Duuhh nyumba kama hekaluu....hongereni sana mr & mrs rich
@stellahanssen1434 Жыл бұрын
Well done. Hivyo inavyotakiwa, kufanya mambo kimya kimya mpaka utilimishe.👍
@Officialjidaa-sn9cs Жыл бұрын
HONGERA SANA OLPA KWANZA NDO MSANIII NAEMPENDA ALAF UMEFANYA KITU KATIK VITU AMEN
@ikouwasi7644 Жыл бұрын
😂vipi mumewe au siyo yake
@EzekielDebora-cd2ib Жыл бұрын
Afazali Yani huyu dada Yuko busyy na maisha yake na walikuwa wanamzalau
@surusuru1994Ай бұрын
❤❤❤hongera🔥🔥🔥🔥🙏
@kiya091010 ай бұрын
Mungu awabariki pamoja nakazi zenu
@DM.220011 ай бұрын
Huna baya mchaga wangu wa nguvu barikiwa sana
@ashamtweka1919 ай бұрын
Hongera sana ❤❤
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Si mlusema hana kitu kafulia stress zinamsumbua"Leo katoa wapi nyumba😢
@happynelson1136 Жыл бұрын
Hawa naamini wamejenga kweli, Lulu na wema wakati wametifuana Lulu alionyesha kuwa anajenga lakini baadaye ikawa kimya sijui aliishia wapi
@toshirohitsugaya6421 Жыл бұрын
Kajenga Mwanaume lakini sifa anapewa mwingine au kama wamejenga wote sifa wapewe wote ….
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Kuna vihelehele vingine unavuka mipaka
@iddykwangaya2794 Жыл бұрын
Wanasemaga nyuma ya mafanikio ya mwanamke kuna,,,,,,,,!!!!
@clovicemusobozi3891 Жыл бұрын
Mashaa Allah hongereni sana ❤❤❤❤
@hawaaathman-rs8oy Жыл бұрын
Hongera dear. Mungu amekuwezesha
@BukuruAhmed-zy1ub Жыл бұрын
Ongera sana dada yangu
@lovemichael-j9jКүн бұрын
ushaur wang kwa mam p apige magot na kumuomb mung sluu ya ndoa yake unajua shetan ana pamban sn na wana ndoa ten ana leta mafarakan makubw sn ila ukiijua kwel nayo kwel itakueka hur asem bwn wamajesh ndg pand mbegu bor kwa manufaa ya watot ako badae
@NahimanaGorethe-n4o2 ай бұрын
Nakupenda bure
@Ric_255_ Жыл бұрын
Nzuri Hongera yako.
@JoelinaPareso Жыл бұрын
Uko vizuri
@hafsalucky1088 Жыл бұрын
Safi sn, Binti anayejitambua, ❤❤❤
@janethjonas1700 Жыл бұрын
Nimemuona Rommy anasema hamna kitu hapo...why...??? Msimchukulie powa hii ni roho kamili...
@khadjamhozya Жыл бұрын
Ida sema tukuskie Tena na huyo shoga lokore na yure Fara mwingine sijuwi anaitwa idirisa mseme Tena hamkusema hatukusikia mseme tusikie mmedharirika na arivvo mujanja majibu yake yote hakuwajibu anachotarajia kuzinduwa arijikaria kimya na hakusema Kama mume Yuko karibu kurudi arijuwa mtapata aibu wenyewe MORA kawaumbuwa, nasisi tunawazomea😅😅😂😂🤧🤧🤧🤭🤭
@Mkwalaa Жыл бұрын
haaa kumbe ni jirani yangu
@FredrickMatiku-xf2uk3 ай бұрын
Nyumba kubwa lakini material local sio pvc madirisha
@sophiakimaro5174 Жыл бұрын
Kweli ile ya mzaramo ni banda la walinzi wallah!!!
@janengowi-lt9gu Жыл бұрын
Tnamsubiri Jumalokole na Dida
@nasraAl-b1w3 күн бұрын
Vitu vingine siyo vyakuposti shetani nae anashikia hapo hapo
@emanuelmacha4690 Жыл бұрын
Usisahau kumwagilia moyo kidogo sio mbaya baada ya kazi.
@MwanaishaShattry9 ай бұрын
Huu mjengo kama jumba la treni
@mahmoudMshamu11 ай бұрын
Sister kila la kheir
@simontemba1851 Жыл бұрын
Safi mankaa
@kiya091010 ай бұрын
Wabongo wajifunze kitu kupitia wolpe
@MusaHamis-oz2rg Жыл бұрын
Mwenyenyumba akiiona hii post mtahamishwa
@gracekagoma323111 ай бұрын
Show off za😢 nini 😢
@gorbywilliam2617 Жыл бұрын
Sema wasanii ni waongo waongo yani mimi siamini yani.
@madaleinem8109 Жыл бұрын
Weuoni alipoanzia ujenzi?
@gorbywilliam2617 Жыл бұрын
@@madaleinem8109 wasanii na wanasiasa drama nyingi sana sema wanasiasa wanatudanganya ila wanasinii wanatudanganya na kujidanganya wenyewe.
@shflaBoaz4 ай бұрын
Lopo bagamoyo jilan yetu
@pascaldonati2711 Жыл бұрын
Ya kawaida sana sio kwa jina lake huyo aje mwanza aone watu wanafugia popo tu huku pembezoni mwa ziwa
@ikouwasi7644 Жыл бұрын
😂😂onyesha ww yako
@TonnyMchura5 ай бұрын
Pesa za wanaume😅
@DicksonOnesmo-go1ts Жыл бұрын
Nyumba zawat hz
@lucyaudax158 Жыл бұрын
Beautiful
@AliceVedasto Жыл бұрын
❤
@juniorndambalilo66 Жыл бұрын
Muiteni Dida aone nyumba siyo banda lake
@hyacintagugu7 Жыл бұрын
😂😂
@lenniefei671024 күн бұрын
Dida Mungu kamjaalia yake yake ya Milele mwanandani......Dunia hadaa, mapito tu !
@UmmuMayrah-rg9ot Жыл бұрын
Uyo mwanaume baba ake anaishi nyumba mbaya duuuh dunia hii
@aishaabeid2099 Жыл бұрын
Watu bhna Sasa ulitaka aanze kumjengea baba yake 😂😂😂
@mariamibrahim6738 Жыл бұрын
Ongera yke
@KelvinNaftal-q6g2 күн бұрын
Mama. nimasohoni. au. maana. mh
@امنداامندا-ظ3ث Жыл бұрын
😂😂😂😂😂mijengo yawatu
@evangelist22 Жыл бұрын
Anajenga nini sasa dunia imefika mwisho
@mamachris6811 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kumbe imefika Sasa mshauuri afanyeje 😳
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Kwako ndio imefika mwisho😂😂😂
@Nyamwiru Жыл бұрын
Hahahaaaa,,jmn
@fatmahchambo2037 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
Hongera sana kwao Wenye wanatilia mashaka hivyi kwani mtu hawezi jenga?
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Mashallah
@HalimaJuma-de5gc Жыл бұрын
subira huvuta heri
@saphiasuleiman9594 Жыл бұрын
Dunia imeisha wewe unajenga nyumba
@mohamedmashaka4680 Жыл бұрын
Nakubali😂
@claritypmetalssales8121 Жыл бұрын
Chai ya moto
@AloyceGeorge-i6y Жыл бұрын
Hongera mamy
@ezekiamgimbaofficial5694 Жыл бұрын
Nikweli ninyumba yake ameijenga kiharaka
@sadajackson3209 Жыл бұрын
Dinda hajaiona
@JosephShilala-v7q Жыл бұрын
Pw kaka
@JosephShilala-v7q Жыл бұрын
😂😂😂😂
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Wasanii bana
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
Kiki
@hallin9561 Жыл бұрын
kama ni kwel bas hongera sana, Namuonea huruma sana SEPETU. akili kisoda..
@Soon815 Жыл бұрын
Utajiri wao unampa kiburi
@verianmatiliya5658 Жыл бұрын
Punguza makasiriko
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
😂😂😂😂 kisoda tenaaa😅😅😅
@neemaclement Жыл бұрын
😂😂😂😂
@MawazoMwamba-fz5hr Жыл бұрын
🔥🔥🔥💗💗❤️💖
@daudysanga8492 Жыл бұрын
Endeleeni kuonyesha majumba ya watu hizo episode zenu wasanii sijui zitaisha lini
@gracemtango Жыл бұрын
Nyumba yake ndugu amejitahidi sana huwezi ona hata mazingira ss majirani zake sikuzote furahieni mafanikio yamtu
@daudysanga8492 Жыл бұрын
@@gracemtango kama niyakwake kweli maashalah
@gracemtango Жыл бұрын
Kabisa yaani unaambiwa nyumba siyo matako kilamtu anayo anastahili pongezi.
@salhaomar5382 Жыл бұрын
Maashallah hongera san
@mnyangabejowrlicecy1747 Жыл бұрын
Niyakwake achakuona kila mtu ana show off za kijinga ..wolper kakua kiakili tangu aolewe
@PhyinaElias-mu4wf Жыл бұрын
Haya sasa didah na juma lokole kipo wap😊😊
@HalimaJuma-de5gc Жыл бұрын
Mashoga wale
@scholamodestus9386 Жыл бұрын
Bora hata juma ila dida ataumbuka sana mana anajionaga yeye ndio kajenga katika dunia hii wenzie wote anawaona wehu