Mwalimu kweli. God is good.
@upendomasasi32184 жыл бұрын
Pastor mungu akubariki Sana na kukulinda ili uendelee kutubariki kwa masomo yanayobadilisha maisha yetu na kutupatia tumaini jipya la uzima wa milele
@loicesalano931Ай бұрын
Naamini kabla miaka 38 nitapata mume Nina watoto wanne outside wedlock.God is faithful 🙏
@vivatiki53313 жыл бұрын
Jamani mungu anatupenda kwa kutupa mafundisho kwakila njia hatunabudi kumwambia mungu asante kwa yote hasa kwamchungaji huyu David mbaga asantemungu
@EulaliaChristopher-qs9mn2 ай бұрын
Mungu asante kutuletea mcjungaji
@judithmakoye65924 жыл бұрын
Amina pastor Mmbaga ubarikiwe na timu yote pia, nakuelewa pastor majibu ya shida zangu yako ndani yangu
@alicemjomba26444 жыл бұрын
Amen, Mtumishi nashukuru kwa Neno Hili nimefunguka macho nakuelewa zaidi, Barikiwa Mungu azidi mukutumia Asante.
@rubias29782 жыл бұрын
Asante pst kwa mafunzo mazuri ameni mungu atie nguvu uendelea kuhubiri neno la mungu
@dianarobert79532 жыл бұрын
Jitwike godoro lako uende.yesu ametangulia mbele.aminaaa
@vicknessngenzi61464 жыл бұрын
Nabarikiwa sana Pastor na mahubiri haya kweli Mungu amenitoa sehemu na kunisogeza karibu na yeye kupitia mahubiri haya.
@elizarodrick73564 жыл бұрын
Kwa kweli ni mara yangu ya kwanza kusikiliza mafundisho yako pastor, lakini yamenivusha sana Mungu wa mbinguni akubariki sana.
@mussaharuni2250 Жыл бұрын
Ubarikiwe mch nakupataga vizuri kwenye mafundisho Yako yananibariki.
@user-no2tw5vb8j2 жыл бұрын
Doreen Edasi watching from saudi arabia, wonderful teaching from the true man of God, it's touching my heart deeply, thanks alot and May God bless u and your family in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-pi5bj9qz2m5 ай бұрын
Tunashukuru kwa mahubiri yako, tunabariiwa Mungu wa mbinguni akubarikiwa
@tabithamintextilefabricind98384 жыл бұрын
Mimi Sina Mtu imekuwa Kilio Cha watu wengi, iwe makanisani, misikitini, kazini, Vyuoni ,shuleni, kwenye Ndoa , katika familia nk. Acha kutafuta watu wa kulaumu..mpelekee Mungu shida zako, yeye ndiye anakujua maana ndiye aliyekuumba na kukukomboa kwa kukufia msalabani ,mwambie shida yako yeye. Acha kukata Tamaa, Jaribu kusimama uendelee mbele. Usikate tamaa
@shukranjs43073 жыл бұрын
Amina
@josephobedi59694 жыл бұрын
"Ukitaka usifanikiwe katika maisha tafuta mchawi" very informative sentence
@neemaloy8894 жыл бұрын
AMEN AMEN MTUMISHI WA MUNGU
@rosepeter89964 жыл бұрын
😅😅👏👏🙏🙏🙏nimecheka,nimebarikiwa na mahubiri yako mchungaji wa mungu.🙏
@bentaonsomu64803 ай бұрын
Asante na Mungu akubariki. Hautajua hii maubiri yanamaanisha nini kwangu. Ila Mungu amenieleza mambo mengi. Na nimeshtuka kwa kuwa umerudia Jambo nililokuwa ninasema, lakini sasa kulisikia kutoka haya maubiri, ni green light kutoka kwa Mungu.
@kakajaymoe8713 Жыл бұрын
Ameen aksante sana kwa mafundisho yako pastor🙏🙏💓
@kalebumwaiponya46442 жыл бұрын
Nimelipenda sana hili fundisho. Mungu akubarika sana pastar Mbaga
@janetkahada52064 жыл бұрын
😭😭God forgive me in my work give me a strong heart to be pertinent in every ways in Jesus name amen. Just a big points. Ubarikiwa muchungaji.
@MiriamSando-fe9ll5 ай бұрын
Nabarikiwa sana pr,mmbaga
@rastarasim5810 Жыл бұрын
Nazidi kujifunza mengi ,,,,,,,,,mungu awabariki watumishi wake,%🙏
@millicentmashakamakungu51404 жыл бұрын
Ninabarikiwa na mahubir yako mtumish wa Mungu
@bonphasngasa46444 жыл бұрын
Nimekuelewa Pastor. Ni ujenzi bora tumeupata. God bless us!
@khadijaabdallah87754 жыл бұрын
Mungu akubariki PR. MTU akikutukana! Hilo limenijenga sana. Maana tunanung,unika sana juu yahilo. Hasa ukionewa! Aaa! Ahsante Yesu.
@linetflorah68713 жыл бұрын
Amen Daddy nami nimejifunza pia nimejua niko kwenye nafasi gani
@josephinemwita88834 жыл бұрын
Ni kweli Pastor Mbaga. Mimi Dodoma siondoki nikistaafuu!
@josephinemwita88834 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kutoka kwenye hubiri hili! Ubarikiwe sana pastor Mbaga mungu akulinde ,akutunze na uendelee kutulisha chakula cha Mungu
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU Endelea kutuombea na sisi pia
@agneskhakali20694 жыл бұрын
Amina Amina. Asante sana mchungaji.
@aloycegasper51884 жыл бұрын
Ni kweli PR,siyo PhD tu kuna watalaamu wa uchumi lakini wao masikini...MWENYEZI MUNGU NIONESHE KARAMA YANGU
@karennyabuto79774 жыл бұрын
A very good message.CARREN kisii Kenya.
@brunomirambi87924 жыл бұрын
Mungu akudhindie PR.MMBAGA UMEFUNULIWA UMEPEWA KULIJUA NENO TUSAIDIE SANA MUNGU ATAKURUDISHIA
@safishimirimana94654 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi. Kwakweli uwaunanibariki
@user-jg2sj1yc6n3 ай бұрын
Amen amen amen
@hassanmatumba52722 жыл бұрын
Mtumishi halisi wa Mungu, umenibariki sana na fundisho hili. ninatamani siku zote Bwana aka ndanj yng nifanane na mcha Mungu wa kweli.
@lidiaawino4740 Жыл бұрын
Asante Yesu kwanzia leo nitajitwika godoro langu
@natihaikamjema61304 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@carolynadhiambo25434 жыл бұрын
AMEN AMEN, BARIKIWA mtumishi MUNGU Azidi kuku BARIKI
@angelinaomare30554 жыл бұрын
Neno ili limenielimisha ajabu kwa kweli...nimejifunza kitu Kimoja “kujifunza kulalamika ila tu Kushukuru na kunyenyekea
@sheilaombongi80864 жыл бұрын
Funzo la hekima kabisa pastor nina shukuru sana Mungu akubariki sana Amina
@suzanmwita17003 жыл бұрын
Barkiwa sana
@ibrahimsiwale50592 жыл бұрын
IWE HELI KWAKO NA HATAKWETU.....MUNGU atupatie nemeema na ufahamu tuzidi kulijua neno la mungu na tuwe na uelewa nalo
@damarisonserio47882 жыл бұрын
Thanx be to the Almighty God man of God your statements are very clear and loud
@eliasbufula24823 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu, umesema na mimi.
@irenenyambeki30944 жыл бұрын
Amina barikiwa pastor mbagga nakufatilia kutoka kenya
@dianamwalongo97322 жыл бұрын
Waoooooo someone zuri Sana balikiwa Sana mtumishi.
@dottodaniel75354 жыл бұрын
Pr. Mungu akubariki kwa ujumbe huu ni mzito .kwa kweli tumekuwa walalamishi mno Mungu atusaidie
@timothywandera16813 жыл бұрын
Hi Mtu wa Mungu, kila somo lako lanijenga sana, kana kwamba unayaona ninayopitia. Mungu akubariki sana, Timothy Wandera kutoka Kenya county ya Eldoret.
@mtctz98442 жыл бұрын
Asante, nimebarikiwa, ubarikiwe
@filorammbaga57102 жыл бұрын
Nitashinda ubaya kwa style hii. Asante Mtumishi Mungu akuinue juu Sana.
@comembwelwa15183 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho ya huyu kaka lakini watu wengi wanabeza kisa yy in msabato tatizo nn sijaelewa kabisa nampenda bule nashinda utubu kumsikiliza kila siku
@MahubiriPrMmbaga3 жыл бұрын
Ubarikiwe
@user-sr3rn1ty9g2 ай бұрын
Amen
@mashaeliazer74334 жыл бұрын
Barikiwa pr kwa kunibariki
@winnievienda16234 жыл бұрын
Ubarikiwe kwamafunzo masuri mungu hakutiye ngufu yakuendeleya gutu funza
@alonto81592 жыл бұрын
Barikiwa sana lovely dad.
@lennybaabrah67524 жыл бұрын
Amen Amen pastor
@janviershaminya24852 жыл бұрын
mungu ndiye anaye kuwa na na malipo piganisha usikose kuingiya nakuombeya tutaonana huko.SI
@shukranjs43073 жыл бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@shackplustv74622 жыл бұрын
Nimefarijika na kubarikiwa sana na somo hili
@sanurasadickmshana74813 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi,umenigusa sana maisha yangu.
@jjss44934 жыл бұрын
Amen amen yesu wajua shinda zangu
@rosepeter89963 жыл бұрын
AMINA🙏
@adrianarespicius86834 жыл бұрын
Napenda mafundisho yako yananibarki,, barkiwe pastor
@jamesbaraka9403 жыл бұрын
asante pastor mungu akubariki
@betykallomo5587 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@jackneymasamson83354 жыл бұрын
I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree, believe and receive this powerful Prayers upon my life and my Son and my family in the Mighty name of Jesus Christ because our Help Comes from Jehovah God the maker of the Heaven and Earth in Jesus Might name amen and amen
@cliffrmmbaga9157 Жыл бұрын
AMEN
@shemnyangate53064 жыл бұрын
we as christians we judge outside instead of we judging in the inside..hw does our relationship between us and God.. Nice sermon
@glorykamenya25433 жыл бұрын
Amen pastor
@witnessmalangalila914 жыл бұрын
Amen barikiwa Mtumishi
@FrancisLyamuya-ou1eb7 ай бұрын
Asante sana ndugu
@verdianajohn76344 жыл бұрын
Amen pr
@witnessmalangalila914 жыл бұрын
Barikiwa sn Mtumishi
@rachelndege38193 жыл бұрын
ASANTE mchungaji Mungu akubariki Sana
@elvisomari6384 жыл бұрын
Uko sawa pastor ukweli huu
@florabenard7074 жыл бұрын
Aminaa Pr
@hoglawawuda81454 жыл бұрын
Nimejifunza kitu...asante Pastor
@edithmakwakwa94894 жыл бұрын
Barikiwa pastor Sana🌹🌹
@mwinamilapaul3524 жыл бұрын
Amina Mtumishi, asante kwa kutupa Neno la uzima
@heriethmbwambo82723 жыл бұрын
Pastor barikiwa kwamafundisho yako
@zuberysaid92013 жыл бұрын
Mungu akubrk
@rehemanashon3739 Жыл бұрын
Aminaa🙏🙏🙏🙏
@sammywanje26863 жыл бұрын
Kwa kweli Mchungaji umenifungua sana kwa mafundisho haya,, umenifungua minyororo niliyokuwa nayo,,,, Ubarikiwe sana mchungaji, na huyu MUNGU tunayemuabudu kila siku akupe nguvu na azidi kukubariki kwa mafundisho unayotufundisha mara kwa Mara,, aamen
@lreneauma17624 жыл бұрын
Amen asant kwa somo suri Amen Amen
@kalumbugideon41593 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtumishi....
@mshigilakarume44253 жыл бұрын
Your the best teach at your calling
@onesmorichard48453 жыл бұрын
Ameeen mtumishi hakika nimejfunza kitu kikubwa sana
@lenatidagabriel33583 жыл бұрын
PR. NI mwaka umepita tangu ufundishe somo hili lakini kila SIKU ni jipya, unanibariki mno PR, MUNGU akutunze PR.