Mama hongera umezaa watoto 12!! Umetisha sana kwani siku hizi hats watoto 3 in shida.Mama hama tu we ni mbarikiwa.Karibu handeni a in kuzuri sana na wapo wamasai wengi sana na pengine ni ndugu zako.
@piuspanga8642 жыл бұрын
Hongera sana,Pisha tembo wakae kwao kwa AMANI
@loomoniolesasi61232 жыл бұрын
Nyie bana siyo wamasai wa ngorongoro, Kwa mfano huyo mama ni mzaliwa wa monduli tumbo moja na olekisongo
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Ewemwenyezi mungu tuepushe nahawa wanao tia fitna tanzania mungu uwajalie pia wenye nia mbaya na hii inchi ya tanzania na hakuna mwingine nihao wanao jifanya kuwa wao ndio wamesoma Kuliko wenzao na ndio hao wanao fanya ufitina na ndio hao hawako inchini tanzania mungu wajalie nania yao mbaya iwarudie wenyewe inshallah yaarabi
@juliusndossa2012 жыл бұрын
Hawa siyo, lafudhi siyo. Watakuwa wameigizwa. Kazi ipo .
@luthermartin10982 жыл бұрын
Sasa wanaokubali kuhama wanataka waendelee kutunzwa baadae walikiwa huko?
@stephanominja89272 жыл бұрын
Kumbe mko hifadhini 🤔🤔. Ila mtaathirika kusaikolojia,, ila mungu awateteee
@dicksonsheja2512 жыл бұрын
Mmasai gani huyo kazaliwa London,, Masai kavaa hereni massikio ya kichaga!!! Msifanye maigizo kwenye maisha ya watu.
@luthermartin10982 жыл бұрын
Sio masai hao
@benjaminlijongwa37152 жыл бұрын
NATAMANI SANA KUJUA NIA YA SERIKALI KAMA NI NJEMA AU LA NA NIA YA WANAOGOMA KAMA NI NJEMA AU LA
@blackchance692 жыл бұрын
Wasafi os the best from FRANCE 🇫🇷 LYON
@christianosimba60832 жыл бұрын
Chance sorry my friend upo France sehemu gn me nipo masille
@bethkatunx76772 жыл бұрын
Mwanadamu anapokuwa na sula mbili anatia kizunguzungu
@maadigitalpro2 жыл бұрын
Mama tunasikia ni mzaliwa wa Monduli
@luthermartin10982 жыл бұрын
Hao sio masai ,inamaana hawakujua kujitegea huko nyuma kama kweli bac popote inapotakiwa mtanzania kuhamishwa bac mtujengeee, mbona hamuwajengei mnaowahamisha mabondeni kuepusha majanga ya mafuriko?
@maadigitalpro2 жыл бұрын
Huyu anatafuta kiki ya utajiri kwa kuuza majumba ya kifahari aliyojenga kwa kibali cha hifadhi. Huyu kwa sababu alipewa vibali HALALI vya kujenga aachwe asifiwe, abaki.
@IvoFransis Жыл бұрын
Mmeshahongwa ninyi😅😅
@lekishonmolele19212 жыл бұрын
Hawa ni wachaga wanaotafuta pesa lakini watu wajue kwamba bora utu kuliko pesa sikusote ndugu sangu wtz
@kiletoolepurko6902 Жыл бұрын
Kuzaliwa endulen hakukuzui kuwa msaliti... pia huyu n mkikuyu aliyezamia masain kusaka fursa
@khadijakdj86402 жыл бұрын
Mnachukua wa Masai feki kuwaoji hawa Wamasai originally wanalia uko jamani kila mtu atabeba mzigo wa dhambi zake
@yohanajulias1422 жыл бұрын
We Masai ni fala sanaa mjinga wewe kwani wewe unaishi wapiii ended mwenyeweee
@izamahmasaki47954 ай бұрын
Wamasai wamewekewa Sheria nyingi hifadhini ili TU wakate tamaa ya kukaa pale wanunue waarabu na wazungu ,,, hebu siku Moja aje rais mzalendo aulize mikataba Yao ya kuwekeza uone aibu pia wanatumia fedha kurubuni wachache hasa Viongozi akiwemo wabunge hata wake wamasai
@samwelilaizer6612 жыл бұрын
Wewe mmasai ni msaliti Kama mama Samia suluh
@izamahmasaki47954 ай бұрын
Baadhi ya Masai hawajui chochote wanafuata mkumbo na wamerubuniwatu
@lomayanikamete51032 жыл бұрын
Mnatavuta kiki siyo kwanjia hiyo
@lekishonmolele19212 жыл бұрын
Banaee hawa watu wamelipwa wafanye kufumba serikali macho
@lukasolemoson92532 жыл бұрын
Hawa ni waigizaji tu
@olosokwaniolosokwani48002 жыл бұрын
Wewe nimswaili tuu
@lazarokidiri45362 жыл бұрын
Hawo ni wahamiaji nendeni tu
@yohanajulias1422 жыл бұрын
We mama na wewe Wacha huyo temboo akukulee mjingaa
@kiratz36992 жыл бұрын
VIDEO HII NI KUANZIA MIAKA 18+ TU NA KUENDELEA TAFADHALINI JAMANI 👉👉 kzbin.info/www/bejne/nZvFd5yamstkg6s
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Wasafi media, ujenzi wa makazi ya Wamasai Handeni unaendeleaje? Nyumba zimekamilika, huduma za jamii zipo? Maji, shule, kituo cha afya, barabara, soko, kituo cha polisi ? Mtutafutie habari hiyo! Asante!